Jamaniiii mwachen zuu Kwan mapenz yanama na hasila siku zote hazinaga subra Kwan lazm aone wivu na mmew na kavumilia sana ujue ila japo si kwely ni uzish ila ameona kama kafanya sawa kumbe anmzihaki b Sahil wake nawapenda sana washabiki wenzangu wa house geli
Guys naomba niwakumbushe kwamba Mwana mukee mjinga hu jivunjia ndoa yake namikono yake miwili zuuh usipende kuchukuwa maamuzi ukiwa nahasira jifunze kuchunguza jambo kabra hau jachukua maamuzi Kai ume upiga mwingi Safi sana broh 👍 zuu umenikera sana amezingua sana yani zuu umesahau kwamba kendi ni aduwi wamaisha yako jitahidi kupambania ndoa yako nasiyo kuonyesha wepesi namna hiyo simama kama mukee mwenye hakiri timamu ❤ otherwise Wil love you so much guys im from Zambia ❤❤
Afuu naww zuu hebuu ach kumkalipiaa kai mwanaum hakalipiw mpuuzii ww kuwa na adabu kwa mme wakoo sawa 😢😮😮😮😮wanawakee tunae jielewa hatupo hvoo bibiee sawa😢😢😢
Wanao amini bibi Zuu atamsaidia Kai weka like hapaaa tafadhali 🥰🥰
❤❤❤❤
❤p❤❤❤
Wakwanza Leo atakae soma Ihi comment mungu ambari afike mwakani 🎉🎉🎉❤
Yan zuu mwenye nilitaman nikupige kofi ahsante kai umenisaidia jaribu kuwa mwelewa basi but thanks much housegirl jamaam❤❤❤
Wenye tuko pamoja na Kai ngonga hapa.alaf mung atujalie sote kufika mwaka 2025
Amiin yarabby
Amiin ya rabbi
Amina
Amin
Poa poa tuko pamoja
Waooo leo mapema sana ❤ Pole sana kai yote Yana mwisho Mungu yupo atajibu❤
bibi zuu makofi kwako❤❤❤ kazi nzuri mno ila zuu jamani kuwa mvumilivu jamaniiii 😢
Hiyo zuu mjinga mana huyo Kai angekuwa Kama mume wangu asingeishi nae hata sikumbili😂😂😂
Jaman tunataka huu wimbo mzur sana mashaallah
Jamaniiii mwachen zuu Kwan mapenz yanama na hasila siku zote hazinaga subra Kwan lazm aone wivu na mmew na kavumilia sana ujue ila japo si kwely ni uzish ila ameona kama kafanya sawa kumbe anmzihaki b Sahil wake nawapenda sana washabiki wenzangu wa house geli
Wa pili Leo from Kenya 🇰🇪🇰🇪 Kai usijali shush wa mizimu atasaidia
😂😂😂shosh wa nini😂😂jamani hii pepo chafu inatembea kila mahali
Nimelipenda Kofi la kai😂😂😂
😂😂😂 me pia
Kilamba umeendana na somoe kweli mnafaa kuitana wapumbavu wenzio
Ushakosea ulikua useme mpumbavu mwenzangu 😂😂😂
Ila yaleo umeisikia eti mchepuko wangu 😂😂😂
@@TheresiaRamadhani-f8hyn Hawa ndo wameendan sio yule alikuwa anaboa
Kw mara y kwanz Leo Kai kasimam Kam Simba w nyumb nakupongez San kw hili❤
Waaaooo nimekuwa wamwanzoni pia naikubali sana house girl mpaka naumwa
Wenye tuko pamoja na kai tujuane tu🎉🎉❤❤
Pamoja sanaaaaa
Mungu awabariki wote wanaofuatilia hh muvi Mungu atujarie tumalizie mwaka salama na tufugue mwaka salama like kwa wingi
Alhamdulillah namshukuru mungu kunipa afya njema mpaka sai nangalia house girl ❤❤
Wakwaza leo naombeni laiki zangu
Wewe zuu,kai anakupenda sana chunga ndoa yako .kai wanaweke ni viumbe taifu. Usiwe na hasira sana.
Hiii episode ji nzurisanaa busat hoyee❤❤❤❤yani kofi zuu nisawa kisha hata nidogo angekupa mawili mjinga ww ndoa waitiadowa 😂😂😂😂😂😂😂ulikua wajifanya na heshima hivi mdofo mrefu chunga ndoa yako candy wamjua kila kitu muharibifu
Kazi nzuri sana busati tv nawapenda sana chamsingi kumuomba Allah atuvukishe salama mwaka tuone mwaka mpya inshallah 2025 ameen thuma ameen yarab
Kai Leo kaniwakilisha vyema kwa wanawake wenye vinywa vichafu Kama zuu ni kipigo tuu 👏👏👏
Safi sana Kai mwanaume anatakiwa kuwa hiyo
Safi sana bibi zuu ulikua umetusahau bibi yetu waonyeshe hao ichunge familiya Yako bibi nakupenda sana sana bibi
Zuu endeleaa kulinga wenzako wanamtakaa kaii 😅😅shaulii akoo candy anamtakaa😢😢badoo yule boss anamtakaa wew endeleaa kulinga linga kitakulambaa😅😅😅
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
Mm nimependa sania kwa kubadilika maashaallah ALLAH amjaalie awe amebadilika kweli hata nje ya move 🎉🎉🎉❤❤❤❤
🎉🎉Tunawapenda sanaaa from kenya❤❤❤
Leo nmewahi pia mungu ajalie Kila mmoja wenu aweze kuvuka mwaka mpya salama wa salmn
Subiri leo niwatafute magaid wenzangu km watanioa like😂😂😂
😂😂😂 tuko hapa
@Swabrina- pande zipi kipenz
@@Fathasssane-vs2th Riyadh
Tupo kipenzi sema wifi Zapata shida na wakenya hahaha 😆 😂 🤣 😅 😄 😢😂
😂😂😂
Guys naomba niwakumbushe kwamba Mwana mukee mjinga hu jivunjia ndoa yake namikono yake miwili zuuh usipende kuchukuwa maamuzi ukiwa nahasira jifunze kuchunguza jambo kabra hau jachukua maamuzi Kai ume upiga mwingi Safi sana broh 👍 zuu umenikera sana amezingua sana yani zuu umesahau kwamba kendi ni aduwi wamaisha yako jitahidi kupambania ndoa yako nasiyo kuonyesha wepesi namna hiyo simama kama mukee mwenye hakiri timamu ❤ otherwise Wil love you so much guys im from Zambia ❤❤
Zuu anakera mno 😮😮
Hiii😂 mbn kwa mabao tena😹😹tfdhl kai ustuumiziee mana sahir wet 😂😂
Kazi nzuri ila Zuuu hata kama uko na hasira dadangu usiliye ukiwa umembeba mtoto
Tulotoka kwa Kelvin tukaend kwa kijit n sasa tupo hapo tujuane😂😂😂😂😂😂😂
Yaani sijaimaliza ya kelvin nilikuwa ibadani ngoja nimalize hii kwanza
@MonicaMkombwe mungu akuongoze
Kai pole sana kaka angu hiyo ni kipimo Cha Imani yataisha
Ndo nimetoka kwa mama mkwe wanangu niko na mbio kweli ❤❤❤nawapenda sana si mnisalimie basi
Zuu hilo Kofi Lina kuhusu kabisa umepata ndowa tu unakua jeuri huskiyi kwani kendy humjui wewe ni ngeni kwako kwanza nikicha tayari dishi limeyumba
Anastahili hasa Hilo kofi hata engelipata makofi mawili Ili akae sawa ingelikuwa vizuri sana Kila anavyoeleweshwa haelewi.
Afuu naww zuu hebuu ach kumkalipiaa kai mwanaum hakalipiw mpuuzii ww kuwa na adabu kwa mme wakoo sawa 😢😮😮😮😮wanawakee tunae jielewa hatupo hvoo bibiee sawa😢😢😢
Kiramba maongezi mengi punguza 😮
Ila kendy bana kamuandama sana Kai hata naogopa❤❤❤
Jaman Kai anasingiziwa mimba ya kendi sio yake😮😮
Kazi nzuri sana team Busati tv🇹🇿
Mim watatu😂😂😂😂 naomba like zanguuuuu jmn 🤣🙏🙏🙏🙏🙏
Yes bi zuuu hapo sasa asante munoooo
Waooo nimewahi na mimi
😂😂😂 haaaaaa kumbe mawazo yangu yalikuwa sawa na kai bora umemzabua
Zuuu haaa kuwa na moyo wa kuvumilia kwanza😮😮😮
I'm in Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 I love tanzanian movie particularly this house girl
Mambo yamenoga kweli😊 nipeni like hata 5 jamani
Mwanzilishi wa hii Story mpeni maua yake... movie iko Moto 🔥 mwanzo wa season 1 adi season 4...
Zuu acha kutukera Yale mafunzo alokupa bibi yote umeyasahau acha kuchukua mambo juujuuu jambo uliahakikishe ndo uchukue mamuzi ndoa ngumu inataka uvumilivu
Zuu anaboa hadi anakera kila cku afahamishwe yy tu ah
Anaboaaa zuu saisi
Anamwambiaje mambo ya msingi juu ya huzuni
Zuu hana shida hata kidogo tatizo alokua anayaona na kuona kendy anasema ameamini
Bora alivyopigwa safi
Episode's ziko poa..keep it up Busati Tv
Jamani ungezeni mda basi😢😢😢❤❤❤
Yan zuu anakera hadi bas hv kweli anashindwa kumuamini mmewake
Aah kwn nyi mwalala humu humu au😂
Huyu kilamba naomba msiwe mnampa kipande kirefu maana sioni vingi vya kujifunza kwake, anamambo ya cjui nisemeje, ila isiwe kesi
Wakwanza Leo mnipee likes
Jaman zuu usimfanyie kai hivoo
Hongereni sna kwa kazi nzuri ❤❤🎉
Kwanzaa😂😂😂
Jamani jamani mambo ni moto kikweli ❤❤❤❤
Duuu iko vzr xaana msichereweshe kipande kinachofata
Bibi kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Wale wa gulf mko wapi.... Christmas yatupitaa tukiwa uku ...👋Candy bado hajarudi sawaa jamanii 😢
Zuu nae mda mwengin anakela jaman yan akiambiw ty kitu afkilii kwanz yy anaanz tu kulopoka ty yn
Yaan nakerekwa na vitabia vya zuuh
Ana act kwenye uhalisia acheni makasiriko
Nimewahi leo kutoka Kenya 🇰🇪
Mko vizuri tu watu wangu🎉
Kazi nzuri sana Wana Busati TV 🎉🎉🎉🎉🎉ila Zuu umeniudhi sana😢😢
Wowiii bonge la kazi
Mazingira ya vyumban mume fer muonekano wa nyumba na vyumba vilivyo tofauti.
Kai mbona kofi dogo zibua huyo hana adabu...mapenzi gani ikiwa uaminifu hakunaaa...zuu mdogo wangu wafeli😢😢
😊😊 kumbe magoti so heshima et.
Nimewahi sio mchezo🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Zuu zuzu😏 kumbe yale magoti ulikua wayapiga tu umpate kai sai humuheshimu...kua na subra ww!
Kweli alikua yuataka mume wa mtu saì tuamshinda😂😂😂😂
@ASAS-q9u9e afaa kua mpole akiskia au kuona kitu achunguze
Ila haka katoto kanamfanana zuu kabisaaa, hivi ndo mamake kabisaa au😂😂😂
Bi zuu na kuelewa sana😂😂
Wakwanza leo naomba like na mm
Jmn kai leo kakasirikaa😂heeh kwa bao looh aka mungu nisaidie jmn nisije pata mume wakunipiga mibao mm heeh ndoa mbon ngumu hiv jmn😅
Kendiy wew bwan unaniuwag san walah😂❤❤
Kali sana
Fupi sana jamani ongezeni muda ama mulete episodes mbili kwa siku Kama hapo awali itakuwa bora zaidi In Shaa Allah ❤🎉
Zuri amekuamgomvi kiasi hicho we zu uwe naadhabu leo unanikela sana kbs we sikiliza we amini mme wako
Mm kuwapenda tu jaman mnatuletea vitu kwa wakat
Zuu umeandza kubore sasa mbna usiwe muelewa angeongeza kofi la pili😂😂
Hongeren busat tv kazi inanoga🎉🎉
Wa10 leo🎉🎉🎉❤❤
Inatufundisha sana ongereni
ALafu somoe na kiramba mwapenda kusengenya😂😂❤
Zuuu unazingua sana
Zuu saizi Hana adabuuu hats kidogo
Zuu acha kumuhukumu kai hajafanya chcht,Afadhali bibi zuu jamani ita wasambongo umsaidie kai jamani,Kai safi sana asipande kichwani ,Yaani candy unanikera ungejua wewe
Kama sania amemrudia muumba wake mbona aruhusu kendi kufanyia kai hivo na mbona ajue ukweli na anyamaze munatupima😂😂😂 mm sijapenda
Kwa mke aliye king'ang'aniz kama zuu ninge ng'oa meno ya sebren jmn😂😂
Bibi zuu fanya mambo❤❤❤❤
Zuuh unakera sana nakuboa , we husikilizi wakubwa wala mumeo
yaan anaboa sana hadi nakasirika Kila saa kumlazimisha Kai akati anajua fika kuhusu candy
Uko vizuri kai
I love you so much ❤️❤️❤️❤️ chiko habari kaka
Kumeanza kuchangamka sasa na makofi
😂😂
Yaan Zuu anakera
😅😅😅😅😅
Kutesa mtoto tu, Alfu we Zuu kumbe ulikua wanijifnya tu una lolote ungezabwa vibao kumi😂😂
Ww zuuu ukisikia kitu washika tayri nakulia 😅😅
Zuu kuamuelewa sazengine unazengua sana.