KUTANA NA "YOHANA MBATIZAJI" SASA BAADA YA YESU WA TONGAREN! 😂😂😂

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 328

  • @salimmashjary8028
    @salimmashjary8028 Год назад +8

    Poleni wakristo kusema haya kwa sababu nashangaa sana yani ni NYINYI TU WAKRISTO NDIO MUNAVITUKO HIVI VYA KIPUMBAVU NA UKOSEFU WA AKILI .MARA NYINYI NI MUNGU MARA NI YESU.MARA NABII KAMA HUYU MZEE HATA NA MADEVU YAKE YA AJABU.

  • @qharolefrancie587
    @qharolefrancie587 Год назад +10

    Kazi nzuri Ramadhani...ningependa kuslim mimi

    • @Abdifataxow
      @Abdifataxow Год назад +4

      Plz Nenda misikiti iliyo karibu yako

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 Год назад +4

      Karibu na Allah akuongoze

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  Год назад +3

      Karibu sana, wasiliana na number zetu

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 4 месяца назад

      ALLAH akuongoze juu hili tafuta msikiti krb nawe uonane na Ust akuelekeze

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Год назад +7

    Assalam aleykum hustadhi ramadhani nakupenda sana kwaajili ya ALLAH ALLAH akuzidishiye eelimu namaisha maref

  • @abdazizahmed7113
    @abdazizahmed7113 Год назад +17

    Endelea na hii kazi nzuri ya dawah sheikh wetu ramdan

  • @DiasporaGikuyuTv
    @DiasporaGikuyuTv Год назад +3

    Ramadhan you're strong mimi naweza cheka vibaya sana😂😂😂 waluhya watatuonyesha maneno...Ati "mwenyewe".

  • @mwanajaa-v5x
    @mwanajaa-v5x 3 месяца назад +1

    Masha Allah MUNGU akuzishie barka, heri nyingi na afya njema. Watu wanahitaji masomo na kweli unawafundisha kwa hekma sana, Nakupenda kwa ajili ya Allah na saa nyingine najizuia kucheka hao watu wanachekesha sana

  • @gazaomar1414
    @gazaomar1414 Год назад +6

    Shukran Sana Sheikh Ramazani kwa Kazi ngum unayoifanya

  • @bakariadamu6068
    @bakariadamu6068 Год назад +16

    Jamani watu tujitokeze tuchangie ili Mwalimu aende sehemu nyingine kufundisha dini wapo watu hawajui dini kabisa atoke nje ya KENYA pia

  • @azinahramadhan8326
    @azinahramadhan8326 Год назад +4

    Mwambie Yohana alikatwa kichwa 😂😂😂 amepata wapi kichwa😂😂

  • @shabanibrahim9201
    @shabanibrahim9201 Год назад +1

    Uzee mwingine ni mtihani sana, Abu Jahal of our generation. Allah amuongoze

  • @عبداللهباحميد-ن4ق
    @عبداللهباحميد-ن4ق Год назад +15

    ALLAH Akupe Umri Na Afya Njema MASHA ALLAH Kzi Hii Sio Rahisi Tuna Muomba ALLAH aku Jaze Kila Kheeri Na vAkubariki Zaidi Na Zaidi Amin Amin Amin

    • @fatumampumbo6186
      @fatumampumbo6186 Год назад +1

      Amiin kazi sirahisi kweli huwa najifikiria kama ni mm vile nakasirika haraka sijuwi kungekuwaje mungu akuzishie sbra uweze kuwaelesha mpaka waelewe In sha ALLAH wabilah taufiq

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 Год назад +9

    Subhanallah Ama kweli duniani kuna watu wa ajabu sana Allah atuongoze na atuepushe na imani hizi potofu

  • @yussufhussein6097
    @yussufhussein6097 Год назад +10

    ManshaAllah Shiekh wetu,,,,Mungu akubariki na endelea hii kazi ya mungu..... PIA NATAMANI KUKUONA🙏🙏🙏Naweza kukutafuta

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 Год назад +1

    Cheikh wangu kiukweli poleni sana kwaizo subra ñaona kama kwa hikma yangu ni fupi siwezi kufanya kazi kama iyo cheikh kuria Allah awazidishie uvimilivu

  • @allanmonga3942
    @allanmonga3942 Год назад +4

    Alahamdulillah tunakutaka apa Lubumbashi Drc sheikh Ramadani

  • @bilalomar1185
    @bilalomar1185 Год назад +4

    Jazakallah kher Sheikh Ramadhan.
    Doh watu wabungoma watatuangamiza kwa dhambizao.

  • @mariamfouziawairimu7991
    @mariamfouziawairimu7991 Год назад +11

    Eid Mubarak to all Muslims. Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza ili ueneze ukweli kuhusu uislamu kwa wasiojua. May Allah's protection abide with you always.

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 Год назад +5

    Pole sana Sheikh wetu na kuangukaa! Ila pole pia kwa kazi hii ngumu sana! Watu ni wa ajabu sana.

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 Год назад +2

    MashaAllah Allah akulipe kila la kher. Sheikh Ramadhan Kuria

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад +5

    Hawa watasilim hawa shehe ukiwaelekeza hawa Allah atawafanyiawepesi kuwawaislam biiznillah🤲

  • @beatricebwana1234
    @beatricebwana1234 Год назад +6

    Hawa watu vichwa vimepinda.May the Almighty God intervain. Dunia inaisha.

  • @samxx411
    @samxx411 Год назад +5

    Mbona Kenya kuna Maajabu sana???, naona kuna kila aina ya watu wanaonekana Wallahi, haya wacha tuone mambo, Asante Sheikh Ramadhan kwa kutuonesha watu wa maajabu ni dhahiri Dawaa inahitajika sana tena sana bado watu wapo kwenye Giza zito limewafunika wanahitaji kusaidiwa sana ila wabiiishiii.

    • @nancywambui1073
      @nancywambui1073 Год назад +1

      Weee.... sio Kenya ,ni Bungoma

    • @lucyoyiela6718
      @lucyoyiela6718 Год назад +3

      Sio Kenya pekee kuna mambo mengi kwa country zingine nivili hatujui

  • @softymoha5484
    @softymoha5484 Год назад +10

    najivunia kuwa muislam.kutoka huko western kenya...kweli western watu wamepotea,, sheikh ramadhan...Allah...akufanyie wepesi kwa kazi unayoifanya insha Allah...

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Год назад +5

    Alhamdulillah kwa uislam .Walahy Ramadhan jazaa yako ALLAH mwenyewe ndiye mjuzi.Huyu baba anakir kabisa kwamba wewe ndiye muislam wa kwanza kumfikia.Pamoja na ugumu wa kazi yako usichoke kuwatembelea.Huenda siku moja ALLAH akawapa hidaya wakaiona haki na kusilim

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 Год назад +3

    MASHA ALLAH. pili apa nimejifudisha jambo la busara Kwa kulingania dini Kwa wasio kuwa wa islamu.

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 Год назад +2

    Sheikh Ramadhani una hekma sana...uhojiano wako unapendeza sana...God akuongoze katka mema

  • @abyolafadhili5734
    @abyolafadhili5734 Год назад +3

    Allah akutie nguvu akhy Ramadhwan,
    Japo mimi nashangaa sana hawa wenzetu Bible imeletwa na wazungu alafu Yesu na mitume wake wapo kenya na kila mmoja hataki kuongea ya mwenzake na kwamujibu wa andiko walitakiwa wawe pamoja lakini kila mtu na njia yake.

  • @hajinkulunge8493
    @hajinkulunge8493 Год назад +5

    MAASHA ALLAH UKOVIZURI SANA
    MWALIMU KURIA

  • @alhajjngoliomahmud6657
    @alhajjngoliomahmud6657 Год назад +1

    Mwenyezi Mungu akujaliye zaidi na akufanyiye wepesi zaidi kwa kila jambo kwa shughuli zako zote

  • @zainaal-nabhani9034
    @zainaal-nabhani9034 Год назад +8

    Innalilahi wainna ilaihi rajiun jmn wakrto hamuonitu kama dini yahaki ni uwislam mtihani huu mungu akubariki sana sheh ramazan akulipe kila laheri uzidi kuweneza uwislam

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Год назад +1

      Sasa wakiristo tunahusika vipi hapo? Sijakatai unabii unaendelea lkn kujiita majina ya manabii waliopita inatoa wasiwasi japo siwezi kuhukumu ila waislamu mnasheria ngumu Kwa manabii wapya hata wayahudi wana Sheria kama zenu ndio maana walimkataa Yesu

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 Год назад +2

      ​@@madetetv6576 unabii gani unaendelea nawe, hatotokea nabii mwingine kwa zama hizi hadi kitasimama qhiyama,yan wakristo dunian mna kila kitu, mungu yupo, YESU yupo, manabii mnao, watoto wa mungu mnao, khaa Jmn 🙄

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Год назад +1

      ​@@kutailass6671 Kwahiyo unatak kunambia Mungu katutelekeza ama? Tutawasiliana vp na Mungu bila mitume na manabii?

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Год назад +1

      ​@@kutailass6671 unazungua hata nyie wenyewe Kuna baadh ya mambo mnahitilafiana Kuna wanao amini unabii na nyie masunni ambao hamuamini

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 Год назад +1

      @@madetetv6576 hakuna muislamu asie muamini nabii Muhammad, sote tunamuamini khitilafu ni ipi hapo we umeona

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 Год назад +3

    Sheikh Ramadhani Mungu Azikukupatia nguvu zakufanya Dahawa hila duuu Nimecheka sana lakn yasikitisha . Etianaongea na mungu Darect Subuhna Allah

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 Год назад +4

    Mashala watuwanapotea kweli mungu awaogozetu wajuehaki

  • @fegow-farmland8399
    @fegow-farmland8399 Год назад +1

    Who else has noticed Luhyas especially Bukusu People are very fluent in Kiswahili 🖐🖐🖐

  • @saidbrek9817
    @saidbrek9817 Год назад +4

    Allah awape umri muendelee na kazi yake ya daawah Ameen

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Год назад +5

    😂😂😂 Hakuna watu wanacheza na dini yao kama wakristo

  • @ambarnelly6071
    @ambarnelly6071 Год назад +7

    Yani ,ni wakristo tu niliopata kuwashuhudia wana hivi vituko mara wengine ni miungu,wengine ni yesu ,wengine ni wanafunzi wa yesu kama huyu yohana apa ,tena mbaya zaidi anakwmbia Mungu ana ndevu kma yye Yaani Mungu atusameh ,mana hawa ndo sabbu ya Maisha kuwa na ukame pia na mambo ya ajabu sana kama mambo ya jinsia moja innalilah wa inna ilahi rajiun 😢

  • @mussamohamedmohamed7048
    @mussamohamedmohamed7048 Год назад +1

    Mashaa Allah,, brother,Allah akupe na akuwezeshe kuendelea na hii kazi ya MANABII,,

  • @henryajaka
    @henryajaka Год назад +6

    Hawa watu wa Bungoma,pooo mara yesu wa tongareni,mara jehova wanyonyi, now Yohana mbatizaji.Mungu asaidie watu wake.

  • @hajinkulunge8493
    @hajinkulunge8493 Год назад +9

    Ila huyo Mzee sio mbishi anaweza silimu Insha ALLAH

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад +1

    Duu huyo mzee hayuko sawa 😂😂 kazaliwa malangapi miaka mingi yeye anazaliwatu daaaa😂 hinayo noma

  • @ramadhanhamidu-bf1po
    @ramadhanhamidu-bf1po Год назад +2

    Dah aisee allah amfanyie wepes huyo babu

  • @sarahronoh540
    @sarahronoh540 Год назад +4

    Allah akupe kila la kheri Ustadhi Ramadan

  • @esthernjoroge231
    @esthernjoroge231 Год назад +1

    Waluhya mnakasoro kuleni ugali yakushagwa mkiskiza redio hiyo mnaweza 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shamimnorah9156
    @shamimnorah9156 Год назад +3

    Masha Allah Allah Aku bless sana good job usi choke please 🙏🙏🙏💙

  • @MohammedAbdu-mc3ex
    @MohammedAbdu-mc3ex Год назад +1

    MashaAllah may Allah akupe jannah

  • @mistasaa9214
    @mistasaa9214 Год назад +3

    Shkh Ramadhan ALLAH atakulipa kher kw kz unayoifany ila ao wazee wengine ni wendawazimu wshaugua uchizi wnahtaj kupelekwa mental

  • @martinamarugu44
    @martinamarugu44 Год назад +1

    Sheikh muulize vizuri baba naona wewe unamuwezaweza

  • @nomaddamon2197
    @nomaddamon2197 Год назад +23

    He is either ignorant
    Or he is suffering from a mental condition called a delusion of grandeur.. person's belief that they are someone other than who they are, such as a supernatural figure.
    We appreciate your work brother Ramadhan, Mwenyezi Mungu akuhifadhi. Ameeen
    Let's support our brother and his team financially so that they can easily facilitate their movement, it doesn't matter the amount. Let us be part of this amazing Daawah and get the same reward as our brother Ramadhan and his team.

    • @guenterernst5481
      @guenterernst5481 Год назад +7

      Shida ni Hao wafuasi mibaba mizima Inna lillahi wa Inna ilaihi rajiun

    • @nomaddamon2197
      @nomaddamon2197 Год назад +4

      @@guenterernst5481Mwenyezi Mungu atuelekeze katika njia ilionyooka. Alhamdulillah that's why we have brother Ramadhan

    • @nubianqueen6700
      @nubianqueen6700 Год назад +3

      Kweli kabisa, mental health is rampant, Ata yule yesu wa tongareni has tendencies of being a narcissist, I listened to an interview of his two children.

    • @metrinenyakoe1764
      @metrinenyakoe1764 Год назад +2

      😅😅watu wamechanganyikiwa

    • @Briansimiyu-n3h
      @Briansimiyu-n3h 23 дня назад

      Huyu naye hata nikuchanganyikiwa heri huyo yesu wa tongaren anajitetea😂😂

  • @moregracekenyaofficial7307
    @moregracekenyaofficial7307 Год назад +6

    Bro keep up good work,,,apart from education you make us laugh

  • @umahmed8273
    @umahmed8273 Год назад +2

    Inna LiLlah wainna ilaihi rajiun watu wanajiamini jamani. Allah akuhifadhi ndugu yetu Ramadhan akubarikie

  • @aminaadanaminaadan1359
    @aminaadanaminaadan1359 Год назад

    Allah amwongoze Mzee yohana...Ramadan Allah akujaze kheyr in shaa Allah, Kwa da'awa nzuri

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Год назад +5

    Hahahaha,Inalilahi wainailahi Rajiuni,Allah tupe mwisho mwema yaaa Allah,kiama hichi kimeanza kuonesha dalili,sijuwi tutamwambia nini Allah siku za mwisho 🙏🙏🙏🙏🙏Allah tukinge na masihi dajal ,wafwasi wake hao wameshaanza kutanda Duniani.

  • @kihimbamushyaibrahim7284
    @kihimbamushyaibrahim7284 Год назад +5

    Asalam alaikum warahmatullahi je sheikh vipi twawezatukampata anae shereheshea haya maneno matukufu kwawatu viziwi watu wasio sema nakusikia?sign language for those in need

  • @mistasaa9214
    @mistasaa9214 Год назад +3

    Hawa wazee wazembe kweli, n wanafny ivo vituko kw kutumw n kusapotiwa n waharibifu wa dunia waliokwsha potea n wanatak kupoteza watu. wameshazitoa muhanga nafs zao n adhabu za ALLAH.

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 Год назад +1

    Sheikh Ramadhan Allah akuhifadhi akupe umri mrefu muzidi kutuilimisha maana

  • @essyshiroh4425
    @essyshiroh4425 Год назад +3

    Bungoma tengenezeni nchi yenu muishi mnachosha mna yesu mko na huyu john baptist tena mnajenga yerusalem 😂😢😂😂😂 crazy

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Год назад +3

    inalilahi wainailahi Rajiuni. Huu ni msiba. Allah atuokoe na adhabu kutokana na dhambi ya Hawa watu

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 Год назад +2

    Uyuanaongea Vitu Vyaajabu Ad hao wenzie Wanacheka kisiri Siri Duuu Uyu mzee atari . Sheikh Ramadhani Kaziukonayo hila insha allahy Mungu akusaidie

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 Год назад +5

    Haya yote ya kuitana Nabii na wengine kua wanafunzi chanzo chake ni upagani na kukosa maarifa(elimu) ya kidini na ki Dunia ndio sababu ya upuhuzi wote huu ni kwakua wengi hawana shughuli zinazo waweka busy kwenye maisha.

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 Год назад +6

    Ramadhani Uko makini sana na unawaweza na nimecheka

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 Год назад +5

    Mashallah ya sheikh. Kenya kuna vituko. We obey Allah to safe you.

  • @saderajohn3692
    @saderajohn3692 Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Waluhyia aki mpunguze ugali

  • @footballnews9629
    @footballnews9629 Год назад +3

    Maajabu haya

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 Год назад +2

    Khaaa et mungu Ana ndev kama zake ee mwenyezi mungu tunusuru

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 Год назад +1

    MashAllah kaka RAMADHAN

  • @hamisimuhammad3656
    @hamisimuhammad3656 Год назад +1

    SubhaanaAllah Ametakasika mwenyezi mungu

  • @benin9773
    @benin9773 Год назад +2

    kwani Yeye na Yesu wa tongaren wana paa bila mabawa
    Sh.Ramadhani kweli umekutana na watu wa kushangaza
    Allah akulipe janatul firdaws kwa unachofanya ❤

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 Год назад +2

    staghfirullah staghfirullah staghfirullah
    eti mungu ana ndevu kama yangu

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Год назад +2

    Mtihani mkubwa Kwa kweli dah Allah awaongoze katika dini ya haki inshallah

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +8

    It’s Allah who guides Wallahi. Hawa watu wako ni shida. Just for a penny here and there people do crazy stuff to make ends meet.

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 Год назад +3

    Ubarikiwe !!! lakini nchi ya Kenya ina mambo !!? namiujuza mno Kenya !!? yesu alipatikana Kenya pili makanisa waozesha jinsia moja Léo inapatikana hoana mbatizaji Pia Jéhovah alitembelea subuhana Allah Kenya yiepukane na kila la shari kwa sababu matapeli hawa wanaleta ayibu kubwa nchi ya Kenya

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Год назад +1

    MWL KURIA UNAFANYA KAZI YA KUTUKUKA!! ALLAH AKUPE AAFIYA NA SUBIRA

  • @FaysalMohd-jb2qu
    @FaysalMohd-jb2qu Год назад

    Hakika ndugu yang ramadhan kurya binkaguu unafnya kaz kubwa xana Allah akuhifahd insha Allah na akulipe ujira mwema ww na famlia yako na waislam wote aamiin

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 Год назад +2

    Shekh Allah akujaalie wepesi kwani una fanya kazi kubwa sana

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 4 месяца назад

    SHEIKH ALLAH AKUSIMAMIE NA UFANYE KAZI YAKE KWA AJILI YAKE (Ikhlaswi)

  • @ntakirutimanavicent-lj2tn
    @ntakirutimanavicent-lj2tn Год назад +5

    Sheikh kazi unayo kuwaokowa makafili sio kazi ya mchezo😅😅😅 wana myoyo mguumu mno

  • @maryamjuma1980
    @maryamjuma1980 Год назад

    Allah kuhifadhi sheikh Ramadhan

  • @NsilimwaAbdulrashid
    @NsilimwaAbdulrashid Год назад +3

    Subahanallah

  • @allymkumba70
    @allymkumba70 Год назад +5

    Duh ndugu yangu Ramadan unapambana na mengi sana umepata bahati kuonana na mtu aliomuona Allah.

    • @samfone2357
      @samfone2357 Год назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @vitelinenyambura5650
    @vitelinenyambura5650 Год назад +2

    Wengi wao wanapata wito,but hawana wakuwaombea Ile kipawa wachopata kwa Mungu ,hats Yesu alipatiswa ,happy alijaswa na roho mtakatifu

  • @samweloduor3788
    @samweloduor3788 Год назад +1

    mungu ana ndevu

  • @apoa8232
    @apoa8232 Год назад +1

    Good job bro, huyu Mzee anapoteza wenzake tu Hana lolote la maana

  • @nooor1120
    @nooor1120 Год назад +5

    Astaghfirullah jmn yohana umezidi kufru Allah akuhidi atuhidi na sisi.

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 Год назад

    Mzee punguza uwongo hiyo Kali🤣😂🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣😂🤣😂

  • @jamesabuya3832
    @jamesabuya3832 Год назад +1

    Bungoma Kuna vituko kweli!

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 Год назад +5

    Mh kenya khatari kuna mungu kuna yesu Allah awaongoze

  • @yaqubabdi9532
    @yaqubabdi9532 Год назад +3

    Sasa Hawa vijana wanasikiza huyu Mzee urongo yake makunbwa ivi 😅

  • @jei_Ibrahim
    @jei_Ibrahim Год назад +1

    Kenyaa sihami😂😂 nasubiri Adamu musa na abraham mpaka sasa yesu yohana tuko nao 😂😂 tangu naskitika mpaka na chekaa eeh Alhamdhulillah hawaa wana taka viboko

  • @alhajjngoliomahmud6657
    @alhajjngoliomahmud6657 Год назад

    Jazakallahu khair barakallahu

  • @ianhassan1116
    @ianhassan1116 Год назад +1

    Masha Allah Masha Allah

  • @farajiawadhi8558
    @farajiawadhi8558 Год назад +4

    Kwani hawa jamaa huwa wanajiamini na nini au ni bangi😆😆😆😆😆😆

    • @guenterernst5481
      @guenterernst5481 Год назад +3

      Ni bangi na vengine vikali haiwezekani ni akili zake

  • @MauroZaratte-r4r
    @MauroZaratte-r4r 2 месяца назад

    Aky bhang za bungoma mpka niende nikazionje kumbe mnaenjoy 😂😂😂😂😂😂😂sio bure

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Год назад +2

    Asalam alaikum sheikh Ramadan mitijani ya wanaadam ndio hio

  • @RTGC.R7
    @RTGC.R7 Год назад

    Uyu Mzee anavuta bhangi nyingi ( i Love Jesus Christ my Lord)

  • @paulalimasi4722
    @paulalimasi4722 10 месяцев назад

    Uyu Mzee aogopi Mungu kweli na gisi ata muangamiza.. ole na shida

  • @abdullazizmohammed7015
    @abdullazizmohammed7015 Год назад

    Shukran Kwa kusambaza daawa

  • @djkiwani9291
    @djkiwani9291 Год назад +4

    There's freedom of worship in kenya 🇰🇪

  • @husha6372
    @husha6372 Год назад +3

    Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu MIMI Naona Hawa Watu WOTE Yesu wa Tongeren na Huyu yo Hannah mbatizaji WAMESOMA KIDOGO na Wame amini ILE concept Ya DINI Ya HINDUISM huitwa the INCARNATION CONCEPT WATU HUAMINIKUWA HUZALIWA KWA MARA YA PILI

  • @khamismukanda5687
    @khamismukanda5687 Год назад +1

    What interests me is his age and stature. The guy looks enormously strong for his physical age. Siri ni nini?

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Год назад +2

    Kenya kufuru imezidi sasa ndo maana magonjwa makubwamakubwa yanatikisa Sana kenya