SHEIKH MWAIPOPO ATHIBITISHA YESU SIO MUNGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии •

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 3 года назад +2

    Jamani Mungu hatafutiwi point kama yesu mungu ingesema kama kurani inavyo sema maneno ya kurani unajuwa haya yanatoka kwa Mungu moja kwa moja maneno mazur ambayo nyinyi wakiristo mkusanyike nyote hamuwezi kuandika karatasi hata moja nyinyi yesu hakuna point hata moja inosema kama mimi mungu hamna akili hasa Mungu utamjuwa tu si yesu nyinyi mnompachika mungu

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 года назад +2

    Masha"Allah

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 года назад

    Mashallhaaa shekhewetu

  • @kennah03m
    @kennah03m 3 года назад +1

    Mwaipopo una hoja dhaifu sanaa
    Quran 19:19.. Malaaika akasema mimi ni mjumbe nkupe mtoto mtakatifu kutoka kwa allah... Sasa jibril kamtoa mtoto kwa allah kwahyo ni wa nani....???
    Na kama mkikubali yesu ni mwana wa mungu munakubali moja kwa moja ni mungu sababu mtu huzaa mtu mnyama huzaa mnyamaa

    • @kareemsukri3256
      @kareemsukri3256 3 года назад

      Acha kushabikia soma dini ujue ukweli sio jazba kasone dini zote kwanza

    • @Moc.khalfan
      @Moc.khalfan 3 года назад +1

      Na Maryam ni mtu akamzaa akamzaa yesu kwa hiyo yesu ni mtoto wa mtu

    • @Moc.khalfan
      @Moc.khalfan 3 года назад +2

      19. (Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika
      Haya onyesha apo kua yesu mtoto wa mungu sisi sote ni wa Allah SW na kwake tutarejea
      Yohana 20:17
      Yesu akamwambia, “Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ‘Ninapaa kwenda kwa Baba yangu ambaye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu
      So baba yake yesu na ww ni baba yako,mungu wake yesu na ww ni mungu wako kwa mujibu wa andiko 👆

    • @Moc.khalfan
      @Moc.khalfan 3 года назад

      Ufunuo wa Yohana 4
      11 Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa.
      So vitu vyote vilikuako kwa mungu kiroho ndipo akaviumba Tena vikaja duniani kimwili

    • @kennah03m
      @kennah03m 3 года назад

      @@Moc.khalfan sasa kaka kama mungu ni baba na yesu ni mwana huelewi kitu kwani??? Mnyama huzaa mnyama mungu huzaa mungu

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 3 года назад

    Masha Allah

  • @maherzain615
    @maherzain615 3 года назад +1

    Huyu Abu jahal hana point kelele tu.eti sisi waislamu twamtambua yesu kwa upande mmoja.kwani yesu kigeugeu.kisha auliza yesu aishije mbinguni? hayo ni mambo ya mungu ww huna elimu nayo.

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy 3 года назад

    Hii sasa kali. Injili ya mwalimu Julius Nyerere 😂

  • @machanomachano626
    @machanomachano626 3 года назад +1

    Wakristo Wana macho lkn hawaoni Wana maskio lkn hawasikii muungu hadiliki

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 3 года назад

    Mwinjilisti msanii kweli! 😂😂😂

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 3 года назад

    Hoja za waislamu ni dhaifu sana eti "yesu siyo Mungu"

    • @fatmaali3554
      @fatmaali3554 3 года назад +1

      Kama yesu ni mungu mama ake yesu atakuwa nani

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 3 года назад +1

      @@fatmaali3554
      Mikafiri mengine haina akili.

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 3 года назад

      Haha ‘ yesu angepata mtoto basi mwanae angemuita MUNGU ‘ BABU ...!

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 года назад

      @@fatmaali3554 takbirrr

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 года назад +1

      @@ismailyusuph740 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 3 года назад

    Mwaipopo unangoja nini ila kuokoka umesema kwamba ili mtu apate uzima wa milele lazima umwamini YESU maana YESU ndie hupeana uzima wa milele hongera sana mwaipopo

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 3 года назад

    Waislamu wote duniani ni makafiri

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 3 года назад +1

    Point gani unoitaka wewe wakat yesu ni mtume loo nyinyi hasa mmepotea muhimu watu wanakusikilizeni wana akili zao

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 3 года назад +1

    Mimi hawa waisilamu siwaelewi . Toka wamezaliwa mpaka wanakufa kazi yao ni kubisha tu Yesu siyo Mungu. Awe Mungu asiwe Mungu nyie waisilamu kinachowauma ni nini?. Mtake msitake Yesu ni Mungu tena ni Bwana na tena ni Mwokozi. Na jina lake litakapotajwa siku ile ya mwisho kila goti litapigwa, na kila ulimi utakiri kwamba Yesu ni Bwana. Kwa hiyo mtake msitake mtakuja kukiri hiyo siku itakapofika. Sisi tunachojua na kuamini ni kwamba Yesu Christo ni Mungu. Achaneni na sisi nyie

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 года назад +1

      Wengine wanasema ni mtoto

    • @wachujahabari3022
      @wachujahabari3022 2 года назад

      Amtotuelew sisi waislam kwasaba nyinyi wakristo mmebeba iman bila akili aiwezekan sisi waislamu na akili zetu tumuabudu mwanaume mwenzetu yesu sisi atuwez fanya kitu kam icho kwasab tunaakili 😂😂

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 3 года назад

    Point gani unoitaka wewe wakat yesu ni mtume

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 3 года назад

    uislamu ni kuvaa kanzu na barakashia tu tayari unakuwa muislamu kamili

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 3 года назад +1

      Ukristo ukivaa vimini tu na kujua kusema uongo tu tayari ni mkiristo kamili

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 года назад

      @@pamoles1303 takbiiir

  • @enuelabunimkali9529
    @enuelabunimkali9529 3 года назад

    Uisilamu mtupu hauwezi kumpeleka mtu peponi mpaka kumpokea roho wa bwana akaendani yetu;

    • @Moc.khalfan
      @Moc.khalfan 3 года назад +1

      Toa Aya inasema MKIRISTO anakwenda peponi

  • @kennah03m
    @kennah03m 3 года назад

    Sasa muhhamad mwasema ni mtume wa mwisho na qurani hakuna yeyote aliyepewa ila mhamd.. Sasa alijuaje habari za mwanzo??

    • @milomohmooh9212
      @milomohmooh9212 3 года назад +1

      Kwa kawaida manabii wote wamepata unabii kwa kushukiwa na aya za maneno ya mungu kwahyo naimani umeelewa swali lako

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 3 года назад +1

      Ndio ujuwe kuwa Muhammad swallallahu alayhi wasallam ni mtume wa mungu

    • @kennah03m
      @kennah03m 3 года назад

      @@pamoles1303 sasa muhhamad utume anaupokea na miaka 40 huko nyuma alkua aliabudu nini??

    • @kennah03m
      @kennah03m 3 года назад

      @@pamoles1303 4:49 quran...wema uliokufika umetoka kwa mungu ubaya nafsini mwako..... Tumekupeleka kwa watu kuwa mtu mungu ni shahidi wa kutoshaa... Sasa hawa ni nasi ni kina nani???

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 3 года назад

      @@kennah03m ALIKUWA AKIMUABUDU ALLAH

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 3 года назад +1

    Point gani unoitaka wewe wakat yesu ni mtume loo nyinyi hasa mmepotea muhimu watu wanakusikilizeni wana akili zao