BABA AMCHOMA MKUKI MARA 4 MTOTO WAKE ARUSHA KISA WIVU WA MAPENZI - MKE AKIMBIA KUNUSURU MAISHA YAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 65

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 3 часа назад +2

    Daahhhh 😮 uyo mbaba mkatili pole sana mdogo wangu ishallah utapowa

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 6 часов назад +6

    Pole sana Mtoto mzuri

  • @LekumoMedy
    @LekumoMedy 3 часа назад +2

    Pole sana mdogo wangu pia Sheria ifanye kazi kwa huyo mtuhumiwa bila kujali yeye ni nani maana mapolisi wengi wamekuwa ni watu wa kulamba mikono pasipo kujali wathirika

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 5 часов назад +4

    Huyo kashageuka fisi auliwe tu selikali msiwachekee wt kama hawa hafai katk jamii

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 7 часов назад +4

    Huyo baba analaana. Wakumuua maana akirudi atawamaliza family

  • @Magreth-f2j
    @Magreth-f2j 5 часов назад +3

    Pole mjukuu wangu huyo ni shetani mkubwa aishie huko huko

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 3 часа назад +1

    Dah huu ni ukatiri uliopiliza Yaani mtoto huyu anafanyiwa ukatili kiasi hichi,😢😢aInasikitisha sana

  • @khadijahamisi5561
    @khadijahamisi5561 7 часов назад +5

    Ukiona mwanaume mtata tokeni rudini kwenu unapingwa unavumilia ww mama mbona unajiweza ujazeeka san acha hayo mambo mara yapili anakuuwa mm nimekaa hapa

  • @josephmolle
    @josephmolle 4 часа назад +1

    Uyo mwanaume kizazi katili sana mungu tusaidie😢😢😢😢

  • @sophiakipeto4436
    @sophiakipeto4436 3 часа назад +1

    Daah pole mtot mzuri Mwenyezi Mungu akuponye

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 часов назад +1

    Yani huyo baba mkatili kumshukuru Mungu ajamuua. Allhamdulillah. Allah akuponye mtoto mzuri

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 7 часов назад +3

    😢😢😢jamani huyo m'baba ataua watoto uwiiii

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 7 часов назад +2

    Wallah Dunia ya Sasa ni kijiji 😢😢

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 часов назад +2

    Subuhanallah. Allahu akibarr....huyo chizi ni wakufungwa maisha nasiwakutolewatena huyo akitolewa anauwa huyo. ,,polic msitoe watu hovyohuvyo angalieni na tukio alilofanya

  • @gracephilemon4325
    @gracephilemon4325 5 часов назад +2

    Sasa mtu kama huyo polisi wanamuachiaje jamani

  • @vero57
    @vero57 6 часов назад +2

    UTASIKIA KAPEWA MZAMANA!!!

  • @AnnaMgala-n6g
    @AnnaMgala-n6g 4 часа назад +1

    Tatizo la wanawake wengi tunavumilia visinvovumilika sijui kwann ushaona kila mala anakupiga bad tu unaendelea kuishi nae

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 5 часов назад +1

    Mama Wachana na huyo mbaba atakumaliza na watoto wako muache huyo mbaba kabisa

  • @ChausikuAli
    @ChausikuAli 5 часов назад +1

    Mtihan huyo ni baba mzazi au wa kambo pole mtoto na mama

  • @Magreth-f2j
    @Magreth-f2j 5 часов назад +1

    Huyu ni muaji mkuu afie huko hakuna kutoka afie jamani

  • @EmmanuelPanga-d8q
    @EmmanuelPanga-d8q 3 часа назад

    Huyo baba hanaakili kabisa na hana maan kwenye hii Dunia afilie jelaaa

  • @chellususnkungu4333
    @chellususnkungu4333 7 часов назад +1

    kawaida matukio nchi yetu kama haya yanachukuliwa pow.lakini ingekuwa kuna maslahi kwa wakubwa ungeona dunia inarindima.wajibu hapa kwetu mpaka upige magoti
    .

  • @UpendoEliya-i7l
    @UpendoEliya-i7l 2 часа назад

    Eti huyu Mama ana umri wa miaka 36 lakini anaonekana ni mzee wa 56+!! Kweli mateso au shida ni mbaya sana 😂😂 nacheka km mazuri 😂😂😂😂😂!! Dada achana na huyo kichaa atakuuwa wanao wote. Pombe na Bangi hizo.

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 5 часов назад +1

    Pole sn mwanangu

  • @HamisisaiddyMkwabi
    @HamisisaiddyMkwabi 3 часа назад

    Huyo achukuliwe hatua kali jamaniii

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586 Час назад

    Oooh jmn huyu baba ni kichaa huyu mtoto kakosanini

  • @modestaulambale606
    @modestaulambale606 7 часов назад +1

    POLEEEE MWANANGU MZURI UTAPONA, POLEEEEEEE

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 3 часа назад

    Likachomwe hadharani,litauwa familia

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 4 часа назад

    Masikini😢😢

  • @wiliame.mtaita5323
    @wiliame.mtaita5323 7 часов назад +2

    Hii ni hatari

  • @aby21111
    @aby21111 4 часа назад

    Hapa US iko jela with bouncers kazi yao kupiga hi wanamume anapiga wanawake Yao Bouncers nasema fight me if you are a man.

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 5 часов назад +1

    Miaka 36 kashazeeka mama wawatu kwa mateso 😢

    • @OmanOman-bx5du
      @OmanOman-bx5du 3 часа назад

      Ndonasha ngaa kama amiaka amsin mma wawatu

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 2 часа назад

    Najisikia vibaya mmmmmm daaaa

  • @verombwambo3703
    @verombwambo3703 5 часов назад +1

    Uyo baba wampige risasi mapema

    • @UpendoEliya-i7l
      @UpendoEliya-i7l 4 часа назад

      @@verombwambo3703 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @verombwambo3703
      @verombwambo3703 4 часа назад

      @UpendoEliya-i7l yes kuliko aje alete asara kubwa Bora wamtangulize yeye mapema

  • @wemakalama6458
    @wemakalama6458 7 часов назад +1

    SubhanaAllah mhh dunia hii , mpeni ilinzi huyo mom.😢😢😢

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 7 часов назад +1

    Asa mtt ahusika nn jamani

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 6 часов назад +2

    HUYO MME NI MCHAWI
    SERIKALI MKAMATENI HUYO AFUNGWE MKIMWACHIA ATAUA

  • @lovemichael-j9j
    @lovemichael-j9j 59 минут назад

    uyu bb afungw miez nane na azabu za kutosh ili ajielew

  • @JahedaSalmin
    @JahedaSalmin 6 часов назад

    Jamani pore sana

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 4 часа назад

    Waziri Gwajima yupo wapi ?????

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 3 часа назад

    Na yeye achomwe aone maumivu na yye

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 4 часа назад

    Kweli wanaume tunawazeesha wanawake kwa matatizo Miami 36 unaonekana mzee shauri ya manyanyaso masikini achana nae atakuja kukuuwa

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 часа назад

      Umeona ee maana mimi nimeshangaa alivotaja hiyo miaka tunalingana na mimi kizee cha miaka 49

  • @AthumanyMvula
    @AthumanyMvula 7 часов назад +1

    Sa mtoto kahusikaje hapo

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 6 часов назад

    MUTUKAMAHUYO AKASHIKWE NA APEWEKIFUNGO CHAMAISHA
    NAWEWE MAMA ACHANA NA MUMEKAMA HUYO SHETANI MKUBWA

  • @christinamatem2336
    @christinamatem2336 2 часа назад

    Uvumilivu mwingine ni ujinga , wewe mama swali la kujiuliza huyo mwanao alikuwa na kosa gani? Hadi afanyiwe ukatili kama huu? ashukuriwe malaika wa zamu...

  • @sishamusic
    @sishamusic 6 часов назад

    daaah😢

  • @mkombozsanga
    @mkombozsanga 7 часов назад

    😢😢😢

  • @AthumanyMvula
    @AthumanyMvula 7 часов назад

    M ningekua jirani wa huyo jamaa wangekuta nishamkata mikono mtu muuwaji mnamwangaliat

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 5 часов назад +1

    Maskini, Mungu tutazame kwa huruma yako.

  • @joshuakinabo6861
    @joshuakinabo6861 6 часов назад

    Huyoo ni mpumbavu kabisaaa sasa wivu wa kimapenzi unaingiaje

  • @RechoMzava-gt7so
    @RechoMzava-gt7so 7 часов назад +1

    Huyo ni shetani

  • @UpendoEliya-i7l
    @UpendoEliya-i7l 7 часов назад +1

    Sasa mtoto amehusikaje na ugomvi wa wazazi??

    • @BarakaKusalula
      @BarakaKusalula 3 часа назад +1

      Yaani inashangaza sana Ugomvi wa mama anahamishia kwa mtoto,Imeniuma sana😢😢😢

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 часа назад +1

      Atakuja kuwauwa watoto jamani watenganisheni wakubwa wa baraza anatesa watt sasa watakuja kumpenda kweli huyo baba fanyeni kitu ataondoka na roho ya mtu huyo kama si mama mtu ni watt