MCHUNGAJI ASHINDWA KUMJIBU SHEIKH MWAIPOPO TANGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 61

  • @babauna3458
    @babauna3458 2 года назад +11

    Allah akubariki ,akuhifadh ustadh mwaipopo akujalie maisha mazuri hapa Dunian na Akhera uzudi kuenedesha gurudumu hili la uislamu

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 года назад +12

    Mue mnaenda vijijini masheikh zetu wamasai huko wanahitaji elimu

    • @khuiii9032
      @khuiii9032 2 года назад

      Hata ww pia una jukumu hilo so mashehee tuu

    • @hassanbilali1697
      @hassanbilali1697 Год назад

      Hilo ni jukumu letu sote tutafute elimu na kufikishia wengine na Mashekh wanapaswa zaidi

  • @sophiaMkomwa
    @sophiaMkomwa 10 месяцев назад +1

    Mashallah mungu akulipe jannah

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 2 года назад +6

    Allah akujaalie Jannah...

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 2 года назад +4

    Ma ustadh wetu Allah awape subra...

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 года назад +4

    Allah akujaalie kila la kher sheikh wetu mwaipopo

  • @barazaadonias8110
    @barazaadonias8110 2 года назад +5

    Allah akupe maisha marefu sheikh uendelee kutupa daawa

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 2 года назад +2

    Mungu akulinde shekh wetu

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 года назад +2

    Sheikh mwaipopo Allah akulinde sana 🙏

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 года назад +2

    Masha"Allah Da'wah iendelee?

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ 2 года назад +1

    Assalamu aleikum sheikh waipopo mimi niko saudiarabia mji wa makka ila nataka kununua maji kwa ajili ya mke na watoto wangu wako kenya nifanyie mpango ili mke wangu ayapate maji

  • @masudingana9550
    @masudingana9550 2 года назад +1

    Elmu Safi kabisa,sheik mwaipopo Allah akujalie neema

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 Год назад

    Safi sana kwani unaifanya kazi ya shetani vizuri sana

  • @mathayopapiasi8872
    @mathayopapiasi8872 2 года назад +1

    Mawazo yako simawazo ya Mungu (mithali3:5

  • @hassanabubakar3001
    @hassanabubakar3001 2 года назад +1

    Jatakas Laahu khair🥰🥰🇬🇧

  • @halinishibakari5402
    @halinishibakari5402 2 года назад

    Allahiu akbar.Allah.atawahifadhii na.penginepo

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 года назад +2

    MashaAllah

  • @rahmanino1374
    @rahmanino1374 2 года назад +1

    Maa shaa Allah

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 2 года назад +1

    MASHAA ALLAH.

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 2 года назад

    MashaaAllah Allah awe nawe

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 2 года назад +1

    Walyekum salam warahmatullah wabaraqatuh

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 2 года назад +1

    Muhammad hakutailiwa, Ila alioa mtoto wa miaka 6 hata baaday hakuzaA

  • @Tina-b9t1z
    @Tina-b9t1z 11 месяцев назад

    Wapeeeeeeee ukweliii

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 года назад

    Maashallah!

  • @ShabaniSadi-p6t
    @ShabaniSadi-p6t 9 месяцев назад

    Anae vuta fegi ana pona

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 Год назад

    acha kujiapiza namba iyo tapelli ww

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 Год назад +1

    Ukienda znz uta sarenda mwenyewe

  • @nzeyimanaambari9754
    @nzeyimanaambari9754 2 года назад +1

    Asalaam alaykum mtupe nanamba 2 utuendelezee hadi mwisho wamaada asnte kwaku ni saidia hayo ndio tutaelewa

  • @ramazecha2877
    @ramazecha2877 2 года назад +1

    Ukweli kbsa shekh umeongea

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 2 года назад +1

    Mmeenda kushindana?

  • @sasakazi9531
    @sasakazi9531 Год назад

    Achana na mambo ya mwili sema Neno la Mungu MUNGU no Neno.kutahiriwa si kitu wala kutotahiriwa si kitu.Bali ni kulishika Neno laMungu. Acha uongo,

  • @neemayauislamutv8547
    @neemayauislamutv8547 2 года назад

    Sikiliza SIMULIZI yenye ujumbe mzito
    gusa link hii⤵⤵⤵
    ruclips.net/video/5JztpvgxNhY/видео.html

  • @monalisalebasoto2538
    @monalisalebasoto2538 2 года назад +3

    Muongo Sana huyu jamaaa

    • @onlyonetztv610
      @onlyonetztv610 2 года назад +1

      Sawa kheri wewe mkweli mwenzetu

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 2 года назад +1

      @@onlyonetztv610 roho mbaya imemvaa mwaipopo ukiacha uchungaji roho za kishetani lazima uwenazo ndomaana ni mganga wa kyinyeji mshilikina na majini ni ndugu zake

    • @ukweliwauislamu9590
      @ukweliwauislamu9590 2 года назад

      Mwongo ni huyu hapa
      ruclips.net/video/ykCCLJHlNIE/видео.html

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 2 года назад +1

      @@prochesernest5439 Ww unaropoka na kupayuka tu,kwani hapo kakosea nini?Au chuki zako zinakusumbua nini?Ww hapa ndiyo unaonekana una rohoo chafu!

    • @monalisalebasoto2538
      @monalisalebasoto2538 2 года назад +2

      @@onlyonetztv610 hahahah anajitahidi kuuchafua ukristo lakini hata fanikiwa katika jina la Yesu

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 Год назад

    Mkiambiwa uislam sio dini ya amani mnakataa

    • @johngerald4677
      @johngerald4677 Год назад

      Ungekua na akili ulipotoka somalia ungeachana na uo ukafir unaoitwa uislam

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 10 месяцев назад

      ​@@johngerald4677😂😂😂😂😂

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 5 месяцев назад

      Wewe yakwako dini ya amani ipi?tuonyeshe sasa iyo Yako dini ya ukweli na amani mpotevu mkubwa

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 5 месяцев назад

      Wewe naye ndo unaakili sasa.. Mbona wewe ndiye lofa zaidi ya malofa.unaemfananisha yesu na mungu ivi we unaakili kweli?mjinga mkubwa

  • @sasakazi9531
    @sasakazi9531 Год назад

    Ataenda vijijini kufanya nini kwani alizaliwa mjini? Mbona alishindwa huko kwao Mbeya?

  • @rahmasoliman489
    @rahmasoliman489 2 года назад

    Mashaallah