Asante sana kiongozi kwa maelezo mazuri. Ushauri wangu katika swala la ulinzi wa miundombinu kwa ajiri ya vijana wetu (vizazi vijavyo) wafundishwe kulinda nchi yao, zitungwe nyimbo waimbe kila asubuhi ili wajue kwamba ni wajibu wao kutunza mali za nchi yao. Ni lazima kufanya hivyo hasa shule za msingi. MWL Baba wa Taifa alifundisha nyimbo nyingi za kupenda na kulinda nchi yetu.. na zilisaidia.
Yeah TRC kwa kweli mko vizuri.Hasa huyu kadogosa ana moyo wa maendeleo na ni mzalendo Fulani ana penda Tanzania iwe amazing.Ila wizara ya ujenzi angepewa makonda Kuna kitu kingeonekana katika taifa hasa kusini barabara ya makambako songea na songea mtwara Lindi dar.
Hongereni kwa kazi nzur sana nishauri jambo Fanyeni mpango kuwa na mobile App kwaajili ya wakata tiketi ili kurahisisha utaratibu wa kupata tiketi Asante.
jamaa anacho ongea Ilikuwa ni vision ya mzee mwinyi ila alipo ingia mkapa Alivuruga sana hii logistic Ya treni akaruhusu malori Ila kama wanairudisha Tena Ni wazo zuri.
@@BlackPanther-xx8dn wapeni mtaona kama shirika la reli litaendelea kuwepo. Suala hili zuri lakini zitungwe sheria za kulinda masilahi ya taifa. Kumbukeni sisi kama wananchi ni wabia, tumewekeza kodi zetu. Ni lazima wabunge wakae na kutafakari kwa kina kabla ya maamuzi hayo. Mungu ibariki Tanganyika.
Duniani kote usafiri wa treni ni bei nafuu na lengo ni kuwasaidia wananchi kwa kuwa imejengwa kwa kodi za wananchi hivyo naul inapaswa kuwa chini,,,Toa kamasi kichwani humo uweke akili.
Mbona kila kitu kinaanza ilala au kinondon hii mi naona ingeanzia steshen hadi mbagala hadi kisemvule maana ndo sehemu inaongoza kwa watu wengi na changamoto ya usafiri kuliko sehemu zote kati ya dar na pwani
Mradi kama huo unakuwa na ulinzi na elimu hutolewa,mkurugenzi hapo kazungumza fiber wire na cable zinakatwa na kuibiwa wakat sgr kwa sasa ipo huko kwa wastaarabu na haijafika bado kwa wenye tabia hizo? Wezi wapo dunian kote kaka!
Muhimu TRC kuwa na askari police wake wenyewe ambao wamehajiriwa na TRC ni police kama police wetu na watakuwa na hadhi kama police wa kawaida kuweza kukamata mtu yeyote hatskaye fanya kosa na kuwakilisha mahakamani Pia kuwa na plain police ushauti naona kutatoa mZigo mkubwa wa mapolice wetu ambao wanafanya kazi kubwa kulinda wananchi na mali zao
Uswahili umetuzidi sana sie. Watu wanahujumu miundombinu ya reli, wewe unasema tutaendelea kumassage kidogo!!! Chukulieni hao wahalifu hatua kali iwe fundisho kwa wengine.
Je tiketi zitakuwa za campuni yao au ya TCR kama huku Ulaya campuni binafsi tiketi zinakuwa za Serikali kama TCR hukuti tiketi za campuni binafsi sehemu ya kukata ni moja
Ni muda pia kufikiria kuwa na treni ya Dar-Tanga(kupitia Saadani), Dar-Arusha na Dar-Mbeya(kupitia mikumi) kwani hizi ni sehemu muhimu sana za utalii na kuongeza kipato kwa nchi pia.
Hifadhi ya reli ya kutokea Pugu Hadi Tanganyika Packers kiwandani Kawe ilikuwa kwa ajili ya mifugo ulikuwa mpa ngo wa serikali ya Mwalimu JEE mna mpango Gani mbadala kwa ajili ya maendeleo ya usafirishaji abiria katika Jiji?
Umeme bado uko monopolized aichieni private sector pia kama Kuna wa tanzania wawekeze.. Na pia tuachane na fikra za kutumia mafuta tena.. Dunia imeshahama tuwe na fikra za kutumia green energy ⚡ pls pls mheshimiwa pls
Ushauri wangu hii tren nimepanda kuna seheem wasimamiz wa hii tren wamekosea wameweka pis mbovu kwel piss kari zote ziko kwenye ndege tunaomba tuletewe piss kar kwenye tren hii ya mwendo kasi😮😮
Yanaongea yanakunywa maji,kumbe hamna kitu.Train yenyewe inaonekana kupitwa na wakati.Siti ya watu watatu nani.apande(Ushamba) Watching wamevqmia kila kona wameleta mabasi ya kisasa.
Hakuna kumtaja maghufuri hata angekosa yeye angetokea kiongozi mungine angejega tu mana sasa kila kitu yeye wengine hawana akili mbona kaviacha havijajengwa mama kamalizia vyote mboni yupo kimiya hacheni hizo
@@selemanisalum7685acha upumbavu miradi mingi maraisi hawajafanya jamaa kaonyesha uthubutu wa mambo mengi sana bwawa la nyerere wameliimba tangu nyerere akiwa hai kaja kujenga yeye alafu unasema asitajwe mbon kama una lana sele
Asante sana kiongozi kwa maelezo mazuri. Ushauri wangu katika swala la ulinzi wa miundombinu kwa ajiri ya vijana wetu (vizazi vijavyo) wafundishwe kulinda nchi yao, zitungwe nyimbo waimbe kila asubuhi ili wajue kwamba ni wajibu wao kutunza mali za nchi yao. Ni lazima kufanya hivyo hasa shule za msingi. MWL Baba wa Taifa alifundisha nyimbo nyingi za kupenda na kulinda nchi yetu.. na zilisaidia.
Propaganda leg of the government needs to step up and solve this issue, it’s not even difficult!!
Yeah TRC kwa kweli mko vizuri.Hasa huyu kadogosa ana moyo wa maendeleo na ni mzalendo Fulani ana penda Tanzania iwe amazing.Ila wizara ya ujenzi angepewa makonda Kuna kitu kingeonekana katika taifa hasa kusini barabara ya makambako songea na songea mtwara Lindi dar.
Hongereni kwa kazi nzur sana nishauri jambo Fanyeni mpango kuwa na mobile App kwaajili ya wakata tiketi ili kurahisisha utaratibu wa kupata tiketi Asante.
mbona zipo ndugu yangu, mapaka tcb wanakatisha tiket, tigo pia
Very clear explanations
Hii umekaa vzr sisi tunahitaji huduma sio nani anaindesha wapewe tu safi sana
Walipewa viwanda vya sukari sasa mnalia. Yetu macho.
@@mwalimumstaafu8529huyu. Atakua mkenya,mwalimu nenda ka andamane,hukutz hupa wezii
Basi wakupe wewe @@mwalimumstaafu8529
Nakubaliana na wewe,Serekali yake Kodi,sio biashara,wanao ajiruwa na Serekali watakuwa walaji,Kwa mtu binafsi huwezu kuchezea kazi
Wacha waitake tu bora, kwani Matajiri hata kodi hawalipi, kodi zinalipwa na wananchi Masikini tu
big up utaifa ni kitu muhimu kliko uchawa
hii nimeipenda ntanunua kichwa cha treni, very good aproach
Labda cha ubo
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Unavichwa viwili tu na vinakuendeshaa vibay Aya na ikiwa na icho kengine sasa😂
@@PeninsulaHouses kichwa mchongoko hahaha
jamaa anacho ongea Ilikuwa ni vision ya mzee mwinyi ila alipo ingia mkapa Alivuruga sana hii logistic Ya treni akaruhusu malori Ila kama wanairudisha Tena Ni wazo zuri.
@@BlackPanther-xx8dn wapeni mtaona kama shirika la reli litaendelea kuwepo. Suala hili zuri lakini zitungwe sheria za kulinda masilahi ya taifa. Kumbukeni sisi kama wananchi ni wabia, tumewekeza kodi zetu. Ni lazima wabunge wakae na kutafakari kwa kina kabla ya maamuzi hayo. Mungu ibariki Tanganyika.
@@mwalimumstaafu8529watanganyika walirudi ujeruman sijui mwenzetu ni mmoja wao
Mzee upo clear sana. Safi
Hongera kwa kazi na maelezo kuntu
Safi sana wapewe binafsi waendeshe shughuli zao wenyewe sisi tupige mishe town
Wazo zuri sana hongereni
Sasa Kwa hapa mjini ningeona kama ni Train Bora ziwe under ground Za hapa mjini
Idea Nzuri, Tatizo Hela!
Kumbe unaweza panda EMU train kwa 50k tsh kwenda Dodoma. Hio ni reasonable... Kuna 31k kuna 50k kuna 70k kuna laki sasa sijui watu wanalalamika nini.
Unaona ni hela za madafu eti
Basi tunapanda shabiby 50000
Ilmradi tu waongee
Acha tuone,kuongea si utendaji,hiindoTz bwana
Duniani kote usafiri wa treni ni bei nafuu na lengo ni kuwasaidia wananchi kwa kuwa imejengwa kwa kodi za wananchi hivyo naul inapaswa kuwa chini,,,Toa kamasi kichwani humo uweke akili.
Mbona kila kitu kinaanza ilala au kinondon hii mi naona ingeanzia steshen hadi mbagala hadi kisemvule maana ndo sehemu inaongoza kwa watu wengi na changamoto ya usafiri kuliko sehemu zote kati ya dar na pwani
Shidah ya huko hamkawii kuiba nyaya za kpoa, screpa, kuna tren hapo😂 ndo maana mjifunze Kwanza Kwa wenzenu
Mradi kama huo unakuwa na ulinzi na elimu hutolewa,mkurugenzi hapo kazungumza fiber wire na cable zinakatwa na kuibiwa wakat sgr kwa sasa ipo huko kwa wastaarabu na haijafika bado kwa wenye tabia hizo? Wezi wapo dunian kote kaka!
Pitisheni izo sheria na mziweke sehemu husika ili mtu ajue kwamba aki fanya kinyume kwamba ana enda jela .
Mo dewji msimpe ni mshenzi sana
Hahaha kafanya nn
Ushenzi wa Mo Dewji ni upii?? Eleza acha chuki Binafsi. Wakupe wewe kwa Weledi na uwezo upi ulionao??
wampe mama yako
NANI ATAKUSIKILIZA FALA WEWE
Safi sana kwa kile kinachofanywa na serikali yetu pendwa!
Kwenye utunzaji msipokua wakali tutaharibu sasa hivi, hatujazoea mambo mazuri mpaka tusikie kuna adhabu ndio akili zinakaa sawa
Muhimu TRC kuwa na askari police wake wenyewe ambao wamehajiriwa na TRC ni police kama police wetu na watakuwa na hadhi kama police wa kawaida kuweza kukamata mtu yeyote hatskaye fanya kosa na kuwakilisha mahakamani
Pia kuwa na plain police ushauti naona kutatoa mZigo mkubwa wa mapolice wetu ambao wanafanya kazi kubwa kulinda wananchi na mali zao
mngetengeneza pia ya umeme kutoka dar kwenda mbeya ya abiria shirika hilohilo la reli ya kati alafu Tazara ibaki iwe ya kubebea mizigo tu,,
Yani mambo yako sawa kaka hata sgr ipo ya umeme ya mizigo inatembea kama mwewe mizigo inafika on time sio siku tatu kama ilivyo ya zamani
Idea- Innovation - Action is a way to success .. GO TANZANIA GO.
Mzee upo vizuri
Ushauri wangu treni sgr ishie tegeta iyende mpaka bagamoyo itapendeza zaid
Kwa nini isifike Bagamoyo wajitahidi ifike huko saadani
Dar - Sadaani - Dar - Mikumi - Ruaha - Selous - Dar
Bhakresa the man who can drive business crazy he knows very well how business should be done
Sawa kabisa na nijambo ZURI
SGR haijaja ku replace model nyingine za transport.Hichi ni kichwa hakika
Very constructive ideas
Kati ya hao uliowataja MATAJIRI ni wawili TU; MO na Bharesa,...HUYU GSM Bado ni mjasiriamali TU.
😂😂😂 yanga ume wa acha hapa. ungeza. sauti
Lakini ndo humpati sasa
Mo Mali za nyumbani
Milembe bado nafasi zipo.
Hahaha. Mo ameshindwa kuendesha viwanda vya chai na wakulima wanalia na soko. Mwekezaji makini ni Bakhresa.
Nimekufahamu kiongozi
Safi sana
mwamba anajibu mpk unahisi tanzania hakuna wizi 😀😀😀😀😀😀😀😀
😂😂😂
Ifike hadi Bagamoyo
safii I bei powaa kabisaa
Mother safi Sana, utadhani tuko ulaya
maongezi si UTENDANDAJI nipo keko nawa angalia,
Kazi za Magufuli, siyo ROYAL TOUR HII
@@mimiraia2531BASI NGOJA AFUFUKE AJE AJENGE 😂😂😂
hii ni vizuri sana private hakuna wizi
Usijidanganye😂
nguvu ingewekwa kivukoni to kigamboni ingependeza zaid mana watu wanateseka sana pale feri.
They can concentrate on both issues at the same time?!
Sheria zote zinatakiwa zibadilishwe zimepitwa na wakati.
Imekaa vizuri sana
usikoma kwenye classifided document ya marekani... mojaya changamoto ya tanzania ni issue ya usafirishaji kwenye nchi za wenzetu wanaotuzunguka
True
Tunaweza kuwekeza nchi jirani kuziunga na TZ kama Rwanda, Butundi , Uganda, DRC, Zambia, Malawi, Zim na Angols
I mean Burundi na Angola pia
Uswahili umetuzidi sana sie. Watu wanahujumu miundombinu ya reli, wewe unasema tutaendelea kumassage kidogo!!! Chukulieni hao wahalifu hatua kali iwe fundisho kwa wengine.
Big-up sana. Hii hapa mjini lini mkuu?
Je tiketi zitakuwa za campuni yao au ya TCR kama huku Ulaya campuni binafsi tiketi zinakuwa za Serikali kama TCR hukuti tiketi za campuni binafsi sehemu ya kukata ni moja
sio ulaya yote, italy kuna tren ya binafsi inaitwa Italo na wana ticket zao na operation zao haziingiliani na tren za serikali
Nchi sio zote toronto marekani sio kama usemavyp nchi ipi hap sasa iran au wapi
Hii imekaa poa sana. Wenye uwezo wapewe tu
Happy nimekuelewa
Hata toronto the same railways nyingi zina open access
Maan halis ya mkurugez mkuu.umeeleza vizur san
Wapi Askofu Gwajima? Hajajitokeza?
Hyo ya majaribio yenyewe bdo hata hamjamaliza na kujua changamoto zake mwakimbilia tegeta-mwenge
Mbona hamna jema kila kitu kinachofanyika mnakosoa? Au upinzani unapungua nguvu?
Akili minyoo inatokeana mnyoonumejinyonga viipi kwenye ibongo unacomment
Mkurudenzi tena
Good idea
The guy is smart and muandishi anahoji dumb Questions
Wasafirishaji waacheni barabarani tu.kwaTRC itakula kwenu.kuanzia miundo mbinu mpaka umiliki.
Kwa nini hamuwezi kufika Tanga na Kilimanjaro kwa train?
Wachaga mutaihujumu kwa ajili ya mabasi yenu😂
@@abuubilal2646acha upumbavu wewe!
Ni muda pia kufikiria kuwa na treni ya Dar-Tanga(kupitia Saadani), Dar-Arusha na Dar-Mbeya(kupitia mikumi) kwani hizi ni sehemu muhimu sana za utalii na kuongeza kipato kwa nchi pia.
Kadogosa kajitahidi sana hajaleta tamaa mpaka mradi umekamilika
Ogopa nkoi kukamata fulsa lazima muimbe
Wewe hujui kitu, kama hujui uliza. Huyu jamaa ameiba sana tena sana kwenye hui mradi hata kwenye kuagiza tu mabehewa wamepiga sana pesa
@@reveliusmuchruza7952*Fursa!
R.I.P.JPM
Hiyo ya kuruhusu watu binafsi kushirikiana nao hiyo Bomba kabisa.
Safari za tren ya Zamani hamtangazi kabisaaaaaa.....nini shida...fikra au?
Kwanini sasa hamruhusu kivuko 'private' Kigamboni???????😬
Hifadhi ya reli ya kutokea Pugu Hadi Tanganyika Packers kiwandani Kawe ilikuwa kwa ajili ya mifugo ulikuwa mpa ngo wa serikali ya Mwalimu JEE mna mpango Gani mbadala kwa ajili ya maendeleo ya usafirishaji abiria katika Jiji?
Wapeni na tanesco
Kama ni hivo nipeni kivuko Cha kamanga feri nijenge daraja na mimi.si mnasema uhuru wa biashara?
Hiyo open access kwa nini isifanyike kwenye mwendo kasi na vivuko?? Shida iko wapi?
Hiyo tegeta posta mpaka airport itapita wapi jaman mwendokasi umemaliza Barabara au ndo tutabomoa nyumba na magorofa ya mjini
@masanjakadogosa kuhusu sgr mamaeja wa vituo walivyokabidhiwa ndivyo vinatakiwa viwe hvyo muda wote
wazo zuri.
upo smart sana nimekupenda bure
Mngewaambia sasa kua mnaweka fensi mliwaoji af amkuwaweka waz
Hapo ndipo mnakwenda kuuwa TRC.mazara yake hamtayaona leo.ila ngoje baada ya miaka mitano.
*Madhara!
Tumeshindwa kuiendesha
Sina shaka na Bahresa na GSM ila Mo msimuamini kamwe huyo Mo ngonjera nyingi sana.
MO ndo Mwenye pesa Nyingi kuwashinda Wote Sasa na Biashara unangalia faida Sio Sifa
Magufuli alilionglelea ili nakumbuka ilikuwa ni vikindu mjini Bagamoyo mjini na Kibaha mjini
For the first time ameongea kitu nkamwelewa uyuu mzee
Basi itakuwa wewe bwege tu!
Tajiri nipo 😂
Huyu huyu wa bilion wa 20 za simba 😅😅😅😅
When is TRC planning goods movement?
Text interview weka matangazo ya TRC nyuma yako
kadogoso mkurugenzi ameongea kiswahili na kama wewe mswahili kama mimi nafikili mmemwelewa
*Nafikiri
Umeme bado uko monopolized aichieni private sector pia kama Kuna wa tanzania wawekeze.. Na pia tuachane na fikra za kutumia mafuta tena.. Dunia imeshahama tuwe na fikra za kutumia green energy ⚡ pls pls mheshimiwa pls
Lol bado kabisa haijapitwa! China na Marekani are the BIGGEST coal & oil consumers!
Mwenge tegeta mnajenga mwendo kasi alafu hiyo ya umeme inakuwaje
Ili uchague mwenyewe unataka usafiri gani
Ushauri wangu hii tren nimepanda kuna seheem wasimamiz wa hii tren wamekosea wameweka pis mbovu kwel piss kari zote ziko kwenye ndege tunaomba tuletewe piss kar kwenye tren hii ya mwendo kasi😮😮
Acha umalaya wewe dada zako pisi kali😅
Acha akili za ngono ww unaenda kupanda upate usafiri wa haraka au unaenda kuangalia wanawake??
Unawaza ngono tu
Ukimwi unakunyemelea
UNAWAZA KUMA TU FALA WEWE
Mchongoko utaanza pia?
Nafikiri kwenye swala la elimu liongezwe kuhusi transpass... even me nlikuwa sijui na ningekamatwa napita ningehisi naonewa
"transpass"? Ndiyo kufanyaje? Tupe ufafanuzi, ni kosa gani kwa sheria ipi? Au ni "trespassing"?
@@sylvestercameo6263 ni kupita juu ya reli. hiyo treni inakimbia speed sana inaweza sababisha ajali ndio maana wanakataza
Mnaanzaga hiv hiv lakin baadae utasikia kapewa mtu toka nje
Kwani vibaya kama wa ndani hawana uwezo jee tufanyeje ? Kama wapo watu wanaweza kuwekeza kwanini tusiwape acheni ubinafsi nyinyi watu
❤❤❤
Pelekeni mikoani kama kaskazin na kwingine. Tanzania sio dar tu
Dar ndo inaongoza kwa mapato ndo maana wanaijali zaidi
Tulieni kwanza nyie watu wa shamba mambo yanaanzia mjini huku
@@abuubilal2646😂tuliza ubaguzi kijana!
Msuwahili kweli akiliyake inamtosha mwenyewe wewe pesa ya kipanda cha muhugo huna halafu unasema fulani mjasiria mali
*Mswahili, *Mhogo!!
Hatutaki Wahindi matapeli waliua Treni yetu ya Dar Kigoma
Dah hizi chuki za propaganda mpaka lini jamani? Ile ya Tanga na ile ya kusini aliyeua nani?! Tuwe wa kweli!!
Hawa ni watanzania wahindi unamaanisha nini
MAJITU YA KIGOMA MNA ROHO CHAFU SANA NYIE
Yale yaleeee
Mwendo kasi zimekuwa mbovu maintenance wameshindwa na hizi cjui itakuweje
Unawazimu wewe, karibu mirembe!!
Yanaongea yanakunywa maji,kumbe hamna kitu.Train yenyewe inaonekana kupitwa na wakati.Siti ya watu watatu nani.apande(Ushamba) Watching wamevqmia kila kona wameleta mabasi ya kisasa.
Kweli unapata shidaa! Uko wapi unauguahivyo ,?moyo unawaka ! Nyoyo za kishetani ,inaonekana hata mama yako unamwonea wivu kuolewa na kazee
Mbwa wewe kwenu Kenya mnayo kama hii mjinga wewe
We jamaa una roho mbaya sana siajabu wewe ni mchawi au ukizeeka utakuwa mchawi😮
Jp
JAMANI IFIKE BUNJU
Mbona umewaweka Waasia kwenye cover la video hii na sio watanzania?
Omba bid kama unauwezo
@@elinamilyatuu7337 ... unachozungumzia wewe mjinga, Tanzania ni nchi barani Afrika na idadi ya watu wake ni wengi weusi
ULITAKA IWEKWE PICHA YAKO MUUZA MKAA WEWE??? 😂😂😂😂 ACHA UBAGUZI WOTE NI WATANZANIA
lakini magufuli alipoanza SGR alitunwa sana alionekana mawazo yake mabovu2 ila sasa ivi Ndio watu wanajua kwamba tulipga teke fuko rapesa
Hakuna kumtaja maghufuri hata angekosa yeye angetokea kiongozi mungine angejega tu mana sasa kila kitu yeye wengine hawana akili mbona kaviacha havijajengwa mama kamalizia vyote mboni yupo kimiya hacheni hizo
Magufuli alikuta mipango yote ya kujenga SGR imekamilika na hata wakandarasi wa kujenga walishapatikana. SGR halikuwa wazo la JPM peke yake
SGR Wazo lilianza na Kikwete, Magufuli kaanza, mama kamalizia so hua ni mchakato wa muda
@@uwembatvonline umenena ukweli mtupu 👏👏
@@selemanisalum7685acha upumbavu miradi mingi maraisi hawajafanya jamaa kaonyesha uthubutu wa mambo mengi sana bwawa la nyerere wameliimba tangu nyerere akiwa hai kaja kujenga yeye alafu unasema asitajwe mbon kama una lana sele
imagine angekuwepo magufuli train hizi sasahivi zingekuwa kama daladala tanzania , umeme kama wote
mtupatie pia mabeewa yalio matupu kakusimama na bei ziwe chini ya 6000 watanzania wanatumia sana na pia isisimame mda wote hiitembee umeme upo