Jamani kweli ulimwengu shujaa hawa wote ni wari wankwenda kulala kwa mwanaume hao wazee hawana kili ndivyo wanavyo waleya watoto jamani wanake mjitambu kesho kwa Mwenyezi Mungu tutamwambia nini unamwachia mtoto wako hajaolewa kwenda kwa mwanume kula na kufanya kitendo cha ndo hivi sie wazazi tunafunza nini watoto wetu zinaa ilikuwepo zamani lakini siokama hivi sasa jm tumuogope Allah huu sio ulezi wazee wetu walika ndani mpaka wakaolewa na walikuwa wakiajificha sasa hamna sasa watoto hawaogopi hata hao wazee wazee ndio wanawaogopa watoto akiletewa sh elfu 10 ananyamaza kimya jamani turudini kwa Mwenyezi Muungu adhabu yake kali hususan kweny zinaa
Hata mashavu maashaallah hongera sana kwa uzuri
😄😄😄hii stor tamu sana hii nimeipenda
Bibie maashaallah mzuri sana
Turembo Twetu Mashaallah 😘😘😘
Nawapenda Saana Kama Wanangu Bibie Na Mashavu
Nampenda mashavu na bibie mashaa allah
Smile la mashavu Maa Shaa Allah
Aunt Ezekiel na Rubby
Nimewapenda.
mashavu mashallah mcute 😚
Alafu kumbe bibie unamwanya kama mimi 😘
Nawapenda sana jomon ♥️♥️♥️
Bibie yupo simple sn kimwili chake mwaaa😘😘😘
Ilove you crala
Wanaume washezi sana
😆😆
Wanawake nao ni washenzi sana
@@ricksonlyimo2662 nyie mmezidi kaa
Wakaka shikamooni mnapiga ndege wawili kwa jiwe moja
Duuh kweli mwanawake akili zetu aiseee
Kibibi mtto mzr lkn jitaidi kuvaa nguo zuri bna
Eti Huyo Kaka Ajielewi,,, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nyie Ndo Hamjielewi
Nilijuwa tu utamtea kiazi mwezako🤣
@@halimasulaiman3229 🤣🏃🤣🤣
Jamani kweli ulimwengu shujaa hawa wote ni wari wankwenda kulala kwa mwanaume hao wazee hawana kili ndivyo wanavyo waleya watoto jamani wanake mjitambu kesho kwa Mwenyezi Mungu tutamwambia nini unamwachia mtoto wako hajaolewa kwenda kwa mwanume kula na kufanya kitendo cha ndo hivi sie wazazi tunafunza nini watoto wetu zinaa ilikuwepo zamani lakini siokama hivi sasa jm tumuogope Allah huu sio ulezi wazee wetu walika ndani mpaka wakaolewa na walikuwa wakiajificha sasa hamna sasa watoto hawaogopi hata hao wazee wazee ndio wanawaogopa watoto akiletewa sh elfu 10 ananyamaza kimya jamani turudini kwa Mwenyezi Muungu adhabu yake kali hususan kweny zinaa
Mshikaji kaupiga mwingi cna katisha sana big up cna 😁😁😂😂😁
Mko wazuri sana
But hawajitambui thamani yao
Ila wanaume 😂😂😂😂
Nawapendaa saaana Hawa watoto
Minilijuwa kimchezo kumbe kweli heee hamna ataaibu wazuri kimuonekano ila mnajiharibu
Sasa kosa lao lipo wapi
@@marymoyo46 nawao walijitambua mwenye makosa mwanaume
Nawapenda awa wadada
Mashavu unasekweli kbx
Ntahama bongo 😀😀😀😀
Hao ndio hawajielew
Nawapenda
Hy mwanaume alikuwa konyo sana
I don’t think hii ni story nzuri ya kuongea kwenye radio haswa kwa mabint kama Hawa ni aibu 😔😔
Naunavyopenda umbea shoga angu aaah nlale mie😂😂😂
Hiyo zaman walikuwa na umri gani jamn mbona mtihani
Watoto wadogo mnatumika kipumbavu
Halafu mnaona mambo ya kawaida
Mnatia aibu wazee wenu
😳huyu! Mh!
Nimeshangaa yaani wanatamba tyu
Sasa unataka walie🙄
@@JerryMpex au wajiue
@@JerryMpex Tena walie kwa sautiii.
Mashavumzur kwel
Mashavu mashallah
Sema uyo mwana katisha sana 😂😂😂🤙
😂😂😂
Maraya ndio zetu ukijichanganya tunakuchanganya
Wewe noma
Unamtt wakike
huyu demu yupo series Binadamu ya kitale
Nilimjua kwenye movie ya maneno ya kuambiwa bonge la pichaaa aisee
@@amanikatembo8197 nani
Ila huyo bonge inaonekana bado anampenda huyo dada.
Boyz wanaboa sanaa
Nawapenda madada
Ndo mkome badara ya kusubiri ndoa mnakubari kuchezewa ovyoooo
Kwan we ujawah kuchezewa had uluvozaliw tu ukakutaan na ndoa?
We nae kwa utakatifu gani labda bkra ya mkundu
We nawe ovyo
@@foreverdaud6152 labda bkra ya mdomo,,,,ndoa kwiooo et Forever Daudi🤣🤣🤣🤣🤣
Kaupga mwng Sana
😷 hii interview .....mmmmh
Hivi hiki wanachoeleza ni movie walocheza au uhalisia?
Picha ya kihindi iyo sasa🤣🤣🇰🇪🇰🇪🤝
Hyu baharia kaupiga mwing mno ila nimepend kuwa pamoj
Mwamba kaupiga mwingi...😀😀😀
Mwamba noma sana
Nyiye watoto mmenivunja mbavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mbona huyu dada sio mnene
Wazuri wote
Hii stori wameitunga ni Kiki TU
Makubwa haya
Awoo ndo wanaume
nkajua wanasimulia muvi!! 🤔🤔
Nawakubar xn hamn baya
Story ya kutunga hii hahahh haimake sence
Ya kutinga hiiiii
🇧🇮🤝🤝🤝🇧🇮
Bibie nimekukubali
Wanaume 🤣🤣🤣Ndo bab zetu
mashav mkusi yupo wapi🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣mkusu
Ilikua mwaka gani mbona nawaona bado mabinti wadogo aisee ninomaaaaaaaaaa
We acha
Watu awazeek my apo Sizan kama Kuna mtu mwenye umri chin ya 25
Yaan mhh mthani kwakweli sasaivi ukifikisha miaka 20 bila mahusiano utaonekana wa ajabu na kama si kuambiwa unajini mahaba ufuuu Allah Atuomgoze
Nyie munamakosa wote.hamjaolewa.uzinifu ndo kosalenu
Mimi najielewa nyinyi ndo amjielewi
Aibu wari wawaziiii tena wanajitapa kbsa
Namkubali jamaa kupiga wote
😂😂😂😂😂😂
Na yeye kapigwa na wote 😂😂
Hii ilinikuta mm
Hata mm mwenzako ..
Alaf nilimlipia had usafir mwenzangu saa 9 kasoro usiku 🤦🏼♀️🤦🏼♀️ niliogopa atabakwa maana tulikuwa wote stend alaf yeye hana naul
@@Qeek_Smart good girl
@@Qeek_Smart pongezi
Hawaoni shida kujitangaza uzinifu.kwahiyo nyio kumbe maxombi.munakubali kuvurugwa tuuuu.mfyuu
Kiki
Awa watot wapumbavu san nimecheka kinom yn
Diva at mkaka hajielewi? Wakat mkaka mwenyewe alikuwa amebalance , huku vinono huku vyembamba🤣
NAWAPENDA
Sijajuag mpk Leo wanaume wanatak nn
😁
😳😳😳
wanawake wenyewe hamjui huwa mnataka nini..usihangaike na wanaume
Tunataka vyote na wotee
Umeonaee
Umalaya wenu makuma nyie
🤣🤣
Kazuri 😍😍😍
Bhhh
Ujinga huu sio Mambo ya kuyaongelea ivi
Duuh wanaume nimikundu nyie