MKRISTO ATAKA KUNYWA SUMU KEWNYE MUHADHARA LEO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 71

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 года назад +10

    Masha"Allah masheik wangu Allah awalinde na kila balaa

    • @ahmedh9882
      @ahmedh9882 3 года назад +1

      @@mwanahamis5487 Dinia abdallah anaongoza

    • @mwanahamis5487
      @mwanahamis5487 3 года назад

      Mashaa Allah ww kaka nakupenda wallah sijawahi kukosa kwenye comment humu

    • @mwanahamis5487
      @mwanahamis5487 3 года назад

      @@ahmedh9882 kabisaa

    • @salimjuma8229
      @salimjuma8229 2 года назад

      Amiin inshaallah

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 3 года назад +3

    Masha Allah
    Subhanallah
    AllahuAkbar
    Lailaha Ilallahu Wahdahu Lasharikalah Lahulmulku Wala Hulhamdu Wahuwa Alakulisheiin Qadir wa Anna Mohammadan Rasulullahi Swallallahu Alaiyhi Wasallim Wabarik Alaiyhi.
    Shukran Jazakallahu kheir Bruder

  • @ramazecha2877
    @ramazecha2877 3 года назад +2

    Mashllah mashekh wetu mungu awape nguvu

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 года назад

    Shukran masheikh wetu mungu awajalie mazuri duniani na kesho akhera,na bado wakiristo watakunywa sumu wengi tu

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 3 года назад +1

    Mashaallah kaxi nzuri Allah awape nguvu na afya

  • @hudhaifatissa7490
    @hudhaifatissa7490 3 года назад

    Maashaallah ALLAh awalipe khery dunian na akhera warith wa mtume(s.a.w)🤲🤲

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 2 года назад

    Jazaka Allah khaira shekh mwaipopo

  • @nduwimanamoses363
    @nduwimanamoses363 3 года назад

    Shekhe jibu swali

  • @ahmadbinseif8646
    @ahmadbinseif8646 3 года назад

    mashallah

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 года назад +1

    Hahaha Allah awalipekher mashekhe wetu kwakazi mnayo ifanya

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 года назад

    Mashallah Allah

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 года назад +4

    mi pia nauliza hapa waisrael ni wangapi hapa ndani...jamani jamani,kujitwika uraia usiokuhusu kwahitaji kukosa aibu

  • @abdallaabdulkadir9203
    @abdallaabdulkadir9203 2 года назад +1

    *Mwaupopo mimi nimsomali natamani ni onane nawe wlhi*

  • @noorynmohammedy6063
    @noorynmohammedy6063 2 года назад

    Nimecheka jmn roooh kumbe hata walio batizwa hawamuanini yesu maneno yke🤣🤣

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863 3 года назад

    Ustaz maipopo wafundishe hawo wahelewe

  • @haydarhamad6532
    @haydarhamad6532 3 года назад +1

    Hahaha 😂😂😂ulamaa hujashtuaaaa????😂😂😂

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 11 месяцев назад

    Kweli katoliki ndio kanisa mama duniani .ila wakristo ni WA uzima wa milele

  • @allyissa6705
    @allyissa6705 2 года назад

    Gaspar kumbe amnakitu kabisa wapi wanafunzi wayesu wamebatizwa kashindwa kujibu daaaa

  • @kennah03m
    @kennah03m 3 года назад

    Hojaa zenu ni nzuri ila badoo ni zaifuu sana kuweza kutusilimishaa dhaifu sanaa zinavunjwa hata na maamuma

    • @jubail73
      @jubail73 3 года назад +3

      Sisi waislamu kazi yetu NI kufikisha ujumbe, kusilimu na kutokusilimu uwamuzi unao mwenyewe

    • @princematumbo
      @princematumbo 3 года назад +1

      Kena Acha kutapatapa,sema umeelewa Ila ukafiri umekuzidi tu.

    • @kennah03m
      @kennah03m 3 года назад

      @@princematumbo hakuna hoja waislamu sijaona hoja

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 года назад

      Ttzo lenu Mmekalia Ubishi na Sio Kujifunz Mkaelew Usahihi upo wapi

  • @luqmaneme9105
    @luqmaneme9105 3 года назад +1

    Sauti kidog irekebishwe

  • @dani72130
    @dani72130 3 года назад +1

    Tanzania sasa utasemaje kwamba haikuepo hata kipindi cha mtume Muhamad, hii ni elimu ndogo sana,

    • @saidswalehe2807
      @saidswalehe2807 3 года назад +2

      We .mukidiza wewe unaelimu gan sasa siungenda kwenye muhadhara ukatoa hoja coz we niwazaman

    • @princematumbo
      @princematumbo 3 года назад

      Makidiza tulia dawa ikuingie Sawa sawa

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 11 месяцев назад

    WAKRISTO HAWAMA ROHO YA MAUTI KWA KUJIUA WALA KUUA WALA KUCHINJA KUKU. HALAFU BIBLIA HAINA WAISLAM WALA MTUME MUHAMAD

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 3 года назад

    Hahaha mashallah umewasikia wasomi wa kisilamu mkiristo kama katiwa maji sisi tukikoga tunajibatiza wenyewe

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 года назад +1

    Huyo kafiri anaubishi kuliko makafiri wezake

  • @dani72130
    @dani72130 3 года назад +1

    kipindi cha Yesu, Mtume Mohamad, Tanzania haikuwepo, hizo ni elimu za maji tka.

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 3 года назад

      @MAKIDIZA NGULUKO mtume Muhammad ametumwa kwa Dunia nzima na Quran ni Sheria na hukumu kwa Dunia nzima. Yesu alitumwa kwa wana wa Israel tu na kitabu chake cha Injili ambacho ni habari njema ni kwa ajili ya wana wa Israel tu. Nabii Musa alipewa Taurati ambayo ni hukumu kwa wana wa Israel tu.

    • @Moc.khalfan
      @Moc.khalfan 3 года назад

      Akili yako ipe nafasi ya kuchambua na cyo kumezeshwa mambo ivi mungu kwa kutumia bibilia aliumbaje ulimwengu? Ata iwe kipindi Cha yesu tz haijaumbwa inchi ? Soma mwanzo 1:1 Jambo la mwanzo mungu kaumba mbingu na nchi

    • @mukrimmohd8954
      @mukrimmohd8954 2 года назад

      We ndo huna dini

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 3 года назад +2

    Nyinyi wakiristo mkiwafata hawa watakupotosheni mkachwe kama chips juweni ukweli muweze kufuwata someni wenyewe msikubali kwenda kupijiwa kelele makanisani mshambiwa walalao kwenye kiristo wamepotea

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 года назад +1

    Angekuepo Shafii angewapikia bamia kwa mabox😅😅

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 3 года назад

    Maskini Mbilikimo Gasper Gascate.Hajui lolote.Ukafiri wake utamfikisha Motoni tu.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 года назад

    Hahaha dawa ya uongo ni ukweli mkristo akana kitabu chake 🙄😁

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 2 года назад

    Huyo Mbilimo mwenye sura ya CHIPANZEE MWENYE JIMA LA SPEAR YA GARI"GASPER GASGATE.Kafiri mkubwa.Hana lolote.Mbishi kama MAVI YA ASUBUHI.

  • @josephlusame8212
    @josephlusame8212 3 года назад

    Nyinyi waislamu mnapenda tu ku qoat maandiko kidogo kidogo, ningekuwa hapo mnaeza jua hamjui. kwanza ka mnaeza nijibu haya maswali mawili:
    Ni nani aliye tabiriwa katika agano la kale na ikatimia katika agano jipya?swali la pili:mnasema hakuna Mungu katika utatu, nataka mmoja wenu anitafsiriye Genesis 1: 26 after creation, Mungu anasema na tufanye mtu kwa mfano wetu, Alikuwa na nani?

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 года назад

      Asslama alaikum ndugu waswahili siku zote wanasema usilo lijua ni usiku wa giza ila natumai unasoma vizuri biblia kabla ya majibu yako nakuomba kwanza unitafutie wapi yesu kajiita mm ni mungu kisha wapi ukristo ni dini asalama alaikum

    • @hamzayesu2017
      @hamzayesu2017 2 года назад

      😂😂😂😂eti huyu ndie anataka kutufundisha waislam na ilihali hata chekechea ya biblia hajahitimu😂😂

  • @chance0709
    @chance0709 3 года назад +2

    waeslam munamatatizo. munavio tafsiri Biblia sivio. mbona kwa haya iyo alisema kwa kondoo zilizo potea iyo akili uliyo tumikisha kufahamu hizo kondoo kama niwatu tumia hiyo hiyo kujua watenda zambi ni wa nani !? ovio tu. yaani waeslamu kwaubishi duuuuh.

    • @princematumbo
      @princematumbo 3 года назад

      Kajifunze Kwanza kuandika ndipo uje hapa.kusoma na kuandika hujuwi,je hio Bibi liar utailelewa? upumbavu mtupu

  • @dani72130
    @dani72130 3 года назад +1

    hapa naona ni upotoshaji tu, Bwana Yesu hakusema hajui ubatizo umetoka wapi bali aliwauliza wale wazee waliomuuliza Yeye, na hakuna mstari unasema Bwana Yesu hajui ubatizo umetoka wapi, bali alisema na Yeye hawaambii kwamba anafanya mambo haya kwa amri ya nani. UPOTOSHAJI MTUPU HAPA.

    • @jeanmuzaliwa4054
      @jeanmuzaliwa4054 3 года назад

      ndungu yangu ukifwatana na hawa watu unaweza amini kwamba waya nenayo ni kweli kumbe porojo na maneno mengi ya sio ndani ya biblia.

    • @haydarhamad6532
      @haydarhamad6532 3 года назад

      Si ungeenda kwenye Mihadhara😂😂😂,maji ya shingo😂

    • @hiimbinaimmuslim3041
      @hiimbinaimmuslim3041 3 года назад +2

      Soma mwenyewe kabla hujabishana tatizo lenu mshazoweya kusomewa uwongoo andika kwenye karatasi ukafunguwe mwenyewe kabla hujandika utumbo hapa kahakikishe

    • @hiimbinaimmuslim3041
      @hiimbinaimmuslim3041 3 года назад +2

      Ukisha soma rudi tena kuandika unafikir waisilamu wanatowa midomoni mwao wana mandiko sio kama nyinyi tu mnopanga wenyewe mnayo yatako mnajamba majini ushuzi unakunukieni wenyewe

    • @haydarhamad6532
      @haydarhamad6532 3 года назад +1

      Halafu Yesu hakua Buchuru kwamba aulize swali analolijua jawabu lake!😂Sasa ww tuambie Kama Yesu anaujua ubatizo kwanini aulize?😂😂

  • @bencarson1306
    @bencarson1306 3 года назад

    Huu ni uhuni mtupu na huyo shehe ni fara,, kama kweli anasema kweli mbona ananyanganywa maiki huyo mwinjilist,, hii ni dalili ya uhuni wa kidini, hafu nikiangalia hapo kuna mitambo inayo ghalimu pesa,, hafu mnapoteza pesa kwa upumbavu kama huo,,, mbona shafi yuko vizuri ktk kumuerewesha mtu,, ila mazinge ni zezeta,, mwaipopo ni utopolo, dr sule ni mwema ,,

    • @omaryally198
      @omaryally198 3 года назад

      Hakuna alie kulazimisha kuwa kondoo ustulalamikie hapa

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 года назад +1

      Kiupande wako Utaona Watu wanapotez pesa ila kw Mungu wanafanya Jambo Kubwa sana la Kuwatoa Watu kwenye Ukafiri na Kuwaek kwnye Njia Iliyo Sahihi

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 года назад

    Tatizo waislamu hawataki kujibu swali badala yake ni wabishi kwa maneno mengi nje na hoja ya swali,hatimae inakuwa mabishano na vituko tu,hawa watu hawana dira kabisa

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 года назад

      Nakusalimia tena kwa mwema tu ndugu yangu siku zote usijaje kitu ambacho hukiju we kwanza unachotakiwa kusoma biblia yako vizuri alafu utafute wapi yesu kasema nimekuleteeni ukristo kwamba ni dini yenu na wapi yesu kasema mmi ni mungu wenu kumbuka hii si siasa Bali kwa mafaniko yako mwenyewe ndugu asslama alaikum

  • @chance0709
    @chance0709 3 года назад

    pia Waislamu mbona wewe ni muswahili Muhamedi alikufikia Je? naalikua Mwarabu lol waislamu Ovio

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 3 года назад

    Huu upumbavu bado upo? Hii ni aibu sana. Kama unaamini imani yako ni sahihi endelea. Mambo ya kutafuta wakristo uchwara alafu ujipige kifua ni ujinga na kutokujiamini.

    • @hamissuche6576
      @hamissuche6576 3 года назад +2

      Walalama buure kwani kuna mtu amekulazimisha,. Kwenda zako ukanye ujipanguse na magazeti wewee

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 3 года назад +1

      Hao SI wakristo uchwara hao ni wachungaji wenu na wainjilisti wenu

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 года назад

      @@pamoles1303 kabisaa

    • @princematumbo
      @princematumbo 3 года назад

      Mavi debeni ,tumbo la kuhara.hao ni wakristo mpumbavu wewe