DUNIA (EP 33)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 1,3 тыс.

  • @Matilda-tz
    @Matilda-tz 5 часов назад +784

    Mungu atufikishe mwaka mpy Salam kama unafatiliya movie zetu tokea Ep 1 God bless you please tusapoti kwa vitu vizr zaind

  • @sultanrichardson5487
    @sultanrichardson5487 5 часов назад +382

    Jamani tunaotamani Matty apone huo ugonjwa tujuane Kwa like hapa 👍

    • @ZandaIssa-w8z
      @ZandaIssa-w8z 4 часа назад +1

      ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @oluodokabaka5293
      @oluodokabaka5293 4 часа назад +3

      Matty apone na kaogonjwa ka hamie kwa huyo..kizurudo..

    • @Bageni575
      @Bageni575 3 часа назад +2

      Ila rafiki kweli ni hatarii cna kwenye life yetu

    • @gulaingloire1540
      @gulaingloire1540 3 часа назад +2

      Nipo pamoja naww😊

    • @AbdulHajji-f9e
      @AbdulHajji-f9e 3 часа назад +1

      tupo tunaotaka malti apone haraka

  • @sultanrichardson5487
    @sultanrichardson5487 5 часов назад +296

    Yoyote aliebahatika kuangalia episode hii namuombea kwa Mungu amalize mwaka salama wa 2024 na aanze 2025 kwa mafanikio makubwa❤

  •  5 часов назад +126

    wote mnao angalia iii tamdhilia leo hii mungu atuvushe salama uu mwakaa tukutane wote mwaka ujaoo

  • @MariaFrancis-t6o
    @MariaFrancis-t6o 2 часа назад +26

    Tunaotamani Cathe aumbuke tujuane jaman😂

  • @GetrudaSanga-d7l
    @GetrudaSanga-d7l 4 часа назад +135

    Kuna mdundo fulani hivi ukianza kusikika tu bas ujue tu kifuatacho hapo ni kumuona Mudi Muzungu 😂😅 wangapi wameligundua Hilo tujuane hapa.

  • @AminaKhalfani-ib7sh
    @AminaKhalfani-ib7sh 5 часов назад +75

    Mauwa ya mudy muzungu dondosheni apaa🎉🎉🥰🥰

  • @Barackjumah
    @Barackjumah 5 часов назад +50

    Habari zenu ndugu kila mwnye atasoma hii comment Allah amjalie afya njema na auone mwaka ujao inshaallah

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 3 часа назад +49

    Kama unamfatilia manyanya kwenye maneno yake.basi naamini utabadilika hata kidogo kwenye mapenz yako.tumpe mauwa yake manyanya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 5 часов назад +25

    Wow🤩🤩🤩😍😍 Leo nimekuwa wa 214 Poleni kwa pilika za wiki nzima Mungu aendelee kuwapa nguvu zaidi kwenye utafutaji wenu, Pia Tuendelee Kuipa nguvu Team Dunia Series🎉🎉❤❤💥💥💥💥

  • @Camoga-c2c
    @Camoga-c2c 2 часа назад +25

    Manyanya uko freshi brother we ni mrisi wa kanumba pambana nakuombea Ila naomba like yako

    • @AmosJoakim
      @AmosJoakim 2 часа назад

      Acha kufananisha Kanumba na vitu vya ajabu

    • @MBARUKUmbwana
      @MBARUKUmbwana Час назад

      ​@@AmosJoakimyey ndo Kaona hivo kwhy kil mtu na mtazamo wake

    • @sikudhanimohammad7692
      @sikudhanimohammad7692 52 минуты назад

      Acha kumfananisha Kunumba na vtu vya ajabu

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 5 часов назад +73

    Big up sana tunao fatilia DUNIA na kutoa Support kwa kila hatua sina budi kusema UPENDO NDIO KILA KITU 🎉🎉❤❤

    • @AlimaK-c7l
      @AlimaK-c7l 5 часов назад +1

      We chauombea 😂😂😂😂😂

    • @WinfredOvida
      @WinfredOvida 3 часа назад

      Umbea bila talanta😁😁😁

    • @barakapaulo-w2y
      @barakapaulo-w2y 2 часа назад

      lahaula cheus😂😂😂😂

    • @RichardZulu-br3ww
      @RichardZulu-br3ww Час назад

      Huyu mlevi sio poa 😂😂😂 anaogopa kula mwenyewe😂😂😂

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 3 часа назад +20

    Apa ndio tutaona penzi mgandisho kitaalamu.
    Yaani mpaka kathe ataludi kwa mganga😂😂❤

    • @emilywilly2306
      @emilywilly2306 2 часа назад +1

      Kitaalam pia penzi mnato🤣🤣🤣

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 3 часа назад +11

    Mr manyanya hongela Sana Kwa kutulete movie nzuli sna Kam hii yenye mafunzo Zaid 😍♥️🔥🌄🛍️🇹🇿

  • @AmisiMukwamba
    @AmisiMukwamba Час назад +6

    Mimi tokeya epi 1 hadi hii 33 niko nahifatiliya zaidi, tena kwa kina sana, na inanipa mafunzo makubwa sana, na kweli ni Dunia❤ God blesse all the group or team, i'm from DRC

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 5 часов назад +17

    Haya na mm nimefika manyanya nakukubali sana unajua kumpanga mkeo hadi anajaa😂😂😂❤

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Час назад +7

    Anaetaman manyanya hapate wazo
    la kwenda kuangalia upande wa pili
    tujuane jamani Na Aambiwe mambo
    yote kuusu tatzo la
    mchumba wake matilda
    na maneno yake manyanya
    yakamilike kwamba kuwa makin
    na rafiki yako,na uyu rafiki wa maltlida
    aumbuke hasifae tena kwenye
    maisha ya maltrida because ni rafiki fake

  • @NamaaAntoni
    @NamaaAntoni 5 часов назад +39

    Kwani sisi wengine huwa mnatutumiaje mana tukiona not fikesheni tukiingia tu tumechelewa sasa nasema kuanzia leo niko upande wa kathe msipo nipa laiki nawa loga wote humndani kesho hamuamki

    • @PendoKajanja
      @PendoKajanja 4 часа назад +2

      hahahhhhh we njoo kwa mati bhn 😢team mati oyeeeee😊

    • @NamaaAntoni
      @NamaaAntoni 4 часа назад

      @PendoKajanja sitaki mimi nyinyi mnazarau

    • @Shashabeiby
      @Shashabeiby 3 часа назад

      Huyu kase uaniudhi aah rfki jmn yn kila kitu anataka kujua ndio azidi kumuumiza vzr😂😂 marafiki shikamooni

    • @LuluThomas-hi2pp
      @LuluThomas-hi2pp 3 часа назад

      Tunamtaka Matt tu

    • @zawadizachayo6228
      @zawadizachayo6228 3 часа назад

      😂😂😂

  • @FabriceFabriceAllyhandrew
    @FabriceFabriceAllyhandrew 5 часов назад +16

    Waoooo leo mimi wakwanza from burundi 🇧🇮

  • @NajimaShabani
    @NajimaShabani 5 часов назад +15

    Hatimaye leo Nimewaiiii,,,, Love you Manyànyaa ❤❤🎉🎉❤❤

  • @janethmdachi5334
    @janethmdachi5334 3 часа назад +9

    Hii system ya mudi na mkewe kuwekeana funguo chin ya mlango ngoja niige. na mm maan kuamshwa usiku inakela bhna ila IPO siku Aman na yy atafungua😂😂😂

  • @AndrewFundi
    @AndrewFundi 5 часов назад +16

    Wakwanza leo jamani show love kwakulaki I'm from 🇨🇩🫡 I love everyone 🎉🎉

  • @sakina5550
    @sakina5550 2 часа назад +4

    Muddy japo mlevi lkn network huwa inashika vizur😂😂😂😂 matlid utapona tu mungu atakusaidia

  • @Shabani-i7g
    @Shabani-i7g 5 часов назад +22

    Binadamu sio poa mtu ana kuuwa uku ana tabasam 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mungu awa baliki kwa mafundisho aya

  • @Cathymanyanya
    @Cathymanyanya 5 часов назад +40

    Mungu awabariki sana wote mnao ni sapoti na kufaam sina moyo mbaya

    • @zainabsangayohanis9933
      @zainabsangayohanis9933 5 часов назад +2

      Ungejua kuwa unavyochukiwa na watazamaji we acha tu mi mwenyew skupendi

    • @IsmaelGamoyo
      @IsmaelGamoyo 5 часов назад +1

      Wewe Cathy una roho mbaya...I like the way you're acting love from Mombasa kenya ❤❤

    • @SophiaLameck-j4w
      @SophiaLameck-j4w 5 часов назад

      Me nakupenda sana umevaa uhusika haswaa love u

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 5 часов назад +1

      WENGI WANAJUA HII NIKWELI MATILDA CATHERINE KAKUROGA WAMESAHAU HII NI ELIMU KWA JAMII HAYA MAMBO YAPO ILA NIWAPONGEZE KWA KUTUELIMISHA SISI KAMA JAMII🎉🎉🎉🎉🎉

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 5 часов назад

      ​@@zainabsangayohanis9933HII NI COMEDY NDUGU YANGU INAELIMISHA JAMII HAYA MAMBO YAPO NA TUNAISHI NAYO

  • @RehemaWandaty
    @RehemaWandaty 3 часа назад +11

    Kweli adui akikurudia jua kashapata mbinu nyingine ya kukuangamiza 😢😢😢

  • @SadickFilibert-t8q
    @SadickFilibert-t8q 4 часа назад +8

    Leo nimechelewa san japp sio sana nawakubari sana awa jamaa maty nakupenda saan❤❤❤

  • @NaomiMaksibo
    @NaomiMaksibo 5 часов назад +44

    2naotaman vai ajue kua manyanya Ana mchepuko like hapa

  • @bigjoyjdn8067
    @bigjoyjdn8067 5 часов назад +7

    Bora MANYANYA kabadilishe jina kwa MWALIMU. Ndiye anasababusha mimi kuwa hapa tu❤❤

  • @CrisantoJoaoMacongolo
    @CrisantoJoaoMacongolo Час назад +2

    😂😂😅😅 Dunia changamoto tupo ila kwa ihi história kiukweli wanastaili kupewa pongezi Zao pia inastaili tuwape pole sana kwa nyakati ngumu ambazo wanazipitia kwa lengo la kutengeneza fura na funzo Kwa jamiiii

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l 4 часа назад +12

    Matilda Sasa inabidi manyanaya amtafte nae mganga tofaut na uyo afu moto awake sehem 2 tofaut 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @AnsufatRakitc-z5d
    @AnsufatRakitc-z5d 4 часа назад +7

    Nawapenda sana jamn ila tabia ya vai siwezi jifunza lolote kuptia vai 🎉🎉🎉🎉

  • @hajisereweji8105
    @hajisereweji8105 5 часов назад +20

    Nawatakia Kila kheri Kila mfatiliaji wa tamthilia hii ya Dunia walio wagonjwa mungu awajalie shifaa amin

  • @ZulfatHamisi
    @ZulfatHamisi 39 минут назад

    Najifuza vingi kupitia hii move mungu awabariki waigizaji pamoj na watazamaji mungu atusamehe tulipo kosea atupe mwisho mwema llove yo or best

  • @herifilms
    @herifilms 4 часа назад +8

    Kumbe Manyanya ni mwimbaji mzuri👏👏👏👏👏

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 4 часа назад +8

    Asante manyanya nyimbo imeingiya pahala pake kabisa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EmmannuelMasangia
    @EmmannuelMasangia 5 часов назад +24

    Ila wanaume mfano wa mudi niwengi maendeleo hakuna emu tujifunze kwahil tusifurah tu mudi anavochekesha man inaumiza sana

  • @LaizerMaro
    @LaizerMaro Час назад +2

    Jaman hii movie inatufundisha sana kuhusu ndoa respect manyanya

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 5 часов назад +8

    Tuko na Dunia mpaka malti avae pete ya ndoa 😂😂😂

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 3 часа назад +12

    Matti pole San aki inaniuma😢😢😢huyu Cate ni nyoka mkali muno,bt manyanya naimani hawezi muacha mati kwa hii hali anayo pitia love from 🇰🇪 kenya ❤❤❤❤

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 4 часа назад +8

    Kuna watu wanachepuka kwenye ndoa zao wakiangalia hii tamthilia wanajipa moyo wakijiona wapo sawa kuendelea kuchepuka 😂 hii ndio DUNIA BWANA

  • @EmmannuelMasangia
    @EmmannuelMasangia 5 часов назад +9

    Mungu atulinde tumalize mwaka inshaaallah but big up sana manyanya kazi mzuri

  • @Mustykhan
    @Mustykhan 5 часов назад +16

    Dunia🙌🙌🙌Naomba Twende Adi Episode Ya 90000000000🙏

    • @MadinaSeif
      @MadinaSeif 3 часа назад +1

      😂😂😂😂😂 kwani mpaka mwaka Gani Sasa ikizisi sana itaboo

    • @viviankemunto4435
      @viviankemunto4435 3 часа назад +1

      😂😂😂 atakufa bila kuona yote ​@@MadinaSeif

    • @HalmHamad-n9w
      @HalmHamad-n9w 3 часа назад +1

      Kheee😂

    • @HadijaSule-x1q
      @HadijaSule-x1q 2 часа назад

      Kwn ni huba😂

  • @GehaziMetelii-p4m
    @GehaziMetelii-p4m 4 часа назад +2

    Move nzuli Sana lakini tuombeane kwa mungu na kupeana sarpot Kwa kila jambo tuvuke mwaka salama hata Kama hautavuka huko utakakokuwa mungu akutangulie Sana👏

  • @petropaul1525
    @petropaul1525 5 часов назад +4

    Ooo Chap chap nimeipata Wacha niangalie.👍
    Pia hongern Kwa kaz nzuri.

  • @oscarvipi5603
    @oscarvipi5603 Час назад +1

    Hongereni kwa kazi nzuri kiukweli mi mshaninasa tayali! Yaan navokua nasubili mwendelezo akili aitulii kabisa" na KITAALAM SASA😂 inaitwa subira MCHARUKO😂😂😂😂

  • @JoaomarcelinoRumba-sz3ql
    @JoaomarcelinoRumba-sz3ql 5 часов назад +12

    Aya nishakuwa wa kwanza leo naombeni like zangu hili tuvuke vizuri mwaka huu tukiwa na barakah za mwenyez mungu ❤🎉🎉🎉

  • @joyceernest8506
    @joyceernest8506 4 часа назад +2

    Hongera xan Cathy Kwa kucheze sehemu ngumu sana dah movie hii ni ww peke Ako uliyecheza pagumu shog angu

  • @ZACHARIASAMU
    @ZACHARIASAMU 2 часа назад +3

    Niendeleee kutoa congratulations zangu kwenu Big Big talent vipaj vikubwa ❤ more Love

  • @ObileproJean
    @ObileproJean 5 часов назад +2

    congratulations ASMA films manyanya anaupendo wa dhati sana aisee,ongera zako manyanya like it news comment. from Congo 🇨🇩🇨🇩

  • @chadrackrunogeza3302
    @chadrackrunogeza3302 5 часов назад +4

    Wa kwanza toka drc kalemie nakukubali sanaa bwana manyanya ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @DanierNisabwe
    @DanierNisabwe 39 минут назад +1

    Burundi mwese lik ngaha tumenyane

  • @EduardofernandoeduardoEdua-p3o
    @EduardofernandoeduardoEdua-p3o 3 часа назад +4

    🎉🎉🎉🎉 aya maua ya mudi muzungu

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 28 минут назад

    Manyanya muende ata kwamuganga wa kienyeryi usije ukamuacha mathi ju ya tatizo lake mi natamani cathe aumbuke fanya jambo kwa ifwatayo tunaomba 😅❤❤❤

  • @RichbRichb-c9u
    @RichbRichb-c9u 3 часа назад +3

    W Vai ushawah kumuuliza mmeo.manyonyo ofisin kwake n wap? Au ushawah kufika 😃😃😃 ofisin kwake n chumban Kwa maty🎉🎉🎉

  • @queenlema9390
    @queenlema9390 5 часов назад +4

    Jamny tunaomba bc ss watazamaji vipenzii mtuwahishieee jamny episode kwa Wakati jamny tunawapenda Mungu awape nguvu🎉

  • @RahmaOmary-l7j
    @RahmaOmary-l7j 4 часа назад +8

    Manyanya nakuelewa sana maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @adolfkizinga1846
    @adolfkizinga1846 3 часа назад +2

    Good talent ❤, najifnz meng sana mungu awabariki sana mzidi kutuelimisha zaidi

  • @EliaMwampamba-h3n
    @EliaMwampamba-h3n 4 часа назад +9

    Hii movie inatufundisha vitu vingi sana ,tuishi namarafiki kwaakili sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JolieKansime
    @JolieKansime Час назад

    Manyanya upewe maua yako 🎉🎉 naomba pia umushurulikiye mathi

  • @IshmaelOmar-ig4mu
    @IshmaelOmar-ig4mu 5 часов назад +11

    Mkenya wa kwanza leo❤❤❤...leteni likes

  • @Castomtzofficial
    @Castomtzofficial 18 минут назад

    Yani bora nikose kula jman lakin sio kukosa kuangalia dunia yani mpak raha❤❤❤❤

  • @AidanNsasu
    @AidanNsasu 5 часов назад +2

    dadaangu Sindi uvumilivuulionao nifundisho toshakwawanandoa wengi wanaoishinamana hiyo wanandoa wajifunze kwa Sindi❤💃🌹🙏😁😄👍🤭Jifunze kwalioshinda siokwawalioshindwa🌹💐🌹💐

  • @Ommy3
    @Ommy3 3 часа назад +14

    Ndan kwa cathe tupaone aise😂😂🙌

    • @FetSure
      @FetSure 2 часа назад

      Yaani hatujawahi kupaona😅😅

    • @ChristinaKajobole
      @ChristinaKajobole 2 часа назад

      😂kwakweli alivyo na roho mbaya uenda ndan kwake kuna kunguni ndo maana atulii ndan kwakw

    • @MaulaEnefridy
      @MaulaEnefridy 2 часа назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umeongea point

  • @MomoAhmed-j2n
    @MomoAhmed-j2n 4 часа назад +4

    Kazi nzuri wadau mungu atuvukishe salama mwaka inshallah

  • @oskidonzeyimana8620
    @oskidonzeyimana8620 27 минут назад

    Ongera kwa kazi zenu Dada Asmah tuko pamoja watu wako wa Burundi 🇧🇮✌️✌️✌️✌️

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 5 часов назад +5

    Ila marafiki 😢😢 Yarabby tunusuru na marafiki wa nafki😢😢😢😢 . Kisha ndoa ya dadake vai mbona kama movie 😂😂😂😂😂😂

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 5 часов назад

      Ndo move yenyewe sasa

    • @Mapenzisafari-lj1mo
      @Mapenzisafari-lj1mo 2 часа назад

      😂😂😂😂😂 nilikua na type lakini umeniwahii😂😂😂😂😂😂

  • @NajmaSaid-sb2lh
    @NajmaSaid-sb2lh 5 часов назад +6

    Yani mii namuchukia mudi kambe kweli anayoyafanya aki store ya mudi na mkewe yanagusa maisha yangu halisi ninayopitia aki 😢😢😢

    • @Nyotayakoisemavyoleo
      @Nyotayakoisemavyoleo 4 часа назад +1

      Mumeo nae ni mlevi duh pole sana😢

    • @zainabmohammed6700
      @zainabmohammed6700 4 часа назад

      Pole mmy

    • @MaryamMaryam-ru1qt
      @MaryamMaryam-ru1qt 4 часа назад +1

      He shoga 2po pamoja lkn mmi niliyapitia miaka 8ya ndoa nimeteseka mpaka nilipoamua kuchukua jukumu la kuondoka kwa sasa ni miaka 4 npo single ninaenjoy na maisha mazur Asante mungu kunitoa kifungon

  • @taqozer
    @taqozer 2 часа назад +3

    Movie nzuri sana🎉🎉 Ila jitahidini iishe sasa😂😂😂😂

    • @RahelShilla-i5r
      @RahelShilla-i5r Час назад

      We mwanga sasa 😂😂😂 iishe vp wakat ndo imeanza😂😂

  • @chidysong9187
    @chidysong9187 4 минуты назад

    Kuna mtu anatamani mwezake aachwe lakini mwamba ananifurahisha sana Mr manyanya 👊😅😅 vipande vya moto sana🔥

  • @AlineIradukunda-bs6mt
    @AlineIradukunda-bs6mt 5 часов назад +25

    wakwanza jaman like na siss❤❤❤nawapend san tim manyanya❤🎉🎉🎉🎉🎉😂

  • @EmanuelLubala
    @EmanuelLubala Час назад +2

    Manyanya unaweza sana pokea maua yako🎉🎉🎉🎉Yako

  • @omelanuwiteka1276
    @omelanuwiteka1276 5 часов назад +11

    Leo nimewahi like ata 5 jmn

  • @ChristinaKapinga-x3w
    @ChristinaKapinga-x3w Час назад +1

    Jmniiiii me mwenzio muddy ananikoxha akinywa pombe zake

  • @yakutitv727
    @yakutitv727 3 часа назад +4

    Aseeee comment yangu ya kwanz tokea nimeanza kuwafatilia sema so talented wote mnajua sanaaa❤❤❤

  • @robitwista7572
    @robitwista7572 Час назад +1

    Leo naandika kidadeki wee manyanya manyanya manyanyaaaaaaa nakuita mara tatu wewe ni noooooooma 🔥🔥🔥🔥💥🔥💥🔥🔥💥

  • @ZawadielyGabriel
    @ZawadielyGabriel 5 часов назад +5

    Leo nime wahi jaman nawapenda sana Waigizaji wote wa Dunia

  • @EcawaEcaAjay-jj6pj
    @EcawaEcaAjay-jj6pj Час назад

    To be honest, hii movie ahitupatihi burudani tu bali pia experience ya maisha. I like so much Manyanya speech.

  • @Vaileth-d9n
    @Vaileth-d9n 5 часов назад +10

    Mme atarudi sasa inshallah ❤❤❤

  • @ChristinaKajobole
    @ChristinaKajobole Час назад

    Kwakweli mungu akusaidie binti ufanye kilichokuleta apo

  • @EmmanuelMasigati
    @EmmanuelMasigati 5 часов назад +2

    Mudy muzungu paka la baa hilo limerudi😅😅😅😅😅😅😅🙌

  • @SalusiLigida
    @SalusiLigida 2 часа назад +2

    Manyanya kaka unaupiga mwingi hakuna wakukufikia uongo zambi jamani unajua kaka

  • @lewiskyalo2583
    @lewiskyalo2583 5 часов назад +15

    Wa kwaza kutoka kenya jamani nawaomba like ❤

  • @witnessmaturege2944
    @witnessmaturege2944 4 часа назад +1

    Manyanya tafuta ufumbuzi bwana Matty apone, my doctor love you 🥰

  • @زينهزينه-ع5ن
    @زينهزينه-ع5ن 4 часа назад +4

    Move nzuri sana tafadhali ongezeni dakika 😂

  • @zafaranmohammed7272
    @zafaranmohammed7272 Час назад

    Kathe imekula kwako I say,utaumbuka my friend, MattyManyanya mauwa yenu 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @AllyAbedi-c6j
    @AllyAbedi-c6j 5 часов назад +4

    Wale wanao furah wakimuona bwana mtumishi wa Mungu anavyo kea kwa sindi weka like apa

  • @LéonardKyongozi
    @LéonardKyongozi 5 часов назад +2

    Ma Dada zangu mulioko kwenye ndowa kuweni makini mjivunze kupitia iyi muvi maana mtapata mengi mafunzo ya ndoa from 🇨🇩

  • @EdunaiSimbeye
    @EdunaiSimbeye 38 минут назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ love store tamu kweli kunakitu najifunza

  • @labanmikepro
    @labanmikepro 5 часов назад +5

    Nishafika umbwa nyinyi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂weka like ya kenya tukisonga

  • @Babaharvey3624
    @Babaharvey3624 3 минуты назад

    Madaktari changamoto wanazozipitia ni maswali kama hayo anayouliza manyanya ,,,kifupi washirikina mungu asiwatunze😂😂😂

  • @HalimaZiggy
    @HalimaZiggy 5 часов назад +7

    moody muzungu nakupenda adi naumwa😂😂😂

    • @erickmeshac3135
      @erickmeshac3135 5 часов назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣inabidi aje Akupoze

    • @ZainabLewa
      @ZainabLewa 5 часов назад

      Sindi njoo uku umepata mwenzio😂😂😂

    • @neemamabena-xx5er
      @neemamabena-xx5er Час назад

      Akuoe uwe mke wa pili 😂

  • @RahelYacob-v7n
    @RahelYacob-v7n Час назад

    Kwa kweli mmetufundisha sana hasa manyanya wewe mungu akubariki

  • @AdamBakari-j8v
    @AdamBakari-j8v 4 часа назад +35

    Huyu mudi muzungu haogi akija analala tu😅😅

  • @mwanajumanduni3375
    @mwanajumanduni3375 Час назад

    Wallah manyanya wanaume wachukue mfano wako❤❤❤

  • @StadiusCornely
    @StadiusCornely 5 часов назад +6

    Wa kwanza kuifungua naombeni like zenu 🎉❤

    • @SAUDAMOHAMMED-l9v
      @SAUDAMOHAMMED-l9v 5 часов назад +1

      Sasa umekuwa wakwanza au umekuwa wa 333😂😂😂

    • @StadiusCornely
      @StadiusCornely 4 часа назад

      @SAUDAMOHAMMED-l9v daaah nimekubali

  • @AmmalyMfoi-b2f
    @AmmalyMfoi-b2f 25 минут назад

    Kumbe Manyanya ni mkali kwenye kuimba
    Madam Ritah angalia Dunia uchukue vipaji

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 3 часа назад +5

    Wanaoamini kama mimi mke wa mudy hampagi mudy haki yake wagonge like .

    • @Nffh-r4u
      @Nffh-r4u Час назад

      𝐻𝑖𝑣𝑖 𝑢𝑡𝑎𝑚𝑝𝑎𝑗𝑒 𝑚𝑡𝑢 𝑎𝑛𝑎𝑛𝑢𝑘𝑎 𝑛𝑔𝑜𝑛𝑑𝑎🤣🤣🤣🤣

  • @lydiamakokha8094
    @lydiamakokha8094 2 часа назад

    Maua🌷🌷🌷⚘⚘⚘ ya manyanya kumjali marty na kumuonyesha penzi la dhati,naomba ukweli ujulikane kuwa kathy si rafiki bali muuaji mchawi,Hiyo ndiyo dunia kwa uhalisi anayejifanya rafiki kumbe ndiye adui

  • @GlorioseBucumi
    @GlorioseBucumi 5 часов назад +4

    Dakika 4 nakuwa wa 170 ,manyanya nakubali ❤