Wallah uislamu neema sana Allah atuongozee waislamu wote na atupe mwisho mwema na awahifadhi masheikh wetu awajalie umri na awajalie wawe wenye kupenda na kusaidiana
@@jeffmulei8895 ilokuwepo qabla ya Quran ni tawrati na zaburi na injili na sio bibilia sababu neno bibilia halipatikani ndani ya bibilia it's not exist! You can only find outside the cover but not inside, if you look word Quran you'll find outside and inside the Qur'an
Wewe ni mwongo mkubwa Tena yesu Atabaki Kuwa Yesu,,akuna kuenda mbinguni,,,Hadi yesu arusi bibilia inasema wote walio lala mautini watafufuliwa,,wewe unasema eti waliokufa wakati wa Abraham,,na musa walienda aje mbinguni na yesu alikua hayuko,,,wewe ulilipwa kuwacha ukiristo na kuenda uisilamu,,mungu akusamehe
@@buuwahiid2898 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwahiyo wataka kusema wazazimbar halisi nyie Ni wa takatifu..... Wakazi wa zenji mnaogoza kwa Uchafu Acha kusingizia watu bara.. Juzi kakamatwa mwalimu wa madrasa kalawiti mtoto nae Ni wabara..
@@mwanahamis5487 sitaki kuleta fitna ya ushabiki anaye ijuwa zanzibar ananielewa nata mwaipopo ni mbara lkn amesema sio wazanzibar halisi ni wageni kutokea bara
Shida kubwa yenye wachungaji wetu wanayo ni uchache wa Elimu, mchu gaji ambaye amesoma Quran, amesoma ,hadidhi za mtume,amesoma kitabu maisha ya mutume , waalimu wakiislamu watatoroka
Yes alishushiwa nabi Muhamad nawameshakwambiya anafanana na Musa alikuwa na swahaba yuko kama haruni wa musa yani mutuwake wapili itika yesu alisoma akwende akuoneshe daftari zake 😅😅 utume nimiujiza aio mpaka mutu asome paulo njo kasoma kaona uroho wa mutume atakuja mupia kaja kuwa zalimu: yesu alisoma afu mwamuita mungu mungu asome aje na nilazima awe na elimu binafsi yakujitosheleza ico kitabo alikiandikisha ni aboubakar yuko kama haruni wa musa badala yakifo ca anayeshushia we vip? Mutume muhamadi anafanana na musa vingi ata kucunga mbuzi vingitu
Nyinyi hamjui. Mazinge huwa anapiga zile za kuumiza mpaka Wana kimbia. Ila huyu jamaa ana hekma sana na ndivyo inavyo takiwa na ndo watasilimu kwa wepesi
80:11..13...Quran Waandishi Ni malaika kupitia kwa mtume Mohammad s.w.s.na mtume aliihifadhi na maswaba zake wakawa wanakopi kutoka kwake then Mtume anayapitia walio andika Kama yako sawa na aliye funuliwa
@@alhaddajmohammed4768 nipe haya inayosema SINAGOGI ni msikiti ndani ya BIBILIA kama mimi nilivyotoa haya kwenye quran 22:40 kwamba sinagogi sio msikiti.
@@alhaddajmohammed4768 Na watu waliokuwa wakisalia kwenye MASINAGOG Walikuwa wakimpinga sana BWANA YESU ndo waliokuwa wanataka kumuua Ndo maana waliosalia mle aliwaita watu wa SINAGOG LA SHETAN soma ufunuo 3:9
@@alhaddajmohammed4768 omba tukufundishe hiyo tafasiri ya maneno magumu ni waliotafsir biblia kwa kiswahili, ni tafsri shabihifu, ni maneno ya watu waliotafsiri biblia kwa kiswahili,sasa kwanini biblia ya Kingereza Kifaransa, kiarabu na lugha nyingine hazina Tafasiri hiyo? tumekupa aya ndani ya quran, qurani 22:40 haya na wewe toa aya ndani ya biblia tukuone kama mkweli , kitu ambacho huelewi wayahudi wapo waliomkubali yesu na waliomkataa waliokubali ndio wakristo au watu wa christo na ndio wanaoitwa kanisa ni wa tuna sio jengo kama kitabu chako cha qurani22:40 kinavyo dai
Mwaipopo maneno Yako nimazuri ila munababa isha Watu wenye awajuwi mahandiko unasikiya kwanza uyo mwalimu amesema kama ajuwi q'aran yeye anajuwa kitabu pekeyake
Mimi nimetaka Mwaipopo anipe namba ya huyu kijana hajanipatia. Mwisho asema kama huamini basi. Siamini nini. Yeye angetuunganisha na hawa wanaohitaji msada. Mimi nitamsomesha na kumsaidia chakula cha siku nzima. Aniunganishe tu na huyu kijana.
Msaidie Qur'an 3:48, inasema hata yesu alifundishwa na mungu kujua elimu ya torati na injiri, pia mtukufu wa daraja naye kafundishwa na jibril Mallika mwenye nguvu, QUR'AN 53:1-5,ASILIMU, MWAIPOPO ALLAH AKUZIDISHIE KHERI
@@essaumpuma2981 kitabu kinachotukana mungu aliyetuumba eti ni Malaya ndicho cha Shet'ani, harafu nakushangaeni makafiri WOOTE Shet'ani ni kafiri naye ushaidi Qur'an 2:34,
@@shifaazawadi4438, Utawaweza kwa uongo na uzushi hao? Wamerithi kwa babu yao Paulo "Warumi 3:7" na Paulo alijisifu yy ni muongo na Yesu akathibitisha Paulo ni muongo Matayo 8:44. Note; Paulo alikua Farisayo na alijifanya kipofu.
@@alhamdulillah5796 sijui hawawlewi biblia kama paulo aliwaambia niupumbavu wangu mwenyewe lakini sikutumwa haya maandiko hawayaoni tena akawaambia mkusanyikapo siku ya ijumapili sikwafaida bali mnkusanyika kwa hasara
Huyu bado hajaijua Bible ukija kwenye ELIMU YA FANI YA MJADALA inabidi umesoma BIBLE zote na ziwe kichwani ndipo Uje mezani sio unatoa kichwani utachanganya watu ndugu yangu
sio dini ya majini lakini alteast majini walisikia quran wakasilimu, lakini waisilamu wote ni ndugu, basi waisilamu wana ndugu wa kijini, ambao kwa mujibu wa biblia majini wote ni waasi wote motoni. Yaani majini wameona pakukimbilia ni kwenye uisilamu toooba huu ni msiba, Majini hayana nafasi katika kristo Yesu. Majini hawana dini isipokuwa ni uisilamu. huo ni ushahidi tosha kuwa uisilamu ni ambayo aitokani na YEHOVA bali ALLAH ambaye mpaka sasa hana mfano, kwakifupi hayupo, ila ametungwa tu.
@@alhamdulillah5796 Poa, sijui ila ninashaka na dini ambayo ni kimbilio kwa majini, Majini yanaona bora yasilimu, ndio maana inabidi iwachukue mda kusoma elimu ya kijini kwa kuwa ni ndugu zenu kiimani, inasikitisha sana, kiukweli hamjui, mnayemwabudu. Ndio maana mpaka leo kuna vitu vingi haviishi katika uisilamu, bado kuna hitilafu nyingi katika kipi ni halali kipi ni haramu , hadithi dhaifu na sahihi, Mafundisho mengi hayaendani na ustarabu na maumbile ya mwanadamu.
Ww akil hun kwanz ujue tofaut bain y jin n shetan hlf cc waislam tunkubal kuw wapo majin waislam n wasio waislam nd mashetan ndug zenu nyiny wakristo at ww mwenyew n shetan kw sabab umekataa hki
Msibishane sana ikiwai kweli kristo mda wake umepita niambie ni Nani mwenye kufufua wafu Katka kihama ya mwisho; lakin pia subiria ukifa ndilo utajua yesu ni Mungu au sio Mungu pia nyie hamkua na yesu ndani ndiomaana mlimuacha kristo
Ssi waislamu ndo tunamfuata yesu sasa kazi kwenu mana hakuingia kanisani hajabatiza hajajita yye ni mungu wala kwenye biblia hakuna neno ukristo ni dini sasa ndugu huna dini,Huna mungu sasa kazi kwako
Kiuongozi imani ya uislam ni muhammad na imani ya ukristo ni yesu.....kwahiyo kuufuata uislam si kumfuata yesu bali muhammad na kumfuata yesu ni kufuata imani gani?
Halafu nyinyi wainjilist kama mtu haujui bibilia vzr na haujui quran vzr hii kaz hautoiweza utatufedhehesha sisi wakristo. maana kila watakalokusomea eidha ni kweli au uongo lazima utakubali
Tafuteni yyte mumjuaye yatakua hayo hayo na ndio maan kina Gwajina wanaogopa man wanajua watafedheheka. Wakifika penye haq/ukweli....uongo wao utabainika na watapoteza wafuaisi
Wapi wacristo mungu awataje kwa jina mutakwenda mbinguni???? Towa swali ni mbili manabi wauongo yesu hasikiyi haoni kilacake kimesimamishwa na Allah Allah ndiye atamurudisha aishisikuzake zilizobaki na afe na yeye kila roho itakufa
Yesu nikama mubunge wawaisilam na akija atamukubali na alisema akitaka ku pas atakuja mutume ahmad yesu amemutaja MUHAMMAD bila ata hajazalia alitaja jina alitabiria MUHAMMAD s.a.w namitume wengi na nabi nuhu yesaya mitume wengi waliondoka wakijuwa atakuja nabi wa mwisho uesu sasa njo kataja atakuja nabi wa uongo na waukweli na hawo wawili yesu anawasema ni paulo wa bibilia aliyejipa utume na anajitangaza kuwa katumwa nashetanu na Muhamad MUHAMMAD na yesu ni ndugu ka ufunzwe waisilam njo tunaongeya kweli tena haki izodini zingine zote nja tu nakujipeleka motoni
Yesu akidema apo mumeka na shekh atamusemeya sheikh katika haki ila nyinyi eacristo mumedanganywa na ma papa ebu twambiye izokanisa zote mbona hazinalakuzungumuza bila yesu masayenu munayamaliza kwakufanya upuuzi tu makanisani
Wallah uislamu neema sana Allah atuongozee waislamu wote na atupe mwisho mwema na awahifadhi masheikh wetu awajalie umri na awajalie wawe wenye kupenda na kusaidiana
Hakika unafanya kazi Shekh wetu, Allah akusimamie na akupe pepo
Allah akufanyie wepesi sheikh wangu mwaipopo pamoja na waislamu woote Allah atuingize peponi ameen 🤲🏻
Amin
ilimpasa Muhammed haubiri habali ya yesu kwamaana yesu alikueko kabla Muhammed Bali aliasi na pia Bible ilikua kabla ya Qur'an
@@jeffmulei8895 ilokuwepo qabla ya Quran ni tawrati na zaburi na injili na sio bibilia sababu neno bibilia halipatikani ndani ya bibilia it's not exist! You can only find outside the cover but not inside, if you look word Quran you'll find outside and inside the Qur'an
@@jeffmulei8895 toa andiko kwanzia mwanzo wa biblia mpaka mwisho kam utakuta kuna sehemu imeandikwa biblia zaid ya juu ya lile kasha
Amiin amiin
Sheikh wetu mwaipopo Allah akupe afya njema na akulipe kw yale unayoyafnya na akupe ujasiri ya kupambana na hawa makafiri
Mungu azidi kukuletea wepesi shekh Mwaipopo
Mungu akupe pepo ya daraja ya juu sheh wangu na ambao hawamini uislamu kuwa ni dini ya haki basi waingie kwa makundi ishaalwah
Uislamu ni dini ya kweli kweli shekhe
Allahu akbar shekhe Mwaipopo.Mungu.akulipe.jannah.Kwa.kazi.unayoifanya
Inshaa Allah mungu amfungue amtoe kwenye Giza asilimu kashaanza kuelewa
Allah akuongoze sheikh mwaipopo
Mwaipopo kwa maneno tu unanifurahisha dah
Sheikh Mwaipopo Allah akubarik na aku hifadhi Ameen Ameen.
Allah akutie nguvu zaid sheikh mwaipopo kwa kazi nzito
DAH, I SALUTE SHEIKH MWAIPOPO
Masha Allah Mungu akuhifadhi Sheikh
MashaAllah sheikh kazi nzuri maswali kama hayo ndio yanatakikana katika mijdada
Mwijilisti kasema andiko hilo hakuna🤣🤣😜😜😜😜 Piga keleleee kwa mwaipopo ❤️❤️❤️❤️❤️❤️😘😘😘😘😘💙
Wallahi mwaipopo Allah akulipe
Utukufu ni wako Allah mwaipopo akutukuze Allah waelemishe wakristu waijue kweli hao
Kazi nzuri unafanya kwa elimisha mungu akubariki
ALLAH AKUJALIE SANA UST MWAIPOPO?
Shukrani mwaipopo kipindi Kizur lkn kifupi
Shukran San sheikh wetu
Wallah leo nimeamini mwaipopo ni msomi Allah amuhifadhi na amzidishie imani. Amin
Shekh mungu akuongezee ilim ishaalla alla akulipe
May Allah bless you always shkh
Wallah uislaam Raha mungu awalinde mashekhe wetu yaan anajikanyaga mwenyewe hata anachosema hayuko sawa ameshajichanganya huu msiba mzito
Wewe ni mwongo mkubwa Tena yesu Atabaki Kuwa Yesu,,akuna kuenda mbinguni,,,Hadi yesu arusi bibilia inasema wote walio lala mautini watafufuliwa,,wewe unasema eti waliokufa wakati wa Abraham,,na musa walienda aje mbinguni na yesu alikua hayuko,,,wewe ulilipwa kuwacha ukiristo na kuenda uisilamu,,mungu akusamehe
Wallah shekh mwaipopo Allah akulipe naakupe mwisho mwema
😂😂😂😂😂 ila hawa watu Allah awaongoze inshaallah........ameeen
Masha"Allah yani uyu dogo kachemsha kabisa ana hoja biblia iko wazi na Qura'n pia
Mwanangu nnapoenda nakuona by the way ww n mtu wa Kangani? We n mdogo wake Khadija?
Mashaallah shkh
Mashalah
Sasa mashehe Yesu ana wahusu nini nyie endeleni na mtumeme wenu sisi tubaki na Yesu wetu.
Amini
Ni msiba kusikia mzazimbar kaokoka 😀😀😀😀😀🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Sasa mtu utamkuta kusoma hajasoma, imani ya Mungu hana halafu anapelekewa pesa ya boflo afanyeje? Au huwajui hao wanavyonunua watu?
@@alhamdulillah5796 mungu atunusuru
@@mwanahamis5487 sio wazanzibar halisi ni wakutoka bara
@@buuwahiid2898 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwahiyo wataka kusema wazazimbar halisi nyie Ni wa takatifu..... Wakazi wa zenji mnaogoza kwa Uchafu Acha kusingizia watu bara.. Juzi kakamatwa mwalimu wa madrasa kalawiti mtoto nae Ni wabara..
@@mwanahamis5487 sitaki kuleta fitna ya ushabiki anaye ijuwa zanzibar ananielewa nata mwaipopo ni mbara lkn amesema sio wazanzibar halisi ni wageni kutokea bara
MashaAllah
Shida kubwa yenye wachungaji wetu wanayo ni uchache wa Elimu, mchu gaji ambaye amesoma Quran, amesoma ,hadidhi za mtume,amesoma kitabu maisha ya mutume , waalimu wakiislamu watatoroka
Bwana Yesu asifiwe
Yesu muislam ndugu uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu uisome uislam
Mashaa Allah
Mashaalh shekh wet
Mashallah
Mazinge ukowapi kuna kajitu ha pa kabisha ka dagaa wakigoma njoo ukanyooshe
Yes alishushiwa nabi Muhamad nawameshakwambiya anafanana na Musa alikuwa na swahaba yuko kama haruni wa musa yani mutuwake wapili itika yesu alisoma akwende akuoneshe daftari zake 😅😅 utume nimiujiza aio mpaka mutu asome paulo njo kasoma kaona uroho wa mutume atakuja mupia kaja kuwa zalimu: yesu alisoma afu mwamuita mungu mungu asome aje na nilazima awe na elimu binafsi yakujitosheleza ico kitabo alikiandikisha ni aboubakar yuko kama haruni wa musa badala yakifo ca anayeshushia we vip? Mutume muhamadi anafanana na musa vingi ata kucunga mbuzi vingitu
Maa shaa Allah ukweli umefikia na kajitosheleza kwa masuala ilobaki ni kazi yake na Allah ndie anaeongoza.
We mwalimu wa wakirisu yesu aliwayi kuwa njia yakwenda kwa Mungu kwa zama zake
wewe unamatatizo huna point
Walaykum salam warahmatullaah wabarakatuh
Muijilisti naona alainika inshallah atasilimu Tu.
M/mungu as mfungue akili yake amina
Huyo siyo mchungsji
Mbona mnaongeyatu bilakusoma vitabu someni vitabu sheikh wetu
Angekutanana mazinge angesilim
Nyinyi hamjui. Mazinge huwa anapiga zile za kuumiza mpaka Wana kimbia. Ila huyu jamaa ana hekma sana na ndivyo inavyo takiwa na ndo watasilimu kwa wepesi
80:11..13...Quran
Waandishi Ni malaika kupitia kwa mtume Mohammad s.w.s.na mtume aliihifadhi na maswaba zake wakawa wanakopi kutoka kwake then Mtume anayapitia walio andika Kama yako sawa na aliye funuliwa
Mungu yupo kwenye dini zote
Uongo wote waislam
WACHA KUDANGANYA WATU SINAGOG Sio msikiti
SINAGOG Kwa kiharabu ni majamihu
MSIKITI KWA Kiharabu ni Masjid
soma 22:40 quran
Soma Biblia tafsiri ya Sinagogi ni nini?!
Kwa mujibu wa Biblia maana ya SINAGOGI/MASINAGOGI ni Misikiti ya Wayahudi.
@@alhaddajmohammed4768
nipe haya inayosema SINAGOGI ni msikiti ndani ya BIBILIA kama mimi nilivyotoa haya kwenye quran 22:40 kwamba sinagogi sio msikiti.
@@alhaddajmohammed4768 Na watu waliokuwa wakisalia kwenye MASINAGOG Walikuwa wakimpinga sana BWANA YESU ndo waliokuwa wanataka kumuua Ndo maana waliosalia mle aliwaita watu wa SINAGOG LA SHETAN
soma ufunuo 3:9
@@alhaddajmohammed4768 omba tukufundishe hiyo tafasiri ya maneno magumu ni waliotafsir biblia kwa kiswahili, ni tafsri shabihifu, ni maneno ya watu waliotafsiri biblia kwa kiswahili,sasa kwanini biblia ya Kingereza Kifaransa, kiarabu na lugha nyingine hazina Tafasiri hiyo? tumekupa aya ndani ya quran, qurani 22:40 haya na wewe toa aya ndani ya biblia tukuone kama mkweli , kitu ambacho huelewi wayahudi wapo waliomkubali yesu na waliomkataa waliokubali ndio wakristo au watu wa christo na ndio wanaoitwa kanisa ni wa tuna sio jengo kama kitabu chako cha qurani22:40 kinavyo dai
@@essaumpuma2981 sina gogi msikiti nyuma ya bible imeandikwa mbona hawa jandika kua ni kanisa mfano beth le hem manake Kwa kiarabu nyumba ya nyama
Allah akbal
Waislaam tembea kifua mbele tuna dini ya haki hao wengne NI mataka taka,hiyo shule alosoma yesu sjui NI vidudu
Ulisikia wapi
SUBHANALLAH
Kwa hayo maandiko ulio yatoa Mwaipopo hakuna andiko lililo thibitisha kuwa Yesu kuwa ni mwislam,
Nenda na wewe ukatetee ukristo tukuone acha maneno ya katika kawa
Wapi yesu ni mkristo na wapi kaimgia kanisani mana yesu kaingia msikitini si kanisani na wanao ingia msikitini kufanya ibada muna wajua
Naomba mjadala na mwaipopo
Namba hiyo chukua umtafute
Ameweka namba zake za cm hapo juu kwaiyo mtafute mufanye mdahalo
YESU KRISTO OYEEEEEEEEEEEE
M'Mungu amuongoze kila mja
Papa oyeee lakinii yesu msimsingizie ni muilam alimsujudia mmungu mmoja
YESU NDIYO SIRI KUBWA
Uislam hauna msaada ni wenyewe unajithibitisha kuwa ni dini ya kweli.
Mwaipopo maneno Yako nimazuri ila munababa isha Watu wenye awajuwi mahandiko unasikiya kwanza uyo mwalimu amesema kama ajuwi q'aran yeye anajuwa kitabu pekeyake
Assalamualaikum.
Salam dr indonesia
Mimi nimetaka Mwaipopo anipe namba ya huyu kijana hajanipatia. Mwisho asema kama huamini basi. Siamini nini. Yeye angetuunganisha na hawa wanaohitaji msada. Mimi nitamsomesha na kumsaidia chakula cha siku nzima. Aniunganishe tu na huyu kijana.
Toa andiko kijana Wapi ukirto dini
Wakiristo msaidieni mwenzenu mpeni aya ni wapi ukiristo ni dini ndani ya bililia?
Ukristo sio dini ukristo ni mtoka mbinguni mtu wa mbinguni
Msaidie Qur'an 3:48, inasema hata yesu alifundishwa na mungu kujua elimu ya torati na injiri, pia mtukufu wa daraja naye kafundishwa na jibril Mallika mwenye nguvu, QUR'AN 53:1-5,ASILIMU, MWAIPOPO ALLAH AKUZIDISHIE KHERI
Ni kweli ndivyo kitabu cha shetani, majini na nabii malaya kinachosema hongera!
@@essaumpuma2981 kitabu cha Shet'ani hiki hapa ISAYA 23:17 INASEMA MUNGU WAKO NI KAHABA, KITABU HIKI NDICHO CHA SHET'ANI, HONGERA
@@essaumpuma2981 kitabu kinachotukana mungu aliyetuumba eti ni Malaya ndicho cha Shet'ani, harafu nakushangaeni makafiri WOOTE Shet'ani ni kafiri naye ushaidi Qur'an 2:34,
@@essaumpuma2981 nabii Malaya, alimtomba Dada yako?? Enzi hizo Wazazi wake na binti waliona amekua ndio maana wakamuozesha, unaferi wap
@@alimasisalumu8038 hapana alitom ba lizeee bi hadja
Sheikh bhana unajitahidi kufunika ukweli Musa alipewa utume na Mungu na mtume Mohammed alipewa Utume na mjomba wake aliyekuwa mchawi Mr Waragha
Soma biblia vizuri utajua Mohammad alitabiriwa kwenye biblia
@@shifaazawadi4438, Utawaweza kwa uongo na uzushi hao?
Wamerithi kwa babu yao Paulo "Warumi 3:7" na Paulo alijisifu yy ni muongo na Yesu akathibitisha Paulo ni muongo Matayo 8:44.
Note; Paulo alikua Farisayo na alijifanya kipofu.
@@alhamdulillah5796 sijui hawawlewi biblia kama paulo aliwaambia niupumbavu wangu mwenyewe lakini sikutumwa haya maandiko hawayaoni tena akawaambia mkusanyikapo siku ya ijumapili sikwafaida bali mnkusanyika kwa hasara
Huyu bado hajaijua Bible ukija kwenye ELIMU YA FANI YA MJADALA inabidi umesoma BIBLE zote na ziwe kichwani ndipo Uje mezani sio unatoa kichwani utachanganya watu ndugu yangu
Mbona mchungaji unaongopea kufunga macho kama ilivyo desturi yenu walokole ....
Sheikh Hao wameshapotea mngu awaongoze...
Ukiridhika kuwa yesu ninani na ameletwa Kwa ajili Yakima Nani basi utaridhika maneno ya shekhe ukiridhika basi utakuwa niubishi tuu wamakafiri.
Wenjutakwenda motoni ambaye umefunzwa na paulo aliyetumwa na sheitani eti yesu mungu yesu mutoto wa mungu yesu kafa musalabani
Huyobadomchanga sheikh naomba mueunaso MN avitabu iliaone mandiko Nadine mwenyewe
Mchungaji jibu swali
sio dini ya majini lakini alteast majini walisikia quran wakasilimu, lakini waisilamu wote ni ndugu, basi waisilamu wana ndugu wa kijini, ambao kwa mujibu wa biblia majini wote ni waasi wote motoni. Yaani majini wameona pakukimbilia ni kwenye uisilamu toooba huu ni msiba, Majini hayana nafasi katika kristo Yesu. Majini hawana dini isipokuwa ni uisilamu. huo ni ushahidi tosha kuwa uisilamu ni ambayo aitokani na YEHOVA bali ALLAH ambaye mpaka sasa hana mfano, kwakifupi hayupo, ila ametungwa tu.
Ikiwa hamjui kutofautisha hata Jin na Malaika mtajua nn?
@@alhamdulillah5796 Poa, sijui ila ninashaka na dini ambayo ni kimbilio kwa majini, Majini yanaona bora yasilimu, ndio maana inabidi iwachukue mda kusoma elimu ya kijini kwa kuwa ni ndugu zenu kiimani, inasikitisha sana, kiukweli hamjui, mnayemwabudu. Ndio maana mpaka leo kuna vitu vingi haviishi katika uisilamu, bado kuna hitilafu nyingi katika kipi ni halali kipi ni haramu , hadithi dhaifu na sahihi, Mafundisho mengi hayaendani na ustarabu na maumbile ya mwanadamu.
@@abelsteven3189 njoo tujadili bibilia
Ww akil hun kwanz ujue tofaut bain y jin n shetan hlf cc waislam tunkubal kuw wapo majin waislam n wasio waislam nd mashetan ndug zenu nyiny wakristo at ww mwenyew n shetan kw sabab umekataa hki
😀
Shekhe naombeni mje muweke mdahalo mafinga mkoa wa ilinga mje mtupunguzie hawa watu uku naombeni jaman mje na shekhe mazinge mje nae
Kweli kabisa waje kuelimisha watu
Mchungaji amechemsha
Msibishane sana ikiwai kweli kristo mda wake umepita niambie ni Nani mwenye kufufua wafu Katka kihama ya mwisho; lakin pia subiria ukifa ndilo utajua yesu ni Mungu au sio Mungu pia nyie hamkua na yesu ndani ndiomaana mlimuacha kristo
Ssi waislamu ndo tunamfuata yesu sasa kazi kwenu mana hakuingia kanisani hajabatiza hajajita yye ni mungu wala kwenye biblia hakuna neno ukristo ni dini sasa ndugu huna dini,Huna mungu sasa kazi kwako
Yesu ni Mtume wa Mungu kama mitume wengine...Yesu sio Mungu...
Huyo agekutana na mazinge 😀😀😀😀mwijilisti Kaa Mbali na Hao watu unawajaribuu sio
Alete kabisa wapi mungu awe musemaji ucristo nidini ya mungu
Njoo tujadili bibilia
Mm jamani someni biblia Sana nyakati za mwisho hizi ata sijaona kilichomvutia huyu jamaa kuingia uislamu
Huyu mtoto badoo hata kusoma hajasoma vizuri nimuigajitu
Kiuongozi imani ya uislam ni muhammad na imani ya ukristo ni yesu.....kwahiyo kuufuata uislam si kumfuata yesu bali muhammad na kumfuata yesu ni kufuata imani gani?
Kwani yesu dini gani
Halafu nyinyi wainjilist kama mtu haujui bibilia vzr na haujui quran vzr hii kaz hautoiweza utatufedhehesha sisi wakristo.
maana kila watakalokusomea eidha ni kweli au uongo lazima utakubali
Na kila anayekuja mnafedheheshwa. Mnafedheheshwa au wanakuzidini akili makanisani lkn wanapofika kwenye ukweli uongo wao hujitenga?
Tafuteni yyte mumjuaye yatakua hayo hayo na ndio maan kina Gwajina wanaogopa man wanajua watafedheheka. Wakifika penye haq/ukweli....uongo wao utabainika na watapoteza wafuaisi
We unae juwa yesu wapi kasema yy ni mungu ndugu
Wapi wacristo mungu awataje kwa jina mutakwenda mbinguni???? Towa swali ni mbili manabi wauongo yesu hasikiyi haoni kilacake kimesimamishwa na Allah Allah ndiye atamurudisha aishisikuzake zilizobaki na afe na yeye kila roho itakufa
Yesu nikama mubunge wawaisilam na akija atamukubali na alisema akitaka ku pas atakuja mutume ahmad yesu amemutaja MUHAMMAD bila ata hajazalia alitaja jina alitabiria MUHAMMAD s.a.w namitume wengi na nabi nuhu yesaya mitume wengi waliondoka wakijuwa atakuja nabi wa mwisho uesu sasa njo kataja atakuja nabi wa uongo na waukweli na hawo wawili yesu anawasema ni paulo wa bibilia aliyejipa utume na anajitangaza kuwa katumwa nashetanu na Muhamad MUHAMMAD na yesu ni ndugu ka ufunzwe waisilam njo tunaongeya kweli tena haki izodini zingine zote nja tu nakujipeleka motoni
Hahahaha yesu alisema atatuachia roho mtakatifu, haku na mtume zaidi ya christon mwenyewe soma qurani 33:50-51 utaona mwenyewe Muhamad ni malaya
Ameenda awe mganga wa kienyeji
Ndugu umepotea ata maona yako yata fungwa umemsaliti yesu mara ya pili vifungo vyote vimekurudi uta omboleza hutapata msaada.
Yesu akidema apo mumeka na shekh atamusemeya sheikh katika haki ila nyinyi eacristo mumedanganywa na ma papa ebu twambiye izokanisa zote mbona hazinalakuzungumuza bila yesu masayenu munayamaliza kwakufanya upuuzi tu makanisani
Sasa mbona mchungaji mwenyewe hata kujieleza hajui ?
mwaipopo mbona unatuigizia. sasa huyo jamaa nimchristo kwel?
😂😂😂😂 dogo kajikanyaga
WAINJILIST TUNATAKA POINTS WAPI NABII ISSA AS ALIKUA MKRISTO WAPI UKRISTO NI DINI YA MWENYEZIMUNGU?
Maana ya dini ni nini?
Shekhe mwaipopo kaelewa huyo pasta cunaona alivyotulia
Mchungaji feki andiko Hana hanatapa tapa
Huyu hajui kitu