Asalam alleikum jaman mwenye atakae soma hii comment mwenyez mungu amvushe mwaka 2024 kwenda 2025 imshaalah nawapenda sana wachezaji wa house girl na mashabiki wake
Kazi nzuri sana nawatakia kila la hery tuvuke mwaka salama salmini inshallah na hizi siku zilizo baki mungu atujalie tuzimalize salama inshallah mungu atujalie sote watazamaji wenzangu 🤲🙏🤲🙏💯❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kibendu umeamini kama NTU akiwa chizi ata akipona,arudii kuwa na aquili timamu,kuanini uhamini kama Kennedy anamuongopeya Key ujauzito ni WA Key,,kkkk kutoka Moçambique província de cabo Delgado Distrito de Macomia 🇲🇿💯👏🎉🇲🇿💯 nawapenda wote ❤
Zuuh😢 usimuhukum MTU BILA kufatilia jambo tuliz jaziba nautafalal naufatilie sio hivyo mumeo Kai hawez Kufanya kitu kam hicho Bibi zuuh mwabia basi Najua unaelew Kai hawez kufany hivyo.
NAN ANATAMAN KUUONA MWAKA MPYA WEKA LIKE
Amiin kwa sote inshaallah
😂😂km hatujaeka like hatuuoni
Huyu nae na kuuona mwaka tuweke like hiyo n mipango ya Mungu ujue
@@veronicawilliam7276 eeeh nime like but sio serious just joke
Kama unaamini kipara mtelezo atashinda gonga na like ❤❤❤
Mungu akupe haja ya moyo wako na kheriii katika 2025, Mungu akuvushe salama wewe ambae una rehema na neema zake mwenyezi Mungu.😍😍😍😍
Amiin❤🤲
Ameen
Ameen😊😊😊😊😊🎉
Wenye tulianza house girl s1 mpaka s4 tujuwane gonga hapa
Nko hapa kenya
Nipo hap mbeya Tanzania tangu zuuuh kuwa house girl
Utakae soma commenti hii wa kwanza Mungu aku jarie neema ya kuona tena mwaka mpya wa 2025
Amiin🤲🤲
🙏
Ameen
Amiin inshallah ata ww pamoja na family yako
Amen
Tunaotaka chiko asiachiliwe huru tuonane kwa like ili kipara afanikiwe kumfunga jela
Ila n kama baba tasha anadai kummalinza akitoka jela
Mimi nataka hatma yake iwe huko shezi kabisa kipochi manyoya😂😂😂
Tunaotakaaaaa candy aweee chizii tena gongaaa likeeeee,,,,
Afadhali maana amerudi kukera
😂😂😂😂😂😂
Hapo alipo t ni chizi yaan mwez mchanga
😂😂😂@@AminaNgumba
😂😂😂😂@@AminaNgumba
Assalam ghalaykum warahmatullah wabarakatuh wanaoangalia hii movie 🎥 ALLAH ☝🏽 amfikishe salama mwakan yey na kizazi chake in shaa allah 🤲🤲🤲
Amiin
Amiiin thum amiiin
Waleikum msalam warahmatulilla Alhamdulillah 🤲🤲🤲 Amiin yaraabbi
Ameen thuma ameen yarab
Amiin inshaAllah
Bibi yake Zuu aingilie kati na amuazibu Candy mpaka pale atakapo sema ukweli
Laiki za moto kwa kipara mterezo😅😅
Kibendu kaka kama unajuwa kuwa anae uguwa wazimu haponi kabisa kabisa mbona uniamini kuwa alibakwa na Kai na kupewa mimba 😢😢cjapenda
Asalam alleikum jaman mwenye atakae soma hii comment mwenyez mungu amvushe mwaka 2024 kwenda 2025 imshaalah nawapenda sana wachezaji wa house girl na mashabiki wake
Ameen thuma ameen yarab
Amiin🤲
Na mm Leo wa kwanza cjui like zinakazi Gani na mm nataka nyingi nyingi kidogo
Kazi nzuri sana nawatakia kila la hery tuvuke mwaka salama salmini inshallah na hizi siku zilizo baki mungu atujalie tuzimalize salama inshallah mungu atujalie sote watazamaji wenzangu 🤲🙏🤲🙏💯❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Me kend ananiuzi jaman mwachen awe chiz kwanza kabisa bibi zuu na mzum wa mama shida uje umsaidie kai❤❤❤
Kipala mterezo anamke mzuri❤❤❤
Sana mashaallah
Sana kadada karembo sana sana❤
Wao leo nimewai mapema naomba like jamani wapenzi na mungu atawabaliki 🙏🏾
Jaman tunao taman Mama candy antokee candy na kumfanya aseme ukwel kuhusu iyo mimba yake gonga like
Mwenyezi Mungu akutunzee wewe unaeangalia hii move ❤🎉
Ameen thuma ameen yarabii 🤲🤲🤲kwetu sote inshallah ❤
Amiin🤲❤
@@Mwanamisi-q6y Ameen
Candy mbwa wew nimelia kwa sababu yako ona kai jinsi anatowa machozi nakwambia utalipa kwa hiri😭😭😭
😂😂😂
Safi sana tunakuombea kipara ushinde ❤❤❤🎉🎉
Tunao omba candy awe chiz tena kwa nakosa yake ili ajifunze gonga like
Ata apo ajapona ww unamuona mzima uyo
Hapo alipi dish likeyumba😂😂😂
😂😂😂kweli jmn ajapona vzr 😂
Yani Ata sijui cendy ni mutu Hao ni hibilisi
Wanawake wote wa Team kai niwarembo sana mashaa Allah tabaraka Allah bless you 🙏 muko vizuri
Zuuu kuwa na akilî wew amka toka usingizin
Hi vipenzi Ihope mko poa Nawatakia usiku mwema byee from 🇴🇲🇴🇲🇹🇿 wapi like za 🇧🇮🇰🇪🇸🇦
Na ww py
🇰🇪🇰🇪tuko ndani kabisa
Nakwakopia
Funzo zuri sana kuwa mwepesi kusikia lakin mpole kwa kutenda. Zuu utaama mara ngapi
Kusema kwel candy ananiboa coz hajabadilika kabisaa adhabu ya kua kichaa haijamnyoosha chcht
Huwa mnafikaa saa ngapi hukuu
Acha mdomo nenda zako zuu huna adabu . Mwanzo ulimfanya mumeo mpaka akatwekwa . Angalia usimkose mumeo Tena ukalea mtot mwenyewe 😏😏😏😏😏😏😏😏
Candy unataka wifi naye abakwe kaa wewe iliapate ujauzito acha zako mama.😊
Chiko asiajiliwe kabisaa
Baba tasha wew n jambaz pia ila kiukwel ujatukosea bdo ila hyu mpuuz chiko toa jela malza kwa mikono yko
Aty candy kasema kuna binti ambae hajatumika na binti mwenyewe ni sania walai hadi nikaishiwa nguvu😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Binti wa kudanga
😂😂😂😂
Intact girl 😁😂🤣🙌
Jamen juu ameiziga vzur❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Poleni sana mr tesha kwakati mnao pitia😢😢
Ongereni Sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote ❤❤❤❤❤
Nikama huyo gaidi baba tasha anataka chiko achiliwe akamchukue amuue
Zuuu tuliza mori mbona mnafanya kz asiweze kunywa hata maji ebu kuwa na subr afu kingine chunga ndoa yako, keina pole kibedu uko vzr na keina❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Dadangu zuu msikilize kwanza mumeo😂😂😂
Yaani kuna watu wanakesha you tube 😅😅ila sio mbaya leo na mimi nimewahi acha niwatakie mungu awavushe mwaka salama 🙏
Keina nawe walizwa na huyo chizi😂😂😂...mi anichesh kamwe😊 ati msichana hajatumika hadi sania mwnyw ajishangaa,khaa! Alafu zuu wapenda kua mwepesi wa kuhukumu,wakera😏
Pole sana keina,unawifi muendawazimu,mumeo anakupenda
Kipara mtelezi Leo umepatikana 😢😢
Wa kwanza naomba like zenu
Ila kipara mtelezo ana mke mzuri mashallah 😊❤❤
Pole sana Kay, wanawake wenguine ni mashetani wagombanichi,wanaharibu ndowa za watu
Mapemaaa mambo matamu❤❤❤❤❤
Ganyar kajufung yey hiy barua ushahid tosh
Keina pole kuwa mvumilivu😢 kibendu ddko ana Akili zake n kusudi tu 😢 hivi ashavuruga familia y kina kai😢cmbn busati wanampa ushindi candy 😢
Bibizuu bibizuu🎉 nmekuita mara gapi komesha keddy achane na familia ya Kai na zuu
Candy no oneeee umewakilisha vizuri sana zaid ya sana
Keinà na ww ushakuwa chiz unalia kisa kend hi 😂😂😂
KAZI nzuri ongereni Wana busati TV Joseph nzuma from Kenya ❤❤❤❤
Kipara mtelezo unamke mzuri mashaallah
sema zuu na ww hufikirii
Kibendu umeamini kama NTU akiwa chizi ata akipona,arudii kuwa na aquili timamu,kuanini uhamini kama Kennedy anamuongopeya Key ujauzito ni WA Key,,kkkk kutoka Moçambique província de cabo Delgado Distrito de Macomia 🇲🇿💯👏🎉🇲🇿💯 nawapenda wote ❤
Woyee nmewasli team strong mapema ndio best
Jamani tunaomba kwa dhati mtoe muv Kila cku
Amina nawe piy2025🎉🎉🎉
Kumbe wewe zuri Akili mbovu kabisaa yani wewe huyo candy bado hujamzoweya to...
Wew nyumba ya kipara nzuri jmn
Mke wa kipara mzur mashaallah
Sasa sania ajawai kutumia kweli candy ajapona uchizi wake😂😂😂😂 ety msichana ajatumika nimecheka duh😂😂😂😂😅
Natamani Mr. Kipara ashinde na Chiko asiachiliwe akalionje joto la mahakamani am sure Kipara atashinda!!!
Huyo Chiko afie jela hatutaki kumuona
Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤
Jaman zurii usimlaumu kai anasingiziwaa
Leo namimi nimewai like zangu 🎉🎉
Wa kwanza jamn ishatoka naomben like
Candy anasumbua simchezo😂😂
Nice movie ❤❤❤
Nilikua nimeboeka afadhal sasa 😂❤
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
Tunao penda Kuona familia ya matha ikiwa na furaha like hapa tafazari tuwaombee mama ake awe na furaha
Kuna matha humu
Kwan bibiake zuu mizimu yake haifanyi kazi jaman si atatue huu mgogoro wa Kai na zuu😢😢
Natamani nimzabue zuu kofi moja mpk akili ikae sawa mfyuuu
We zuri leo umekosa adabu kabisa
Zuuh😢 usimuhukum MTU BILA kufatilia jambo tuliz jaziba nautafalal naufatilie sio hivyo mumeo Kai hawez Kufanya kitu kam hicho
Bibi zuuh mwabia basi Najua unaelew Kai hawez kufany hivyo.
Keina kavaa shati la kai😂😂
😂😂😂
Zuuu musikilize mpezio 21:24
Zuu we hujielewi
Hongera🎉🎉
Zuu punguza jazba kai anakupenda
Rule no 1 ukipata mkeo analia mpee hug kwanza ndo uanze kumuongelesha😂😂😂 sasa kibendu acha ufala😂😂😂
Wew ulikaa na kay mda ganii wew
leo nimesheka😂😂😂😂
Zuu punguza wivuu,ulifanya akashikwa na akateswa juu Yako Saai umeazda tena
Zuu nawe humzoei candy wataka kuharibu ndoa yako bure ❤❤❤
Wee zuuu unaboo na hizo hasira zako za kipuuzi,, si ufikirie kwanza
Assalam alaykumu walhama tullahiwa barakatuh!
Bibi Zuu! Mizimu yako inakazi gani mbona Candy! Kibendu wanareta utanikwenye Ndoa ya Kay na Zuu mispendi rawama za Candy anavyo retaujinga kirasiku timbwiri timbwiri kwa Kay
hatupendi kama masha biki
Naipenda movie hii kend anathema nafasi yake vzr lkn hongereen wote
Uyu anaejiita baba Kai awezi kuubeba ubaba kazi yake kusikiliza na kukodoa macho tu ata kusimama kama baba awezi uyo ndio anaearibu uusika
Jamani kipara mtelezo 😢😢wakenya wenzangu hope mko poa...
Much love from Kenya ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😮😮
Mbn hamn sauti😊
Kibendu kama umejua kendi miyeyusho ulichukua uwamuzi wa Nini wa kwenda Kwa Kai bila ata kuchunguza na wewe dishi lako kama la kendi tu
Candy vipi 😅😅😅
Mnshallah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amba kwel mwenda wazimu hua aponi kbsa nimeamini et sania ni bikra dhuuu huyo ngo'nde alieka puani ad akashika mimba ikatoka😂😂😂😂😂😂
Uwiiii,hicho kiluga jamani vipi😂😂 bibi na zuu wanabonga lugha nisiyoelewa mie,,babake tasha anaakili nyingi ,,🤔🤔ndo karithi tasha
Wakwanza kutoka🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🔥🔥🔥♥️♥️♥️