HEMEDY PHD NA LULUDIVA WAZICHAPA LIVE MBELE YA MABOSS ZAO WACHINA WA STARTIMES

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @sarahlimbu9305
    @sarahlimbu9305 2 месяца назад +19

    Luludiva she’s such a sweetheart ❤

    • @evaevance5932
      @evaevance5932 2 месяца назад

      Dahhh Yani hajui kugombana kabisa maskini ila hemed sijui yukoje

  • @rebeccamwose
    @rebeccamwose 2 месяца назад +7

    I really love the henna artwork on your back. The designs are pretty 🎉

  • @petermdoe4691
    @petermdoe4691 2 месяца назад +18

    Waandishi kazi yao umbea alafu wewe unasema eti kisiruke dah! Ila umefanya kazi kubwa sana ya kuwatuliza, Lulu pole sana, love u much.

    • @DrMabula
      @DrMabula 2 месяца назад +1

      Huyo jamaa fala sana yaani anasema kabisa msirushe 😂😂😂

    • @LunicemonCute
      @LunicemonCute Месяц назад

      Ndo kumeshaluka

  • @ezekielgenja3912
    @ezekielgenja3912 2 месяца назад +149

    Hemed umezingua sana, kwenye kadamnasi hiyo na pigo hizo kimama. Umeonyesha udhaifu mkubwa mno broo

    • @jayharryson4913
      @jayharryson4913 2 месяца назад +1

      kick hyo mzeee😃

    • @boniphacehassan826
      @boniphacehassan826 2 месяца назад +4

      Hayo ni maigizo kama maigizo mengine

    • @badrihassan9720
      @badrihassan9720 2 месяца назад +3

      Kama walikubakiana interview niya hemed Sasa yy kafara nn washamba hao walio andaa

    • @jackviberofficial5010
      @jackviberofficial5010 2 месяца назад +1

      Ni boya kweli

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 2 месяца назад +1

      Wamepangana hao Mzee acha kujimaliza ndo Dunia yao hiyo ugali wao

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 месяца назад +46

    Pole sana lulu habbty nakupenda ndiyo maisha hayo siyokilaa ckuu utakuwa nafuraha kunasiku utapitiaa machungu ya binadam

    • @AshaJuma-dz6hq
      @AshaJuma-dz6hq 2 месяца назад +2

      Hakika hadi na mm nmelia nampenda eti huyu dada sijui wanamchukia nn jaman😂😂

    • @nishawangaiwangai9765
      @nishawangaiwangai9765 2 месяца назад +1

      Pole za Nini yeye alimuita Babu na vile yeye achakua nyanya

    • @nurdinngalo-hj1ow
      @nurdinngalo-hj1ow 2 месяца назад +1

      Shida kubwa ustar ukizidi sana na kazi huaribika hii haipaswi

    • @neemamacha7481
      @neemamacha7481 2 месяца назад +2

      Waandishi si mmeambiwa isiende kwny media😂😂😂

    • @AshaJuma-dz6hq
      @AshaJuma-dz6hq 2 месяца назад +1

      @@neemamacha7481 sio wa kuwaamni hao maan yey anasem isiende kweny midia akati tumeona laivu bila chenga😂😂😂

  • @SaumuAshey
    @SaumuAshey 2 месяца назад

    Mungu wangu kaka wa watu kaomba kisiruke Cha ajabu Hadi Mimi nimeona😂😂🙌🙌🙌

  • @HamisiBundala-v4u
    @HamisiBundala-v4u 2 месяца назад +7

    Good idea WANANGU wa bongo movie

  • @LunicemonCute
    @LunicemonCute Месяц назад

    Walishakulana awa😂😂 mambo yakukulana alaf hmed ajampa ela

  • @gidiboy9081
    @gidiboy9081 2 месяца назад +3

    Mi naona wamefanya movie ipendeze zaidi, hapo tayari movie imeshaanza!
    Sema tu! Hamjaielewa! Na watu wakizinguana mbele za watu mmoja huwa anajaa jaziba anaondoka! Kwa hyo PHD yuko sawa kabxa Wala msimuite Majina mabaya, Lulu pia amefanya vizuri zaidi alipotishia kuondoka baadae akarudi, Bonge la movie! 😊❤❤❤❤❤😂😅😅😊❤❤❤❤❤

  • @hafidhsaid2011
    @hafidhsaid2011 2 месяца назад

    What a shame....!!😢😢

  • @ZandaIssa-w8z
    @ZandaIssa-w8z 2 месяца назад +4

    Pole sana dadayangu yatapita ayo❤❤❤😢😢😢

    • @user-j8b6g
      @user-j8b6g 2 месяца назад +1

      HAMNA KITU KIBAYA KINAKERA KAMA KUDANGANYWA AISE💀💀

  • @LemsOjaz-ef4vy
    @LemsOjaz-ef4vy 2 месяца назад

    Hemedy jinga tuu😂😂😂😂

  • @Kichogotv
    @Kichogotv 2 месяца назад +43

    Hemed kamuonga sana huyo ndio mana anajutia hela zake😂😂

    • @maryamal4074
      @maryamal4074 2 месяца назад +1

      😅😢

    • @AshaJuma-dz6hq
      @AshaJuma-dz6hq 2 месяца назад +4

      Kahonga halaf hajampata ndo maan kaweka bifu la kudumu hadi kweny kazi aisee😂😂

    • @KisaMax
      @KisaMax 2 месяца назад +5

      Oyaa iko kitu kinaumaa kumamakee😂😂

    • @Kichogotv
      @Kichogotv 2 месяца назад

      @@AshaJuma-dz6hq watoto wa 2000😀

    • @walizanasiri4963
      @walizanasiri4963 2 месяца назад +2

      Emedi kaonga mtoto wa2000 kajuta

  • @HappynessEmmanuel-j1t
    @HappynessEmmanuel-j1t 2 месяца назад

    Duh kazi hizi jmn 😢

  • @mohammedkombo9798
    @mohammedkombo9798 2 месяца назад +33

    Hawa sanii bro, wahisika wamecheza ktk nafasi yao safi sana.. I like it !

    • @OmanOman-gz6bp
      @OmanOman-gz6bp 2 месяца назад +2

      Shida nikwamba lulu diva kazuiliwa ila hemed kaachwa aende namlango wakupita kaoneshwa nimecheka sana😂😂😂

    • @lucybatista2631
      @lucybatista2631 2 месяца назад

      Yaaab bongo bwana 😂😂😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 месяца назад

      Mambo mengine unayaona bongo Tu! 😂😂😂😂

  • @HawaMkesela
    @HawaMkesela 2 месяца назад

    Bora mwenzie wowoo. yeye anavo jireemba aende kwa p d .atoke hapa. Lulu naomba no yako nitapigana na anae kuboa ❤

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 2 месяца назад +4

    Yeye na diamond hawana tofauti naona wana cheni za msaraba katika shingo zao dunia ni mapito jaman ipo siku tutaondoka twamuomba Allah salama na Afya

    • @user-j8b6g
      @user-j8b6g 2 месяца назад +1

      HAMNA KITU KIBAYA KINAKERA KAMA KUDANGANYWA AISE💀💀

  • @PaclasLeo
    @PaclasLeo 2 месяца назад

    Huko anaenda chooni😁😁😁😁🤣🤣

  • @matronmkenda3510
    @matronmkenda3510 2 месяца назад +28

    Mnagomnania nin maisha yenyewe umelala umeamka haupo

    • @k.kswitzerland4168
      @k.kswitzerland4168 2 месяца назад +2

      True

    • @user-j8b6g
      @user-j8b6g 2 месяца назад +1

      HAMNA KITU KIBAYA KINAKERA KAMA KUDANGANYWA AISE💀💀

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 2 месяца назад

    Hemed au hamida

  • @DisantosMsuva
    @DisantosMsuva 2 месяца назад +25

    pole sana lulu kaumia sana dada wa watu akiangalia hana wazazi halafu mtu anakuja kumchukia bila sababu kweli

    • @classicwaisala6677
      @classicwaisala6677 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂
      We umeamini kwani ka umia kweli!?

    • @LodrigueIrakoze
      @LodrigueIrakoze 2 месяца назад +1

      Ameumia ten san hemed umeboa san shoga nini shiiiiiii

    • @MatesoGerevas
      @MatesoGerevas 2 месяца назад

      Wewe unajua walizinguana nni kure location😅😅😅😅???

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 2 месяца назад

      Kick hizo

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 2 месяца назад

      Kwa hiyo mwenye wazazi ndio anafaa kuumizwa??! Kwani ni lazima u comment??

  • @EDINANDABILA
    @EDINANDABILA 2 месяца назад

    lulu ni super woman❤

  • @FaithKavishe
    @FaithKavishe 2 месяца назад +14

    Boss Malisa. Hemedi ni mtoto wa kiume. Ila vitu anavyofanya kwenye media bila kujali lolote ni vitu vya ajabu sana. Hongera sana Lulu Diva inaonekana umekwazika sana lakini umekuwa strong sana. Big up. Boss Malisa Acha season one iruke then tafuta kijana ambaye atakaa nafasi ya hemedi na akacheza vizuri. Huyo Hemedi hata ukiendelea nae atakusumbua tu. Hawa ndio vioo wetu tutafanyaje sasa.

    • @IddyKristopha-c7z
      @IddyKristopha-c7z 2 месяца назад +2

      Hemedi nimsanii mwenye sifa sijawai mpenda kabisaaa

    • @MalickZohan
      @MalickZohan 2 месяца назад +2

      Kama hujagundua hii ni kiki ww ni bogus

    • @greydonalds4286
      @greydonalds4286 2 месяца назад

      Wewe ndio wamekuzidi akili maana umeichukukia sirias wakati wenzio hiyo ni kiki ili tamthilia yao ipate attention.

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 2 месяца назад +1

      ​@@MalickZohan😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kwa sauti

    • @user-j8b6g
      @user-j8b6g 2 месяца назад +1

      HAMNA KITU KIBAYA KINAKERA KAMA KUDANGANYWA AISE💀💀

  • @jonesbaraka7506
    @jonesbaraka7506 2 месяца назад +1

    Nimependa hii hawa wanawake Wa siku izi Wanafaa ivo kama mbaya mbaya PhD 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @munahsalim1319
    @munahsalim1319 2 месяца назад +11

    Boss malisa. Huyu hemedi afaii kabisa. Si vizuri anavyo mkwaza mwenzake ata hana hayaa na ni mtto wa kiume. Naomba utafute mtu mwingine kwenye hio nafasi yake kuna waigizaji waziri mno kumliko yeye. Amoonesha ujinga wake simpendi.

    • @user-j8b6g
      @user-j8b6g 2 месяца назад +1

      HAMNA KITU KIBAYA KINAKERA KAMA KUDANGANYWA AISE💀💀

    • @samyotimotheo37
      @samyotimotheo37 2 месяца назад

      Wazo zur hiyo nafac wampe chiko wa house girl

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Месяц назад

      Hio Ni kiki tu siamini km kuna ugomvi wowote hapo

  • @KelvinBaraka-d8e
    @KelvinBaraka-d8e 2 месяца назад

    Acheni maigizo tunataka kazi please boss Nini hii sasa

  • @One1Lucky
    @One1Lucky 2 месяца назад +39

    Daaaah ila Tanzania Kuna mishe za kitoto sana yani watu wamepangana uko Ili wapige helaa hii nimeipendaa kiki za biashara siku zote ni nzuri❤

    • @chulbuyharoun5778
      @chulbuyharoun5778 2 месяца назад +3

      Azam anawapasua sana vichwa visimbuzi vyengine haswa STARTIMES

    • @One1Lucky
      @One1Lucky 2 месяца назад

      @@chulbuyharoun5778 daah tutafte Hela

    • @MaryamRamadhan-p5e
      @MaryamRamadhan-p5e 2 месяца назад +4

      Hapo hakuna kiki Kwa uoni wangu ni ugomvi kabisa 😅

    • @One1Lucky
      @One1Lucky 2 месяца назад +3

      @@MaryamRamadhan-p5e wanapo sema watuchangamshe Sasa ndio kama hivi mana bongo IPO busy sana na mambo ya kiki kuliko bima ya afya

    • @MageOG
      @MageOG 2 месяца назад +2

      Hivi Kumbe HEMED Hawajui Waigizaji, Anamuita Mzee Chilo Wakati Mzee Chilo Hayupo 😂😂😂😂

  • @gospalflavour7304
    @gospalflavour7304 2 месяца назад

    Uhanisi huu😂😂😂😂😂

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 2 месяца назад +6

    Dah! Eti Joyce wowowo aisee hemedi kazinhua sana 😢😅

    • @user-j8b6g
      @user-j8b6g 2 месяца назад +1

      HAMNA KITU KIBAYA KINAKERA KAMA KUDANGANYWA AISE💀💀

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 2 месяца назад

    ❤❤ I love 💕 Lulu ni mpole sana

  • @rukiamadati336
    @rukiamadati336 2 месяца назад +5

    Mastaa wa bongo mnatia aibu kiukweli acheni ushamba et vioo vya jamii looo mnakera sana

  • @JamaliAbass-pd3nq
    @JamaliAbass-pd3nq 2 месяца назад

    Ndio kimesha ruka mzee😂

  • @AaaAaa-s7e
    @AaaAaa-s7e 2 месяца назад +13

    😂😂😂mtapatana tu insha Allah nyinyi watoto wa kisilam nawapenda saana lulu na hemedi ilove you

    • @reginamluviji9405
      @reginamluviji9405 2 месяца назад +2

      😊😅😅😅😅😅😅 et huyu manzi

    • @alimwadima254
      @alimwadima254 2 месяца назад +1

      Mtoto Wa kiislamu mgongoni ana bonge la Tattoo😢 tena mchana kweupee...Msiba mkubwa Wallah Allah tuongoze In sha Allah 🤲

    • @EdssonMwamgiga
      @EdssonMwamgiga 2 месяца назад

      Wewe nomaaaa

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад

      ​@@alimwadima254😂😂😂

    • @KIBUstoreoutfit
      @KIBUstoreoutfit 2 месяца назад +1

      Ila waandishi mmeambiwa isiruke lakin mmerusha khaa😂😂😂

  • @AngelRashid-w7c
    @AngelRashid-w7c Месяц назад

    Wasaani wa bongo Jaman mbadilike

  • @shamirsimba6048
    @shamirsimba6048 2 месяца назад +45

    boss : waandishi naomba msirushe clip
    waandishi : sawa tutajitahidi kadli ya uwezo wetu😂😂

  • @alphoncelaurent9454
    @alphoncelaurent9454 2 месяца назад

    Dah ududu mwingi sana😂😂😂😂

  • @ScolaMashalo
    @ScolaMashalo 2 месяца назад +3

    Etii Joyce wowooo, nimecha sanaaa 😂😂😂😂😂

  • @mulumederwasifa4801
    @mulumederwasifa4801 2 месяца назад

    Dada Hemedy 🤣🤣

  • @mohamednammenge1538
    @mohamednammenge1538 2 месяца назад +30

    Huyu boss wa hii kazi ndio mjinga kawadanganya wafanyakazi wake kwanini asingewaambia ukweli kuwa mtakutana unaanza kuwadanganya kwani wao vipofu sasa ndio kapata nini

    • @careemdulla1629
      @careemdulla1629 2 месяца назад +3

      Umeongea point sana

    • @Juliety-v3o
      @Juliety-v3o 2 месяца назад +5

      Kabixaa uyu boss ndio mwenye makosa kabixaa anajua watu awapatan angewapatanisha kwanza ndio waje apa

    • @NasriyaAli-z2x
      @NasriyaAli-z2x 2 месяца назад +3

      Absolutely

    • @Jackson_Kisanga
      @Jackson_Kisanga 2 месяца назад +2

      Drama Hii Mkuu kuipa movie kiki.... Bongo Kitu bila kiki hakiendi.. hahahhahaha

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад +2

      Niko upande wako

  • @youngzubelyzubely2288
    @youngzubelyzubely2288 2 месяца назад

    Naona lulu unalia kizungu😅😅😅😅

  • @clevergrapher
    @clevergrapher 2 месяца назад +4

    Kama tulivyokubaliana ichi kisiende kabisa 😂😂

    • @MariumOmari
      @MariumOmari 2 месяца назад +1

      Na hatimae hakijaenda😅😅😅hii ndio bongo movie

  • @KhadijaMasoud-d2z
    @KhadijaMasoud-d2z 2 месяца назад

    Joice wowowo😂😂😂watoto wa2000 hamumjuwi Joice wwwo

  • @KagemuloKashumba
    @KagemuloKashumba 2 месяца назад +9

    Mwanaume mzima unalialia kisa mdada ,anakuzidi ndo mana

    • @user-j8b6g
      @user-j8b6g 2 месяца назад +1

      HAMNA KITU KIBAYA KINAKERA KAMA KUDANGANYWA AISE💀💀

  • @denisdavid8690
    @denisdavid8690 2 месяца назад

    Kiki noma sana 😂😂😂

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 2 месяца назад +144

    Kiki zakibongo kichefuchefu kwewli utakuta tamthilia yenyewe jambazi anavua viatu mlangoni🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Lulu-d9k5f
      @Lulu-d9k5f 2 месяца назад +13

      Tena anafuta miguu😂😂

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 2 месяца назад +4

      @@Lulu-d9k5f 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @allymaimuna8688
      @allymaimuna8688 2 месяца назад +4

      Kiki za kisenge tlishapitaga huko sisi

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 2 месяца назад +1

      😅😅😅

    • @LeahVitus-lc8zb
      @LeahVitus-lc8zb 2 месяца назад +2

      Umenena hpo amna ktu hpo😂😂😂😂

  • @DeliphinaCosmas
    @DeliphinaCosmas 2 месяца назад

    Iv waandish si mliombwa msirushe hii kipande? Mbona mnapenda misifa??

  • @saidkhalef2093
    @saidkhalef2093 2 месяца назад +9

    Kiki live bila chenga😢😢😢😢😮😮😮

  • @NasriyaAli-z2x
    @NasriyaAli-z2x 2 месяца назад

    Msimamo wa kiume kabisah .......#hurrrrrrrre🎉mwanaume wa nguvu ...........🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @KhalidAwadh-s3z
    @KhalidAwadh-s3z 2 месяца назад +6

    Umefelisana brother tambua kwamba uyo mwanamke tu

    • @user-j8b6g
      @user-j8b6g 2 месяца назад +1

      HAMNA KITU KIBAYA KINAKERA KAMA KUDANGANYWA AISE💀💀

    • @AthumanisaidiMohamedi
      @AthumanisaidiMohamedi 2 месяца назад

      Matokeo
      Ya darasa lasaba

  • @Ngutukwesaid
    @Ngutukwesaid 2 месяца назад

    Sana PhD nakubal kaka

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 2 месяца назад +11

    Hiyo move nzuri xana nasubiri part 2 ya P.h.d wa Tz mmeuvaa vizuri uhusika😂😂😂😂😂

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 2 месяца назад

    Jina La Movie Tafazali😂😂😂😂

  • @ReactorsWatcher
    @ReactorsWatcher 2 месяца назад +10

    Kiki Nzuri sana, Mtaifanya hii tamthilia ijulikane

  • @mwanamutemi
    @mwanamutemi 2 месяца назад

    Jamani Ukafiri huu Hemedi na Lulu mutamjibu ni Allah kaburini

  • @zenasalum2231
    @zenasalum2231 2 месяца назад +16

    Jamani nimecheka eti joyce wowowo😂😂😂😂😂😂😂

  • @phoeberichard
    @phoeberichard 2 месяца назад

    duuh wanaume wasikuizi😅😅😅 mnatia aibu jamani

  • @umulkheyryassin2582
    @umulkheyryassin2582 2 месяца назад +6

    Hemedi has never been my thing kbsa mwanamume mzima Hana hayaa ajiona Sana na Hana lolote

    • @Jacklinejohn7
      @Jacklinejohn7 2 месяца назад

      Kwani pale kwao alisha hama au bado lina kaa kwao me sjawahi kumkubali kabisa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 месяца назад

      ​@@Jacklinejohn7jitu zima kinakaa kwao ndo maana halina akili

    • @Jacklinejohn7
      @Jacklinejohn7 2 месяца назад +1

      @@MsAggie5 basi amna shida sio kosa lake mana anasubiri aolewe ndio akue mme bado hajapata bado msimlaumu sana 😂😂😂😂👆 mashauzi mengi mtaani kwao kwenyewe hawampend

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 месяца назад

      @@Jacklinejohn7 wasanii wa Bongo kaaazi kweli kweli 😂😂😂

  • @EsterAkile
    @EsterAkile 2 месяца назад

    Kimeruka Boss...waandishi hawana dogo😅😅

  • @neemamrema5716
    @neemamrema5716 2 месяца назад +8

    Waandishii wa habari wameshakirushaaaa mdaaa tu Yaani hawana siriii hao 😂😂😂

    • @AshaJuma-dz6hq
      @AshaJuma-dz6hq 2 месяца назад +1

      😂😂😂yaan hawachelewi aisee

    • @FaustaKessa
      @FaustaKessa 2 месяца назад +1

      Chap

    • @Josephinenkana
      @Josephinenkana 2 месяца назад

      Walirusha hapo hapo walikuwa hata hawajatoka😂😂😂😂

    • @AshaJuma-dz6hq
      @AshaJuma-dz6hq 2 месяца назад

      @@Josephinenkana nakwambia tumeangalia laivu😅😅😅

  • @znzmawaidh8702
    @znzmawaidh8702 2 месяца назад

    Mume ingiza vizuri hapo

  • @ZainabuNassor-j8s
    @ZainabuNassor-j8s 2 месяца назад +20

    Ndoo maan sipendi movie za kibongo 😅😅😅bola niangalie zangu watuluki 2

    • @McT-m1m
      @McT-m1m 2 месяца назад +2

      Mtabaki wayumwa kola kitu

    • @user-j8b6g
      @user-j8b6g 2 месяца назад +1

      HAMNA KITU KIBAYA KINAKERA KAMA KUDANGANYWA AISE💀💀

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 месяца назад

    Naomba kisirishwe, watu wameshakirushaaa😂😂😂😂😂😂😂 Bongo sihami

  • @jemimabakari
    @jemimabakari 2 месяца назад +9

    Movie itakua kali sana 😂

  • @barakanikodemu9928
    @barakanikodemu9928 2 месяца назад

    Hatuna wahandishi wa habari tuna wachukua matukio mbona tukio live 😂😂😂 bongo sihami

  • @FaidhaNyongo
    @FaidhaNyongo 2 месяца назад +4

    Mmmh hii imepangwa kabisa kiki

  • @yahomeshopllc5950
    @yahomeshopllc5950 2 месяца назад

    KIKI ZA BONGO DAAAHHH MUNGU TU 😭😭😭😭😭

  • @sheilaomari457
    @sheilaomari457 2 месяца назад +4

    Ila waandishi wa Habari 😁😂😂🙌

  • @QueenLizzyloodrick-cu4tc
    @QueenLizzyloodrick-cu4tc 2 месяца назад

    Hemedy Ndevu kama kwapa la. X Wang 😢

  • @BenadetaUshacky
    @BenadetaUshacky 2 месяца назад +14

    Pole sana Diva, ucjal inatokea ktk maisha. Huyo jamaa alikuwa Hana sababu za kupanik mbele ya camera kama hivyo.

    • @JudithObassy
      @JudithObassy 2 месяца назад

      Hemed kumbe Hana akili ana mambo ya like sana

    • @AngelRimoy
      @AngelRimoy 2 месяца назад +1

      Mshamba tu janaume linakuwa kama la kike linajiona lijanja kumbe ni ushamba na ulimbukeni

  • @dottodotto6219
    @dottodotto6219 2 месяца назад

    Du! Awa wasanii wananini jaman! 😅😅

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 2 месяца назад +7

    Nimeipenda sana yani mmeigiza kama ualisia sana sana kaka yetu ih imeenda

    • @Cameramanb_tz
      @Cameramanb_tz 2 месяца назад

      Hahaha yaan kama kwel wanaugomvi kumbe makiki daah aseee

    • @Cameramanb_tz
      @Cameramanb_tz 2 месяца назад

      Bongo bila kiki Akuna kituuu😂😂😂

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz 2 месяца назад

    Huyo kujiona star 😂😂😂

  • @presenternathan9490
    @presenternathan9490 2 месяца назад +3

    Lulu my sister take it easy, I feel you but n have loved how you have controlled yourself maturely, for Hemedy he needs to style up

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 2 месяца назад

    Niyajua tu kiki hizi ila raha tu 😂😂😂😂😂😂

  • @AzeyHemedy
    @AzeyHemedy 2 месяца назад +3

    Hemedi silipend mm

  • @maryraphaely9696
    @maryraphaely9696 2 месяца назад

    Kitu kisi Ende kabisa na kimeenda 😂😂😂

  • @majabiali973
    @majabiali973 2 месяца назад +3

    Uyo hemed msege sn kwani kinamumiza kit gan kwa lulu mshambaa tu uyo hemed anapend sifa mjinga tu uyoo

  • @emeldamaziku
    @emeldamaziku 2 месяца назад

    ila hemed😂😂😂

  • @SheihanShabab
    @SheihanShabab 2 месяца назад +83

    Hemed kafeli sana kumbe ana mambo ya kike mtoto wa kiume haongei sana

    • @KalenjeMasoud-vg3om
      @KalenjeMasoud-vg3om 2 месяца назад +1

      Wanaigiza hapo, kutengeza attention ya hyo tamthilia yao

    • @annamussa185
      @annamussa185 2 месяца назад +3

      Una uhakika Hemed ni mwanaume

    • @rumanahmohamed1502
      @rumanahmohamed1502 2 месяца назад +3

      Toka Tusker Project Fame akianza ndio ajulikane alikua na ushenzi na umama ajabu sijui.mbona mulimthamini

    • @IsmailYusuf-nb9jt
      @IsmailYusuf-nb9jt 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂 Daaah​@@annamussa185

    • @AngelRimoy
      @AngelRimoy 2 месяца назад +1

      Yeye mwenyew kakubali ni wa kike 😂

  • @HappySilengi
    @HappySilengi 2 месяца назад

    Hemmed msenge kweli 😂 huyo

  • @Alikassim010Yunus-y2z
    @Alikassim010Yunus-y2z 2 месяца назад +10

    Penda sana Lulu diva from kenya

  • @daudigadafi5734
    @daudigadafi5734 2 месяца назад

    kisiende wap😂😂😂 kimeenda

  • @israelmark4356
    @israelmark4356 2 месяца назад +14

    Nimesikitika sana hadi bongo movie watala Kiki ili nsgu zenu ziende dah ubunifu mdogo sana story nzuri hamna aseee bora tue ndeleee na DJ Mark mzeeeea waaaaaanaaaaaaakujaaaaaaaa

    • @SadikiBakariKilua
      @SadikiBakariKilua 2 месяца назад +1

      Mzee wa ngwasumaaaa na vocal za kivampire 😂😂😂😂

    • @josephevaristi8923
      @josephevaristi8923 2 месяца назад

      Noma xana huyo dingi😆😆

    • @user-j8b6g
      @user-j8b6g 2 месяца назад +1

      HAMNA KITU KIBAYA KINAKERA KAMA KUDANGANYWA AISE💀💀

  • @suleshbinmkoba1194
    @suleshbinmkoba1194 2 месяца назад

    Hemed kashaend kwa didy 😅😅😅😅😅

  • @maggiebrian2592
    @maggiebrian2592 2 месяца назад +4

    Jmn hizi Kiki

  • @praksedalusingo7983
    @praksedalusingo7983 2 месяца назад

    Caming soon...

  • @SiwemaJohn-o5d
    @SiwemaJohn-o5d 2 месяца назад +5

    Jamani hatakama ni urembo hyo tatu ya lulu hapana mmmmh😢

  • @mondrickray5281
    @mondrickray5281 2 месяца назад

    Bongo kweli nyoko😂😂😂😂😂😂😂

  • @happystevemaganga1873
    @happystevemaganga1873 2 месяца назад +24

    Lulu huo mkono uliovaa chuma huwezi kumtwanga nao huyo hemedi wa kichwa??naona kama anakuzoea na unamchekea, upo kinyonge sana hata humtukani vizuri

  • @Allyahmed40
    @Allyahmed40 2 месяца назад

    Acha Umama We Hemedi

  • @nawinahke710
    @nawinahke710 2 месяца назад +3

    Pole sana lulu mwakijambile

  • @samhendawallaa9984
    @samhendawallaa9984 2 месяца назад

    Najua mnatafuta kiki ya kuuza thamthilia😂😂

  • @cathe-wr7gb
    @cathe-wr7gb 2 месяца назад +5

    Anacheza na kazi hemedi😂😂😂 kama ulimtongoza alikataa bc ugomvi wenu hautuhusu sisi 😂😂😂😂 ila nimechek aiseee hemedi nae analia

  • @ashuraabdallah-zn5ob
    @ashuraabdallah-zn5ob 2 месяца назад

    Hemed wa like au wakiume 😂😂

  • @MarthaHassan-ti1ny
    @MarthaHassan-ti1ny 2 месяца назад +3

    Yani huyo kaka nishoga nimetokea kumchukia sana

    • @babchudu
      @babchudu 2 месяца назад +2

      mjini, watu wanatafuta pesa..
      hao wamepanga, acha kudakia

  • @ramadamasco9242
    @ramadamasco9242 2 месяца назад

    Hemedi anajiona sana tatizo lake hajui ye wa kawaida tyuu

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 2 месяца назад +5

    Mwamume huwezi kushindana.namwanamke

    • @MalickZohan
      @MalickZohan 2 месяца назад

      Tumia akili hiyo ni kiki

  • @gracepatric4371
    @gracepatric4371 2 месяца назад

    Nilichoelewa luludiva na hemed ndo main character 😂😂

  • @veronicakassembe3718
    @veronicakassembe3718 2 месяца назад +14

    Huyu kaka ni mjinga sana nilikuwa ni mjinga Group up brother

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 2 месяца назад +2

      Wewe na yey nani mjinga?ambae huna akili kusoma hujui hata picha .usilo jua nisawa na usiku wa giza mchafu kunuka wew

    • @veronicakassembe3718
      @veronicakassembe3718 2 месяца назад +1

      @IdarousPossy I'm nit grays he is yelling with lady I understand his anger but he embarrassed embarrassed him self without to yelling in public. I like him don't give me wrong but he has to watch hie mouth

    • @user-j8b6g
      @user-j8b6g 2 месяца назад +1

      HAMNA KITU KIBAYA KINAKERA KAMA KUDANGANYWA AISE💀💀

    • @MrA24G
      @MrA24G 2 месяца назад

      ​@@veronicakassembe3718 let me ask you veronica a lady can't be yelled at.? ? How did you want hemed to be you don't know the meaning of being angry better even hemed yelled.If I had been me I don't know what I would have done with my short temper.Probarbly even given out slaps.

    • @MrA24G
      @MrA24G 2 месяца назад

      The moderators would have found a better platform to bring them together.

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq 2 месяца назад

    Kwanini kila tamthilia jambazi avae miwani meusi😂😂😂😂