USTADH MWAIPOPO AFUNGWA JELA NCHINI KENYA | WALIOGUSWA WAMCHANGIWA MILIONI 5 KWAAJILI YA KUMTOA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 151

  • @zuuali4203
    @zuuali4203 Год назад +5

    Allah amfanyie wepesi, katika mwezi huu mtukufu Amiin

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 Год назад +2

    50% ya mashekh wa tznia ni matapeli adabu yenu ndanii mfungwe tuu, kazi nzuri sana kenya wajazeni ndani hao wamejaa tamaa

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 Год назад +3

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭allah akuhifadh sheikh wetu mwaipopo

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Год назад +3

    Poleni sana kwajanga hilo LA sherk mwaipopo Allah amfanyie wepesi inshallah

  • @ayshahamisi1240
    @ayshahamisi1240 Год назад +3

    Allah amfanyie wepesi shekh wetu

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 Год назад +3

    Allah s w amfanyie wepesi amtoe gerezani. Allah s w amuweke huru Insha-allah.

  • @nayeemn9275
    @nayeemn9275 Год назад +2

    Allah awalipe mema duniani na Akhera.

  • @mrsab303
    @mrsab303 Год назад +10

    Allah make easy for him InshaAllah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 Год назад +3

    Hmn huyu ana sifa mbaya mwaipopo abadikike na halaf amuogp Sana Allah kwa hivii pesa IPO mbele kuliko imanii

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 Год назад +5

    Mchangieni tapeli mwenzenu aisee

  • @najmahhassanmossy7020
    @najmahhassanmossy7020 Год назад +1

    Mnatapeli watu kupitia Dini yake ALLAH maneno mengi uku Matapeli si ni wapenzi wa Mtume wetu Muhammad S w w na Allah.

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 Год назад +2

    Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi INSHALLAH

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 Год назад +8

    Allah alete Rehma zake atolewe muhadhir wetu ishaallah

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Год назад +6

    Subkhanallah,Lailaha Ilallahu,mbona makafiri wanatuandamia ma Sheikh wetu,apana nakujuwa ww Sheikh,mimi nipo Marekani nakila nikikupigia,chochote kile tatowa unanimaliziya matibabu,na unanifanyia dua vizuri InshaAllah bila Shaka na unanambiya anaye tibu ni Allah,niwe naimani nitakuwa sawa,Wallahi anaye watiya doa Allah atawaidhibu InshaAllah,nyinyi siyo matapeli,mnatusaidiya sana,Allah atawalinda 🙏🙏🙏🙏🙏.

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Год назад

      Anatibu vzr please naomb uniambie

    • @mtutulaclassic6207
      @mtutulaclassic6207 Год назад +2

      Ndugu muislam hawa sio masheikh hawa ni Matapeli wakiislam wanaotumia dini kutapeli huyo mwaipopo na huyu msopa wote wezi tu

    • @sharrifidris3422
      @sharrifidris3422 Год назад +1

      Msilolijua ni kama usiku wa kiza,huyo katapeli pesa sio vile msopa anavyosema.hapa ni pesa inayotafutwa kusaidia tapeli mwenzake.. trust this people at your own risk

    • @sharrifidris3422
      @sharrifidris3422 Год назад

      ​@@mtutulaclassic6207kumbe unajuwa,wagongaji wakubwa.waliwacha kuhubiri dini sasa wote ni waganga.swali walisomea wapi udaktari tena wote kwa mara Moja? Alafu wenyewe Wana husda wao kwa wao wanapondana hadharani..mfano mwaipopo na Dr.sule

    • @alimatambwe3402
      @alimatambwe3402 Год назад

      Sana tu,tena hakuombi eti mihela mingi no no,apo tamsemeya,labda chakula chakulisha mayatima tu na Dua zake anakusomea week nzima,na anakwambia tumuachiye Allah yy ndiye mjuzi,tusubiri majibu Allah anajibu,na kweli Alkhamndulillah Allah anafanya wepesi njia inafunguka InshaAllah.hawo MaSheikh wetu wanahofu ya Allah,hawaipi dunia kipao mbele,hao ndiye wakweli acheni waganga kuku.

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 Год назад +5

    Nyinyi simlikashifu docta sule eti nitapeli mungu atawaonyesha hapa hapa acheni utapeli.

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 Год назад +1

      Dokta Sule hata mm nimthibitisha n Tapeli
      kuna Jamaa yupo Marekan na namba yake ninayoo
      amesema amemtia dola 800 sawa na milioni na lak 7/8 hukooo
      Hiloo la Dokta Sule n kweli alitapelii.
      Sjui hili la Mwaipopo lkn la Mwaipopo hatujui!!!!!

    • @aishaomarry6996
      @aishaomarry6996 Год назад +1

      Kama mm doctor Sule namtumia milioni moja kisha namwambia pole kwa yaliyokukuta.

    • @davidruhasha9670
      @davidruhasha9670 Год назад +1

      @@twaibumikidadi7377 sawa lakini kadhalilishwa na hao hao mbona hajakamatwa wao sio matapeli imekuaje leo wakamatwe wao ?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Год назад +1

      MASHEKHE WATIBABU WA MITANDAONI MATAPELI SANA. WATU WANALIA KILA KUKICHA. MTIHANI MIZITO

  • @muhamadhusein5260
    @muhamadhusein5260 Год назад

    Pole sasa Mwaipopo , malipo duniani ,uliwahi kumchafua sana doctor Sule ukasema tapeli ukamsema vibaya sana ila sasa yamekukuta wewe,hili ni fundisho kwetu sote waja, Allah akufanyie wepesi uachiliwe ,iwe unakosa iwe huna kosa lakini Allah akuondoshee udhia huo na iwe ni fundisho kwetu sote waja

  • @ibrahimabdulkarim-hi1ek
    @ibrahimabdulkarim-hi1ek Год назад +4

    Subhanallla waislamu tumefika pabaya ikiwa tutathalilishana ivi.

    • @sheemaryam
      @sheemaryam Год назад

      Ulizeni kosa lake mwanzo

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 Год назад

    Kwanzaa pole Sana sheikh mwaipopo, Allah akufanyie wepesi. Nataka kuambia watibabu. Wachaneni kwenda bara. Yaan Nairobi na kwenda huko mbele hawajui maana ya tiba za. Asili

  • @abdallahramadhan2191
    @abdallahramadhan2191 Год назад

    Allahu Akbar,aliemtuhumu mwaipopo ni muislamu mnafiki

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 Год назад +3

    Mashallah. Allah Awalipe heri

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 Год назад +1

    Fanyeni tiba na mukiwa na hofu ya Mungu, sisi tunajua ila tunakaa kimya tu hatuna sauti. Ila MUNGU atawalipa tu InshaAllah.

  • @jasminyabdully499
    @jasminyabdully499 Год назад +3

    Alhamdulillah Malipo ni hapa hapa,mmekuwa mkiwadhalilisha sana WAISLAM

    • @sheemaryam
      @sheemaryam Год назад +1

      Mwaipopo ametapeli mtu nani kweli

    • @josephmugala1970
      @josephmugala1970 Год назад

      Malipo ndo kama hayo Analipwa sasa

    • @emmanuelshayo4703
      @emmanuelshayo4703 Год назад

      Kwa hiyo mnaficha uovu, uliza uambiwe kafanya nini, wenzako wameshakuambia katapeli pesa huko.

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 Год назад

      Yaani alivyomdhalilisha Dr Sule kwenye vyombo vya habari sikumpenda tena

  • @yassernasser3428
    @yassernasser3428 Год назад +3

    Achen kujionesh nyny Kwan hamuwez kutoa Hela kimykimya

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 Год назад +1

    Hao Wana Imani kweli mbele ya Allah sio tamaas km mwaipopo engekuwa ni mwenziwe anatak kusaidia engekuwa na kusema Kam ni tapelii sasa mungu hapendi na analipa hp hp

  • @matatachaib
    @matatachaib Год назад

    Pole kwaza sheikh wangu mwaipopo,

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 Год назад +2

    Allah amfanyie wepesi

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Год назад

    Allah atawalipa insha allah

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 Год назад +9

    Ukiona mtu ana maneno mengi ujuwe tapeli kweli

  • @hamismustafahalfansulaiman6620
    @hamismustafahalfansulaiman6620 Год назад +8

    Kakosa nini mwalim wetu subhana allahu 🇲🇿😭😭😭

    • @josephmugala1970
      @josephmugala1970 Год назад +1

      Unajua Akina All wenu Hawa wanapenda maisha ya kiranisirahisi

  • @andredelange2611
    @andredelange2611 Год назад +2

    aaaaa YESUUUU tunakusubil uhukumu watu wote dunian kwa haki yani mm nitoe mchango kwa akina sharifu majini cheki jina la ukoo ilo yani anatokea ukoo wa majini Mungu tuokoe tunakutegemea ww hakika kiama kimekaribia

    • @iddydaruwesh8650
      @iddydaruwesh8650 Год назад +1

      Kwani umeambiwa wew kakojoe ulale bhana pesa ya kula yakushinda

    • @andredelange2611
      @andredelange2611 Год назад

      @@iddydaruwesh8650 yani nipoteze ela yangu kwa kuwachangia waganga ambao wameshikwa kwa kosa la utapeli ukoo wa mzee majini Yesu ndie mtetez achananen na matapeli liiten jina lililotukuka

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 Год назад +1

    In sha Allaah biidhniy Allaah Atatoka

  • @RaniahmuhammadUtotto-lw8lv
    @RaniahmuhammadUtotto-lw8lv Год назад +2

    Komeni kabisa mnadhalilisha sana nyinyi wa waislamu

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Год назад

    Allah atakulipa yaarby 😢😢

  • @saadaluvanga7024
    @saadaluvanga7024 Год назад

    Allah awahifadh.

  • @mummytt1516
    @mummytt1516 Год назад +1

    Subhana Allah kama tudin tudan

  • @fadiahshamekhatib3701
    @fadiahshamekhatib3701 Год назад

    MashaAllah

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 Год назад +1

    Hiyoo ni tigo au vodaa

  • @shamiruismail4931
    @shamiruismail4931 Год назад +3

    Nyie matapeli tu hakuna lolote

  • @amaniabdi9755
    @amaniabdi9755 Год назад +2

    Ajifunze kuwasema vibaya Wenzake. Ni tapeli kama anavyowaita Wenzake Matapeli kwenye vyombo vya habali.

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 Год назад +4

    MATAPELI WOTE WAKAMATWE. ASANTENI KENYA KWA KUEKA NIDHAMU

  • @alihaidary4143
    @alihaidary4143 Год назад +1

    Sasa kama umetoa kwa ajiri ya mungu mbona unatangaza kwa watu

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 Год назад +1

    Vinywa

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 Год назад +1

    Na mkienda nchi zingie this time mujipange mana sifa zenu ni matapeli mijizi mitupu

  • @salimakhamis
    @salimakhamis Год назад +3

    Kasilimu lkn tabia zake mbaya ni mnafiki Sana huyo kwenda

    • @alisaidabdallah1480
      @alisaidabdallah1480 Год назад

      Pole pole sheikh Allah hajampa mtu yoyote mizani ya kupimia watu unafiki

    • @jeanmuzaliwa9023
      @jeanmuzaliwa9023 Год назад

      @@alisaidabdallah1480 mizani ipo acha kuwadanganya watu kama mtu anaenda kinyume na biblia lazma kweli isemwe!

  • @salimakhamis
    @salimakhamis Год назад +2

    Mwaipopo kwanza ni mchonganishi acha afungwe,wew na majini wanaotoa hawajielewi,tabia zenu mbaya kudhalilisha waislam Kama mlivyomdhalilisha aliekuwa shehke wa mkoa,waislam msitoe hao no matapeli kweli

  • @salimakhamis
    @salimakhamis Год назад +2

    Muone bichwa lake yanawarudia wenyewe huo ubaya mnaofanyaga,hivi mnaotaka kutoa mmewafatilia kweli???Leo mnataka huruma??nyie hamna hata huruma,jamani msitoe hela Hawa wanataka mbaya,bado wew majin

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 Год назад

    M nchojua hawa watu ni waganga na sijui uganga wameupata nashangaakiwaita wahadhir watu wanao eneza shirk Allah amsaidie mwIpopop atoke na aachane na shirki anayoifanya

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 Год назад +3

    Kenya siyo nchi ya Tanzania mmezoea kutapeli watu mmfungwe kabixa

    • @Adm9464
      @Adm9464 Год назад +1

      Every one ha a right to travel in the African continent. If there’s an issue , the person has to be taken to court and given due process. Are you saying Kenya has better laws or justice compared to Tanzania.

    • @zainabumartin9520
      @zainabumartin9520 Год назад

      Wewe kuma kabisa alikutapeli shetani mkubwa mbwa mmoja tena mshenzi kabisa wewe atatokatu ndo walewale makafiri nyoko zako

  • @tocaworld7864
    @tocaworld7864 Год назад

    Huyo muhadhir wa kenya atajwe hapahapa tumjue. Allah amtoe salama hapo kenya.

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Год назад +2

    DOLA ALFU MOJA ZA KITANZANIA NDIO PESA GANI????

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 Год назад +1

    Kenya wakamateni hao shkh tapeli wa tznia... mmoja wapo huyo majini akija hukonae tia ndani tapeli watupu maslahi wamejineemesha kwa magari na majumba ya utapeli!!!

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 Год назад +2

    KAMATA MATAPELI WOTE, WANADAI MILIONU 10 NA ZAIDI KISHA WANAPIGA CHENGA

  • @alhajjwaupe4593
    @alhajjwaupe4593 Год назад +3

    Kwani aneponya ni mungu au ni maawa?

  • @Namanda425
    @Namanda425 Год назад

    Nyie mshasema Mwaipopo kasilimu. Hiyo elimu ya tiba kaitoa wapi?

  • @hassanamani2131
    @hassanamani2131 Год назад +1

    Huo ndio utapeli, Wacha maneno mengi

  • @shabanihassan8678
    @shabanihassan8678 Год назад +1

    Wapigaji ao

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Год назад

    Wapi Suleee.

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Год назад +2

    Mbona wewe utoi unapiga maneno tu

  • @mohamedhalake5983
    @mohamedhalake5983 Год назад +1

    ALLAH AKIBA

  • @yasinomary2147
    @yasinomary2147 Год назад +1

    Mlisema pia kabeke ni mwizi 😂😂😂😂😂😂

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 Год назад

    Sasa huyo mwaipopo mapesa yote aliotapeli watu si ajilipie? wanaomchangia ni matapeli wenzie!! imekua funika kombe mwanaharam apite!! Mnajuana vizuri!!! mijambazi mitupu

  • @chilrochilro8649
    @chilrochilro8649 Год назад +2

    Yule jamaa ni mnafiki sana ,c ndio alisema sule ni mwizi wala sio mganga leo yamemkuta yy ? malipo ni hapa hapa hayo malaki yote tiba gani ya mamilion? acha kujichangany kwa maelezo tu huo ni utapeli msipokua makin na huyu Mwaipopo atawaharibia sana waislam

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 Год назад

    Toeni Duh bure sio kwa malipo hayo makubwa kama mtu ataamua kutoa sadaka ndio atoe ...Leo mnatumia vitabu vya MUNGU kwa kufanya biashara sio imani tena

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Год назад

    Nani unasema dewji ama gsm ama ghalibu bilali

  • @Users2523
    @Users2523 Год назад +2

    Wezi wakubwa nyinyi

  • @mwanarusichambo6760
    @mwanarusichambo6760 Год назад

    Acheni kumuita tapeli

  • @yasinomary2147
    @yasinomary2147 Год назад +2

    Mnatuchanganya yeye kasema DK sule ni tapeli,sasa kati ya sule nayeye nani Tapeli??

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 Год назад

    Ivi mwaipopo.alimuuza sule udokta kasomea wap yy amejifunza wap ma shkhe Muogopeni mungu

  • @atwowa6380
    @atwowa6380 Год назад +1

    Mwaipopo utatoka kwa ajili ya Allah wangeanza na madaktari kwanza kuwashika wagonjwa wangapi wanakufia hospitalini yeye amekufanyia tiba kama haukupoana tafuta mtu mwengine ata hospital huwezi kwenda moja lazima uwende kule na kule wachie aende kwao

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 Год назад

      Kwa akili yako unadhani MTU kutokupona tabibu anaweza kukamatwa? Pengine upande wa pili unasababu pia

  • @hassanachunis1166
    @hassanachunis1166 Год назад +3

    Tabibu wa nani bana hebu achane hizo drama kesho kwa mungu kuna kazi kubwa sana

    • @ramyramso
      @ramyramso Год назад

      Kuna kaz kweli na haswa ikijulikana wanatibu kweli kwa njia ya Allah cjui utajibu nn mbele ya Allah unahukum kitu hujui kweli yake

  • @BonifaceIrungu-fv9pf
    @BonifaceIrungu-fv9pf Год назад

    Nyote watapeli

  • @amraniramadhani4148
    @amraniramadhani4148 Год назад +1

    Nyie mmewadhalilisha masheikh, na nyie leo mmedhalilika.

  • @yasinomary2147
    @yasinomary2147 Год назад +2

    Kama tadiinu tudaan!

  • @abdallahramadhan2191
    @abdallahramadhan2191 Год назад

    Mtejeni huyo muislamu wa kenya

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 Год назад +3

    Mnamtoa ya nini huyo ustadhi muhuni

    • @alisaidabdallah1480
      @alisaidabdallah1480 Год назад

      Naona una bidi sana kumchafua mwenzako taratibu leo yeye kesho ww

  • @SmithMainyu-ub8zs
    @SmithMainyu-ub8zs Год назад

    Mwaipopo alitoka kwenye media akimshambulia sheikh ponda .mbn ulimshambulia sheikh ponda tena mbele ya camera

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Год назад

    Saidia sio mpaka Kila mtu aone toa kimya kimya

  • @kennedyngusa8890
    @kennedyngusa8890 Год назад

    Ludi kwa yesu mtumishi mwaipopo

  • @Manswabu
    @Manswabu Год назад

    Hhhhhhhh nacheka kama mazuri vile

  • @saidmselem3045
    @saidmselem3045 Год назад +1

    Kwanza huyu sharifu majini ndio wakukamatwa maan anajinasbisha na uislamu kumbe mganga wakienyeji midebu kibao kumbe mganga wakienyeji kaziake kuuza dawa hakuna uhadhir hapa weka ndani nahuyu

    • @Villagekidtz
      @Villagekidtz Год назад

      Kwani uganga hauruhusiwi kwenye uislaam we chizi. Inategemea unatibiaje si kila uganga umekatazwa kasome dini kwanza chizi wewe

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 Год назад

    Mnaficha tuu huyu mwaipopo ana Ila KBC hata Allah hapendi tamaa mbele Sana juzi kipindi kimoja alikuja kwenye vyomb vya hbr na kumsema vby Dr sule mwaipopo tamaa mbele Sana

  • @hassanachunis1166
    @hassanachunis1166 Год назад +2

    Ndio dawa ya wapigaji hakuna mashekhe hapo bana 😂😂😂😂 kuchukua pesa za watu tu

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 Год назад +1

    Angalia camera basi

    • @SSK2023.
      @SSK2023. Год назад

      😂 mbona Leo haangalii camera

  • @ISSAzuberiKissigaye-wh3ck
    @ISSAzuberiKissigaye-wh3ck Год назад

    Kwani Kuna uhusiano Gani kati ya uhadhiri na uuzaji dawa.kwamaana Kila muhadhiri mwisho anauza dawa.au muhadhara ni GIA ya kuwakusanya watu ili muwauzie dawa?.

    • @Villagekidtz
      @Villagekidtz Год назад

      Kwa sababu dawa zimetajwa kwenye qur an na magonjwa yapo na Allah anasema anashisha tiba kwanza kabla ya kushusha maradhi. Hivyo ukiujua uislaam lazima ujue na tiba kwani kuna nyingi zimetajwa kwenye qur an na kwa maulamaa waliotangulia. Shida modern hospital zimewashika akili kisa kaleta mzungu. Lkn hamjui uharam pia wa kwenye tiba hiyo

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu Год назад +1

    sasa kutoka mchungaji mpaka kusilimu huo utabibu aliusomea wapi ?
    Masheikh hebu kama mnafanya dawah fanyeni dawah haya mambo yenu ya utabibu mi naona ni utapeli tu badilikeni.
    na haya mambo yenu ya kutoa aibu za watu nani anawatuma ?

  • @yunus-or3ny
    @yunus-or3ny Год назад

    Kila shekhe mtabibu

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 Год назад +2

    Mwache avune alokipanda.

  • @najmahhassanmossy7020
    @najmahhassanmossy7020 Год назад

    Acheni utapeli ubirini Bibilia acheni shirki iyo yote ni Njaa inawasumbua kila kukicha mitandaoni uku mnatia Tia Huruma mnadhalilisha Dini ya Allah kwani mahakama sio Binaadamu???

  • @vuaivuai1235
    @vuaivuai1235 Год назад

    Sote ni wahanga wa hilo

  • @mohamedally6992
    @mohamedally6992 Год назад +2

    MALIPO DUNIAN . ALIMZALISHA DR SULE NA CKU ZA NYUMA MLISEMA MANENO MACHAFU JUU MASHEIKH KUHSU KES YA DR MWAKA. SASA HAYO NI MALIPO. SABABU HAO MASHEIKH ULIO WACHAFUA WALIKUWA WANALALAMIKA MOYON . LAKIN JUU YA YOTE MWENYEZI MUNGU ATAKUFANYIA WEPES. LAKIN JIREKEBISHE

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 Год назад

    Ikibidi mufanye juu chini kuomba kumlipa yule anayedai

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Год назад

    Heee c alisema Sule ni tapeli??Kilio cha Sule,hata mimi nilimuachia Mungu km Sule,Mungu akalionyesha.

  • @abdallaahabdallaahibrahim6719
    @abdallaahabdallaahibrahim6719 Год назад

    Sasa ishu hiyo inahusiana nini na waislam? Hiyo ni Kaz yake binafsi hakua kwenye kutangaza dini

  • @salimakhamis
    @salimakhamis Год назад +1

    Sharifu majini leo unaongea hayo,???umesahau wakati shehke wa mkoa alivyopatwa na matatizo,mlikuwa mnaongea hivyo Sana leo hii yamewakuta eeeh,hayo ndo malipo yenu,bado wew,mwaipopo ndo mlopokaji namba moja.lazima akimbiwe akili hana

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 Год назад

    Acheni mbwembwe za kumtetea huyo.Yeye alimshutumu Dr Sule na kumwita tapeli .Hata ni malipo yake.

  • @najaributest
    @najaributest Год назад +1

    Mbona nyie hamukukaa chini na sheikh kabeke mulikaa kwenye vyombo vya habari na kumchafua kuwa mwizi na mambo mengine matapeli wakubwa nyie

  • @RaniahmuhammadUtotto-lw8lv
    @RaniahmuhammadUtotto-lw8lv Год назад

    Acha ujinga wako wewe ni mshirikina tuu hiyo laana mnadhalilisha sana waislamu nyinyi komeni kabisa pumbavu kabisa nyinyi

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Год назад

    Hee kumbe mwaipopo alikuwa anaona wivu Sule akitibu??kumbe nalo halijui kutibu.Mlitukana mashekh,mkamtukana shekh wa Dar.Aache mdomo arudi Dini kwa dini yake atubu,Mnachuna waumini ndo mmerundika mnagawa

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt Год назад

    Acheni ujanja ujanja nyie wawili,
    Hasa wewe sharifu mashetani na mwaikunguru,
    Nyinyi ni MATAPELI ko msijifiche nyuma ya kivuli Cha uislamu.

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 Год назад

    Wee unaejisifu umefuga majini basi tuma hao majini wako tuone miujuza yko yamuokoe hugo tapeli mwenzio