SHEIKH ALIYEBATIZWA AUMBUKA BAADA YA KUTUKANA QUR'AN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии •

  • @feizalmas
    @feizalmas День назад +3

    Mashaallah sheikh mwaipopo unawanyoosha hawa makafiri vzr ALLAH Akulipe akhera ilio bora kwako.

  • @dr.abdullahiwario2156
    @dr.abdullahiwario2156 День назад +7

    Nakuona sana shekhe Mwaipopo, nakupenda sana kwa ajili ya ALLAH. ALLAH akuongoze 🤲🤲

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 День назад +2

      Wallahi huyu mwaipopo ana imani na dini yake tena anaipenda kbs bila unafiki Allah akulipe kheiri fi dunia wal akhera ndugu yangu kati ka iimani

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 День назад +2

    mashallah sheikh Mwayipopo usiwapi nafasi awonakafiri kuyicezeya Quran takatifu waende kanisani kupiga kwaya

  • @khalidmuwinge9849
    @khalidmuwinge9849 18 часов назад +1

    Usihofu Shekh! Waislam tupo pamoja nawewe.

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 3 часа назад

    Allah akuhifadhi ❤❤❤

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt День назад +3

    Wakristo hawana dini, kazi yao ni wivu na uhasidi kwa waislamu huo ndio ukweli. Alhamudulillah kwa hii ya dini kweli ya uislamu.

    • @harrisoncharo-qz3vz
      @harrisoncharo-qz3vz День назад

      Sasa wewe tuonee wivu na dini yenye majini hata quran yenyewe iliteremushiwa na hadui wajibri 2.97 soma hio halafu useme tuko nawivu😂😂

    • @ExcitedChefHat-ef5jt
      @ExcitedChefHat-ef5jt День назад

      @harrisoncharo-qz3vz mimi nakupa ushuhuda ukristo ndio dini ya majini soma hii.
      Marko 3:11 Pepo wachafu walipomwona Yesu, walianguka chini mbele yake na kupiga kelele, "Wewe ni Mwana wa Mungu!" Yesu aliwanyamazisha na kuwakataza wasimtambulishe hadharani. Luka 4:41 Yesu alipoponya watu waliokuwa na magonjwa mbalimbali, pepo wachafu waliwatoka wengi na kupiga kelele, "Wewe ni Mwana wa Mungu!" Yesu aliwakemea na hakuwaruhusu kusema zaidi.
      Sasa nipe ayaal kwa Quran au bibilia uislamu ni dini ya majini .

    • @ExcitedChefHat-ef5jt
      @ExcitedChefHat-ef5jt 23 часа назад

      @harrisoncharo-qz3vz
      Dini gani ina kubali ushogaa kwa kanisa ? Kam si dini ya mashetani ni dini yamungu kweli? Fikiria sana kisha ujijibu mwenywe. 🤣 😂

    • @ExcitedChefHat-ef5jt
      @ExcitedChefHat-ef5jt 23 часа назад

      ​​@@harrisoncharo-qz3vz
      Marko 3:11 na Luka 4:41: Marko 3:11 Pepo wachafu walipomwona Yesu, walianguka chini mbele yake na kupiga kelele, "Wewe ni Mwana wa Mungu!" Yesu aliwanyamazisha na kuwakataza wasimtambulishe hadharani. Luka 4:41 Yesu alipoponya watu waliokuwa na magonjwa mbalimbali, pepo wachafu waliwatoka wengi na kupiga kelele, "Wewe ni Mwana wa Mungu!" Yesu aliwakemea na hakuwaruhusu kusema zaidi.
      Pepo wachafu na wakristo ndio wanaosema yesu ndio mwana wa mungu. Dini ya ukristo ni ya mashetani.

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 23 часа назад +1

      Wanataka tufuwate Mila zao za Ukafiri/Ushirikina

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 7 часов назад

    Njaa mbaya sana

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni День назад +1

    Waislamu km kunamtu tunatakiwa tumsapot katika dini basi shekh mwaipopo anstahiki

  • @TatuKhatib-f1u
    @TatuKhatib-f1u День назад +2

    Sheikhe clips nyengine usizirushe sie wengne tunaumwa sana na uislam wetu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 День назад

      Dozi ni chungu meza tu upone ugojwa unaoumwa😅

  • @MirajiHemedi
    @MirajiHemedi 13 часов назад +1

    Mtume sio cheo Ila ni kazi ambayo mwaadamu anatumwa na Mungu ,mtume maana yake ni mtumwa wa Mungu.Yaani aliyetumwa. Wanafunzi wa Yesu waliitwa nitume kwa sababu Yesu aliwatuma katika ulimwengu,kabla ya Yesu hapakuwepo mitume, kulikuwepo na manabii tu. Sasa wale watumishi ambao Yesu aliwatokea akawatuma pia hao ni mitume, sio waongo, Yesu pekee ndiye hutuma mitume, ndio maana ukiona mtume ambaye hajatumwa na Yesu kuna Shaka kubwa Sana,

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u День назад +2

    Mganga yupo kazin anapatashida na mchungaji lakin mwenzio ana habari naye vipovu wa vipovu moto unakungoja

  • @kihimbamushyaibrahim7284
    @kihimbamushyaibrahim7284 День назад +1

    Huyo mzee kichwa chake hajawai sali hata kumusujudia mungu naona tuu mutu mupotofu wallahi muongo tuu

  • @LionofJudah-l5g
    @LionofJudah-l5g День назад +1

    YESU KRISTO NI MUNGU UKUBALI AU UKATAE BALI SIKU YA HUKUMU YESU NDIYE ATAKUWA HAKIMU WA HAKI. SIO Mohammad

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 19 часов назад

      Sisi waislamu tunajitambua hatuwezi kuacha kumuabudia mlmungu alietuumba tukaenda kumuabudia kiumbe km sisi

    • @KhalifaHassani
      @KhalifaHassani 18 часов назад +1

      Yesu alikuwa ana kunya, ana kojoa, kama binaadamu wengine je hizo sifa unaweza ukampa mungu. Acha wehu wewe. Yesu mwenyewe kasema MIMI MTU NILIYOWAAMBIA KWELI KUTOKA KWA BABA. halfu wewe unasema YESU mungu.
      Kati ya wewe na yesu nani mkweli na nani muwongo?

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 6 часов назад +1

      We mwehu kweli yaani sisi tukahukumiwe na yesu kweli umelala. Mtume Muhammad (s.a.w.) ni mtume tu kama alivyo yesu kwa sababu wameumbwa hawawezi kuhukumu. Hukumu ni ya ALLAH peke yake.

    • @LionofJudah-l5g
      @LionofJudah-l5g 2 часа назад

      @mwawekomiuda9779 Allah ni shetani lakini kwa sababu wewe ni punda basi hutumii akili yako hata chembe basi Makao yako wewe Allah na Mohammad ni Kule jehanamu ya moto basi. Tabia za Allah ni Sawa na za shetani hivyo ndugu hakuna usalama kwa Allah. Allah ni shetani aliigiza kuwa Mungu na ndio maana Allah pia anampinga Yesu kristo.

    • @ExcitedChefHat-ef5jt
      @ExcitedChefHat-ef5jt Час назад

      @@LionofJudah-l5g
      Jee ? Wale walimua mungu wako yesu pia watahukumiwa ama ? Wamesamwhewa ? Jee mungu anaweza kuawa na wanadamu? Kame yesu ni mungu na mama yake yesu ni nani ? Tafakari ujijibu mwenyewe 🤣 😂 .

  • @MaulidSigiwana
    @MaulidSigiwana 23 часа назад

    Mmhh
    Kimaandiko iphone kwamba uongo ni kawaida kwa wakristo.
    Hapo shekhe wetu umebugi Sana tu.
    Omba radhi kwanza.

  • @azinibushuru4697
    @azinibushuru4697 День назад

    Mashallah shekhe hua napata faida sana kwa elimu yako bora

  • @NancyPatrick-il8zj
    @NancyPatrick-il8zj День назад +1

    Unafikiri huyo shekhe aliyebatizwa ni kiraza kama wewe! Mpuuzi sana wewe, kiraza mkubwa

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u День назад +2

    Nyie waislam zaman mwaka elf2000 mulikua munapiga kelele wakristo wamesoma vitabu vyenu mupo wazi kira kitu kipo wazi amuwezi kuwachanganya tena povu povu😢

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd День назад +1

      Soma upate kujua ukweli na mungu anguongoze!!wewe soma ujue kwanini Israeli waislam ni wengi kuliko wakristo?

    • @kihimbamushyaibrahim7284
      @kihimbamushyaibrahim7284 День назад +1

      Nyinyi someni wallahi hauta fahamu Qoraani nauki ifahamu utauingia uislam!!Je uislam umesema yesu Nimungu!??au uislam sio Dini??sasa umefahamu nini kwenye Qoran wakristo wamejepoteza wenyewe hapa ulaya walio uleta ukristo wanauingia uislam sasa someni Qoran kwaukweli mutaongoka!!wacheni upotofu uislam nidini yamitume wote!!tunawaheshimu mitume wote na yesu sasa poleni sana

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm День назад

      JIFUNZE KWANZA TOFAUTI KATI YA R NA L

    • @MwinyiJuma-n4i
      @MwinyiJuma-n4i День назад +1

      Bibilia wanashindwa kusoma hao wakristo Quran tukufu hata mkeshe bila nguo hamuwezi kuisoma Quran na mkailewa

    • @Kijazi1132
      @Kijazi1132 23 часа назад +2

      HAKUNA kitacho zuia ukuwaji wa kasi wa uislam maana ni ukweli ukwe kabisa

  • @RafaelKatenda
    @RafaelKatenda День назад

    Umwekee ulinzi wewe ni mungu

  • @mwanamutemi
    @mwanamutemi День назад

    Bila ya kutumia lugha aina hiyo ya Matusi, hawa wajanja wa Kidini hawapati Mkate Mkubwa kutoka kwa WAFUASI WAKIKRISTO. Ajabu kubwa ni Wakristo hawaoni vile wanatapeliwa na wajanja hawa. Uislamu ukitaka kuingia au kutoka ni mapenzi yako.

  • @kennah03m
    @kennah03m День назад +1

    Ipo wapi ile nambari ya mchango😂😂😂 tuchangie mnakasha

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 День назад

    Kuharibiwa dili la pesa inauma lakini 😂😂 yani namuona mwaipopo alivyomaind kabisa 😂😂

  • @SirikwaMollel-y3k
    @SirikwaMollel-y3k 23 часа назад +1

    Mwapopo km Qurani ni ya mungu wasiwasi ni wanini maana wakirsto hawna wasiwasi biblia maan inamajibu peke yake. Saa hivi wwe unafaa kushitakiwa kwa sababu ya kumtishi timoseo.

    • @ShuaibuMsofe
      @ShuaibuMsofe 21 час назад

      Wewe kiroba kweli hujui unachosema

  • @TatuKhatib-f1u
    @TatuKhatib-f1u День назад

    Mbwa mkubwa

  • @سليمانلوغاجو
    @سليمانلوغاجو День назад

    Mbona Wana majina mengi mara makafiri mara katonta

  • @NoahMwankenja-ft4ql
    @NoahMwankenja-ft4ql День назад

    dini yenu ilishafahamika ni ya uongo ni yashetani"""watu walishaelimika.....pasipo sheria ya upanga kwa muislam,pasingekuwa na dini ya uislamu duniani....yesu ndie njia,badiliken waislamu

    • @jabiromary3276
      @jabiromary3276 День назад

      wewe endelea kula nguruwe ukisubiri kwenda motoni. Unafuata dini iliyoletwa na PAUL, Mnaemwita mtume! yesu hakuleta ukristo na mpk anaondoks duniani yesu hakuwahi kuwa mkristo wala hakuwahi kuingia kanisani hata mara mojo na wakristo mnafuata kitabu kilichochezewa sasa hata wewe sijui unjnafuata kitabu gani cha biblia maana mna vitabu vya bibkia vingi sana sasa sijui kipi sasa ni cha yesu

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 22 часа назад

      Kuelimika ni Kuhalaisha Ushoga Kwa Kuombewa Barka?! 🙌

  • @charlesmapunda-g5l
    @charlesmapunda-g5l 13 часов назад

    Acha porojo ongea kwa maandiko alosema ni uongo?

  • @NovisMgeni
    @NovisMgeni 19 часов назад

    Pepo ushindwe kwa jina la yesu

  • @emanweljohn1240
    @emanweljohn1240 16 часов назад

    Kweli Mwaipopo inamamepo tusi liko wapi hapa kweli ninapenda kuchunga ukorofi akili zamwaipopo nipumbatuu tus vipowapi hapo wewe kumkomboa yesu kwasababu unapenda uovu yesu hapendi huwongo nenda zako wewe Mwaipopo unaadabu

  • @POVELSPORTS
    @POVELSPORTS День назад

    Mzee MKUTANO mkubwa karud tena kaja KULALAMIKA na KUENDELEAH KUCHOCHEAH😮😮

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa День назад

    Kwakweli watu waongo,wanamjiwao

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 День назад

    Maamuma Mwaipopo, Kumbe ulikuwa umedhamilia na kupanga kumzuru Mwalimu Ismael UNASEMA: ULIKUWA UNAMMALIZIA NA KUONDOKA UTUPU wewe ulikuwa na dhamiri chafu kabisa bora Asije kabisaaa

  • @AzizaHamisi-o6z
    @AzizaHamisi-o6z День назад

    Wakala WA shetani endelea kushirikiana na shetani mwisho wako utauwona

  • @KefaFaraja
    @KefaFaraja День назад

    MPAKA SASA HIVI SIJAPATA POINT,,, HIVI KUNA ALICHOPINGA APO,,, HAKUNA TAPELI ANAYEKUJA KUSEMA YEYE NI TAPELI,,, CHUNGUZENI MAANDIKO YA NDANI ( BADILISHENU IWE KISWAHILI KM KUNA MTU ATABAKIA HUKO)

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 19 часов назад

      Unakielewa unachosema au ilimradi tu, watanzania hatujui kiarabu na jee waarabu wanaojua kiarabu mbona ni waislamu ,au Temotheo hajafikisha injili kule😂

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 23 часа назад

    Kwa hiyo unatukana wakristo

  • @AbdonJonathan-r1w
    @AbdonJonathan-r1w День назад

    Hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio ktk kristo yesu.

  • @charlesmapunda-g5l
    @charlesmapunda-g5l 13 часов назад

    Quran haijatukanwa imejitukana yenyewe kwasababu hayo maneno yapo. Waislam waliobatizwa wapo kibao mitandaoni mpaka mitaani tunapokaa we anaongea uongo.

  • @AbdonJonathan-r1w
    @AbdonJonathan-r1w День назад

    Kwani unajua kiarabu mwaipopooo

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa День назад

      @@AbdonJonathan-r1w akijuwe asikijuwe ayakuusu.apo ulipo wewe unajuwa kitaliyano wewe mbona unafata upotevu wa papa wa roma

  • @SalamaJuma-i6v
    @SalamaJuma-i6v 9 часов назад

    Mwaipopo hivi vilemba anakufunga nani

  • @TatuKhatib-f1u
    @TatuKhatib-f1u День назад

    Njaa tupu huyu jamaa miwani kama kobe

  • @AbdonJonathan-r1w
    @AbdonJonathan-r1w День назад

    Kwani kurani inasemaje kwa mtu aliyelitadi, kwani siku hizi hamuongozwi na kuran,

  • @zuwenasleiman3587
    @zuwenasleiman3587 3 часа назад

    Hana hata sijda

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 День назад

    Quran ni kitabu kisichokuwa na shaka Sasa kaa navitabu vyako vilivyomo tunga na washiba kunde na kukosoa

  • @harrisoncharo-qz3vz
    @harrisoncharo-qz3vz День назад

    Yeye alikua imam kwl sio porojo mwaipopo ulizia walioenda huko kuhakikisha alikua imam wewe ndiwe mmongo ulitangaza ukasema ulikua pst kanisa gani hukusema nikanisa gani😂😂

  • @muliamadi859
    @muliamadi859 День назад

    Ivi kweli na wachristo wanaenda kanisani kwake uyu kweli?kichwa unga mtupu.

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 23 часа назад

    Tatizo nini wakristo wanahusihaje hapa? Tukitukana na kuusema vibaya uislamu utaona sawa?

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 День назад +1

    Mganga mwaipopo

    • @zahornassor5420
      @zahornassor5420 День назад +1

      Eee ukitaka dua na dawa unapata hapo na Elimu pia Mashallah kwa mwaipopo utapata🎉❤

    • @TheAlman
      @TheAlman День назад +2

      Upo sahihi hata janabi pia anaitwa mganga janabi
      Bado hujamkashifu

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 День назад

      Hata muhimbili kuna ofisi ya mganga mkuu na mganga mfawidhi

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 День назад

      @@zahornassor5420 elimu ya majini siyo

  • @khloevibe7569
    @khloevibe7569 День назад

    hv inakuaje mwanaume unakua mlalamishi hiv?fundisha mamb mengne huyo mpuuz kama ni muongo achana nae

  • @feizalmas
    @feizalmas День назад

    Ni kweli mganga anatibu ALLAH kamjaalia kuwatibu wajinga wa imani na maarifa kama nyie makafiri.

  • @ThomasMriche
    @ThomasMriche День назад

    😢uyu shehe anashida gani. Mbona Kila akiona Jambo tu.tayali analitolea macho. Au uisilamu ni dini ya fujo nn. Mbona wakristo wanasilimishwa na wenzao hawana shida ya kuuponda uisilamu.kwanini huyu tu.kila mtu na Imani yake. Acha kujifanye ndio mjuaji. Anaejua ukweli wa dini ni mungu tu.hakuna mtu yeyote mwingine anaejua ukweli wa 😅

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 День назад

      Huyo Siyo Sheikh Bali ni Maamuma Katonta Zuzu bubusa

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa День назад

      Me mnasema mwaipopo kakasirika, Wala hajakasirika kwa ajili ya hawoewakosa akili wapotevu.nyiye ndo mnakasirikaga mkristu akiuwacha upotevu mnakasirika mpaka mnahakikisha Meshach muuwa..kwa sababu asiwah kutowa siri nyingi za umo kanisani mwenu.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa День назад

      Sheikh wetu wanakuogopeya!!!mzeh wangu chapa kazi usiogope mtu.

  • @MussaBakil
    @MussaBakil День назад

    Wana dini wamesoma lakini wana shelekea xrimas kwenye bibilia haipo

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 День назад +1

      Ila maulid ipo kwenye quran 😂

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 22 часа назад

      ​@@mobutu3884Maulid ipo isipokuwa Jinsi ya Kuenzi ndo Kuna wanaokingiuka.
      Laakin X-Msss ni Uzushi wa Wapagani

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 13 часов назад

      Tuambie kuhusu maulidi ni kitu gani

  • @Anonymous-w9v-i1p
    @Anonymous-w9v-i1p День назад

    Ila sheikh mwaipopo...huwa unasema ujinga si tusi na unalitumia mara nyingi tu kwa wakristo na imani yao. Huyo mwalimu hakuna neno alilotumia zaidi ya hilo "ujinga". Shida ipo wapi hapo?

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 День назад

    Siku zote mjinga hawezi kuongea na mjinga na anayejitia ujinga na Acha jazba, chuki na povuuuuu

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 День назад

    Sawa kwa imani yako maana kama haenendi kwa imani unayoiamini lzm jehanam yakusubiri

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 День назад

    Mkristo akiwa anaongea utaona utulivu na hekima siyo Mwislamu Mwaipopo Jazba na hasira na chuki ziko kifuani

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 23 часа назад

      Mkristo apate Wapi Hekma ?
      Hilo Neno "Hekma" (Busara, Ustarabu, Nidhamu) ni maneno ya Kiswahili yenye Asili ya Kiarabu (Uislamu).
      Ukristo (Biblia) hauna Neno Hekma laabda Mchukuwe/Muazime ktk Uislamu.
      Dinni gani (Ukristo) hauna Lugha ya Asili ya Mtume/Mungu wenu ?! 🙌

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 21 час назад

      Kwa hiyo wewe unaona hekima ya Mwalimu Wa kikristo na Mwaipopo nani anaonyesha ana jazba, hasira na chuki Kwa mwaenzake?

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 21 час назад

      ​@@alhadajjmohammedsmith9042 Nipe Aya ndani ya Qur'an inayosema MIMI MWENYEZI MUNGU ni Mwislamu na kitabu changu ni Qur'an na Lugha yangu ni Mwarabu?😅😅😅

  • @charlesmapunda-g5l
    @charlesmapunda-g5l 13 часов назад

    Mwaipopo usidanganye watu Mashekhe wenzako wamekiri Muislam lazima apitie motoni ndio aingie Mbinguni kwenye Ukristo hakuna ujinga kama uo. Hayo Mafuta sio ya Mungu ni Uchawi wa kisuni wa waarabu hakuna maduka ya Wakristo yanauza Dawa au Mafuta zaidi ya Manabii feki kama wewe.

  • @jolinkimaro9939
    @jolinkimaro9939 День назад

    yani mwaipopo hata hujielewi. sasa mbona hata ulichoandika hakieleweki mana unajipendekeza tu kwa waislam lakini ufanani hata. na isitoshe quran haijatukanwa imefunuliwa mapungufu mlioficha kwa miaka mkidanganya haina dosari. ikikuuma okoka wacha kuandika ujinga

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa День назад +1

    Iyi yote nauongo wote uyu ,ni kwasababu ustadh dominic kautoka ukristu ndio chuki iyoo. Sasa wameleta mapya ya uongo kutafsiri qu,ran wasioijuwa nakumzingishia bi aisha mke wa muhamad.

    • @jabiromary3276
      @jabiromary3276 День назад

      huyo Dominic si lolote katka uislamu, sisi tunashughulika na Dominic kwa kuwa ametaja tu Quran, yeye kuwa mla nguruwe sisi wala hatuana taabu nae. Kama anaweza aje tu atetee uongo huo aliouona ndanmi ya Quran , hofu yake ya nini sasa.

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 13 часов назад

      Dominic katubu njaa ilikua inamsumbua Sule anajua hilo

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 День назад

    Maamuma Katonta Mwaipopo, leo mbona hasira jazba na povu linakutoka hivi waalimu wa Kikristo wamekukatisha tonge la maokoto uliyokusudia kupata kupitia michango ya Waislamu?😂😂😂

  • @richardsalala9147
    @richardsalala9147 День назад

    Sheikhe asiyejua kusoma kiarabu bwana nestory mwaipopo aliyeingia kwa Mudi kuuza dawa za asili na kuwadanganya wajukuu wa bwana mudi 🤣🤣🤣

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 22 часа назад

      Bora auze Dawa (zisiwe Dawa za Ushirikina/Utapeli) Kuliko Kuhalishiwa Kufanya Ushoga 🙌

  • @KefaFaraja
    @KefaFaraja День назад

    BADO MOHAMAD HAJAFIKA MBINGUNI,,,, JITAHIDINI KUMUOMBEA,,, MUNAJICHELEWESHA KUBISHANA WAKATI ANATAKA REHEMA,, JITAHIDINI YESU YUPO KARIBU KURUDI.

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 День назад

      Wewe hauko kwenye kondo zamakabila 12 wawana wa Izrail na wana milanvo yawo 12 yakuingia peponi nyinyi mtaingila yupi?

  • @emmanuelnganya9722
    @emmanuelnganya9722 День назад +1

    Uza mafuta ya upako wewe,povu la nini?piga maokoto Kwa wajinga wenzio

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa День назад

    Sikugani mlimuona bi aisha akasema hivyo wapi ulibisoma wapi andiko gani towa andiko. Wewee muongo mpotevu.

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 День назад

      Kwani nyie si mnaamini quran ni maneno ya Mungu? Kuna mtu alimshuhudia mohamad akitokewa na Gibril?😂 kwa hiyo kama Aisha alisema quran ina makosa ana uhakika na hilo maana alikuwa mke wa mtume wenu hivyo anaijua zaidi yenu kuweni tu wapole

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 16 часов назад

      @mobutu3884 wewe acha upotevu na ugaidi kama umeshindwa kuelewa nakuitafsiri injili si ukae kimya ?

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 16 часов назад

      @mobutu3884 kitu kingine acha kuwa unajibu vitu usivyoulizwa unaulizwa hiki unajibu vingine yote Nini?kukosa elim.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 16 часов назад

      @mobutu3884 na msiwe mnazingishiya Watu ambao wakozao kaburini wamelala.we namuhamad ao mkewake Aisha mlionaniaga wapi.toa andiko.penye ulikuta qu,ran inamakosa..apo penye aisha aliwaambiya Watu kama q,uran inamakosa.toeni andiko mbona hamlitoi ilo andiko?uongo tu nakujib usivyoviulizwa.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 16 часов назад

      @mobutu3884 naruditena kusema watu waongo mnamji wenu.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 23 часа назад

    Ameumbuka kivipi sasa? Quran unaijua wewe bhana?😂😂😂

  • @AbdonJonathan-r1w
    @AbdonJonathan-r1w День назад

    Hahahaaaaaaa, umeona inavyouma, ulivyomkana yesu kristo na kuwa unatukana biblia, unatafuta kuhalibu ukristo, huna akili Muhamad anawauwa waislam mwaka hadi mwaka kule maka mkimpiga mawe shetani, leo unasema mnaakili, we mjinga hujui chochote .

  • @LionofJudah-l5g
    @LionofJudah-l5g День назад

    Kwani uongo,? Uislamu chinja chinja . Alah alisema ueni makafiri sasa wewe unapinga nini ?

  • @emmanuelnganya9722
    @emmanuelnganya9722 День назад

    Ya njombe 🤣🤣🇮🇱🇮🇱 mbaya sana😂😂

  • @LionofJudah-l5g
    @LionofJudah-l5g День назад

    Wewe ulishaona mkristo akiongea kwa gadhabu na hasira kali kama wewe,? Tena shehe waliompokea Yesu ni wengi wenye heshima sio wewe

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 День назад

    sio waislamu wote ni waungwana na sio wakristo wote ni fitina kama unavyosema,,hahaha mijadala inataka kifua amabacho huna kaka.Mtu akisema waislamu au wakristo ni wajinga ki ukweli mjinga ni mwenyewe

  • @LionofJudah-l5g
    @LionofJudah-l5g День назад

    Wewe ni maamuma!Mungu hatetewi na mwovu kama wewe. Mtu anaposema ukweli nyamaza kimya. Kama una elimu mtafute engineer ahmed aliye kuwa pale alepo siria akwambie Allah ni nani.

  • @AlbertSabo-hp3ss
    @AlbertSabo-hp3ss День назад

    Wewe ndio muongo Mwaipopo, maana nimewasilikiza wote tangu haya mambo yaanze. Umeanza wewe kuita wakristo wajinga na waislam wana akiri. Pia kuongea kwa kejeri bila busara. Jiongeze Sheikh. 😮

    • @AlbertSabo-hp3ss
      @AlbertSabo-hp3ss День назад

      Mwaipopo toa ushaidi wapi katukana Quran na waislamu?????

  • @TatuKhatib-f1u
    @TatuKhatib-f1u День назад

    Mjinga mamaako

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u День назад

    Wewe si lolote auna elimu ya dini zaidi ya uganga nakuona mpinga kirsto upo kazin maongozi yenu yote alilekod na tumesikia wewe mtata na ujielewi

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa День назад

      Sasa kama ni mganga?yanakuusu we mbona wakwako uganga kanisani mbona hawausemi si uko unatunza Watu mukanisa kwa maombi unasema uongo eti yesu ndo kateremka kaja kuombeyaewatu wapone kumbe niwewe umepandisha shetani mkichwa kaja kutunza kapitiya mnjiya ya maombi.sio kweli nani asiye wajuwa nyiye siri zenu zooote tunajuwae.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa День назад

      Yatawashinda uislam mliukuta ivivi na mtauacha iviivo hata myahudi walishindwa na wakaslim wakafa ni waislam.mwe mlikuwa mnawashinda mayahudi ugaidi ? Mbona walislim wote na wakafa ni waislam.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa День назад

      Kwa hivyo acheni kuwa mnamtukana uyo baba wawatue mana sio yeye anaongeya ni kitabu kinasema. Hakuandika yeye kaandika mungu.

    • @sospetermatonya5133
      @sospetermatonya5133 День назад

      ​@@KabatoniBoraa mbona unamtetea sana huyu kilaza? Halafu acha ujinga Mungu hana shida na kuandika kitabu, mmejiandikia wenyewe Kisha useme Mungu kaandika? Punguza ujinga

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa День назад

      @sospetermatonya5133 nisimtetey kwani? Nakuuliza ww mpotevu. Mtamchafuwa sheikh wetu Kisha ninyamanze? Na yuko anawaelimisha?ata kidogo jijakubali.we mbona unawateteyaga mapotevu wenzako. Mimi siwezi kukubali kuchafuwa ma sheikh zetu siwezi mkiwachafuwa ni mimi nawachfuweni.