DUNIA (Ep 29)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024
  • #dunia

Комментарии • 3,1 тыс.

  • @jumaghesusu8316
    @jumaghesusu8316 4 дня назад +241

    Ahsante Manyanya,kwa sasa wewe ndiye muigizaji bora kwangu! Ni zaidi ya shule.....Hii ndio dunia ni pana sanaa❤

  • @Matilda-d8w
    @Matilda-d8w 4 дня назад +981

    Thank you so much for all sapoti 🎉🎉🎉🎉 bila nyinyi sisi sio chochote

  • @NuruAlly-q7j
    @NuruAlly-q7j 3 дня назад +41

    Matty n muelewa sana walioona hilo tujuane😊

    • @Linahfedrick-ei1ij
      @Linahfedrick-ei1ij 3 дня назад +1

      ni kweli muelewa, ila nimemuonea huluma, mana mume wa mtu ni wa mtu tu ck zote 💔💔💔💔😭😭😭😭

  • @GwakisaMwaisanga-th7uz
    @GwakisaMwaisanga-th7uz 4 дня назад +92

    Matilda unaadabu sana ingawa kuna maneno magumu kutoka kwa manyanya ,, kakin umeamini katika kujifunza hapo tu, ndo nakupenda

  • @AnnaobadiaMwakalobo
    @AnnaobadiaMwakalobo 4 дня назад +239

    Bwana Yesu asifiwe Mungu atubariki sana tuvuke mwaka tukiwa salama Leo nimekuwa mtu wa kwanza naomba like zenu Wapendwa nawapenda sana Familia yangu 🙏

  • @brightonvictorkimsehyeon7892
    @brightonvictorkimsehyeon7892 4 дня назад +13

    Tangu nianze kufuatilia dunia hadi leo hamjawahi kunipa likes jaman naombeni hata kumi from South Africa 🇿🇦

  • @bosshapendi
    @bosshapendi 4 дня назад +184

    Atakama atupatani na nyinyi watz nisaidien kumpea mauha yake kaka manyanya ✅🇰🇪🤜🤛👍👍👍👍🙂👍

    • @roi2554
      @roi2554 4 дня назад +1

      Sisi ni ndugu bhn lazima panoge kidogo mana palikuwa pamepooza mno😂

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 4 дня назад

      Kwani hatupatani mbona mim sijui

    • @Realme-xm3sh
      @Realme-xm3sh 4 дня назад

      ​@@kamarhelokbs

    • @TobadinaMhegele-f8y
      @TobadinaMhegele-f8y 4 дня назад +3

      @@kamarhelo kuna jambo limetokea uko

    • @WINIFRIDAMWANDOSYA
      @WINIFRIDAMWANDOSYA 4 дня назад

      😅😅😅 muache kuview movie zetu

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 4 дня назад +274

    Mke wa Manyanya Anaboa Ndiyo maana Wanaume wengi Tumezidi Kuchepuka😢, Anyway Ipo Hivi Mimi Nikienda Kwa Mchepuko nazima Simu kabisa maana Huwa Yanaweza Kutokea kama Ya Matty na Manyanya, Tuwe na Heshima kwa Kwa Wanawake Wetu, I like my Family👪, Kama unaipenda Family yako I mean mke or mume gonga like hapa tuwape Nguvu Team Dunia Series🎉🎉❤❤💥💥💥💥🙏🙏🙏🙏

    • @KhadijaDaniel-zr6ll
      @KhadijaDaniel-zr6ll 4 дня назад +6

      😢😢😢😢anakera kweli yaani

    • @dadychaps7527
      @dadychaps7527 4 дня назад +5

      Kwa hivyo wachepuka?😂

    • @KibweOnlineTv
      @KibweOnlineTv 4 дня назад

      ​@@dadychaps7527yeah 😊kidogo tu yani

    • @Laureensaid
      @Laureensaid 4 дня назад +4

      Nimekukamat kumbe unachepuka eeeh 😂e😢😂😂

    • @Zuonist-y3q
      @Zuonist-y3q 4 дня назад +8

      Nipe jina la mkeo nimtag aje aone mmewe alivobingwa wa kuchepuka😂

  • @hamzaamry6251
    @hamzaamry6251 4 дня назад +45

    "Wewe ni bora lakini siyo bora kumzidi mke wangu" Team manyanya 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @BrendaMsimbe
      @BrendaMsimbe 2 дня назад +1

      Manyanya apewe ulizi❤❤❤❤

  • @NaomyJohn-hd4bq
    @NaomyJohn-hd4bq 4 дня назад +150

    Ukipata mwanaume Kam manyanya rahaa anachiti lakin bado anampenda mke wake,,,ila Kuna visiki vikiondoka ni Moja Kwa moja😂😂😂😂

  • @annaki318
    @annaki318 4 дня назад +191

    Hayo maneno manyanya aliotamkia maty
    Leo naona kabisa kuna wanaume waliopo kwenye ndoa zao wataenda kuwaambia michepuko wao😂😂😂😂

    • @ChomboMariam
      @ChomboMariam 4 дня назад +3

      🤣🤣🤣😃

    • @fat-hiya-v2l
      @fat-hiya-v2l 4 дня назад +9

      Niliwahi kuambiwa haya maneno nikamua kuhama mji kwenda kutafuta maisha mana naona nachezewa hisia zanguu😢😢

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 4 дня назад +1

      😂😂😂

    • @zainabsabas1807
      @zainabsabas1807 4 дня назад +7

      @@fat-hiya-v2lIla kaongea point sababu michepuko mingi haina rispect kwa wake za watu na ukiona mwanaume anakupa ruhusa unamtykana mkewe BAs huyo sio mwanaume kabisa

    • @TashaCosy-gc1fs
      @TashaCosy-gc1fs 4 дня назад +2

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @MahendekaMwita
    @MahendekaMwita 4 дня назад +16

    Yaan manyanya km mm vile kwel kuchepuka tuchepuke lkn tixiwazalau wake zetu 2wape thamani yao nmeipenda xn hyoo mwanangu manyanya ❤❤❤❤❤ maua kwako

  • @AbdulmalikYusuph-f5u
    @AbdulmalikYusuph-f5u 4 дня назад +674

    Sema namuona manyanya mbali sana kama unamkubali manyanya gonga like hapa🔥🔥💣

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 4 дня назад +5

      Umeona uanze kumsifia manyanyw ili upate like ila sio mbaya tumekupa kaka 😂😂😂😂😂😂

    • @AbdulmalikYusuph-f5u
      @AbdulmalikYusuph-f5u 4 дня назад +2

      😂😂Umeijua mbinu🙌​@@kamarhelo

    • @melancehonoredebalzac
      @melancehonoredebalzac 4 дня назад +2

      Manyanya amezama kweny kifuwa camwana mke😂😂😂😂😂😂

    • @melancehonoredebalzac
      @melancehonoredebalzac 4 дня назад +3

      Mati kiukwer na manyanya ongereni sana mumenikumbusha ex kaniacha😅😅😅😅😅😅😅

    • @annelunazo6660
      @annelunazo6660 4 дня назад +1

      Mtu wangu amemalizwa kabsaa

  • @MariaTsuma
    @MariaTsuma 4 дня назад +80

    Manyanya ni mkombozi alie tumwa na mungu kuja kukomboa ndoa zet u much love from Kenya 🇰🇪

  • @Rihan-zs3vr
    @Rihan-zs3vr 4 дня назад +16

    Jamani mbona kama Vayo ana act kama mti ambao hauna hisia anaboa😢,Team Manyanya Matty Mood na mkewe,gonga like tuksonga❤❤❤❤❤❤

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 4 дня назад +312

    Wangap wanataman maty kiximkute kitu kibaya😢😢😢

  • @WilinasiTaliani-nh3qr
    @WilinasiTaliani-nh3qr 4 дня назад +257

    MUNGU wa mbinguni akubariki wewe unaesoma coment hii uvuke mwaka salama kwa uweza wake Amen!

  • @NaomiDaniel-t9x
    @NaomiDaniel-t9x 4 дня назад +5

    Hahaha jmn manyanya nyege zikipanda utamjua tu anapandisha shingo atar love you 😘

  • @peteryohana891
    @peteryohana891 4 дня назад +27

    🎉🎉jamani wangapi wanamuombea maty asije akaingia kwenye mtego wa lafiki yake

  • @robert.haunga2935
    @robert.haunga2935 4 дня назад +37

    Wazee wanaopata chida na ndoa afu wanachepuka gongen apa musiogope manyanya pewa mauwaa yako baba salute 🎉🎉🎉🎉

  • @rahelimgalla9225
    @rahelimgalla9225 4 дня назад +5

    Sema move imereflect maisha halisi ya ndoa na maisha ya wanawake na wanaume wengi

  • @MahupaMwajuma
    @MahupaMwajuma 4 дня назад +94

    Wewe ni Bora lakini sio Bora kumzidi mkewangu📍 😊😊😊 we manyanya uko vzr sana yan upewe maua yako🎉🎉🎉🎉

    • @patricksadiki254
      @patricksadiki254 4 дня назад +3

      Haya maneno yawe Tu kwenye filamu ila reality usiyatumie 😂😂😂mchepuko atakuacha

    • @TheePascal
      @TheePascal 4 дня назад

      ​@@patricksadiki254mwambie na ueke msisitizo

    • @hamisichau8975
      @hamisichau8975 4 дня назад

      ​@@patricksadiki254😂😂😂😂

    • @profesakiongozi3930
      @profesakiongozi3930 4 дня назад

      Kabisa michepuko wanapenda kusifiwa​@@patricksadiki254

    • @BugandaBusia
      @BugandaBusia 4 дня назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣​@@patricksadiki254

  • @iqruuznurayn3710
    @iqruuznurayn3710 4 дня назад +17

    Matty n manyanya hoyeee yamenoga mpka bc kwli eeeh mauno ya Matty jmni❤🎉🎉

  • @FridahKemunto-c1e
    @FridahKemunto-c1e 4 дня назад +29

    Kwn comment yangu inakera mbn hamlike Wala kujali si mniambie huo wimbo ambao Matty ameimbia manyanya niimbie mchepuko wangu😊😊

  • @QweenNickson
    @QweenNickson 4 дня назад +593

    Waliofurahi Matty kutokunywa Ile dawa like hapaaa please 🥰 🥰🥰🥰

    • @NicksonNdyakowa
      @NicksonNdyakowa 4 дня назад +1

      Wajina

    • @saiddaji6342
      @saiddaji6342 4 дня назад

      Nimefurahi sana yaani

    • @NetworkNetwork-w3v
      @NetworkNetwork-w3v 4 дня назад

      Nimefrah

    • @Sajdayusuf
      @Sajdayusuf 4 дня назад +4

      Lkn haijaisha na bado anamuwinda Daaah marafiki hawa mmh mtihan wallah 😢

    • @QweenNickson
      @QweenNickson 4 дня назад +2

      @@Sajdayusuf acha kabisa rafiki siyo mtu wa kumuamuamini kabisa.

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 4 дня назад +18

    Daah manyanya uko kama mimi namkubali mkewangu kuliko pisi kali yoyote ile duniani my wife is the best than all i love so much....yeyote hawezi chukua nafasi yake kamwe.

  • @zulfaOchu
    @zulfaOchu 3 дня назад +3

    😂😂😂Leo umeingia na gia ingine alaf mkeo hayupo ayupo kimapenzi kabisa ata tabasam mmmh!!Bora urudi tu Kwa matty

  • @dalalimwalimufurnitures
    @dalalimwalimufurnitures 4 дня назад +190

    Namuona mtumishi anaenda kujishindia mke wa Muddy Muzungu, kama na wewe umeliona hilo gonga like tuondoke

  • @benjamine.mbingo2138
    @benjamine.mbingo2138 4 дня назад +21

    Hv jaman nje tunavyoifurahia hii movie kuna darasa wana ndoa mnapata kwel juu ya mwenendo wa ndoa zenu maana inaweka waz ya7bixhayo ndoa nying kuvunjika

  • @GabrielMathias-d1k
    @GabrielMathias-d1k 4 дня назад +2

    Tu es vraiment le meilleur Manyanya, nous t'aimons beaucoup depuis DRC Congo Lubumbashi.

  • @PrettySalmah-tt8bh
    @PrettySalmah-tt8bh 4 дня назад +28

    😂😂😂😂Haki Mati upew tuu mauw yako maan si kw mauno hayoo👌👌🤣🤣🤣🤣🤣Mr Manyanya where are you????kumb Manyanya muimbaj tuu mzur na hamsemiiii😂😂😂😂nyie ololuvai asa Vai mapenz n utu uzim n vitu viwil tofauti 🤣🤣🤣anyway mati yupo kw ajil y Mr Manyanya huyo huy utot ndo weny Mr Manyanya anapenda

  • @ArnoldMtonyole
    @ArnoldMtonyole 4 дня назад +23

    Me sijui kupenda najifunza humu kumbe mapenz ni zaidi ya utoto ❤❤❤

  • @EmanuelRaul-v4f
    @EmanuelRaul-v4f 3 дня назад +1

    Mon favoris artiste du moment au Tanzanie c'est manyanya , nakukubali sana mzee , wa Congo kama tunamkubali manyanya basi twende na ma j'aime🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @FurahaSila
    @FurahaSila 4 дня назад +137

    Jamani pia apa😢😢hajawahi kunipa like ata kidogo afu naipenda hii movie adi naumwa

  • @katanaajonathan6987
    @katanaajonathan6987 4 дня назад +8

    from 254 🇰🇪 tangu nifatilie bongo sinemer this is the best

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 4 дня назад +1

    Naona mtumishi wa Mungu anazidiku munyemereea muke Wa Muddy
    Muddy bdokuludi Hom

  • @StadiusCornely
    @StadiusCornely 4 дня назад +18

    Daaah Manyanya hasante kwa kutufunza sie wanaume,ila mzee Baba kwa Matirida shikilia japo mzee

  • @23Maryamu
    @23Maryamu 4 дня назад +9

    Vayi Leo umeboa SNA mmeo amekuja na mood 😂eti mtu muzima kwenye ndoa hakuna ukubwa dadangu akichepuka usije kumulaumu kbs😂😂😂

  • @WapoHao
    @WapoHao 4 дня назад +2

    Maty kuwa makini na marafiki wa nafiki mahana unaweza kusema ndugi yako kumbe ndio adui yako kwaiyo kuwa makini piya Niku shauri ki2 mati piya mtangulize mungu kwa Kila jambo utafanikiwa

  • @EddoEdwin
    @EddoEdwin 4 дня назад +11

    Daaah Nakuelewa sana mwanang Manyanya,Ila cku moja uliniboa maana nilikuona Hapa Karume nikakuita ukanikaushia mshkaji wng daaah niliboreka kinyama yn❤❤❤❤

  • @silviak1776
    @silviak1776 4 дня назад +63

    Watoto wa zakayo mpo ♥️♥️ ✋🇰🇪🇰🇪

  • @samsonngumbao1077
    @samsonngumbao1077 4 дня назад +2

    hakuna movie nmeangalia nkaipenda tanzania nzima movie nambari one 👆 manyanya namuona ako next level anajua kiongea saaana👏nawapenda wote

  • @ShannyMoris
    @ShannyMoris 4 дня назад +358

    Me tangu nianze kufatilia dunia had leo hamjawai kunipa likes jaman au comment yangu hamuionaga au sio vzr😢😢😢

  • @ZULFAAbdallah-v5c
    @ZULFAAbdallah-v5c 4 дня назад +91

    Tumpe mauwa yake manyanya nimependa hii🎉🎉🎉🎉

    • @mik-talent
      @mik-talent 4 дня назад

      ruclips.net/video/C1xtiEmjA6c/видео.htmlsi=ZgfyE8zLloa70Zfg

    • @GloryJohn-zk4uo
      @GloryJohn-zk4uo 4 дня назад

      Eeeh manyanya anajua sana kumuokoa matt

  • @MineGee
    @MineGee 4 дня назад +10

    Sema nn manyanya kanifurahsh san Leo kwa Hilo somo alo mpa maty michepk wnatkiw wfaham mipak yao bhnan lakn kwa mwnaume mpuuz ye hajal kabx hatoelew Ila mwanaume anae jielew ataelew somo manyanya shkamooo

    • @mwanamwinyi3372
      @mwanamwinyi3372 3 дня назад

      kiukweli ujumbe alotoa Manyanya kwa Maty umeenda shule apewe maua yake tuu 💖❣💞

  • @NurahMummy
    @NurahMummy 4 дня назад +25

    Vai unabooooo 😂😂😂nampenda mat anavyomdekeza manyanyaa nakumskize kwa kila jambo🥰🥰🥰mat ongeza mapenzi mwanya

  • @RuthMwaikaja-p1b
    @RuthMwaikaja-p1b 4 дня назад +6

    Nimeipenda sana hii manyanya umeweza kumubadilisha uyu mlembo ongera sana

  • @Laroseback
    @Laroseback 4 дня назад +3

    Najifunza mengi sana mwenyezi mungu azidi kumifanyiya wepesi ku kazi muko nafanya namipenda sana ❣️🦋

  • @LuluPeter-o1t
    @LuluPeter-o1t 4 дня назад +17

    Jamani naombeni like na mimi, catherine acha roho mbaya unanikera na tabia zako za kumuendea mwenzio kwa mganga hili aharibikiwe kimaisha

  • @NyevuLucy
    @NyevuLucy 4 дня назад +23

    Vai jamani😅😅😅si uwe romantic ata mara moja😅😅

  • @SophiaNgeni
    @SophiaNgeni 4 дня назад

    Manyanya uko vzr tunajifunza sana mungu akulinde sana msiicheleweshe jaman tunaipenda muv tunawapenda pia kaz nzur

  • @bettykihwele7713
    @bettykihwele7713 4 дня назад +11

    Mart anatufundisha mama mijengo ,kutokujisahau , wanaume wanapenda vitu vidogo vidgo sana. ,kama hivyo kucheza , story ,kuvaa nk. 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @EnoCriss
      @EnoCriss 4 дня назад

      Kwenye kuvaa mie ndiyo ananikosha sana, ningefanikiwa kupata wa hivyo walau angetembea na ATM card yangu

  • @DieudonneFabien-r4h
    @DieudonneFabien-r4h 4 дня назад +58

    Kama ulikuwa naisubiri kwa ham tujuane apa 😂

  • @vitusjr2436
    @vitusjr2436 4 дня назад +26

    Msiwe mnatucheleweshea jamani na movie yetu pendwa team manyanya and matrida weka likes twende sawa❤❤❤❤❤❤

    • @Afsa-z3g
      @Afsa-z3g 4 дня назад

      @@vitusjr2436 yaaani inachelewa mpk inakataaaaaa😄😄😄

  • @lovenesreuben6179
    @lovenesreuben6179 4 дня назад +29

    Nimewah Leo uwiiih wa 1
    Sema manyanya unaendelea kuwapotosha wanaume wenzio wanaoangalia hii move! Mtu atalala nje akirud atarud na watu ajifanye alitekwa

  • @FranciscaManga-j4c
    @FranciscaManga-j4c 4 дня назад +11

    Jemeni mwenzenu leo kadekezwa na kiuno ,, na mimi apa naona nikivuka mwaka single😢😢😢😂😂❤. Much love

  • @ChrisantoPaulo
    @ChrisantoPaulo 4 дня назад +1

    Da hii ni muvi iko na leson kubwa sana Mungu awabariki mzidi kuwa bora zaidi na wenye afya

  • @AliJana-j7l
    @AliJana-j7l 4 дня назад +31

    😂😂😂braz manyanya alikua amepanik ....we mati najua ulikua umemiss kuhubiriwa so ridhika kwa kutibua cha kesho

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 4 дня назад +5

    Sidhani kama val akichujuwa manyanya anamchiti atasikia uchungu 😂😂😂😂ela mati kakatika dada ni kazur❤❤❤❤from Kenya 🇰🇪

  • @PeridaPutty
    @PeridaPutty 3 дня назад

    Manyanya nakupa maua🌹💐🥀yako wape funzo michepuko maana wanajionaga wao ndo wanajua KULIKO mke Asante kaka Manyanya
    Mipaka izingatiwe

  • @kassimshafi8346
    @kassimshafi8346 4 дня назад +27

    Wakwanza mm leo ❤

  • @ElinaZawadi-r7d
    @ElinaZawadi-r7d 4 дня назад +8

    Wanawake tunajisahau sana,sas mmeo amerd akiwa na furah wee unaiharbu😂😂😂nakuona utkvyo achwa vae

  • @capturedmomentstv6097
    @capturedmomentstv6097 4 дня назад +7

    Kaza sana kaka ..ila episode kuisha bila kumuonesha Muddy muzungu ni kosa sana😎😎😎😎

  • @EkronMasilu-d3j
    @EkronMasilu-d3j 4 дня назад +15

    Fanyeni mpango vipande vya mbele mtuleteee Bab Anjela yule mlevi mlevi yule Akiwa na Muddy itanoga Saaaaaana aiseeee 😂😂😂😂😂😂

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 4 дня назад +12

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team manyanya and violet mudi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @GabrielWilliam-b4g
    @GabrielWilliam-b4g 4 дня назад +2

    We paka la baa mke wako analiwa na paka la kanisani huku 😅

  • @MpwaniHalisi-p7t
    @MpwaniHalisi-p7t 4 дня назад +14

    Leo nimekua wakwanza mati kachemshaaa❤❤❤

  • @abdulsaid2001
    @abdulsaid2001 4 дня назад +19

    already tuko ndanii🥰🥰🥰🥰

  • @hidayignas
    @hidayignas 4 дня назад +1

    muddy mke anaondoka uyo wew rudi haraka daaa!!

  • @oddypoddy-s4n
    @oddypoddy-s4n 4 дня назад +26

    Nime wahii kutoka kenya ........likes jamaa kwa kazi hii

  • @MUNTADHIRUSELEMANISAIDI
    @MUNTADHIRUSELEMANISAIDI 4 дня назад +9

    Oya we Manyanya,, yaani kuanzia sasa Matty likimkuta lolote baya, me naacha kuangalia hii movie,,, bora hata uwe kama mpiga lamli ila Matty awe salama all the time..😊😊

  • @IssaBengine-w5v
    @IssaBengine-w5v 4 дня назад

    Maty shukur mungu sherti zake manyanya😢 zimekuokowa na sivyo ulikuwa umekunywa sum mtoto wamama, af manyanya full respect Sen zako zinanifariji mana hazinachenga

  • @maxwelmalingumu9627
    @maxwelmalingumu9627 4 дня назад +28

    Nimeona movie nyingi mwaka huu
    Ila hii movie ...ndio yangu ya mwaka

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 4 дня назад +9

    Duuuh ila mnawahi ,,hamna KAZI nini😂😂,,,Dunia kiboko laaah🏃🏃

  • @MarryMethodi
    @MarryMethodi 4 дня назад

    Asante Mungu kumleta manyanya kwenye Maisha ya Mat umekuja kumuokoa Na huyu lafiki mnafiki hii move naipenda buule Mungu awariki watunz Wa hii move🙏🙏♥️♥️

  • @aminamatumbo2519
    @aminamatumbo2519 4 дня назад +28

    Wanaotaka church boy awe na sindy❤️tujuane 🤩

  • @adonightkerush6875
    @adonightkerush6875 4 дня назад +7

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉 goooood job always ❤️💕❤️💓😊 love from Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KalistaMjegele
    @KalistaMjegele День назад

    Asante mungu bado kidogo nizimie hongera manyanya na malt penz lenu linanguvu ya mungu

  • @AsmaRama-p1b
    @AsmaRama-p1b 4 дня назад +5

    Ii move wallah imenifunza pakubwa sana na nimejifunza

  • @RajabuLinguta
    @RajabuLinguta 4 дня назад +12

    NAMUOMBA SANA MUNGU KAMA ATANIJAALIA MKE AU MCHUMBA KITU CHA KWANZA KABLA SIJAMUOA NAOMBA NA NITAOMBA PAMOJA NA YOTE KABLA SIJAMUOA AANGALIE HII DUNIA,uyu vai ame act ila upo ualisia mkubwa snaa katk maisha ya ndoa nowdays kama alivyo vai daaaaaah na uyu manyanya ni mm kabsaaa sema kila nikipractise kumshaur mtu naambiwa nina gubu ila wanawake what i know ...wanamchango ktkkuakikisha mume anatulia au atulii ktkndoa🎉🎉🎉

  • @arushaislamicgirlssecondar5972
    @arushaislamicgirlssecondar5972 3 дня назад +3

    मन्यान्या, मैं भारत से आपका अनुसरण कर रहा हूं। हम मनोरंजन का आनंद ले रहे हैं, और आपने वर्तमान जीवन की वास्तविकता को बखूबी निभाया है।

  • @fidelntahunga
    @fidelntahunga 4 дня назад +18

    Asante MANYANYA umejitahidi kuwahi

  • @KulwaStephano-s6p
    @KulwaStephano-s6p 4 дня назад +5

    Mpo vizuri sana hongereni manyanya mnafanyakazi nzuri sana

  • @NabuluMara
    @NabuluMara 12 часов назад +1

    Vai jamaniii mbona huwaga upo romantic kwa múviii zingine the way unaliaa kwa hisia lakini hapaaa nimeliaa saana 😂😂😂

  • @CHYULLUKENYA
    @CHYULLUKENYA 4 дня назад +4

    Weueh😂😂😂😂😂😂😂maty unafanya manyanya anakodoa macho na kumeza mate kumuuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂weueh watanzania mtaniuwa na izi mbwembwe ❤

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 4 дня назад +58

    Aya tunaotaka kombato mgandisho tujuane.....😂😂

  • @AshaabdallahMasige
    @AshaabdallahMasige 4 дня назад +1

    Kuna walevi apo roho zinawauma 😂😂😂 enewey nishampata mafunzo bado mme sasa

  • @Entertainmentfo
    @Entertainmentfo 4 дня назад +8

    Leo mm pia nmewai,,kama kawaida kutoka 🇰🇪 kenya

  • @CellyneOdinya-e8r
    @CellyneOdinya-e8r 4 дня назад +37

    First 1 in the comment section nipeni likes❤ aki

  • @josephmahundi2252
    @josephmahundi2252 4 дня назад +1

    Kaka manyanya mwanamke haombwi kumbato, ana kumbatiwa hayo maelezo unayo mpa, siku nyingine mpe kwa vitendo, nipo na wewe manyanya hadi Mart akusaidie kukuharibia ndoa yako

  • @BvnLiquorstore
    @BvnLiquorstore 4 дня назад +8

    Matty jmn😂😂😂umeniacha hoi uko kucheza😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂

  • @LoyceAndrew-z1b
    @LoyceAndrew-z1b 4 дня назад +55

    Team manyanya mkowap wale wa ololovai❤😂🎉🎉🎉🎉😂😂😂

  • @MsumbaShabani
    @MsumbaShabani 3 дня назад +1

    Natamani ningemuona gabo zigamba kwenye movie hiii ya dunia,vip wangap wantamani iwe ivo kama nilivyo sema

  • @Never-s6f
    @Never-s6f 4 дня назад +10

    Wa Kenya tujuwane😂😂😂😂

  • @RobaiWanyona
    @RobaiWanyona 3 дня назад +5

    Jamani ,Mimi n mkenya na napenda kipindi chenu sana, nlianza kuwarch.........tangu episode one adi sai lakini hakuna anayenipa like am kulike comment yangu please please nawapenda watanzania ❤❤❤❤

  • @KayaJosseline
    @KayaJosseline 4 дня назад +4

    Apa kweli manyanya ameongea kitu big up sana bro ❤❤❤

  • @Laktiza_Og
    @Laktiza_Og 4 дня назад +22

    Wakwanza leo🎉🎉

    • @mik-talent
      @mik-talent 4 дня назад +1

      ruclips.net/video/C1xtiEmjA6c/видео.htmlsi=ZgfyE8zLloa70Zfg

  • @KarolinaOman
    @KarolinaOman 3 дня назад +2

    Duh ,hii kali tangu lini mrokole,akapenda mke wa mtu ,!?😂😂😂😂

    • @kelvinmwenga5285
      @kelvinmwenga5285 23 часа назад

      Mungu ana njia nying za kukufikisha mahali sahihi

  • @EricBaeni-k1t
    @EricBaeni-k1t 4 дня назад +17

    Kwa mara ya kwanza nime comment 🎉 hii nimeipenda sababu Mati kaponyoka tena mtego wa joka😂 Gongeni like za shemu Manyanya hapa❤

  • @AloyceMasalu
    @AloyceMasalu 4 дня назад +5

    Jaman manyanya 😢😢 ananiuzunisha amerudi na kimuhemuhe akatoswa😅