MWAIPOPO APAMBANA NA ASKOFU KUISHAMBULIA SERIKALI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 41

  • @naasibabuu
    @naasibabuu Месяц назад

    Kazi nzuri mwaipopo

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v Месяц назад +2

    Mwaipopo mzee bangi a k a cha pombe nakuelewaga sna

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 Месяц назад +1

    Ongea Baba.

  • @musarashid7873
    @musarashid7873 Месяц назад +2

    Safi ,kila baya linalojitokeza lazma ukemee vikali bila kujali la dini gn wala madheheb gn ......kazi nzuri mwaipopo Allah akuweke

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 Месяц назад

      Mchengerwa Jana kasema ccm wamesimamisha wagombea NCHI nzima,,,mitaa,vitongoji,vyote ila upinzani ni 36% TUU,,, SASA ukijiuliza ccm hawajaenguliwa?
      Je wapinzani kabla hawajaenguliwa WALIKUA asilimia NGAPI? Kwanini tunalifumbia macho hili,,, maaskofu wamekenea ILO nalo ni kosa?

  • @kalamamuller-qe1yd
    @kalamamuller-qe1yd Месяц назад +2

    Ni lisha semaga b4 why mama asi fute haya maswala ya vyama vingi. Vyama vingi ni upuuz tu

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Месяц назад +3

    Waambie mwaipopo wamezidi maaskofu

  • @2002-h6c
    @2002-h6c Месяц назад +3

    Wakatoliki wanadhani wao wana haki zaidi kuliko Watanzania wengine pia ni wabaguzi sana.

  • @JumanneIddy-z5e
    @JumanneIddy-z5e Месяц назад +2

    afadhali umewachana ukweli ati wametoa waraka 😂😂😂 watoe kwanza kwa waumini wao wanaoingia makanisani bila kujistiri

  • @Jerryrawlingschaula
    @Jerryrawlingschaula Месяц назад +2

    Niko pamoja na wewe

  • @charlesnzelu9811
    @charlesnzelu9811 Месяц назад

    Mwaipopo tatizo ni elimu yako ndogo sana huwezi kucompte na hao pia ma uelewa ni mdogo sana ndomaana unabwamwaja hebu jitafakari njaa inakusumbkua

  • @AminaKimbunga
    @AminaKimbunga Месяц назад +3

    Mwaipopo Vita ya Masharifu Bado haujaimaliza saizi uko Kwa maskofu. Nakuona siku za usoni utaingia kwenye mfumo wa unao wasema watakufikisha mahakamani wakikudai Bilioni 1 sijui unayo?? au utarudi kuomba uruma Kwa watanzani. Nakushauli Muhubiri Mungu na Mtume Ili watu wasilimu kama afanyavyo Mashekhe wengine kwani utapata thawabu Kwa Mungu. achakuwaongelea watu. Niushauri tu ndugu yangu

    • @WazirBoy-fe5ew
      @WazirBoy-fe5ew Месяц назад +1

      Yaani bonge la ushauri umempa, atakuwa kama yule musiba

    • @naasibabuu
      @naasibabuu Месяц назад

      Mambo hayapo hivyo huu ni munkar lazima akemee
      من راء منكم منكرا فليغير با يده .... mpaka mwisho wa Hadith
      sasa anakaa kimya kwamba hao watu wanatisha sana au wanachokifanya ni sawa? na hao masharifu uchwara waachwe tu waendelee kuibia watu kwa uhuni wao huu

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 Месяц назад

    We hauna akili

  • @SaleheLikulo
    @SaleheLikulo Месяц назад +1

    Wambie ukweli ao maaskofu inatakiwa wasome arama za nyakati, zama izi sio za mwalimu wamezoe kupendelewa kama ville nchi hii ni ya kwao vile ao ndio wamesababisha mauaji ya kimbali Rwanda

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 Месяц назад +2

    safi sana sheikh Mwayipopo wambiye uko right

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 Месяц назад +1

    Mwaipopo kuna maafa kariakoo watu wameangukiwa na ghorofa nenda katoe msaada inshaaAllah

  • @stationerykinondoni7241
    @stationerykinondoni7241 Месяц назад +1

    Kiukweli ukiondoa nchi tano za Africa kama South, Misri, Morocco, Tunisia, Algeria, hakuna nchi inayopiga hatua kimaendeleo, kiustaarabu, utulivu

  • @selemaniigosha
    @selemaniigosha Месяц назад

    Ww mjinga sana kila cku kuongelea udini tu, maaskofu wamekemea mabaya yanayoendelea nchin na ni vzur hata mashekh wakikemea mabaya yanayoendelea maana kukaa kwao kimya wanaonekana wako kidin!!!

    • @naasibabuu
      @naasibabuu Месяц назад

      kwaiyo chama kinachokosea ni kimoja tu au hili nalo hukuliona

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v Месяц назад +1

    Nachokpenda ukipiga bang lzm upate tarfa

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano Месяц назад +1

    Hivi wewe neno onto au kuonya neno hili una lielewaa

  • @gabrielmzomkunda4881
    @gabrielmzomkunda4881 Месяц назад

    WEWE ATAYE KUSIKILIZA AKAPIMWE AKILI

  • @AlexMlaba-y5j
    @AlexMlaba-y5j Месяц назад

    Maskofu wameongea ilikujenga Taifa lakini wewe mwaipopo upo kidini sio Taifa

  • @selemaniigosha
    @selemaniigosha Месяц назад

    Ww mwaipopo unasumbuliwa na udini inafaa ukamatwe ufungwe na ucpofungwa sasa kuna cku za usoni utakuja ujute, maana maaskofu wanajenga ww una bomoa!!!

    • @naasibabuu
      @naasibabuu Месяц назад

      sio kweli mwaipopo yupo sahihi

  • @MussaBakil
    @MussaBakil Месяц назад +1

    She usiludi nyuma nchi yakwetu wote ila Hawa ndugu zetu hawana subila

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 Месяц назад

      Kama NCHI ni ya kwetu sote kwanini unachukizwa maaskofu kukemea uovu unaotendeka HAPA nchini? WAO sio sehemu ya Tanzania?

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 Месяц назад

      Kwani kosa la maaskofu liko wapi? Wapinzani wameenguliwa mbele ya macho ya ulimwengu JE ILO nalo halifai kulikemea?

    • @amanipeace6642
      @amanipeace6642 Месяц назад

      We ni wa kupuuzwa kabisa,hujui unachoongea,

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 Месяц назад

    Daudi unapataje ujeuri wakumtukana kiongozi wadini yetu jiangalie siovizuri

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l Месяц назад

      Dini ipi?

    • @amanipeace6642
      @amanipeace6642 Месяц назад

      Chawa huyo,hawazi kuwa kiongozi anayetetea serikali inayoiba uchaguzi, mpuuzi kabisa huyo

    • @amanipeace6642
      @amanipeace6642 Месяц назад

      Labda unasapoti we na mkeo

    • @amanipeace6642
      @amanipeace6642 Месяц назад

      Labda unasapoti we na mkeo

    • @amanipeace6642
      @amanipeace6642 Месяц назад

      Kaendelee kuvuta bangi,kabila hakuondolewa alimaliza muda wake

  • @amanipeace6642
    @amanipeace6642 Месяц назад

    We naona chuki ndio inakusumbua,kwa hiyo wewe kwa upeo wako unahisi uandikishaji ulikua halali,na hata kama hawawezi kuchukua nchi kwa hiyo unahalalisha kuenguliwa kwao kwa hila?shehe gani mpuuzi wee unaunga mkono dhuluma

    • @naasibabuu
      @naasibabuu Месяц назад

      basi tukemee dhulma kwenye vyama vyote tuanze na suala la mwenyekiti wa cdm mbona ni mzee mboe miaka yote

  • @charlesnzelu9811
    @charlesnzelu9811 Месяц назад

    Wewe ni tapeli tu huna unachokijua wsjinga ndo waliwao