"YOHANA MBATIZAJI" MATATANI POLISI || DAWAH MITAANI BUNGOMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 81

  • @nooor1120
    @nooor1120 Год назад +7

    Allah akusimamie sheikh Ramadhan na masheikh wote duniani.
    Aameen yaarabb

  • @marvelousofzanzibar9556
    @marvelousofzanzibar9556 Год назад +7

    From green and spice island Zanzibar. Allah bless your efforts in teaching non-muslims Allah Allah akupe umri mrefu

  • @maryamjuma1980
    @maryamjuma1980 Год назад +7

    Uyo jamaa muongo anatumia kivuli cha uislamu ili ionekane dini hii si ya haki lkn ni msiba mkubwa huo ila Allah amuongoze afe akiwa muislamu la si hivyo hamna kitu baada ya kufa hamtaamini haya hadi ifike ile siku ya kutoka roho. Allah kuhifadhi sheikh Ramadhan kazi unayoifanya ni ngumu mno ila atakulipa kwa rehma zake

  • @aboubakarnkondokaya7090
    @aboubakarnkondokaya7090 8 месяцев назад

    Allah atupe afya njema na amidumishe katika dawaa

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 Год назад

    Maa Sha Allah Ramadan nakupenda kwa ajili ya allah m/mungu akulinde na akujaze afya njema daima amina

  • @isseamin2017
    @isseamin2017 Год назад +4

    Kazi nzuri sana ustadh Ramadhn

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 Год назад +5

    MA SHA ALLAH
    USTADH RAMADHAN
    MAY ALLAH PROTECT YOU AND YOUR TEAM IN THIS MISSION OF STRAIGHT PATH DA’AWAH ALLAHUMMA AMEEN.

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 Год назад +3

    Shukran sheikh ramadhan kwa kazi mzuri ya dawaah pamoja na team yako Allah awaongoze na awalinde na mashari ya kilimwengu,karibu ndugu yetu wakusilimu katika dini ya haki uisilamu

  • @najmahsharbaid764
    @najmahsharbaid764 Год назад +3

    Kazi nzuri Maa shaa ALLAH Tabarak ALLAH 👌

  • @maryamjuma1980
    @maryamjuma1980 Год назад +3

    Hatari wallah Alhamdulillah kwa neema ya kua muislamu

  • @kutafuna
    @kutafuna Год назад +1

    MASHA ALLAH.

  • @ambarnelly6071
    @ambarnelly6071 Год назад +5

    Masha allah allahuakbar Mungu ni .mwema ,kazi nzuri mwalimu wangu Mungu azidi kukueka insa allah pia na afya njema pia azidi kukupa nguvu ,kazi iyendelee insha allah ❤❤❤❤

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Год назад +2

    Jazaakallah khayrii shekh ❤

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Год назад +4

    Wee huyu jamaa anafurahisha sana 😂😂😂😂

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 Год назад +2

    Mzee anafurahisha sana

  • @NsilimwaAbdulrashid
    @NsilimwaAbdulrashid Год назад +1

    Wao Allah akbary

  • @allydavy6919
    @allydavy6919 Год назад +3

    Asalamu aleikum warahmatullah wabarakatuh ya Ramadhan niko hapa kiambu county but am from Burundi

  • @mudibojaffar9269
    @mudibojaffar9269 Год назад +4

    Assalam Aleykum...Ramadhani naomba ile no Ya kuchangia Ujenzi wa Masjid

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  Год назад

      +254722600533

    • @simpsonisoe8994
      @simpsonisoe8994 Год назад

      The true religion is Judaism,but remember the difference between Christianity and Islam is 700,but the two trace their orign from Judaism,but Christianity and Islam are photocopy and mix of Judaism. In Judaism one God

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 Год назад +2

    Huyo kijana hajui na nimbishi mbaya! Eti forward!

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад +6

    Mzee yoana kashachoka asilimu tu amrudie muimbawake aache uwongowake

  • @simonbidio1259
    @simonbidio1259 Год назад +1

    Good work 🙏

  • @farajiawadhi8558
    @farajiawadhi8558 Год назад +3

    Maashallah

  • @fahimabeid6953
    @fahimabeid6953 Год назад +2

    Masha Allah

  • @NsilimwaAbdulrashid
    @NsilimwaAbdulrashid Год назад +2

    Allah akbalu❤❤❤❤❤❤

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 Год назад +2

    Sawa

  • @Maryam-h4y1q
    @Maryam-h4y1q Год назад +1

    Mashalla ♥️

  • @jakee2041
    @jakee2041 Год назад +4

    Yaaani Kenya all Prophecies of the Bible inapatikana huko 😢😢

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 Год назад +2

    Mkora mwengine huyo, balaaa Kenya tupuuuu

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 Год назад +3

    😂😂😂 askari akiacha Kaz SI ni balaa

  • @geofreyg.mtensa4559
    @geofreyg.mtensa4559 Год назад +2

    Piga makofi msenge uyo, tunawalea sana hawa mbwa...

  • @saediyaofarah6750
    @saediyaofarah6750 8 месяцев назад

    Mashalah

  • @everlynechepkoech5649
    @everlynechepkoech5649 Год назад +1

    Assalam aleykum warahatullahi wabarakatu, masha Allah..kazi mzuri

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  Год назад

      Wa aleyikum salam warahmatullahi wabarakatuh. Shukran jazeelan

    • @smilerbusaidy1830
      @smilerbusaidy1830 Год назад

      ​@@StraightPathDawah 8

    • @husna34562
      @husna34562 Год назад

      Shehk ramadhan kax unayo😂😂😢kila siku kuna jipya

  • @bettygesare5948
    @bettygesare5948 Год назад +1

    Be on your guard

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 Год назад

    Mashaallah brother

  • @Sal.0
    @Sal.0 Год назад +2

    Kijana Baraza ana penda neno: TENGENEZA
    Kwa hivyo,
    1) Adam ali TENGENEZWA kutoka UDONGO au Mchanga!
    2) Na EVE naye, ali TENGEZWA kutoka RIB au BAVU, ilio tolewa kutoka Adam!
    Kwa hivyo, wote ADAM na EVE wali TENGENEZWA, au KUMBWAA na MUNGU!

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 Год назад +2

    Huyu kijana kama kipofu kaona jogoo aliposikia kuona wake saba hakutarajia kusikia maneno haya

  • @JoyNims-w7q
    @JoyNims-w7q Год назад +2

    Maajabu haya🤔

  • @ambarnelly6071
    @ambarnelly6071 Год назад +3

    Asalama alaikum

  • @abdallaaziiz5321
    @abdallaaziiz5321 Год назад +2

    Asc

  • @mosesnjeru6956
    @mosesnjeru6956 Год назад +1

    Hio siku itafika lini😂😂😂😂

  • @jabaruti001
    @jabaruti001 Год назад +1

    Mufti twangonjea kwa hamu ya Busibwabo Busia

  • @RamadhanKarim-el6tv
    @RamadhanKarim-el6tv 10 месяцев назад

    Allah awape umri watu wapate ndawa

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 Год назад +1

    Huyo ni Mr Bado

  • @faithfultoyeshua4576
    @faithfultoyeshua4576 Год назад +5

    Ramadhan umetuletea yesu mwingine 😂

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 Год назад +3

    Wakristo wana matatizo eti yohana yahya bin zakaria tena hapo ana fimbo ya musa mapolisi wache kazi mana bee wa uongooo

    • @husna34562
      @husna34562 Год назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @Hi_20206
    @Hi_20206 Год назад

    Mwalimu..my sister says she has gift of prophesy ..what she dreams happens..hio ni ukweli?

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Год назад +3

    Assallam aleikum shekhe furaha kubwa kutazala channel hii yako nimefurahi ssna huyu hamaa amenichekesha ati wakati gani ndio akaange akiletewa ma8sha magumu mpaka wanaume wanataka tu kukaa bure waletewe na wanawake we kweli bibilia ina mambo😂😂😂

    • @husna34562
      @husna34562 Год назад

      Waalaykum msalam waramatullah wabarakatu

    • @husna34562
      @husna34562 Год назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @rosemaina4500
    @rosemaina4500 Год назад +1

    Round hii wazee wa western wameamua ni kuchase clout...whatever the cost. Astafirullah!!! Hawaogopi adhabu za Allah!!Mwenyezi mungu awajalie unyenyekevu.

  • @sheemaryam
    @sheemaryam Год назад +1

    Welcome to Kenya where god, Jesus and yohana and prophets are found. in future,seems will have Angles 😂🎉🎉🎉🎉🎉 😂😂😂😂 another shakahola...mean while wacha mm nibaki huku ulimwengu wa Mars na Jupiter, kaeni huko kwenu kenya juu kila mahali ni shakahola😂😂😂😂😂 kenya yaogopesha kwa sasa

    • @mwanamtotosaid702
      @mwanamtotosaid702 Год назад

      🤣🤣

    • @mwanamtotosaid702
      @mwanamtotosaid702 Год назад

      Walykum salam warhamathulah wabarakatuh 🙏

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 Год назад

      Kuna angels kwa yesu wa tongaren😂😂😂..shetani ndo amebaki hayuko

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 Год назад

    Shida ya wakristo ni washindani na hawayafati maandiko ya hicho kitabu chao wamepotea kweli

    • @simpsonisoe8994
      @simpsonisoe8994 Год назад

      Ukweli ,sisi wenye tunafuata Judaism kuja tuwafunze

  • @johnwanjala4311
    @johnwanjala4311 Год назад

    Yohana mbatizaji ni sawa sawa na Paulo msomi lakini usikubali kuhojiwa na muisilamu anakejeli na kufanyia wakristo mzaha

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  Год назад +1

      Kaskie vibaya huko kwenu

    • @hamisijm8437
      @hamisijm8437 Год назад +1

      Wachasindano hikuingie Vizuri

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 Год назад +1

      Pole hv nyiyi mbona hamfatilii dini zote mjue ukweli mana bee wote waislam

    • @jamilaomari2444
      @jamilaomari2444 Год назад

      ​@@StraightPathDawah😂😂😂

    • @husna34562
      @husna34562 Год назад

      ​@@StraightPathDawah 😂😂😂😂😂

  • @adrisshagi1255
    @adrisshagi1255 5 месяцев назад

    Huyo amini chekesha siku gani. Mimi pia nige taka

  • @mohamedmohamud6053
    @mohamedmohamud6053 Год назад

    Too bad if that mzee is not given for the chai he requested several times

  • @ShabaniAshura
    @ShabaniAshura Год назад

    Maashaallah

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Год назад +3

    Asalama alaikum