Allah sh.ramdhaan akuzidishie kila la kheri katika dunia na akhira kwa kazi unaofanya .ni nasaha juu yetu kuwekana sawa Kama alivyosema mtume rehma na amani ziwe juu yake. kusema kwa wasokuwa waislamu amani iwe juu yenu ni kama kusema asalaamu alaykum kwa tafsiri .Waweza kusema habari na kadhalika . jazakallahu kheir
Salaam aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Baraka zitokazo kwa Mwenyezi Mungu pamoja na ulinzi wake ziwe juu yako popote uendapo katika shughuli za daawa Ustadh Ramadhan. Kazi njema.
@@johnwanjala4311 tupe ushahidi uliemuona katika maisha yako amefundishwa kujifunga bomu ama ni uzushi tu umekuwa kama ibilisi unashawishi watu..mapasta wenu wamekuwa mashoga mbona sisi hatusemi mnafundishana ushoga tumia akili na uwe na ushahidi kwa unacho kiongea usiwe kama mwanamke ushahidi hauna
Mm nkudhibitishia Kwa maandiko soma JOHN 14:26 pia wewe tuonyeshe nwapi YESU alisema mwenye anakuja nyuma yake n Mtume mhamad .dhibitisha kauli zako Kwa maandiko .
@@juliusjamanda7313 kwa akili yako huyo roho mtakatifu hakuwa wakati wa yesu? Alafu ndio uonekane mkeli nataka uniambie nikwa nini alishindwa kusema kua huyo anaekuja ni roho mtakatifu wewe ndio unaesema?,pia ndio unionyeshe utabiri utabiriwa kwa jina nataka unionyeshe niwapi Mussa alimtabiri yesu kwa jina yesu, na hata kukosekana kwa majini kwenye bibilia sishangai maana yesu hakuacha bibilia
@@juliusjamanda7313 kwani iwapo huamini mbona bado unatoa maandiko yaliyomo kwenye bibilia wakati yesu hakuandika wala kuacha kitabu kinachoitwa bibilia? Sasa andiko halikutaja roho mtakatifu wala mtaka vitu, je huoni kua bibilia zenu ndio zikamilike inabidi mujiwekee maneno mnayotaka wenyewe? Nimesema, unipe andiko yesu ametajwa kwa jina yesu na nabii yeyote aliepita tena usiniletee waraka
Nakujibu dadangu kafiri ni yule anae mkufuru mungu..ni sawa na mshirikina pia maana mshirikina nmtu anae mshirikisha mungu..mkristo anamshirikisha mungu akisema mungu ni watatu..ati mungu baba mwana na mungu roo huo ni ushirikina na ni ukafiri pia
Mu Kafiri pia ni yule, ambaye asha julishwa haki wa UISLAMU na MUNGU moja tuu, ....LAKINI aka chagua ku endelea kum SHIRIKISHA Mwenyezi Mungu, ambaye ni Allah !
Dini yangu ni musambwa na hakuna ukweli wowote katika uislamu quran iliandikwa na Muhammed baada kusoma biblia na akapendua dunia juu chini na mambo ambayo yanaendelea kwenye uso wa dunia ni tisho tupu ,maangamizi ya kuogofya msidanganywe ndugu zangu huyu jamaa anahila,jihadhari na mjidenge naye
Maana ya ukafiri ni kumkana mungu mmoja wa pekee na hilo limejidhihirisha kwa ndugu wakristo wao ni mungu Baba mungu mwana na mungu rohomtakatifu ambapo hata bibilia haijafunza hivyo nikinukuu kifunguw!nay uzima wa milele ndio huu wakujuee wewe mungu wa pekeee na yesu kristo uliee mtuma
Shehe umechemka acha kupotosha watu, alisema msaidizi atakuja alimaanisha roho wa kweli hakusema nabii soma hadi mstari wa 13 jibu lipo hapo acha kutafuta vijana ambao hawajui biblia tafuta wanaojua uone kuna pastor mmoja ulikuwa naye kipindi kilichopita yule ndo saizi yako!!!!!!
Mashallah mashallah ramadhan Allah akujaze kheir inshallah mana hiyo kazi inataka uwe na subra na imani sanaaa mashallah.from Tanzania 🇹🇿
Assalam alykum tuko pamoja katika kila jambo la kheri. Ndugu yako katika iman kutokea Zanzibar
Allah sh.ramdhaan akuzidishie kila la kheri katika dunia na akhira kwa kazi unaofanya .ni nasaha juu yetu kuwekana sawa Kama alivyosema mtume rehma na amani ziwe juu yake. kusema kwa wasokuwa waislamu amani iwe juu yenu ni kama kusema asalaamu alaykum kwa tafsiri .Waweza kusema habari na kadhalika .
jazakallahu kheir
Japo mimi ni mkristo ila Nampenda sana Ramadhan naifuatilia sana imani yake❤
Karibu sanaaa kwa Dini ya haki brother 🙏🙏🙏
Shukran sana
Karibu sana Bwana Abiud!
Mashallah mashallah
@@StraightPathDawahAsalaamualeikum Ustadh ningependa upeleke daawah Marsabit county
Salaam aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Baraka zitokazo kwa Mwenyezi Mungu pamoja na ulinzi wake ziwe juu yako popote uendapo katika shughuli za daawa Ustadh Ramadhan. Kazi njema.
Allahumma Aamin 🤲
Si kazi njema hata kidogo ni propaganda ya iblees kutafuta watu hafifu ambao hawajui lolote na kuwahataa ili wajifunge bomu waue watu
@@johnwanjala4311 tupe ushahidi uliemuona katika maisha yako amefundishwa kujifunga bomu ama ni uzushi tu umekuwa kama ibilisi unashawishi watu..mapasta wenu wamekuwa mashoga mbona sisi hatusemi mnafundishana ushoga tumia akili na uwe na ushahidi kwa unacho kiongea usiwe kama mwanamke ushahidi hauna
@@mohamedhozi8110 ushahidi Afghanistan Wa shia mujaheeden's suuni alshabab na majangili wengi juzi Pakistan jamaa mmoja amejifunga bomu akaua masikini waislamu wenzao.
Sheikh hiyo ndo town yangu sasa😊karibu Sana Kakamega. Allah akuhifadhi.
Allah amdulillay mwenyezi Mungu akulipe kila la heri
Pega kwa pega Hadi peponi Allah atufanyie wepesi
Ni 'Mbega kwa Mbega'.
AU, Bega kwa Bega.
@@Sai.Mo69 jamani typing error
Mashaalaaaa
masha'Allah sheikh Allah akulinde na akuzidshie umri mrefu wenye kheri insha'Allah.
Napenda imani ya huyo hawker..Ata ufanye nini habanduki kuwa mkristu❤🎉
Kuna imani bila kujua elimu kupotea, but haqi ni qurani pekee
@@mangeraalbert7982 takbiiiir
NI vizuri kuwa na msimamo ila kusoma zaidi ni muhimu sana
@@StraightPathDawah siri gan yakutobolewa apo
Masha allaah
Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakaat...naomba kujuwa version ya bible yenye yatumika hapo
Maashaallah baarakallah shukran jazakallau khayran
Asalam alakumu mashala mungu akulidikwakilajabo
😆🤣🤣pole kwa marehemu nyie duniani kuna mambo
Kazi moja
Mungu akulinde ustadh Ramadaan
Ameen
Allahumma Aamin 🤲
Mashalla Allah ❤❤❤
Yesu alisema naenda lakini lakin sitawaacha peke yenu ntawatumia ROHO mtakatifu atakaye waogoza maishani mwenu hakusema mtume Mhamad.waislam acheni kuchanganyikiwa .....😂😂😂😂😂😂😂😂
Roho mtakatifu alikuwepo kabla yesu kuondoka duniani, labda useme roho mtakavitu huyo mlieachiwa
Mm nkudhibitishia Kwa maandiko soma JOHN 14:26 pia wewe tuonyeshe nwapi YESU alisema mwenye anakuja nyuma yake n Mtume mhamad .dhibitisha kauli zako Kwa maandiko .
@@juliusjamanda7313 kwa akili yako huyo roho mtakatifu hakuwa wakati wa yesu? Alafu ndio uonekane mkeli nataka uniambie nikwa nini alishindwa kusema kua huyo anaekuja ni roho mtakatifu wewe ndio unaesema?,pia ndio unionyeshe utabiri utabiriwa kwa jina nataka unionyeshe niwapi Mussa alimtabiri yesu kwa jina yesu, na hata kukosekana kwa majini kwenye bibilia sishangai maana yesu hakuacha bibilia
@@fatumamwalimu5765 nmekupea kitabu usome apo utapata jibu ya swali lako
@@juliusjamanda7313 kwani iwapo huamini mbona bado unatoa maandiko yaliyomo kwenye bibilia wakati yesu hakuandika wala kuacha kitabu kinachoitwa bibilia? Sasa andiko halikutaja roho mtakatifu wala mtaka vitu, je huoni kua bibilia zenu ndio zikamilike inabidi mujiwekee maneno mnayotaka wenyewe? Nimesema, unipe andiko yesu ametajwa kwa jina yesu na nabii yeyote aliepita tena usiniletee waraka
Mashallah ❤
SHEIKH RAMADHAN WAMEFUNGA HAO KIFUNGO CHA MACKENZI CHA SHAKAHOLA
😅😅🤔
😅😅😅
ALLAHU AKIBAR ❤
M.shAallah
Alhamdhulilah
Asalaamalekhum aleikum Shekh!! Ramadhani bin kaguo ? Napenda kuomba siku moja mje na uku tz coz Kuna vichwa ngumu sana uku.
Mtoto wa mungu ni yesu?Astaghfirullah
We Charles makuri bora wende shaka hola kwa Mackenzie,ukauliwe huko maana wewe na ndacha muwapotevu
😂🙄
Tobaa😂😂😂😂😂🤭🤭
Nimecheka kama mazuri eti maiti tna wanampa pole
Ngo acha niwe kuuni🤔🤔🤔🤔🤔
Shekhe nimesilimu muda mrefu lakini cjapata madeasa nipo tz
SubhanAllah 🤔hap unapoish hakun waislam
Nenda kwa msikiti ukiopo karibu yako madras zipo hapo elimu ya kiislamu nibure kk
Ok inawezekana bolapesaaa
@@papayai882asalama alaikum ndungu tafuta sheh yyte uliye karibu nae kila kitu kitakuwa sawa insha allah kwa uwezo wa Mungu
Sawa lakini ujue ninamkenawatoto wamegoma kuslimu pili wazazi nandugu wamenikataaa Nina mwaka wanne sijauliditena nyumbani
Yupo kilillahi taala
Humsikii kutagaza dawa wa
La hajiiti shekhe
Kama nina uwezo sheikh ramadhan dahh ungefurah t na ungejuwa kuwa waislam kutoka pemba tuko pamoja na ww
Mashallah
@@StraightPathDawah Assalaam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. May I have your contact please?
Jamani naomba mnieleze , ukafiri ni nini? Na mshirikina ni nani?
Nakujibu dadangu kafiri ni yule anae mkufuru mungu..ni sawa na mshirikina pia maana mshirikina nmtu anae mshirikisha mungu..mkristo anamshirikisha mungu akisema mungu ni watatu..ati mungu baba mwana na mungu roo huo ni ushirikina na ni ukafiri pia
@@mohamedhozi8110 anha sawa asante kaka angu Mwenyezi Mungu akubariki.
Mu Kafiri pia ni yule, ambaye asha julishwa haki wa UISLAMU na MUNGU moja tuu, ....LAKINI aka chagua ku endelea kum SHIRIKISHA Mwenyezi Mungu, ambaye ni Allah !
@@Sai.Mo69 anha sawa asante
@@Catherine-mh8sw kafili maana yake niyule anaepnga Mola wapekee na Bwana Yesu kristo soma Yuda1msar 4
Dini yangu ni musambwa na hakuna ukweli wowote katika uislamu quran iliandikwa na Muhammed baada kusoma biblia na akapendua dunia juu chini na mambo ambayo yanaendelea kwenye uso wa dunia ni tisho tupu ,maangamizi ya kuogofya msidanganywe ndugu zangu huyu jamaa anahila,jihadhari na mjidenge naye
Duh wewe umedata kabisa
Inalilah wainaillah rajiun pole kaka tena pole sana
Maana ya ukafiri ni kumkana mungu mmoja wa pekee na hilo limejidhihirisha kwa ndugu wakristo wao ni mungu Baba mungu mwana na mungu rohomtakatifu ambapo hata bibilia haijafunza hivyo nikinukuu kifunguw!nay uzima wa milele ndio huu wakujuee wewe mungu wa pekeee na yesu kristo uliee mtuma
Somaa mwanzo kabla ya kusema uwongo😅
Shehe umechemka acha kupotosha watu, alisema msaidizi atakuja alimaanisha roho wa kweli hakusema nabii soma hadi mstari wa 13 jibu lipo hapo acha kutafuta vijana ambao hawajui biblia tafuta wanaojua uone kuna pastor mmoja ulikuwa naye kipindi kilichopita yule ndo saizi yako!!!!!!
Masha Allah 🥰
Masha Allah❤