Mungu awasaidie hawa watoto wasijevuta bangi tu jamani wachekeshe wasome pia wasifuate makundi ya ajabu wazazi wao jamani wasaidieni kuwasisitiza masomo maana cha arusha sio kitu kizuri jamani
Mimi naomba tu arusha iwe nchi ambao ina jitegee mea mwenyewe maana nitofauti na mikoa mingi ya tz kwamfano wana kiswahili chao wana mavazi yao wana utembeaji wao yani wako tofaut sana😂😂😂😂😂😂
Hii swaga ni kutokana na umaskini.... kuvaa nguo za mitumba za bei rahis ili kujisitiri.... iwe kubwa au ndogo ili mradi nguo.... pia madogo kuvaa nguo na viatu vya kaka zao ili kujisitiri.... pia wizi .... unapoiba hujali saizi yako chochote unachokutana nacho unavaa icho icho. Hakuna cha swaga la arusha uo ni wizi na umaskini
05.29 acha kujidai wewe n mtu wa Mungu sana... jaribu kuangalia hapo kwenye hiyo dakika. Ni mtoto mdogo tu lakini amejibu swali vzuri sana. Tambua hiyo ni tamaduni ya Arusha... hayo ndo maisha halisi ya huko... waombee tu wasijebadilika
Huyo anaejiita dingo kiusema ukweli anaweza sana salute kwake sana
Someone need to support this kids to achieve their dream.wanajituma kuliko umri wao
Ikifika wakati wa Mungu Mungu lazima apewe heshima zake! Hapo nimependa dogo
Yan cha kusikitisha unakuta wazaz wao wanawasaport watoto wao kwenye upumbav kama huu jaman😢😢😢😢😢kesho yao watoto ndio ishapotea hvyo maskin🙌🙌🙌
"Tumewaachia wafanye music naona hawafanyi, sisi tumekuja kuziba gap"
Nimeipenda hi
Hio kiatu akijikwaa tejo anaenda angukia bongonyoo !! 😂😂😂Sema ni yente
Aaaah chuga kwetu penda sn waoooooh tunajua bembeleza acha
Napenda sana Rafudhi ya chuga! Big up machalii
Nice ...mko vizuri machalii wa chuga
Harakati za kiroho mbaya ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ nmeikubali ki fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mthu wangu i say muko juu...kama dhege
Hahahaha eti ni kama unaskia mziki kila saaa😀😀😃😃😆😀
Wazaz mnashot mnaweza kuona ni ufahali kumbe mbele hakuna kitu,more mtoto ktk njia za mungu hata akikua hataiacha
Mungu awasaidie hawa watoto wasijevuta bangi tu jamani wachekeshe wasome pia wasifuate makundi ya ajabu wazazi wao jamani wasaidieni kuwasisitiza masomo maana cha arusha sio kitu kizuri jamani
Ubabe na unyamaaaa ,yani ni kama unasikia muziki kila saa unajikuta unadunda sana🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
Madogo interview wamejibu maswali fresh
Et io style ya kunesanesa ni kama unasikia mziki muda wote🤣🤣🤣🙌
Hahaaaa
Kitu hiyo🎉
mim ao watoto wana nifurahishaga sana😂😂😂
tunawachangamsha maraia😂😂😂😂💃
Hahaha ni wanoma
Ongera sana wandogo zangu
Ningekuwa nakaa Arusha nahisi muda wote ningekuwa nacheka tu, maana watu wote wa huko ni comedian 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Weldone Tanzania 🇹🇿 for bringing up comedy kids may god bless
Knvcxz
Hongereni watoto
😂😂😂😂😂😂ila Arusha .Hii nayo kazi eti tunagusa nae harakati😂😂😂
Harakati za kiroho Mbaya😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣chuga chuga chuga naipendaa sana
Harakati za kiroho mbaya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🌹🌹
Anaesema dogo Lee anajb maswal kijanja en as if unaweza kusema n m2 mzma tujuane hpa
Watoto hawa wana chekesha jamani 😁😁
Daaaa.Machaliii ya.R.
Babaa akooo ni mda ote unaskia ma music
Machali zangu nikiwaona nitawabarik li jero
Lamama. Lijero halitoshi😂😂😂
Wako vizuri sana kwenye comed
Wangekua wanya Rwanda wangewabadilishia maisha wabadilishie maish please
Ukuvaa ile kiatu mud wote unasikia dance dance muda wote babaake
Nawakubal xana machalii zangu!!
Kazeni madogo mtafika mbali mnajua kinaa
Arusha sio mkoa ni nchi asee eroo, maana matabia za raia ake hazifananii na za sehemu ooote huku danta ani maduniani 😂😂😂
Madogo mtafika mbali
Ni kama unasikia mzik 😀😀
Nimewapenda,, nice
Sana sanaaaa wanang wa fyade
Arusha na mm Nairooo kila kitu ni Chugareeee
Big up!!
Chuga Mko poa apo arusha mtaa wetu wa waswaga balaa
chuga sinako tu 😂😂😂😂😂 kudadeki chuga watu hawana kwere
Ni noma sana jombaa
Nawakubali sana hawa machalii
Hawa watoto wamenishinda Tabia yani ni wajanja sana ,,wadogo lakni hatari
Ndugu zangu wa arusha kwani ni bange aina gani mnayo vuta kila kijitahidi kuvuta bado siwafikii mara bibi wa chuga ila kila kitu arusha
Cha arusha
Ingia chuga utazikuta
Wamedamsh sana wachekrshaj yaan mafogo ninoma hhhh
KILA jambo na wakati wake, bado wapo kwenye kujitafuta
Hatariiii
Pongez xana kwa hao machal was kaskazn
majabali manne
Mimi naomba tu arusha iwe nchi ambao ina jitegee mea mwenyewe maana nitofauti na mikoa mingi ya tz kwamfano wana kiswahili chao wana mavazi yao wana utembeaji wao yani wako tofaut sana😂😂😂😂😂😂
Mmmh mawaza yako
Sasa siutakufa ww maana kuishangilia Simba itqkubidi utafute passport
Chugaaaaa ni noma xanaaa
Hizi bangi mbaya sana
Nawaona mbali Sana machali
Kutembea na toi Kaa bastora ni kinyume na sheria
Mnatufurahisha Sana akina dogo.
Safiii
Hii swaga ni kutokana na umaskini.... kuvaa nguo za mitumba za bei rahis ili kujisitiri.... iwe kubwa au ndogo ili mradi nguo.... pia madogo kuvaa nguo na viatu vya kaka zao ili kujisitiri.... pia wizi .... unapoiba hujali saizi yako chochote unachokutana nacho unavaa icho icho. Hakuna cha swaga la arusha uo ni wizi na umaskini
Amna ndugu yangu me nmkulia Arusha mavazi ndo hivo asili iliyojengeka
Arusha shikamoni haaaa
Wako viziri vijana
Bongo Tanzania 🇹🇿
Swagureee
Tunakesha
Wa toto wa chuga tujuane🇹🇿🧐
😁😁😁😁vijana wanatrend kwa kuvaa hivi khaaaaa
Ubunifu😂
@@haridyhillaryndembo1946 😆😆😆
Barabara hiyo wakati wa mvua tope lake ni utata, jengeni barabara na vibanda vibovu vichafu vibomolewe😡
ARUSHA panatope mbaya na vumbi jau
Chuga noma Sana 🤣🤣
Nakubalii
Wanazngumza kama watu wa nairobi
Bien
Khaaa! Bongo sihamil
Hii n moto
Wametisha bonge labuti
Saf sana
Yechu saana
nawapend wanavyo cheza
Leonia kasi
Chuga ipo nchi gani
Pakistan
😀😀😀 arusha bhana
Kizazi kilichopotoka hakiwezi kumcha Mungu. Mungu saidia kizazi hiki jehanamu panatisha.
05.29 acha kujidai wewe n mtu wa Mungu sana... jaribu kuangalia hapo kwenye hiyo dakika. Ni mtoto mdogo tu lakini amejibu swali vzuri sana. Tambua hiyo ni tamaduni ya Arusha... hayo ndo maisha halisi ya huko... waombee tu wasijebadilika
Hujielew tatz pale mwenzio kasem inapofik wakat wa mungu lazm apewe heshim zake,,,jehanamu utaenda ww
Wewe ndio unawaza uvyo
Acha kuwaletea mdomo mwingi machalii zetu!!!utaliziwa moto
Hi
👍
Aaaaaa dogos wanaua hatarii
Comed tunakesha chuga boy
Mamb
Oy VP mkar
Hawa viumbe dk cyo nyingi watakuwa na nchi yao kutokana na maneno yao
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Hai
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Hahaha swagireee
Oscar hahahahah
Daw yayutia
Hahahahaha
Duuh nma sn
Haha jeje Hilo😂😂😂
Kitu kikizidi havipendezi tena
Ticha karumbo Victoria
Washamba sana!
Watanzania bwana ,, kuwa mchawi sio lazima vibuyu.
Mawasiliano yao..