MWILI wa MAREHEMU STAR wa ARUSHA ULIOTEKWA na MKENYA, MAHAKAMA YAAMURU UKABIDHIWE kwa MKEWE wa NDOA!
HTML-код
- Опубликовано: 22 дек 2024
- MWILI wa MAREHEMU STAR wa ARUSHA ULIOTEKWA na MKENYA, MAHAKAMA YAAMURU UKABIDHIWE kwa MKEWE wa NDOA!
Mahakama Ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Imeagiza mke wa Allani Mkenda Allan Manelu apewe mwili wa marehemu mumewe ambao awali ulikuwa ukigombewa na Carolina Mungai akidai pia kuwa ni mume wake wa ndoa..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Asanten vyombo vya habari kwa kupaaza sauti sasa serekali kazi kwenu haki ya huyu mama ipatikane
Nakupenda muandishi Msomi Allah akuzidishie maana bila ya hii habari kuipazia sauti huyu dada angedhulumiwa haki yake
Mungu tunae mtumikia sio wa viwango vya chini tuna mtumkkia Mungu wa viwango vya juuu anafanya njia pasipo na njia Ameen
Barikiwa dear ni mungu afanyi mchezo
Na uyu Mungu pia anajidai kuwa ni mume wa wajane na papa wa yatima👏
Umenitoa machozi wewe Dada kweli umepitia sana mitihani mikubwa pole sana
Amen Amen naikawe hivyo. Asante Mungu mtetezi wa wajane halali. Hati ya nyumba ifuate hao wandugu wamrudishie huyu dada hati ya nyumbaa!!! Kisha ajitokeze mtaalam wa macho akutibu macho yaone tena! Mungu ni mwema sana.
We jamaa unajua sana aiseee ondoka hapo Global unachelewa we sio wakutangaza online tv washukuru tu kwa muda wote mliokuwa pamoja tembea bro muda wako ndio huu
Hivo vyombo vya habari vikitumika vizur vinasaidia sna kuwezesha watu kupata haki. Hongera Kolumbaz
Serekalini Mungu awabariki kwa kuitenda haki kwa uyu mjane na wanae, Mungu usimuache uyu mjene mpk hapewe na hati yake ili maisha ya watoto yasiyumbe🙏🙏🙏🙏🙏
Hatimae haki imetendeka. Alhamdulilah. Hivi vimada vikishaiba waume zetu hujiona wana haki kuliko sisi wana ndoa. Watabakia tu kuwa vimada na sisi wake halali. Hata MMungu yupo pamoja nasi atatusimamia.
Hamna kinachoshindikana kwa mungu 👏👏
Leo naipongez serikal endeleen kump saport huy mjane
Asante Mungu mahakama za Arusha ziko vizuri mno hutenda haki siku zote.
Ashukururiwe mungu 🙏🙏dada kapata haki ya kumzika mumewe lile lichangu limeona ht aibu kuja mahakamani ☹️☹️☹️
Akikabidhiwa mwil wa mume wake,,, nahak ikatendeka kwa ujumla,,,, dada wawatu atakua na ahuen au kupona kabisa macho kwauwezo wa alah
.Mungu umejidhihirisha kuwa Baba wa yatima na Msaada Kwa wajane...iwe heri Kwa watz
Safi sana na hati yake ya nyumba apewe
Dada nenda kwa mtumishi sumbe ukitoka msibani Mungu atakuponya hayo macho
Asante mungu umemckia kilio chake mama na wanae 🙏🙏😭
Daaahhh stress za mapenz mbaya nimelia daahh
Haki ya sheria kwa watanzania,ni superb. Ingukua kule Kwetu Kenya, hongo ingetembea kwa jaji na hi Kevin ingeamliwa vingine. Heko kwenu TZ. Heshima sana , na mbarikiwe sana sasa. Endeleeni kuwa walinda wanyonge, kama huyu dada.
Ishu ni mwandishi kasaidia kuweka wazi kila kitu. Rushwa haina mipaka.
Mungu atusamee dunia ii kila mtu anapita jamn tuache roo mbaya
Wanaume ni nyoko kweli. Haya yote ni matunda ya matendo ya marehemu.
Nawashukuru mawakili na mahakama kuwatetea mjane na yatima,Mungu Ni Mwema kila wakati
Mwandishi msomi umehusika sana kumsaidia huyu dada mumsimiamie na mumsaidie huyu mama
Kweli kabisa mwandishi msomi kazi yako nzurinzuri sana
Hyo mama atoe nahizo hti zamwenzie.Mwizi mkubwa hyo mume uchukue marehemu uchukue wewe nibinadamu gni,alafu mara nyingi ndugu wamwanaume niwanafiki sana.Yamenikuta ndio maana naelewa uchungu wahyo mwanke mwenzangu.Serikali yamama ikaze sheria zakina mama kwaukubwa wake.wanawake tunaonewa sana jmni hswa kwenye ykutoka kwamume.Ndugu wamume wamekuwa wanafiki wakubwa hawajali hta uzao wao.mungu akubariki sana
@@maryamhannif897 kwa kwel
Asante Sana mwandishi msomi mwenyezi mungu akupe maisha marefu zaidi hapa Duniani Mimi hukufatilia sana Asante Sana kwa moyo wako na kusaidia jamii
Kwakweri Msomi asante
Mungu ataponya. Huyu Dada jina la Yesu
Yaan jamn dunia hii! Mpka choz limenitoka jaman mungu akupe nguvu dada ndoa hizii
Wow jomon nmefurah yule mkenya ni shetan yule wanawake tupendane jomon
Tupendane 🤗🤗
Mashaallah pole dada kila ilio haki yako utaipata
Tunashukuru Kwa hatua hii,pia ile hati yake ya mauziano ya hicho kiwanja msaidie aipate huyo wifi ake sio kabisa
Congratulations Global Tv👏👏👍🏽💯 Mwenyezi Mungu Awape Nguvu 🤲 🤲 😓
Ndugu wa huyu dada mpelekeni maombi ndugu yenu huo upofu ni wa kutupiwa hakika huyo ni mzima kabisa macho yake hana sukuri wala bresha nendeni maombi
Fair plate on you journalist you real help and support that poor woman to get justice
Asante Mungu kwa hili
Ndugu ndugu.shame on you!!! Inaonekana huyo mkenya ana hela hivyo sasa lilian mama wa watu na watoto hawana dhamani kwenu tena
Mungu mkubwa nautashinda dada mume wako utamzika insha'Allah
Mungu nakupenda sana wewe ni wa haki machozi yetu wewe wayafuta
Asante Mungu
Maskini dad wa watu kapata ulemavu kwa sababu ya mapenzi😓😥mungu akupiganie
Wee kumbe ilikuwaj
@@Zainab-sq1tc Baada yavkusikia mumewake ana huyo mke mwingine akapata pressure ndio akapofuka macho😓😓wanaume hawana huruma hawa
@@aishajuma18 jomon ss sijui atapunzkaje kwa aman wakat huk ajaacha aman
@@aishajuma18 maskini pole jameni wanaume wanatupa ulemavu ,, lakini nashukuru mungu Kwa hii mahakama kusimama naye asante mungu
@@aishajuma18 masikin😭😭😭😭😭😭 mungu amusaidie🤗💔
Hongera Mahakama imetenda Haki kwa kumkadhi Mwili Mke Halali wa Marehemu.
Jamanii nimelia sana pole family
Hivi mm najiulizaga nikwann ndugu wapo tayari kumtenga mke wa ndoa na kumkumbatia hawara wa ndugu yao jamani 😢😢😢😢😢😢
Kweli kunawanawaka wanapenda kwa vyote Mme wake alimufanyiya bado analiliya amuzike Mme wake eeeh maman yangu uko njasiri dans mungu akulinde maman Yangu
Mungu ni mwemaaa sifa na utukufu ni kwake
Afie mbali shetani huyo akatafute mume wake wa halali,ndugu Sasa cjui sura zenu mtaweka wapi,Ila wanaume nyieee Mungu anawaona ushamsababishia dada wa watu ulemavu bado mpaka ck unakufa unamsababishia mahangaiko kwa ajili ya matendo yako dah,Mungu awatetee.
Tuanze na vibali vya mchepuko huyo kuishi ndani ya nchi.... Asije akawa anaanzisha ugomvi wa mawe wakati anaishi nyumba ya vioo. Hongera familia na poleni Mungu akawafariji ktk hili.
Wakili amesema kua huyo mchepuko hajazuia Mwili,ni ndugu wa marehemu ,alafu musiwe na ubinafsi Sana,mbona asilaumiwe marehemu kwa kuitelekeza familia na kuhamia kwa kimada?
@@christinelihavi4068 Hilo in angalizo tu dear wala is tuhuma.
Ila hawa wanaumee mhhhh!!ndio chanzo Cha matatizo
JAMANI HUYU MAMA APELEKWE KIBOSHO HOSP ATAPATA MATIBABU YA MACHO. NINA NDUGU YANGU ALIKUWA KAMA YEYE NA SASA AMEPONA
Sasa hawara anatakaje kumzika mume wa mtu ??? Hizi imani zingine jamani duh 😭😭😭😭😭
Nashangaa katoa wapi ujasiri huo
@@sarahgaula2220 anasema eti ndoa yake ni serikali
Pengine hata hayo macho lilimroga
Haswaa
Kabisa
Mungu awatie nguvu hiyo familia jamani
Huyu mkenya alifunga ndoa ya serikali ili apate kukaa hapa tz afanye umiliki wake,
Katika maisha ukimtegemea mungu hakuna kinachoshindikana kiukweli pole sana dadaangu
Asante Yesu
MUNGU ni MKUU,hakika ww mwanamke wa kikenya izo pesa unazojidai unazo sheria itakumaliza na hai mawf wenye tamaa wanawake msio na huruma mnamkana wifi yenu wa halali na watoto kisa vijicent vya mkenya, MUNGU atawaumbua
Hiyo mindugu ni njaa ilikuwa ikiwasumbua,Mungu atashughulika nayo.
Yaan mipumvavu wote hawana hata washauri 😢
Maashaallah. Safi sana
Maskinnn daaah wanaume shikeni adabu ,mnaleta majanga kisa uasherati wenu
Wakili wa Lily ni mtu wa Mungu.
Yaani mindugu yamume inatamaa MUNGU kakushindia dada 🙏🏾
Caroline be carefully dear sister life is too short
Ila wanaume mgekuwa mnajuwa umnavyo tangulia mbele za haki huku nyuma wake zenu wanateseka sijui ingekuwaje. Hasa wachaga sijui kwanini mnakuwa na tamaa za mali . Mume amekufa mali zinabaki kuwa za mke . Lakini ndugu sijui kwanini mnakuwaga na tamaa za hovyo!! Wachaga badilikeni wapumbavu wa akili nyie
Wachaga hawajui kubadilika..wao wanachokijua ni kuumiza mioyo ya watu..wachaga wachaga
Sasa hapo ni mchaga au mkenya...pumbavuuu
Mi siwapendi wachaga
@@abigaelmassamu2970 kama wewe mchaga baki nalo wapumbavu nyie. Mmekuwa na tamaa za mali za mjane kama nyie hamtakufa wajinga kabisa
@@doricemtungi277 hata sisi hatukupendi
Hongera msomi,huyo mkenya afuatiliwe kwa undani arudishe kill kitu cha Mareham kwaajili ya watoto wake,na huyo mkenya achunguzwe anafanya kazi gani haha tz
Huyo dd atakuwa kaungana na huyo wa kenya kumuuwa ndg yake
Minahisi hata hayo macho ni mke mwenzie ndoalie mloga
Mkikuyu wa kenya ni wachanga wa tanzania tabia wote ni sawa mshenzi arudi leo kenya
Huyo hawara anaeng'ang'ania mwili wa Marehemu,awekwe ndani ili iwe fundisho kwa wengine,wanaodhulumu Mali ya yatima na mjane
Mkikuyu shikamoo corolin munga,,Pole mama haiki haitozama
Hongera sana muandish Allah akuzidishie🤗🤗😥💔
Kenya ndio sisi
Ni mkenya mkikuyu chenza na kikuyu mtaibiwa mpaka nynyi wenyewe mkauzwe.ongopa mtu anaitwa kikuyu
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.huyo malaya wa kenya arudishwe kwao masaa 24.pili ninyi ndugu wa star acheni dhambi ya.dhuluma.Msitafute laana kwa vizazi vyenu
Nimefurahi sana kusikia uwamuzi wa mahakama,huyu caroline arudi kwao akatafute bwana huko,mwizi wa bwana na mwizi wa maiti??lo!jameni wakikuyu.
Yaani wanawake wakikuyu TU ,. Ata huenda aliua huyo mwanaume kisa mali
haki hipatikane jmn hadi nyumba yake hakabidhiwe mke na watto wapo ndg hawana nafasi hangekuwa hajaza sawa
Safi sanaaa msomi
Muandishi msomii 👏👏👏👏👏story yetu ya Bayoo imeshia wp?
Jamani kutakuwa na kitu sio bule mtoto wa mwanajeshi
Nataman kumuona huyo shetani anaejiita Caroline mwizi wa wanaume za watu shetani wa mguu mmoja hatimae amedondokea pua
Kuna watu akili hawana asa utandawazi wote huu kung'ania Mali za marehemu Aliyakuwa anawatoto na mke yupo Hai kweli jamani si niutahira uo,ndugu nao ni akili hawana damu yenu ipo acheni hira
Huyo mama inaonekana na yeye mjanja mjanja maana hao wapambe wenyewe ni balaa mtaani wanajulikana
Adui yako hatoki mbali... unaonekana unamfahamu na unafuraia matatizo yake
Big up muandish msomi
Mdau wa Sheria na harakati, nimefurahi kuona Mama huyu ametendewa haki na Mahakama
Shukraan za dhati na pongezi kwako kolumba
Afazali jmn ,michepuko cjui inajikutaga nani?
Mitihani jamani Poleni
mwanamme malaya mpka unafia dhambini ,kusumbua mke na watoto,alafu ulivyo shetani wa mguu mmoja unataka kuwanyanga mali,hata kama uliongezea kwaajiri ya umalaya wako ndo imekula kwako rudi kwenu kenya pumbafu,
WAKILI
EFRAIM KISANGA HONGERA. NAKUKUMBUKA MAKUMIRA UNIVERSITY
Hakika Mungu amesikia kilio chako dada
Dear mume wangu meshack usijichanganye ukisepa nikiwa hai ukifa walaaaaa wakuzike tu beeiiibeeee sio habari zangu
🤣🤣
Wakikuyu muko na laana huruma basi Kwa dada wa watu
Pole sana mama dah
Nakuombea kheri Kolumba le babas ,
Mungu ni mkubwa Sana pole dada yangu
Mama Samia amesema haki ufwate
Manshallah
Mungu mkubwa
Jamani hii tabia imeenea sana haswa kwa wachaga wamezoea kuwanyanyasa wajane na watoto wao na kuwanyanganya Mali walizoachiwa naomba serikali ingilie hili haswa kwa wachaga
Tafuta kazi ufanye achana na wachaga 😒
Sijui wale wa marehemu bilionea msuya wamefikia wapi
@@florencemeza6540 ata mim nimewazaaaa ivo😆😆😆😆
Vyombo vya Dola Ni wema ,wanatetea wanyonge
Hawa ndugu mbona hayana huruma
Michepuko sijui wanamatatizo gani
Dunia hii .mh kuwa uyaone
Hongera bro hunaga mbambamba