WATU WA SOTIK WAFURAHIA DAWAH MASHINANI
HTML-код
- Опубликовано: 13 дек 2024
- Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu. Ukiwa na maoni au mapendekezo au maswali usisite kuwasiliana nasi kupitia nambari za simu zilizoko kwenye screen yako. @StraightPathDawah tunafikisha ujumbe wa Uislamu hadi mashinani.
Mungu akulipe kheri na akutengenezee mambo yako sheikh wangu Ramadhan Allah anijaalie siku 1nikuone live.
Hustadhi ramadhani huyo anakusumbuwa hataki kujibu ila ss tusha elewa hata yeye asha elewa ALLAH akuhifadhi na hasadi navijicho vyawatu Ameen yarabb ameen
Allahumma yassir wala tu'assir. Barakallah fikum
🤲
May Allah SWT reward u
Alhamdulillah Rabil Aalamin ❤❤❤
Alihamdulillah notification hainipiti sheikh Allah akulipe kila la kheri❤
Wakristo wanaelewa amri ya kwanza ni kuamini kwamba Mwenyezi Mungu ni mmoja pekee. Kwa hivyo, ni vyema wajulishwe kwamba hiyo ndiyo hatua ya kwanza ya kuwa Muislamu.
Kuhusu mizozo ya ki Dini kuna mzozo wa mashariki ya kati uliioanzishwa miaka ya zamani na kuna siasa mbaya ya uporaji na uuaji na Umoja wa Mataifa wanasema nchi ni ya Wapalestina na baadhi ya Wa Marekani na baadhi ya Wayahudi wanadai nchi ni yao. Kwa wenye Ucha Mungu haifai kujiunga na waporaji kwa kuwa mtu atalazimika kuwa muongo nk.
Masha Allah mwenyezi mungu akuongoze ktk kheri mwenyezi mungu hakufanyie wepesi kwakila penye zito
Allah akulipe la kheir dunian n akhera sheik wetu
Asalamu alekumu mashala kazinzuri Allah
MASHA ALLAH..TABARAKALLAH ❣️ ❣️. 🙏🤲🤲
Mashallah my brother ramadan may Allah grant you jannah tul fardos yaa Allah yaa rahman yaa rahim please please please and the rest of islam Amin Amin Amin
Maashaallah tabarakallah shehewetu
My Brother ramadan I love you for the sake of Allah
Mashallah ..❤
Aa shekh Allah atakufanyia wepesi uendelee na kazi yk ya dawa kila la kheri insha allah.
MashaAllah shiekh
In shaa Allah awazidishie umri na Afya muzidi kueneza dini
Allah kulipe kheir ❤❤
Sheikh pogezi kwako
Mashalla Allah ❤❤❤
Dah,ukristo ni mzigo
Sheikh ramadhan looking awesome with Islamic kanzu. Green and white looks like medina colours ❤
May Allah swt guide you and be blessed
Sawa kabisa.
MashaAllah😊😊
Mashaallah ❤
Masha Allah
Mashaallah 🎉
Shekhe ALLAH akuongoze kuna kitu najiuliza kama mapadri wachungaji wanaona sana kazi unayofanya kama ni uongo na wao wangefanya kazi kama yako lakini hawawezi
WapokimyaKwanzaHawaangalii.nawanao.angalia.ni.kondoo.wao.wakiwaaadithia.wanasema.hao.mapepo..naingekuwa..syo.haki.wangesema.lakini.kimya.wanajuaniukweli.wameaibika
Mashallah
Huyo bro ni mpuuzi anapoteza muda tu
Watching dis in 🇹🇿
Dini ya Uislamu sio ngumu. Ukimuamini Allah ujue atakusaidia kuelewa mambo kwa wepesi na atakusaidia uweze kutekeleza maamrisho yake na kujiepusha na makatazo na atakubariiki na kukujaalia uongofu na kila jema.
Hakika Dini ya Mwenyeezi Mungu ni nyepesi Kwa atakae Iona rahisi Allah atamfanyia wepesi zaidi na atakaeiona ngumu basi itamshinda." Allah atufanyie wepesi kwayo ili tukapate kufaulu
Mashaallah shukran
Asalaamu aleykum, shekhe watu kama hawa wanamaliza tu bando ni vichefu.
These African christians have been braiwashed to the core,nchi ya kiislam ikipigana vita wanasema ni Waislam,nchi ya kikristo wakiingia kwa vita kama Ukraine wamenyamazia hawasemi Wakristo...ndo mana ni rahisi kudanganya hawa watu na wakaamini kila kitu
Huyu jamaa ni psttor, anajikula akiri.
Wakorindo wa bili
Jisalimishe tukusilimishe upate kusilimika na moto wa Jahannam. Habari ndio hiyo.
Allah akulipe kila lahel🤣🌌
Huyu nae umempa mda mwingi na sijamuelewi, bibilia yenyewe inamchanganya na nimbishi
Ai, huyu KipKoech ako na VERSION yake ya biblia, ya KICHWA chake!
Hii Ndio shida ya Hawa WaKristo'. HUWA wanaji TUNGIA Maneno Yao baada yaku TWIST verses za BiBLIA ya WaZungu!
Huyu Kip K ana onekana ni PASTOR, Kwa maana, Ame PINGA verses nyingi za biblos, kama WaChungaji Wengine!
Well done Team Kuria and local USTADS!
Shek Ramada ukuje homabey
Huyo jamaa amepoteza mda na hataki kuelewa.
Hello,I have been following your DAWA.Just tell me the position of Islam on Slaves and slavery?Why sex with slaves? If God failed to protect his Torah, Psalms and Injili from human interference Is that God power Questionable?How will he protect Quran?
What the position of Islam on black race?
If God want to be anything today,a tree,a lion,a human being. Is he God limiting that he can't be? This is logic reasoning he can..Why do you argue that God can't convert himself into human and visit these earth?
Kwa mwenyez mungu hakuna kubalika wala kivuli cha kugeuka geuka
@@BabuuSharia Hivyo God is limited to some powers.
Huyo kafiri anakupotezea muda nenda kwa wengine
Brh usiseme ivo anajifunza
Tuko Kwa ajili ya wote, Allah awaongoze
May Allah SWT reward u
Mashallah ❤
MashaAllah😊😊