WARDA MMOJA wa WAMILIKI wa JENGO KARIAKOO AFUNGUKA SABABU za JENGO KUBOMELEWA USIKU...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 87

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  День назад

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @Kidotii
    @Kidotii День назад +9

    Dada hongera Huna tamaaa, umetanguliza utu mbele...Mwenyezi Mungu akutunzee!

  • @Lordrich-m7y
    @Lordrich-m7y День назад +10

    Dada hana tamaa...ila ana utu,hongera sana dada kwa uamuzi mzuri..hii iwe fundisho kwa wengine.

  • @ZaynabuSuleiman
    @ZaynabuSuleiman День назад +11

    Nakupenda bule ndio laha ya kuishi nje una utu na utulivu love you good bless you ❤

  • @hamisamadimpozi5923
    @hamisamadimpozi5923 День назад +2

    Ongera sanaa dada kwa kujuwa samani ya wàtu ishaahala Allan atakulipa

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 День назад +9

    Utu kwanza, hongera mwanamke mwenzangu, kwa kuweka roho za watu mbele na uhai kuliko pesa.

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 День назад +6

    Huyu dada anahofu ya mungu

  • @abdallahathuman9493
    @abdallahathuman9493 День назад +1

    Hongera Sana kuwa namungu dada

  • @DiannaMboka
    @DiannaMboka День назад +5

    Hyo mmoja niwakufungwa maisha

  • @geofreymalekana8000
    @geofreymalekana8000 День назад +6

    Mkishabomoa uzeni watu wengine wajenge ili kila mtu afe na chake mmalize migogoro ya familiya

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 6 часов назад +1

    Muhindi pekee asiye na tamaa ,,sio yule muhindi wa kubeti

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka День назад +8

    Umefanya vzr sana utu kwaza pesa bdae

  • @ZekaniS
    @ZekaniS День назад +1

    ❤❤🎉🎉🎉Maua yako dada

  • @gervaslukaya
    @gervaslukaya День назад +4

    Yupo smart sana na anapenda maendeleo

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 День назад +3

    Mfano wa kuigwa mama hongera

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 День назад +3

    Ajistiri kwanza age go😅😅halafu muislam inatakiwa ajistiri mtt bahashuwani

    • @NoelChambo
      @NoelChambo День назад

      Uislamu ninwako usijumlishe watu wengine

  • @DiannaMboka
    @DiannaMboka День назад +4

    Likidondoka ohh ni mipango ya Mungu,,kumbe ni ukichaaa kabisa

  • @vero57
    @vero57 День назад +3

    Majengo yote hapo kariakoo yanatakiwa kuchekiwa haraka iwezekanavyo

  • @ZuenaRamadhani
    @ZuenaRamadhani День назад +3

    Majengo ya kaliakoo niyazaman sana

  • @MwanahamisNyenzi
    @MwanahamisNyenzi День назад +4

    Kwa kweli jengo lina zaidi ya miaka 90

    • @gamarahmed3258
      @gamarahmed3258 День назад +1

      Hapo Sasa wakati meno yetu tukifikisha miaka 30 yanavunjika 😂😂😂lishindwe gorofa kubomoka

  • @vero57
    @vero57 День назад

    Safiii sanaa shangazi

  • @lovemichael-j9j
    @lovemichael-j9j День назад +3

    awo walio rud awana akili wana taka wapate majanga waanz kusumbua serikali

  • @joysekiza3944
    @joysekiza3944 День назад +2

    Mjengo umeoza vunjeni mjenge jipya mpendwa mungu awasimamie

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 День назад

      😂sindo wanavunja jmn

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 День назад +4

    Dada yuko sahihi.

  • @joaquimmasengwa1283
    @joaquimmasengwa1283 День назад

    Napenda kupata mawasiliano ya mama huyu.
    Kwakweli, umeongea vema sana mama.
    USALAMA KWANZA

  • @suleimanmohd.7197
    @suleimanmohd.7197 День назад +2

    Wakiangukiwa na gorofa hapo wailaumu serikali.

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 День назад

    Dada hana tamaa na hata swahili yake siyakawaida wajuu kwa juu

  • @crecknerz5661
    @crecknerz5661 День назад

    Namtaka huyu demu

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 часа назад

    Utu ni bora kuliko kitu

  • @GubraCity-dm5sx
    @GubraCity-dm5sx День назад

    Sajar yamdomo imemwaribu

  • @swaibushemdoe
    @swaibushemdoe День назад +3

    Nasubiri coment za wadau mm nipo zangu njombe nimejificha

    • @davidmagari7885
      @davidmagari7885 День назад +1

      Choko jifiche hivo hivo

    • @AllyMadenge-u6o
      @AllyMadenge-u6o День назад +1

      Endelea kujificha Njombe huku Dar kunanuka Mavi tena Mvua ikinyesha ndo balaa zaidi

    • @CasmirKiwale
      @CasmirKiwale День назад

      Upo Tanga wewe 😂😂

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 День назад +1

    Ukisha vunja utajenga ama utauza unazo pesa za kujenga

    • @MohamediHasani-bm6xu
      @MohamediHasani-bm6xu День назад +2

      Hata akiuza kwani kuna shida gani

    • @MwanahamisNyenzi
      @MwanahamisNyenzi День назад

      Ana Hela hiyo atajwnga chap chap

    • @TimotheoSimtowe
      @TimotheoSimtowe День назад +1

      Jengo likibomoka likaua watu je utarudisha uhai wa hao watu?

    • @ZenaKaboyonga
      @ZenaKaboyonga День назад +2

      Wabongo bwana unauliza utajengaa we una maghorofa mangapi kwanza unamiliki na unaishi wapi kama siyo mbagala kuzuiani huko swekeni ..hata utu hamna kwenye swala lamsingi

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 День назад +3

    Jistiri wewe bint wa kiislam huoni aibu

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 День назад

      Hahahaha unaonaje ukimpelekea hivyo vya kujistiri

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 День назад

      Tafuta pesa dear mtu hufanya kile anachojisikia

    • @maria_mutondioriginal5
      @maria_mutondioriginal5 День назад +3

      Waislam weusi wana shida sana wakimuona mwanamke chotara tu utasikia jisitiri wewe muislam ila wakimuona mtanzania muislam mweusi hawaongei chochote! Kiufupi ni asili ya kitumwa iliyomo ndani yao inawasumbua 😊

    • @MBK92
      @MBK92 День назад

      Amesema Wapi kuwa yeye muislam?

    • @GraceLuvanda-g5r
      @GraceLuvanda-g5r День назад

      Wenzio wanaishi nje jayo mambo ya udini hawayashiki kivile.yupo Kikazi,ukijifunika wewe inatosha

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 День назад +1

    Uso kama chapati. Punguza kujiharibu uso na lips

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 День назад +4

      Tafuta hela wewe😂😂

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f День назад +2

      Hasira za maisha zitakuua pumbu za paka wewe

    • @petercostakisoka
      @petercostakisoka День назад +2

      Ujinga umekujaa fata maisha yk acha njaa kali

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc День назад +1

      Kwani uso wako chapat zako looo huna hata haya yakitokea mafaa utachangia nini au utapata nini hovyooo

    • @wadhhasuleiman2621
      @wadhhasuleiman2621 День назад +3

      Amekuzidi mpk dhambi Huyo dada ana nyumba Kkoo ww Una hata kibanda mbagala