11mins alhamdulillah my 3yrs baby girl ,ashaanza madrasa kabla aingie shule ya serikali next yr Naomba my first brn akimaliza high schl akitoka kwetu aje aanze kusoma madrasa 😢😢😢 ya rabbi niitikie hii DUA yangu naomba kila siku🤲🤲
Sheikh kuna wanawake huku nje wakiisilamu wanaolewa tu na wakristo 😢😢 yaani imekuwa balaa Kwa kweli hizi ni dalili za qiama sisi kama jamii hatupo salama
@aishasalim9546 acha kuwa mtumwa wa fikra sikiliza maandiko then soma uelewe. Yesu atawaruka nyie 😅😅. Paulo alie anzisha imani potofu ya ukristo alishawaeleza wazi!! Kasome wakorinto 15:15:18 WALIO LALA KATIKA KRISTO WAMEPOTEA 😅😅😅NA IMANI YENU NI BURE.
❤Mashaa ALLAH ❤ Alhamdhuli-LLAH..... WA'ALLAHY Sheikh Ngugi usiku huu nimefurahia kusikia Swahibangu akiuliza maswali #VincentJuma. Tumesoma pamoja KISAUNI PRIMARY SCHOOL, na hadi leo miaka mengi imeenda hatujaonana.... NAFURAHIA KUSIKIA NA KUMUONA YUPO HAI..... ILA NASIKITIKA VILE TULIKUA WADOGO SIKUWAHI KUMSILIMISHA😭😭😭😭. ❤NAKUOMBA MFIKISHIE SALAMU ZANGU..... mwambie mimi ni yule best friend yake (mtoto wa chief) #mohammedJumaKibwana
@@NathanielNathan-m4oNa Yesu mwenyewe alikuwa mwisilamu. Fahamu kuwa ukimfuata Yesu unakuwa mwisilamu. Hakuna mkristo humfuata Yesu kimaandiko wala kimatendo. Ujue kuwa Yesu hatambui ukristo wala wakristo. Ukristo ulianzishwa baada ya Yesu kuondoka duniani.
@@ibruzah001 Marko 9:41 Kwa kuwa yeyote atakaye wanyweshwa nyinyi kikombe Cha maji,Kwa kuwa nyinyi ni👉 wa Christo👈😜💪 Amin nawaambia hatakosa thawabu yake. Umeona nimekupa andiko wachristo Yesu mwenyewe anatujua ama bado huoni? Nipe andiko Yesu ametaja Uislamu.Sitaki vitendawili nahitaji andiko.Muislamu wa kwanza ni Mohamed,Quran sura 39:12.Yesu hana habari kwamba Kuna uislamu na hakuna muislam Kwa kuwa uislamu ulikuja miaka na mohamed miaka 600 baada ya Yesu
@@ibruzah001 Marko 9:41 Kwa kuwa yeyote atakaye wanyweshwa nyinyi kikombe cha maji Kwa kuwa nyinyi ni 👉 wa Christo 👈😜💪👍,basi hatakosa thawabu yake. Umeona Yesu mwenyewe anatujua ama bado huoni? Nipe andiko Yesu ametaja uislamu,usilete vitendawili.Yesu hajui uislamu Wala hakua muislam.Mohamad ndiye muislam wa kwanza.Soma Quran 39:12 kama huamini.Mohamad ndiye alileta uislamu miaka 600 baada ya Yesu kwenda mbinguni
@@ibruzah001 Marko 9:41 Kwa kuwa yeyote atakaye wanyweshwa nyinyi kikombe cha maji Kwa kuwa nyinyi ni watu 👉 wa Christo 👈😜💪 amini nawaambia hatakosa thawabu yake. Umeona wakirsto au bado? Nipe andiko Yesu ni muislam.Sisi tunajua mohamed ndio muislam wa kwanza.Quran 39:12..Yesu hajui Wala hakua muislam.Mohamed ndio alikuja na uislamu miaka 600 baada ya Yesu kwenda mbinguni
Some of the weirdest verse in the Bible is Ezekiel 23:20 which is very awful and disgusting I can’t even write in the platform . So if you tell me this is from God , I will definitely deny it
MashaAllah Tabarak Llah.
Allah awape Afya njema na Umri uliyonakheri na nyinyi Amein❤❤❤❤.
Asalamu Aleykum sis.
Hao madada hawana ndowa ila nizinaa.
Allah awaongoze awalekeze njiya yasawa Amein.
Allah awajaalie hidaya kw waja wake kwa kweli wamepotea
LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA MUHAMMADAN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
Barakallahu Feek
Allah awe nanyie daima masheikh wetu
Aamiin
Sheikh umenikumbusha Madrassa,Ustadh Mwandege lazima utashika ama ile kiboko utakula huezi sahau ata herufi moja,lakini nashkuru Alhamdulillah
11mins alhamdulillah my 3yrs baby girl ,ashaanza madrasa kabla aingie shule ya serikali next yr
Naomba my first brn akimaliza high schl akitoka kwetu aje aanze kusoma madrasa 😢😢😢 ya rabbi niitikie hii DUA yangu naomba kila siku🤲🤲
Aamiin amiin amiin
@@salimdaawah123 sheikh bado kuniulizia quran ya our brother mukurino
@@sheemaryam inn shaa Allah nitafanya hivyo
Asalaam dadangu
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... Maa Shaa Allah... Allah awahifadhi nyote na awalipe jannatul firdaus
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote
Allah awajalie masheikh wetu nawafuatilia
Allah awape afya na hekima kwa KAZI yenu mnayoifanya
Aamiin amiin amiin
Sheikh kuna wanawake huku nje wakiisilamu wanaolewa tu na wakristo 😢😢 yaani imekuwa balaa
Kwa kweli hizi ni dalili za qiama sisi kama jamii hatupo salama
Allahumma yassir wala tu'assir. Barakallah fikum
Assalamu Alaykum sheikh. Allahumma Barik
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Waleykum salaam waramadhulahi wabarakatuh sheikh wetu
MUKIPENDA MUKIkATAA NYINYI NI WAFUWASI WA MTUME MUHAMMAD SAlALLAHU ALEYHI WASALAM NA YESU ATAWARUKA MUTAJUTA
Wacha kutumia jina la muislam kwa comment zako. Wewe ni mkristo. Jisalimishe
@aishasalim9546 acha kuwa mtumwa wa fikra sikiliza maandiko then soma uelewe. Yesu atawaruka nyie 😅😅. Paulo alie anzisha imani potofu ya ukristo alishawaeleza wazi!! Kasome wakorinto 15:15:18 WALIO LALA KATIKA KRISTO WAMEPOTEA 😅😅😅NA IMANI YENU NI BURE.
😂😂😂Sasa Kuna haja gani masheikh wapoteze mda wakitangaza Uislam kama watu wakipenda au wakikataa Bado ni wafuasi wa mohamed?
❤Mashaa ALLAH ❤
Alhamdhuli-LLAH..... WA'ALLAHY Sheikh Ngugi usiku huu nimefurahia kusikia Swahibangu akiuliza maswali #VincentJuma.
Tumesoma pamoja KISAUNI PRIMARY SCHOOL, na hadi leo miaka mengi imeenda hatujaonana.... NAFURAHIA KUSIKIA NA KUMUONA YUPO HAI..... ILA NASIKITIKA VILE TULIKUA WADOGO SIKUWAHI KUMSILIMISHA😭😭😭😭.
❤NAKUOMBA MFIKISHIE SALAMU ZANGU..... mwambie mimi ni yule best friend yake (mtoto wa chief) #mohammedJumaKibwana
Inn shaa Allah akija tena nitamfikishia salamu
Asalam alaikum masheikh wetu hamfiki sehemu zingine ni sehemu moja tuu mmekwama tembeeni inshallah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh usafiri umekuwa mtihani kwetu
Mashaa ALLAH
MashALLAH alhamdulilah
WAKRISTO jAMANI MUSICHOKESHE WENZENU HAWA WAMEJITOLEYA KUWATOWA KWENYE GIZAA MUINGIYE KWA MUANGAZA
Yesu ndio Nuru ya ulimwengu.Amufatae Yesu hayakua Kwa giza
@@NathanielNathan-m4oNa Yesu mwenyewe alikuwa mwisilamu. Fahamu kuwa ukimfuata Yesu unakuwa mwisilamu.
Hakuna mkristo humfuata Yesu kimaandiko wala kimatendo. Ujue kuwa Yesu hatambui ukristo wala wakristo. Ukristo ulianzishwa baada ya Yesu kuondoka duniani.
@@ibruzah001 Marko 9:41 Kwa kuwa yeyote atakaye wanyweshwa nyinyi kikombe Cha maji,Kwa kuwa nyinyi ni👉 wa Christo👈😜💪 Amin nawaambia hatakosa thawabu yake.
Umeona nimekupa andiko wachristo Yesu mwenyewe anatujua ama bado huoni? Nipe andiko Yesu ametaja Uislamu.Sitaki vitendawili nahitaji andiko.Muislamu wa kwanza ni Mohamed,Quran sura 39:12.Yesu hana habari kwamba Kuna uislamu na hakuna muislam Kwa kuwa uislamu ulikuja miaka na mohamed miaka 600 baada ya Yesu
@@ibruzah001 Marko 9:41 Kwa kuwa yeyote atakaye wanyweshwa nyinyi kikombe cha maji Kwa kuwa nyinyi ni 👉 wa Christo 👈😜💪👍,basi hatakosa thawabu yake.
Umeona Yesu mwenyewe anatujua ama bado huoni? Nipe andiko Yesu ametaja uislamu,usilete vitendawili.Yesu hajui uislamu Wala hakua muislam.Mohamad ndiye muislam wa kwanza.Soma Quran 39:12 kama huamini.Mohamad ndiye alileta uislamu miaka 600 baada ya Yesu kwenda mbinguni
@@ibruzah001 Marko 9:41 Kwa kuwa yeyote atakaye wanyweshwa nyinyi kikombe cha maji Kwa kuwa nyinyi ni watu 👉 wa Christo 👈😜💪 amini nawaambia hatakosa thawabu yake.
Umeona wakirsto au bado? Nipe andiko Yesu ni muislam.Sisi tunajua mohamed ndio muislam wa kwanza.Quran 39:12..Yesu hajui Wala hakua muislam.Mohamed ndio alikuja na uislamu miaka 600 baada ya Yesu kwenda mbinguni
Mashallah Allah barik
Asalam aleikum waramtulah wabarakatu
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Siku moja naomba mfike homa Bay County specifically magunga mwendelezee daawah❤
Inn shaa Allah we will plan it
One after the other every day they have to go to the library to research. They are never ready . Very sad
Hhhh funny. Kuwani Hawa wako na bible school wange endha sio watoto wetu
Asalaam Aleikum warahmatulullahi wabarakatuh Allah awaeke mashekh wetu
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Please kujeeni karatina there is high demand of daawaa hapo
Inn shaa Allah
Kibla asubuhi linakuwa mkonomwa kulia mchana katikati jioni kushoto ya kono wako .
Some of the weirdest verse in the Bible is Ezekiel 23:20 which is very awful and disgusting I can’t even write in the platform . So if you tell me this is from God , I will definitely deny it