DUNIA (Ep 30)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @JuliusJembelayexu-dh5mm
    @JuliusJembelayexu-dh5mm 12 часов назад +11

    Jaman xixi tunaofatilia hii movi ya dunia namwomba mungu atuvukixhe mwaka xalama kama waamini ivo xema amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @eneahfilms
    @eneahfilms 15 часов назад +296

    Kama unamkubali Mat na tabia yake ya Heshima kwa manyanya weka like hapa❤❤❤❤❤

    • @ZainabKomb
      @ZainabKomb 14 часов назад

      tulotukichungulia kila wakat tuonane kwa like

    • @KingNtiharirizwa
      @KingNtiharirizwa 13 часов назад +3

      Huo ndo mke sahihi

    • @RobsonLugomi
      @RobsonLugomi 13 часов назад +2

      Anaye bisha aje na mwana Sheria wake😂😂😂😂

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR 13 часов назад +65

    ALIYEIONA HIII COMMENT MUNGU AMBARIKI AMUONDOSHEE MARADHI NA AMPEEE MWISHO MWEMA AMEEN

  • @FurahaSila
    @FurahaSila 14 часов назад +62

    Ila jamani mnachelewesha tunasubiri adi tunakonda huku😅😅kama umekonda kisa kusubiri movie weka like apo😅😅

    • @djdecar6202
      @djdecar6202 12 часов назад

      kwa hakika wanachewesha sana

    • @roseneylamoshi3188
      @roseneylamoshi3188 11 часов назад

      Watuongezee jaman hata kila siku au kila baada ya cku moja​@@djdecar6202

  • @Matilda-d8w
    @Matilda-d8w 15 часов назад +583

    Kama umesubiri sana weka apo like 🎉🎉🎉

    • @ZawadiMinza
      @ZawadiMinza 15 часов назад +3

      Sawa

    • @HabibaTofiq
      @HabibaTofiq 15 часов назад +6

      Mnachelewa sn jamani

    • @Plagmotz
      @Plagmotz 15 часов назад +3

      sio mbaya ijachelew xana

    • @AbiTech96
      @AbiTech96 15 часов назад +6

      Maty mumetuweza, kwani tunasubiri paka tunachoka 😢 kutoka 🇨🇩🥹

    • @رحمهرحمه-ظ4ع
      @رحمهرحمه-ظ4ع 15 часов назад +4

      Sanaa adi kutaka kulia😢😢😂😂😂😂

  • @AngelMfikwa
    @AngelMfikwa 14 часов назад +25

    Jaman, Manyanya Muwe mnawahi kutoa. Tunasubiri saaana. Respect kwenu.

  • @NasrahMsiagi
    @NasrahMsiagi 15 часов назад +47

    Tuliosubiri kwa hamu tujuane hapa 🎉🎉🎉
    Na M/Mungu atupe Afya njema na tuuanze mwaka pamoj 🙏🙏

  • @MakwanaJr
    @MakwanaJr 15 часов назад +37

    Jaman kuna earth 🌎 na kuna hii tamthiria ...waoooooh hakika tunaenjoy....sanan kama tuko pamoja nataka nione like 👍 yako apo chini

  • @PacifiqueLeontina
    @PacifiqueLeontina 14 часов назад +13

    Manyanya unasema kweli kbs Mungu akubariki sn kbs akupe nguvu zaidi kk yg

  • @LoyceAndrew-z1b
    @LoyceAndrew-z1b 15 часов назад +21

    Mmechelewesha sana jmn😂 lakini kaz nzur asma filam nawapenda🎉🎉❤

  • @Nyanchama_zn
    @Nyanchama_zn 15 часов назад +37

    Mi kabla niwatch nipewe thumbs up ❤🇰🇪👍🏾

  • @Marty-z8q
    @Marty-z8q 12 часов назад +17

    Msijali kuusu juice mtapata majibu epsd 31 wapendwa ila naomba mnifollow wapendwa wangu

  • @نملةالمقبالي
    @نملةالمقبالي 15 часов назад +9

    Kazi nzuri Sana inamafunzo mengi nawapend Kwa ajili ya Allh 😊😊😊

  • @GiriadyMsumle-jw1ek
    @GiriadyMsumle-jw1ek 15 часов назад +40

    Hii move ni maisha yetu tunayoishi wewe unaefatilia uwe unajifuza kitu kupitia haya mafundisho naamini utajifuza vingi katika maisha ya ndoa🙏😊

    • @PeninaTheogenes
      @PeninaTheogenes 14 часов назад

      Jmn hii movie inafundisha jinsi tunavyoishie kwenye ndoa

    • @PeninaTheogenes
      @PeninaTheogenes 14 часов назад

      Jmn hii movie inafundisha jinsi tunavyoishie kwenye ndoa

    • @PeninaTheogenes
      @PeninaTheogenes 14 часов назад

      Jmn hii movie inafundisha jinsi tunavyoishie kwenye ndoa

  • @godfreynoah6450
    @godfreynoah6450 12 часов назад +7

    Dunia imepamba moto waigizaji wote mnajua chukieni maua yenu🎉🎉🎉

  • @silviagustavo416
    @silviagustavo416 15 часов назад +15

    Asante ,, msiwe mnatuchelewesha jamani,, jordan 😂😂😂 subiri mashangazi wakuue

  • @fatmasalum-o8k
    @fatmasalum-o8k 14 часов назад +14

    Good job yaan msicheleweshe kuleta jamn maan kazi ipo yenu naipenda

  • @thommasemanuell4320
    @thommasemanuell4320 15 часов назад +11

    Wow nisikunzuri sana kwangu nikiwa nangalia hii move

  • @benzemaboyca849
    @benzemaboyca849 15 часов назад +14

    Ilaaaa mnatukera mnachelewa kurusha vipande mpkaaaa tunasaahau kama Kuna DUNIA❤🎉🎉🎉

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 15 часов назад +41

    Nacho mpendea matrida❤ ni msikivu .Anaelewa na kumtii manyanya❤ na hii kitu wanaume tunapenda sana❤

  • @NuruAshery-i3w
    @NuruAshery-i3w 13 часов назад +43

    Zmebaki wiki mbili TU mwaka uishe Wana DUNIA wote tufike 2025 Kwa uweza wa MUNGu🙏🙏

  • @SkeffarnJanah-tz
    @SkeffarnJanah-tz 15 часов назад +7

    Wengi ktk hii movie nawaona mbari sana. Kikubwa nidhamu na kumtanguliza Mungu.

  • @MahupaMwajuma
    @MahupaMwajuma 15 часов назад +31

    Jordan jaman ety amechezewa na nyumba ajapata mmmhh😂😂😂😂😂 hatareee😂😂😂

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 15 часов назад

      🤣🤣🤣🤣

    • @mgdleenknzo9297
      @mgdleenknzo9297 15 часов назад

      Haki eti hakuna kitu amepata yani wanaume bana❤❤❤

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 14 часов назад

      Nawakati nyumba kanunuliwa😂😂

    • @ImanSal-z7i
      @ImanSal-z7i 14 часов назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Mummywamulumewe
    @Mummywamulumewe 14 часов назад +13

    Yaani venye Marty ame ackty waaah natamani na mm nipate mume kma manyanya mwenye kujali mwenye kuthamni maana ya mke ni nn na mwenye hofu ya mungu aki❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @SalmaHafidhhijja
    @SalmaHafidhhijja 14 часов назад +6

    Kazi zenu nimezipenda jaman mko vizuri sana

  • @fatumaomary9635
    @fatumaomary9635 12 часов назад +2

    Mmh uyu mke wa manyanya ..! Kazidi wallah abadili chakula adi mume anachoka ugali tu..alafu jeul mnoo ..

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 15 часов назад +61

    BIG UP SANA wote tunaoipenda na tunaoifatilia tamthilia ya DUNIA 🎉🎉 sina budi kusema MUNGU atuvushe vema mwaka 2024 ..✅✅ LAHAULAAA

    • @VaiLongo-f2f
      @VaiLongo-f2f 15 часов назад +2

      Cheusi naogopa usije kuwa mmbea na huku😂😂😂😂

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 14 часов назад +1

      Amina yarabi

    • @SarahAntony-dv2co
      @SarahAntony-dv2co 13 часов назад +1

      Mh cheusi yako maneno ni yako kweli au ndo unatusambazia umbea😊😊

    • @IreneIsambi
      @IreneIsambi 13 часов назад

      Lahaura cheusi

    • @Mwanamisi-v1k
      @Mwanamisi-v1k 13 часов назад +1

      Lahaula cheusi uku pia uko 😂😂😂😂

  • @sandraalbuquerque-b1u
    @sandraalbuquerque-b1u 12 часов назад +1

    Siku yangu ya kwanza kucomenti, naomba likes zangu kutoka msubiji🇲🇿, napenda sana hii movie, hongera zenu, estão de parabéns irmãos

  • @michaeljenovic2677
    @michaeljenovic2677 15 часов назад +7

    wa congo Tujuane hapa

  • @ebubu-bf1oy
    @ebubu-bf1oy 12 часов назад +2

    Msimu wa Leo mumetuangusha sana tumesubiri kwa muda sana.

  • @vanny387
    @vanny387 13 часов назад +7

    Kwa kitalamu ...ni moyo mchomoko

  • @mrsmile20
    @mrsmile20 15 часов назад +8

    Apo vipi wajuba,,in second😂😂🎉,,nipen maua yangu😂😂

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 15 часов назад +14

    Muddy umekunywa dumu nusu kweli kwani unatumbo kiasi gani?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mdfagiolachumaChuma
    @mdfagiolachumaChuma 15 часов назад +9

    Wakwanza leo naombeni nipo chini yamiguu yenu laki 10 tu naomba

  • @AbiTech96
    @AbiTech96 15 часов назад +19

    Yaaaani munatizinguaaa. Ah?😅 tumeusubililia sana toka 🇨🇩🫶🏿

  • @HafsatAhmad-f6b
    @HafsatAhmad-f6b 12 часов назад +2

    Waoooo tuliosubir kwa ham tujuane😘

  • @NellyNestory-d1v
    @NellyNestory-d1v 13 часов назад +8

    Jmn nzuri hii movie ❤️

  • @Shadadichannel
    @Shadadichannel 15 часов назад +10

    Weka kopa kwa manyanaya ❤❤❤

  • @marietharosemary
    @marietharosemary 15 часов назад +23

    Na nyie mna boa bana mnachelewesha sana hii move

  • @DorcasKadama
    @DorcasKadama 13 часов назад +2

    Jmni kazi nzuri ajabu wakenya tunapenda sna kazi yenu❤❤❤

  • @ChristianAke-st7fy
    @ChristianAke-st7fy 15 часов назад +11

    Nember one na wapenda sana

  • @Aziza-z5z
    @Aziza-z5z 13 часов назад +6

    Jamani mnachelewa mnooo hamjui tunaipenda hii movie

  • @TwallayhatOmary-k3s
    @TwallayhatOmary-k3s 14 часов назад +8

    Darasa huru kabisa hili hongera zenu team DUNIA 🎉🎉🎉like$comment mdogo mdogo wakuu team manyanya hap

  • @EpideyWinner257
    @EpideyWinner257 15 часов назад +13

    Leo wa Kwanza😅

  • @frederickferooz
    @frederickferooz 13 часов назад +11

    Wakwanza kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naitwa manyanya nipeni like hata mbili tu ila huyu mlevi 😂😂😂😂

  • @MonicaChipuba
    @MonicaChipuba 15 часов назад +13

    Wa kwanza Leo jamani siyo Kwa laha hiz😂😂😂🎉🎉🎉

  • @Ludovickmunishi
    @Ludovickmunishi 13 часов назад +8

    Sema li cathe linajuwa ku act atari big up kwako❤❤❤

  • @StephenNyamhanga
    @StephenNyamhanga 11 часов назад +2

    Huyu mke wa manyanya licha ya kuigiza anaonekana anaroho mbaya sana

  • @mishekimbuba1688
    @mishekimbuba1688 15 часов назад +46

    Mimi wa kwanza leooo likeee zinapitiaaa hapaaaa jamaniiii 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂

  • @Irankundasadiki-yx1vf
    @Irankundasadiki-yx1vf 15 часов назад +11

    Manyanya namupenda sana

  • @cintraciti
    @cintraciti 15 часов назад +5

    Mwamba Manyanya movie yako ina maigizo ya maisha halisi❤❤❤ Mati ametumika kama kielelezo cha watu wanaoteseka na mapenze😂 enyewe hii ni dunia Bwana, anyway kazi ni safi 🔥 😊

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 13 часов назад +13

    Huyu mkaka manyanya amenifunza kitu sana kuishi na watu na kwa ndoa nayo nimejifunza sana( asante San kaka manyanya ❤❤❤from Kenya 🇰🇪)❤❤

  • @EkronMasilu-d3j
    @EkronMasilu-d3j 15 часов назад +52

    Wangapi tumetoka Kuangalia Mission impossible na tukahamia Huku kwenye DUNIA 😂😂😂😂

  • @phibiojaxbrand
    @phibiojaxbrand 15 часов назад +4

    Sijawahi amin kwenye mapenz but manyanya ure almost near to change my mindset

  • @JescaFelix-e4x
    @JescaFelix-e4x 13 часов назад +3

    Kwa hiyo Kwa vai kila cku ni ugali maharage na mbona za majani sio😅😅😅

  • @ReifatiMovela
    @ReifatiMovela 15 часов назад +4

    Nikajua mm wakwanza kuona kumbe tulikua tunasubili wengi😅😅😅

  • @leonardchidingi-kg5wv
    @leonardchidingi-kg5wv 15 часов назад +6

    Saf sana maana nlisema leo isipotoka ntaumia sana, maana tulimmic mudy

  • @eliphasethobias1133
    @eliphasethobias1133 14 часов назад +6

    Nitafurahi kama matrida hujanywa Hiyo juice uliyo letewa Catherine

    • @NiyukuriVirginie
      @NiyukuriVirginie 12 часов назад

      Kabisa maty awe ameigiza tu kama Yuko anakunywa

  • @SanjerSaimon
    @SanjerSaimon 15 часов назад +4

    Afadhar Leo na Mimi nimewah jmn 🤗 mana Kuna muda had pakukomenti nakosa khaaa😊

  • @annaki318
    @annaki318 14 часов назад +19

    Nani kashtushwa na maneno ya maty
    Nikajua anataka kumuacha kweli manyanya kumbe ni mbwembwe jamani😂😂😂 alooooo weeeeee❤❤
    Love is beautiful thing created by GOD

  • @M58408
    @M58408 13 часов назад +5

    Wangapi wanahisi mat hakunywa hile juice

  • @ashamrisho1322
    @ashamrisho1322 12 часов назад +4

    Jordan watamuua mishangazi hiyo jamanii😂😂😂😂

  • @MwajumaKizulwa
    @MwajumaKizulwa 15 часов назад +4

    Najiona kama mimi ndo mat jamani natamani nimpate wakunipenda kama manyanya anavyo mpenda mat wake

  • @AntonyMuhindi-G
    @AntonyMuhindi-G 15 часов назад +9

    Nipo radda from KENYA 🇰🇪 top fan guys🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @blackx1.5
    @blackx1.5 15 часов назад +12

    Leo kama najiona nilivyo wai mapema

  • @slimgeneral038
    @slimgeneral038 15 часов назад +7

    Nimeongoja sana😂❤❤❤ Kenyan supporting you

  • @Mclupy44
    @Mclupy44 15 часов назад +25

    Sema heshima ya Matilda mda sio mrefu Manyanya anahama nyumbani.... au we unaonaje
    Afu Jordan 😂😂😂 mnyama sana io ndo gusa achia twende kwao😂😂😂

    • @SiwemaJohn-o5d
      @SiwemaJohn-o5d 13 часов назад +1

      Jordan anajua kuchanga karata😂😂😂

    • @SakinaHassani-xm7ti
      @SakinaHassani-xm7ti 13 часов назад +1

      Kabisaa yani🔥👍🤸

    • @Mclupy44
      @Mclupy44 13 часов назад

      @@SiwemaJohn-o5d hahah anaeka both team to score

  • @Didaahsaid005
    @Didaahsaid005 13 часов назад +4

    Vai kila siku ugali😂😂😂mahaba zero😢ndy maan wanaume wanachepuk

  • @DainesWilliam
    @DainesWilliam 15 часов назад +14

    Nimewah jmn ❤❤❤like zangu tafadhali

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 15 часов назад +30

    MATCH YA IMEFANYA NIWE BUSY WAPENDWA, JORDAN ZEE LA MITEGO, JITU LENYE NYOTA YA KIBENTENI HAYA NAOMBA LIKES ZA TEAM DUNIA SERIES TUWAPE NGUVU, HII SHORT FILM IMEBAMBA JAMANI 🎉🎉🎉❤❤❤💥💥💥

  • @SadinoSaid
    @SadinoSaid 14 часов назад +2

    Mpo vizuri sana,,,,hongereni...

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s 12 часов назад

    ❤❤❤❤Nawapend cn jmn tuombe uzm kuvuka mwaka salama ili muendelee kutuenjoisha

  • @PhilipGogo-hg1qf
    @PhilipGogo-hg1qf 13 часов назад +4

    Kitaalamu inaitwa fall in love with wife of another man. Church boy 😮😅😅😅😅

  • @MwamuyeChimwaga
    @MwamuyeChimwaga 13 часов назад

    Waahh,,wife wa manyanya ak una-roho mbaya kishenzi...show respect to your husband mamaa na umpende mfnyi kaz wako..yap manyanya nimependa hiyo......am rhazini from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @freddywizzyTz255
    @freddywizzyTz255 13 часов назад +5

    Yqni ulipoongea ivo matildq nilijua ushakunywa dawa umchukie manyanya hadi roho imeniuma😢😂😂 kqma kuna mwingine kashtuka like apa🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Nicasaccessories
    @Nicasaccessories 15 часов назад +1

    Sema Dunia series moja nzuri sana nilianza naidharau lkn sahvi naiheshimu sitamani iishe kbsaa ifanyeni iwe Dunia kbsaa isiishe ❤❤🎉

  • @QueenJane-x3m
    @QueenJane-x3m 14 часов назад +5

    Ila mlituambia itakuwa inatoka kila jumatatu ,j5 na ijumaa lakni haipo hvyo munachelewa sana

    • @ZaliaAthman
      @ZaliaAthman 12 часов назад

      Kweli bhan walisema hivyo ila sahiv hat mpangilio haueleweki

  • @OmanBd-s7z
    @OmanBd-s7z 12 часов назад +1

    Jaman huyu Vai ananiboa jaman kama mzalamo khaaaa😊😊😊

  • @cintraciti
    @cintraciti 15 часов назад +7

    Enyewe moyo wa Kase umekabidhiwa jungu lenye mafungu ya mambo haramu😂😂😂

    • @maiyaali8636
      @maiyaali8636 13 часов назад

      Na anadhani amemweza matilda kwa kumpa juice bila kujuwa hakuionja

  • @HenryChristophvtl-md1cz
    @HenryChristophvtl-md1cz 12 часов назад +2

    Church boy kaanza kujisahahu kidogo mudi muzungu akiyajuwa Basi kwisha abari yake atafumaniw mda si mrefu😂😂😂walio muelewa Basi nipeni like ndugu zangu siyo pesa❤😂😂😂

  • @MoyoniMusole-t9l
    @MoyoniMusole-t9l 15 часов назад +3

    Mbona mmechelewesha sana jamani 😢😢

  • @fatmasuleiman7556
    @fatmasuleiman7556 15 часов назад +1

    Naona mlikua mnachungulia tu km mmebandika maharage jikoni😂...Hiii ndo dunia ❤❤❤❤

  • @ChristinaJonh-e5d
    @ChristinaJonh-e5d 14 часов назад +3

    Jamani jamani kwani humu huwa mnalala humuu😅😅😅

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 13 часов назад +1

    Manyanya oyeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
    Jamn Mimi siishi na kina vai lkn nimeuchoka huo ugali maharage kila siku

  • @PaschalPius-b6s
    @PaschalPius-b6s 15 часов назад +11

    🎉🎉🎉 wakwanza kutoka kaliua

  • @NestorNtitangabike
    @NestorNtitangabike 14 часов назад +1

    Case wemubaya sana tena sio fresh uricofany kwa matirda Wang.🇧🇮💯♥️

    • @AmeirhajjRamadhan-e1h
      @AmeirhajjRamadhan-e1h 14 часов назад

      Nna imani hajakunywa ile.juic nahisi kama kamuigizia tu😀😀

  • @AbdulmalikYusuph-f5u
    @AbdulmalikYusuph-f5u 15 часов назад +14

    Wa kwanza Leo nipeni like zangu🔥🔥

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 12 часов назад

    Matlida uko vizuri,unamtuliza Manyanya kweli , big up,wanandoa tujifunze

  • @ernestsaid3491
    @ernestsaid3491 15 часов назад +17

    Wa kwanza Leo
    Wana Mwanza mnao fatilia Dunia like nyingi

  • @TashaCosy-gc1fs
    @TashaCosy-gc1fs 14 часов назад +1

    Nakupenda sana kaka manyanya wetu hakika uko sawa n kazi zko nikiwa kenya❤❤❤

  • @MajimbiTz
    @MajimbiTz 15 часов назад +16

    WA KWANZALEO FROM 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿..
    EWE UNAESOMA HII COMMENT MUNGU AKUZIDISHIE RIZIKI ZAKO NA AKUPE MAISHA MAREFU AMEEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @gladysosoro8963
    @gladysosoro8963 14 часов назад +1

    Nimewai mapema 52 mins ago,,🇰🇪🇰🇪 hongera sana hii movie kioo cha maisha tunayoishi ivi ssa❤❤

  • @MPUMOSIMBAKING
    @MPUMOSIMBAKING 15 часов назад +15

    🇨🇩🇨🇩 wa kwanza d r c nipeni like zangu

  • @Elibarikijigita-r4r
    @Elibarikijigita-r4r 14 часов назад +1

    Yan manyanya na Matrida kama kweli wanapendana
    Yaan hii sizon za kihind weka pembeni
    DUNIA NDO HABARI YA MJINI.

  • @kimonlinetv
    @kimonlinetv 15 часов назад +3

    Manyanya umemuokoa mart unajua sanaaa aisee

  • @NeemaAlphonce-u9j
    @NeemaAlphonce-u9j 12 часов назад

    Matty umeisha uwiiiiiii naomba hyo dawa isifanye kazi ,, iongeze maupendo kwa manyanya🥰❤️

  • @MwamuyeChimwaga
    @MwamuyeChimwaga 13 часов назад +5

    Matilda❤❤congrats mamaa❤❤❤❤

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 15 часов назад +1

    Manyanya keep going your work is really giving be blessed 🙏❤️❤️❤️❤️❤️. We support your work. Vai mwanaume apendi ukali utalia umchukue mbaya bule

  • @JaykhanMechack
    @JaykhanMechack 15 часов назад +33

    Mumeniwah sijapenda kwakwel 😢😢😢 nipen likes at kumi

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri 14 часов назад +1

    Tuko pamoja matlida tunakupenda sana pamoja na mnyanya mzee wa mistari🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤