HUYU HAPA BABU ALIYEKATAA UZEE NA KUJA KUTAFUTA MREMBO | ATOLEWA MBAVUNI NA WATOTO WA 2000 - S05E10

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 93

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 8 дней назад +1

    Mzee majuto tunae hatunae...😂😂😂..nimeona uyu mzee anafaa kwa kuigiza..nani anaungana na mimi ktk hili...✅🤣🤣😂😂

  • @reginamluviji9405
    @reginamluviji9405 Месяц назад +6

    uyu mzee wamempa skanka au😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @magangamwidaghat4324
    @magangamwidaghat4324 Месяц назад +2

    majabei kijana wa austaby kwa mara nyingine tenaaa ndani ya mr.right💪💪💪💪💪

  • @FrancisNgomaitara
    @FrancisNgomaitara Месяц назад +5

    😂😂😂😂 hii stage sometimes inafanya standup comedy 😂😂

  • @ambokileosward8850
    @ambokileosward8850 16 дней назад +2

    Hiii nchi ngumu sana😅,huyu Mzee apimwe mkojoo😅😅

  • @shinuaog3610
    @shinuaog3610 Месяц назад +2

    Uyu mzee karogwann😅😅😅

  • @LinahRwambali
    @LinahRwambali Месяц назад +3

    Akiamama nmecheka mpaka basi, huyu kaka kibonge amejua kunchekesha.

  • @magangamwidaghat4324
    @magangamwidaghat4324 Месяц назад +2

    eliza sialishapata mr.right au vp jameni💋💋

  • @NashaHabib
    @NashaHabib 22 дня назад +1

    😂😂😂Mr right n babu afu mfupi sasa😂😂😂😂😂

  • @victorboniface78
    @victorboniface78 Месяц назад +3

    Mr right wa season iliyopta wanaonekana kweny tamthilia za azam .....😂😂😂
    Naona now n zam ya mzee kwenda mjini

  • @NuhuSutta-b5b
    @NuhuSutta-b5b Месяц назад +3

    mmekutana kichwa chenyewekabisa😂😂

  • @rosemsaki1111
    @rosemsaki1111 12 дней назад +2

    Wazee kama hawa WANANUKA MDOMO BALAAA!!!

  • @Mwadhani-z9t
    @Mwadhani-z9t Месяц назад +3

    Afanye mazoezi kwanza alafu ndoa ataipata😅😅

  • @EDSONPAUL-ov3wq
    @EDSONPAUL-ov3wq 12 дней назад

    Imekaa vizuri hii

  • @fatmakitundu9454
    @fatmakitundu9454 17 дней назад +1

    RAHA JIPE MWENYEWE

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 13 дней назад

    😂😂😂😂😂😂 kweli hakuna uzee 🎉🎉🎉. Double trouble mzee katafute mzee wenzio wachana na vitoto 2000 hauwezani nao.

  • @KhadijamussaMachapat
    @KhadijamussaMachapat 18 часов назад

    Mbona kama anafanana na huyo Grab😂😂

  • @dariusshukuru8490
    @dariusshukuru8490 Месяц назад +2

    Noana Brot yupo verry sérieux,yani anataka vitoto kweli

  • @BenezethEmily
    @BenezethEmily 16 дней назад

    Huyu ni Mr right kweli au Mr darkness 😂😂😂😊

  • @zachariangoyo6495
    @zachariangoyo6495 22 дня назад +2

    😭😭😭 Dunia simama nishuke

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 Месяц назад +6

    KAJATENA SHITUKAAAA 😱😂 MWANANGU BRAVO AKUNA KUKATA TAMAA MWAKA MPYA NA X.MAS🌲SHITUKAA MWANANGU NIMEPENDA SANA MZEE MWENZANGU🤣❤💪🙏🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @asmahassan5661
      @asmahassan5661 Месяц назад

      @@kilogreek4050 kiukwel kwamm.hapn🤣🤣🤣

  • @Asiarajab-l8k
    @Asiarajab-l8k 15 дней назад

    Ndo naaz kuelew nyimbo ya roseree ya mbaba😂😂😂😂😂

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 27 дней назад +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu

  • @MankaVodacom
    @MankaVodacom Месяц назад

    Nimeangalia hii sababu tu nimemwona Eliza jamanii❤❤

  • @MadinaSeif
    @MadinaSeif 7 часов назад

    Itabidi mumeanzisha na kuwapima akiri alafu kuwa na eshima maneno mtu anayo ongera MMMH kilamtu anatazama hiki kipindi pia sisi watanzani banaaa icho to 😡🤬

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 25 дней назад +3

    Huyu babu muigizaji Kuna mchezo ka Akti na Amina Dada Ake dula makabila

  • @ثامركعبي-ي1ق
    @ثامركعبي-ي1ق Месяц назад +3

    😂😂😂😂😂 mumepata kiboko

  • @ZaituniNyanje
    @ZaituniNyanje 5 дней назад

    Kuna watu wana zeeka mwili na siyo akili walai 😂😂😂iinimaajabu kabisa 😅😅

  • @libandaonline5358
    @libandaonline5358 День назад

    Hii naamini huu ni uwanja wa kufundisha umalaya ngono hapa ni kujipatia malaya tu

  • @geturdablatch9706
    @geturdablatch9706 24 дня назад +1

    Hata si mzee miaka 54 bado kabisa😊

  • @YvetteIrakoze-b2o
    @YvetteIrakoze-b2o 9 дней назад

    Shituka mwanangu😂😂😂😂

  • @lavidaloca_255
    @lavidaloca_255 28 дней назад +3

    Mapacha wasio fanana😢

    • @Clex-f5s
      @Clex-f5s 28 дней назад

      Wanafanana tabia ya kutafuta watubstejini😅

  • @witneyjerry2587
    @witneyjerry2587 26 дней назад

    Shtukaa mwanangu😂nimeshtuka!😂

  • @gastoenock3020
    @gastoenock3020 4 дня назад

    Nyiee hii nchi kuna mahali imetoboka

  • @ThekraJanga
    @ThekraJanga 16 дней назад

    Mambo ya afya ya akili😂😂😂

  • @MwantumRashidi
    @MwantumRashidi Месяц назад +3

    Mbona Mr right mnene mpaka Kawa wa mviringo?na akicheza kama jaba la ndoo tatuuu uwiii😂😂😂

    • @MalaikaBright-rv6yb
      @MalaikaBright-rv6yb 12 дней назад

      @@MwantumRashidi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ZaituniNyanje
      @ZaituniNyanje 5 дней назад

      Aky ww😂😂😂😂😂😂

  • @nurumwenkale7278
    @nurumwenkale7278 Месяц назад +1

    Si ungeolewa kma mzuri

  • @Kangodo_Once_AGAIN
    @Kangodo_Once_AGAIN Месяц назад

    😂😂😂😂 kmmkeee Leo Imenibamba

  • @JosephinaMsagala-m1l
    @JosephinaMsagala-m1l Месяц назад +1

    Yuko wap uyo Dada aliyekuwa anasema anataka wababu,ili amwite totoooo!!!! Ajipatie apo

  • @maryathanasio8348
    @maryathanasio8348 9 дней назад

    Sorry guys but this man ni dalali 😂😂🏃💔 maan rewatch apo alipoulizwa kaz🙄 gan anafanya. Au alitaka tu fame bas

  • @lemeboyofficial
    @lemeboyofficial 23 дня назад +1

    Kuongea sanaaaaa

  • @PendoIgaba
    @PendoIgaba 12 часов назад

    Eliza

  • @officialrammy6176
    @officialrammy6176 12 дней назад

    NACHOMKUBALI GARA B ANA BUSARA SANa jmaa akiona Tu vitoto vinaanza maneno ya ajabu anavstop

  • @PacificahMose
    @PacificahMose 14 дней назад

    Huyo mzee ako na jokes sana

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 Месяц назад +2

    Wee jina lako wanakwita kibonge kibanda chako pale michenzani zanzibar makontenan

  • @JosephKayonga
    @JosephKayonga 18 дней назад

    Mzee kamahu hajieshiemu

  • @mwanashasjambia8572
    @mwanashasjambia8572 Месяц назад

    Wamependezana Na elizaa Sana.

  • @mariammamushkachambo2123
    @mariammamushkachambo2123 7 дней назад

    Mwanaume anaekunywa konyag hakojoi haraka

  • @khamisjuma3760
    @khamisjuma3760 13 дней назад

    Mbona husemi kama ulikuwa ukiuza chips kisonge maskani ya ccm

  • @EmmanuelNdahya
    @EmmanuelNdahya Месяц назад +1

    Obi majabei. Movie hhiiiii mpya

  • @fabrianjr9163
    @fabrianjr9163 Месяц назад

    Ila penat ya kageree

  • @NtambaMachunda
    @NtambaMachunda Месяц назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nasraswakala
    @nasraswakala 11 часов назад

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Sportskickers
    @Sportskickers Месяц назад

    Striker anataka kupunguza kichupa tu tu😂

  • @moshijoyce-qx5rk
    @moshijoyce-qx5rk Месяц назад

    Ila eliza mzuri

  • @WhosnerSemboko-s1b
    @WhosnerSemboko-s1b 13 дней назад

    Uyu mzee anatafuta umaaruf

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 21 день назад

    Pocho 😂😂😂

  • @magangamwidaghat4324
    @magangamwidaghat4324 Месяц назад

    shtuka mwanangu majaby oustaby majaliwa a.k.a mtoto wa oustaby

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga Месяц назад

    Gal B kama namiona - una utani na wasambaa wa lushoto

  • @johnsonjasson2526
    @johnsonjasson2526 День назад

    Haka kawimbo ni kamsanii gani

  • @davidmniko3099
    @davidmniko3099 17 дней назад

    Mzee wa ovyo.mfukuze uyo kenge alaka

  • @magangamwidaghat4324
    @magangamwidaghat4324 Месяц назад

    eliza hauna jipya kama ndio umerudi katika podium utazeekea hapo 🪰🪰

  • @AffectionateLionfish-ct3sf
    @AffectionateLionfish-ct3sf Месяц назад

    😊😊😊😂😂

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 Месяц назад

    Huyu kibongee adabu zake sizo sasa kaja kufanya nini hapo lol anataka kulelewa kumbe

  • @ThekraJanga
    @ThekraJanga 16 дней назад

    Miaka 54 duuuu!!

  • @ibrangowo6185
    @ibrangowo6185 6 часов назад

    HUYU ALIYESEMA WAZEE WANANUKA MDOMO HANA WAZAZI NINI?

  • @sabiimohamed6560
    @sabiimohamed6560 Месяц назад

    Shtuka mwanaanguu😅

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 21 день назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JacklineWaithera-g4f
    @JacklineWaithera-g4f 15 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @ZawadiKamilembe
    @ZawadiKamilembe Месяц назад +2

    Huyu mzee ukimpa shoo ya maana anakufia

  • @SaidinaSaidi-v5q
    @SaidinaSaidi-v5q 25 дней назад

    Hii ni nini

  • @MkobaWar
    @MkobaWar 27 дней назад

    Shetani mzee huyo naatokeeee

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb Месяц назад

    Yule alie sema anataka bubu hataki kija leo kapata

  • @BellaYohana-t6o
    @BellaYohana-t6o Месяц назад

    Jameni uyomubabu sikuna dada alisema yeye anataka wazee Sasa vp napo analuka alisema atakujatu kaja sasa

  • @HamzaMduda
    @HamzaMduda Месяц назад

    Hii ya mda mlefu

  • @RahulAmour-xd8lv
    @RahulAmour-xd8lv 15 дней назад

    Ibrahim Raider fanya uende na wewe

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb Месяц назад

    😂😂😂😂

  • @sirksirk4821
    @sirksirk4821 Месяц назад

    Hii ni acting wanafurahisha jukwaa

  • @AnthonyNdaula
    @AnthonyNdaula Месяц назад

    🚫 _This message was deleted_😂😂

  • @magangamwidaghat4324
    @magangamwidaghat4324 Месяц назад

    huyu vitu vyake kila saizi wedada acha tamaaa

    • @MankaVodacom
      @MankaVodacom Месяц назад

      Kudadeki zake mwisho akisikia hana mihela anazima taa anaishia kumshushua Mr.right

  • @KhadijamussaMachapat
    @KhadijamussaMachapat 18 часов назад

    Mbona kama anafanana na huyo Grab😂😂

  • @VeronicaMaige-p7z
    @VeronicaMaige-p7z 11 часов назад

    🤣🤣🤣