NIVA AMTAJA MREMBO ALIYEMPELEKA HARMONIZE KANISANI"ANAKULA KITIMOTO AIBUA MAPYA TENA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 6

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 2 месяца назад +1

    Hongera bro kwa kula kitimoto

  • @Lillian-qt6gi
    @Lillian-qt6gi 2 месяца назад

    Kweli kabisa kaka, wamuache Harmonize atulie zake kwenye moyo wake inafurahia. Wakristo na Waislam waliumbwa na Mungu mmoja tu. Afazali Harmonize ameenda kanisani kumuomba Mungu, abarikiwe sana. Ila siyo wengine wanaenda kuomba miungu Freemason 😕

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 2 месяца назад

    Hao mashekhe wanajifanya wanajua diiini na maandiko yasema usihukumu kabla hujahukumiwa...

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 2 месяца назад

    Kila mtu ako na uhuru wa kufanya apendacho hususan kumuabudu Mungu

  • @HamisiHassan-oy6xz
    @HamisiHassan-oy6xz 2 месяца назад

    pumbavu hili senge siangalie tena film zako tena