From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 kuna Sheikh wa hapo hapo Tz anapinga Sana jihad ati kafili hajawakataza kuswali sasa inafika hatua anajita yeye ni mungu kama filawuni au namluzi nanyinyi muko hapo maneno tuu nakuwapinga wa Somalia walio amuawa kupiga vita democracy ambao wao wanataka hukumu ya Allah
Wazazi wa hao watoto ndio walaumiwe. Wao wanajua nini cha kufata lkn wanawaruhusu kumkubali huyo mama. Mwisho wake ni kuwapoteza watoto na imani ya Ajabu kumuabudu binaadamu
Siku zote ulikuwa wapi kufundisha mafundisho aya....kemea uovu kama ivi....lakini tambua ukristo ndo dini ya manabii...mtume wenu si alimsilimisha shetani😂.
Waacheni watanzania wakosoe rais wao .wacheni kuingiza dini watu wameharibu my uchaguzi hapo dini inaingiaje. Dini. Inataka kutenda haki haijasema tumtetee muislam mwezetu hata kama amezulumu.
Zumaridi alisema lini kwamba ni mkristo?hajawahi sema.wala hajawahi kumtaja Yesu wala kumhuburi.yeye kaibua dini yake na anajiita kuwa ni mfalme,na ni mungu.
Hapo ndipo naonaga uongo wawaisilam, nyie munasema MUNGU nimimmoja kumbe wapo tofauti sio alla sio MUNGU et, sasa sikiliza nyinyi waisilam ujinga nimwingi sana, ila shekhe mwaipopo sijui kama ulikua mkristo na pasto wa dini gani, ila ulishakufuru roho wa MUNGU huna msamaha, hukumu ilishapita ukimwamini mwana wa MUNGU utakua na uzima wamilele, ukikataa mwana wa MUNGU umekwisha kuhukumiwa, sasa wewe huna tofauti na zumalidi anae jiita mungu.
@asiahamis7893 Mimi namwamini Mungu wa mbinguni, Mungu wa majeshi ya malaika watakatifu sio Mungu wa majini. Endelea kuabudu majini ukidhani unamtumikia Mungu wa mbinguni, Waislamu ni makafiri kwelikweli wanamwabudu Mungu wa majini Quran 72
@@chikuiddy9946hapana hana tofauti na zumalidi huyu shekhe wenu mwaipopo, umemkana roho ya kweli na kuuchukia ukristo ambao hauchanganyiki na dini yoyote, msikilize shekhe huyu mwisho kusudi lake kubwa si zumalidi kujiita mungu, yeye anataka kuponya watu kwadawa zake za kienyeji, Sasa sizumalidi huyu jamani.
Ata kama akijiita mungu awezi kuwa mungu anakufuru na anawakosea watoto kwa ujinga wake anawapotosha watoto
Leo sheikh umeongea mambo mazuri sana ya kujenga.Hivi ndivyo inavyotakiwa.Achana na siasa shikilia huku kwenye dini.
kwa hili uko sawa kaka Mwaipopoa Magufuli alimkemea akamfungia tumuombe mama Samia amfungue huyu ni mshenzi,mimi ni mkristo
kama umepata neema ya uisilamu inapaswa kusema alihamdulilah
Alhamdulillah
Alhamdulillah
😂😂😂😂😂😂Watakuja manabii WENGI WA uwongo Kwa Jina lake YESU.
@@josephkalonga550 Ni kweli usemacho mfano mtume mudi wa waislamu, aliungana na majini kuhuburi Uislamu
Inahuzunisha sana.
@@Jesusalmasihi4193uspende kuongea maneno Kwa ushabiki unakua mtu mjinga hebu tupe ushahidi bac ilituamini unachokiamini
From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 kuna Sheikh wa hapo hapo Tz anapinga Sana jihad ati kafili hajawakataza kuswali sasa inafika hatua anajita yeye ni mungu kama filawuni au namluzi nanyinyi muko hapo maneno tuu nakuwapinga wa Somalia walio amuawa kupiga vita democracy ambao wao wanataka hukumu ya Allah
Kwahioo zumaridii na firauni baba mmoja mamamoja
Matusi ya nini Sasa simfunge mdomo yenu shekhe lete vitu viwaingiee Hao watoto wa sheitwani
Wacha chuki na wamasiah !¡!!!
Kazi kulamba limudomotu nyoko
Kwa hiyo na wewe mungu wako ni Zumalidi?!
Watu wa roho mtakatifu ni wehu wasikuumize kichwa waache wapotee tu.
Si afungiwe serikali ipo wapi
Wazazi wa hao watoto ndio walaumiwe. Wao wanajua nini cha kufata lkn wanawaruhusu kumkubali huyo mama. Mwisho wake ni kuwapoteza watoto na imani ya Ajabu kumuabudu binaadamu
Samahani.Hata wakubwa wapo.
Firauni mwengine uyo
Nikweli,lakini hasta wakubwa wapi.
Siku zote ulikuwa wapi kufundisha mafundisho aya....kemea uovu kama ivi....lakini tambua ukristo ndo dini ya manabii...mtume wenu si alimsilimisha shetani😂.
Mambo ya wakristo yanakuhusu nini wewe mfuga majini?!
Na ww achana na warioba!!
Waacheni watanzania wakosoe rais wao .wacheni kuingiza dini watu wameharibu my uchaguzi hapo dini inaingiaje. Dini. Inataka kutenda haki haijasema tumtetee muislam mwezetu hata kama amezulumu.
Zumaridi alisema lini kwamba ni mkristo?hajawahi sema.wala hajawahi kumtaja Yesu wala kumhuburi.yeye kaibua dini yake na anajiita kuwa ni mfalme,na ni mungu.
Kwaiyo wew unaona ni sawa.?
Chizi wewe mnyakusa
Hapo ndipo naonaga uongo wawaisilam, nyie munasema MUNGU nimimmoja kumbe wapo tofauti sio alla sio MUNGU et, sasa sikiliza nyinyi waisilam ujinga nimwingi sana, ila shekhe mwaipopo sijui kama ulikua mkristo na pasto wa dini gani, ila ulishakufuru roho wa MUNGU huna msamaha, hukumu ilishapita ukimwamini mwana wa MUNGU utakua na uzima wamilele, ukikataa mwana wa MUNGU umekwisha kuhukumiwa, sasa wewe huna tofauti na zumalidi anae jiita mungu.
Uislamu na zumaridi Kuna tofauti gani? Hawa majini , zumaridi Mungu wa majini
Allah akujaalie uione hak utakuja kujuta siku moja hiki ulichosema Allah akuongezee kweny njia ya haki insha'Allah
@asiahamis7893 Mimi namwamini Mungu wa mbinguni, Mungu wa majeshi ya malaika watakatifu sio Mungu wa majini.
Endelea kuabudu majini ukidhani unamtumikia Mungu wa mbinguni,
Waislamu ni makafiri kwelikweli wanamwabudu Mungu wa majini Quran 72
@Jesusalmasihi4193 jidanganye ivyo ivyo ipo siku utakuja kusadic maneno Yang km si mchana usiku
@@asiahamis7893Huyo Mungu wako wa majini(mashetani), endelea kumwabudu peke yako. Uislamu ni ugaidi na ushetani, waislamu ni makafiri mno
@@Jesusalmasihi4193 mm Yang dua Allah akuongoze uione haki uwe mwenye kuifuata
Tatizo wewe ni jinga unaongeaga ujinga mwingi sana
Kwa hiyo na wewe mungu wako Zumalidi?
Dah hata hili pia unaona anaongea ujinga.....! Mm naona wew ndo jinga kubwa lao