Oh hallelujah hakika Mungu anavitu vya ajabu vipitavyo uwezo wa kufikiri wa kibinaadami..,,kwa hicho alicho kupa Mungu ukikitumia vizuri utaumiliki utajiri mkubwa..,,kuwa na jitihada binafsi za kuchangamkia fursa unaweza ukatumika kutengeneza matangazo..,,ya tasisi za kiserekali ama taasisi binafsi unaweza tumika kama MC na mengine mengi..,,Mungu akupe mpenyo na nuru katika njia utakayoiendea kulifikia kusudi lake.
Hii ni talent kubwa sana kwenye sanaa ya "Dabi" (kunakilisha sauti kwenye movie) wanahitajika sana atafika mbali sana #Azamtv #DSTV #StarTimes na kwenye animation films wanahitaji sana watu wa haina hii maana ni ngumu sana watoto wenye vipaji vya kuzungumza kwa usahihi kwenye unakilishi sauti.
Dah! Hatar c mtagazaji c muojiwa wote mna vpaji kwakweli mtagazaji sauti ka milad ayo kabisa muhojiwa sauti ka ya mtoto kbs. Talent ka his huwezi pata sehem yyote tofauti na Tanzania
Sio Tanzania tu sema Afrika.Waafrika huwa tunawaza tofauti sana na wenzetu.Huyu angekuwa Ulaya,angeshakula shavu nono kwenye makampuni makubwa ya bidhaa za watoto.
Jamani ndugu Waislamu, hayo hayawasaidii kitu, hisipokuwa kupoteza mda tu Dunia kisha kwenda kujutia huko Akhera. Tuswali swala 5 tumtukuze Allah Asubuhi na jioni na kuswali Nabii Muhammad s.a.w) na kusoma Sana Qur,an. Kosa siyo letu, la wazazi wetu. Hawakutulea kwenye misingi sahihi ya Dini. So! Tuzinduke wenyewe tumrejee Allah.
@@khalifankishki3440 lnshallha pia shukurani kwa ukumbusho lakini hii nayo ni moja ya kufurahi tu afanyi kitu kibaya huyu kwaiyo akuna shida maana siyo jambo baya ndomana naww ukaja kuangalia
Kama umemuelewa huyu jamaa gonga like hapa
Ndio MWANANGU hawa
Like like tumewachoka
@@credo7837 a
Anayetaka tumpe zawadi huyu jamaa like hapa
Poa bana
Huy jamaa analmba pipi kama anakula denda
Huyu jamaa ni hatari, kama umecheka kama Mimi gonga like
Dah huyu jamaa ni hatari jamani
Hii ni kali, bibi wa huyu jamaa hawezi kupoeka, nimecheka
@@winniegeorge3855 cti
Mungu abariki kipaji chako
@@everlinekemunto2700 😂😂😂😂😂
Haha 😀😀Tanzinia nchi ya Aman daah... Kwakwel siwez kuhama kma Unaipenda nchiii gonga like😀💖
Na mm sihami bongo raha sanaaaa
Ivi ata wakisema mhame mtaenda wap nyiee😄
@@al4classic691 tuhame tuende wapi? Tanzania ni paradise
Mimi najuto kuzaliwa Moçambique
Issa kaka mimi ni mkenya ninakuomba tufanye mkataba nawewe ili nipate nafasi au makao niiishi hukohuko niwe rahia. Sio mzaa.
Nimependa Alivo ongea SAUTI ya kawaida mm nilkua najua labda ndo sauti yake kumbe nikipaji chake!! Mungu amsaidie
Mimi pia😂😂
Ahhaaahah
Jamaa kashatoka, bonge wa star
Sanaaaaaa anajua
Kama umecheka kama mm toka kwa jina la yesu! gonga like!
Mshkaji wangu alinibeba kwenye bajaji nilienjoy Sana
😂😂😂😂
Hatari sana
😂😂😂
@@faridaessa7844 yupo vizuri sana
Hhhh kama mm nilitamn nisifike
Kama unaisikia sauti ya MILLARD AYO kwa huyu mtangazaji gonga LIKE
Milard Hayo hayupo hapo co yeye
@@cantonaiddy6042 just like
@@cantonaiddy6042 sio milladayo huyo ni huyohuyo muandishi anaeonekana
Kama umemuona anavyolamba pipi kama mtoto gonga like🤣🤣🤣
Daaa Yani hunaweza sema mtoto jamani 😳😳😂😆
Swahili tivi wamchukuee
Hahahhahaha. Unanichekesha 😂😂
Huyu jamaa kapitiliza yaani nimecheka hadi machozi yamenitoka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ajabu sana,,talanta ajabu kws zote pokea likes kutoka +254
Huyo jamaa ni star tosha apewe vipindi vya televisheni na redio kwa watoto
Kweli kabisa anastahili.
uo ulambaji wa pipi sasa
Kabisaa
😂😂🙈
Sure mwanangu anafaa kabisa😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Jamani niacheni🤣🤣🤣 maskin mbavu zangu nipen like fasta ninYamaze kucheka
Go
Mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣
Kweli tz nchi ya vipaji
Aki ya nani amenicha hoi huyu baba nimempenda Sana 😃😃😃😃😃 much talented
Mwanangu wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👏👏
@@sweetluc2660 kweli
Nimechoka mpakamachozi Jani toka pepo
Kipaji anacho
wote tuliomuombea Apone mwanzo wa clip, maombi yetu yalifika mwishoni wa clip, Mungu mkubwa jamani. nipeni likes 3 tu.
1
Nimecheka. Hadi mbavu zinauma!
jamaa ako sawa tu saaana
@@asiamtatifikolo6477 x
@@asiamtatifikolo6477 Mtatifikolo Iringa moja hiyo Mhehe mwenzangu.
Super talented 👏🏽👏🏽
Kipindi cha kuelimisha watoto wetu please WASAFII 🙏🏽
Safi sana akili mingi wewe
Kabisa. Wasafi wamchukue uyo
Huyu anafaaa sana kufanya sauti za tinga tinga au kirikuu ,watengezaji wa cartoon Tanzania wamuangalie sana baba baraka👍🏻
Real this man is very talented👏👏 I wish to see him in film industry 👏👏🙏
Me am down😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣👍
Tanzania special county,, I love you Tanzania my beautiful country I will never leave you
Hahahaha nakubal
Country not county
Jamaa umetisha, you're a good comedian bro, keep it up.
Daaaaaah I love you ❤ Tanzania🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 jomony I fell joy in my heart 😆😆😆😆 keep going I love you magic man 😅
Mungu amempa kipaji. Akitumie. Bless.
Dah😉
Daah huyu jamaaa nomaaaaa Sana like hapa Kama umemuelewa
Oya wee! Acha utoto basi.
Hahahha jokes tu asee,by the way jamaa ana kipaji cha kipekee sana.
Bonge la kipaji
Toka kwa Jina ya yesu😀😀😀😀
Hahahaaaaaa😂😂😂😂
@@jamilajamila4572 hahahahahahahahaha
Oh hallelujah hakika Mungu anavitu vya ajabu vipitavyo uwezo wa kufikiri wa kibinaadami..,,kwa hicho alicho kupa Mungu ukikitumia vizuri utaumiliki utajiri mkubwa..,,kuwa na jitihada binafsi za kuchangamkia fursa unaweza ukatumika kutengeneza matangazo..,,ya tasisi za kiserekali ama taasisi binafsi unaweza tumika kama MC na mengine mengi..,,Mungu akupe mpenyo na nuru katika njia utakayoiendea kulifikia kusudi lake.
It's true
Hahahaha mmetisha Ayo TV we are the best
Nilikwambia rafik angu unakipaji mama ino maji chumvi ana apriciate Sana hongera
Uyu kak ananichekeshaga sanaa daah mungu amuongoze vyema na mafanikio tele🙏🙏😍
Tugonge like twende sawa kwa uyu jamaa😁😁
Daaah nimecheka ad machoz... Hongera kwa kipaji kaka
Hivi hizi like mnazoomba mnanywea chai au😀😀😀
😂😂😂
😂😂😂 Yan eti Kama nataka aende shule namwambia kibaba baba😂😂😂😂
Dah😃
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ooh lord father how can I be as like this broo he has the talent
Anae skia sauti kama ya Millard ayo agonge like
Mtangazaji nakk bali mwanzo nilijua pacha wa milad
Me nilikua n Millard kumbe mmmh shikamoo sauti
Vizuri unauwezo ni kipaji bro.
If you have never laugh just watch this man, this is too much fun 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Huu ni wakati wako wa kuinuliwa una kipaji kikubwa
Mungu anaenda kumfungulia mlango wakati wake umefika
Hongera sana Kaka Kwa kipaji ulicho nacho MUNGU azidi kukuinua
Humu Kuna pepo.... Kama umesikia gonga like twende sawa...😂😂🤣🤣🤣
nimecheka et toka pepo
😂😂😂
Nishawai kukuona tabata kwasayi mungu akubariki uendelee kusonga mbele
Jamaniiiii kaka utafanikisha tu.. Umeshaanza kuwa star.. Hata matangazo Utapewa upige pesa
Just enjoying this great talent. Watching from 🇰🇪
Nmemuelewa jamaa anakipaji kuzur Yuko POA 👍🙏
Huyu tulikuwa naye office Mcc Kurasini nidereva nzuri kwakweli hanakipaji kizuri sana L.M Jah bless
Yesu wangu..!!!!!😂😂😂🤣kumbe ana sauti ya kiutu uzima tuu..😆😆😆😆😆
Ulidhani ni mlemavu wa sauti au🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Niko hapa mkenye , where is my likes. Young man you have a good talent, I like your voice. Nime cheka yangu yote.
Waaaah kacheka adi kuagusha simu mm.
Kama umemuelewa huyu jamaa gonga like.
Duh! Vipaji vipo lkn hiki hapana. Aisee huyu jamaa ana kipaji cha kipekee sana.
😂😂😂😂😂
@Humphrey Msengi mond
Dunia simama nishuke nipeni like fasta kwa uYu Jamaa
Jamaaa nomaaa sana Mzee nilikuwa Na stress lakin zimekata kumsikia huyu jamaaa aiseee. Ayo ww nomaaa kwa kusaka habari
Mungu akubarikii sana inch hii tuna watu wanauwezo mkubwa sn
Hii ni talent kubwa sana kwenye sanaa ya "Dabi" (kunakilisha sauti kwenye movie) wanahitajika sana atafika mbali sana #Azamtv #DSTV #StarTimes na kwenye animation films wanahitaji sana watu wa haina hii maana ni ngumu sana watoto wenye vipaji vya kuzungumza kwa usahihi kwenye unakilishi sauti.
Ernest ndemee
Bro pia mi Nina sauti nying Ila ya mtt siko vizuri Ila ya mdada ya mbibi mbabu mkaka na za makabila baadhi ya hapa tz na kenya
@@callmangumbo1552 ni kitu kizuri fanyia mazoezi tafuta fursa kwenye kampuni za filamu huwezi jua ndio ikawa nafasi yako ya kuonyesha kipaji chako
@@dhulhijjabilali143 sijakuelewa mkuu
@@Tino_Official_tz jina lako linafanana na Jamaangu mmoja hivi mpaKa ubini nilijua niyeye...anaitwa Ernest augustine Ndemee
Too talented much love from Kingdom's of Eswatini
Da hicho kisa cha hao wadada kukimbia kimenichekesha
Sanaaaaa hata mimi🤣🤣🤣🤣nimecheeekaaqa
Nimekupend bure kk ila ongera san kwa kipaji chako 😂😂
MWENYEZI MUNGU AZID KUKUJALIA UTATOKA TU🤲🤲🤲
Anae taka kumsaidia kipaji chake angonge like
Baba baraka mume wangu hUna nitia Aibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila una nifurahi sana sana sweetheart 🤣🤣🤣ushakuwa star.. mume 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaha kumbe wewe ndiyo Mama Baraka
@@donardmsomi8451Maisha ya bongo
mbna wew sio christina
😳😳😳😳
Kweli bonge la kipaji,apewe vipindi maalum ktk Tv na Radio apige pesa kama akina Joti,mpoki na Masanja
Sichoki kuingalia brother ametisha mungu awe nawe daima
Hahaha icekreem Kama umesikia hli neno gonga like
Jamani naombeni like za huyo jamaaa
Halafu ukishapewa unapeleka wapi?
Tanzania sihami 🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣hii ni mara ya pili namsikiliza wala simchoki
Yan m mara ya3
We yani raha
Jaman kama mtoto analamba pipi
@@ayshazsalim397 ata mm mara 3 😂😂😂
Namimi mara ya pili namtizama nacheka tu.10-2- 2021
Mungu akuponye cjui nini tatizo yesu wangu
Omg.
Blessed..
Invite him in international comedians Teams
Wangapi wakenya wenzangu hapa 🇰🇪
Mimi
Tawape Huyu jamaa nyie mtugee mamito 😂😂😂
@@rahmasuleyman587 😂😂😂 haiwezekaniiii
@@maasaimkisii9089 me too and it's
@@pilizacharia7530 welcome bro
Watoto. Wa Tanzania munajua. Kutafuta hela sanaaaa nawapenda wote
Anafaa Azam Tv kutafsiri movie
Ni kweli kabisa
Kwel kabsa
Exactly
Yan hata mim naona iv
Yes anafaa 🇰🇪😂
😂😂😂🤣🤣Mbavu zangu mie,, kenya❤️❤️💕
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Love you
Duuuuh aisee nimecheka mpaka machazi
Pamoja nawe dada toka Kenya hapa😹😹😹😹❤️❤️❤️
@@njeriblackkenya 😂😂😂 mitheko tuuuu
Ooooh this is wonderful mungu sio w pole pole dah😂💪
This is pure talent big up bro.
😂😂😂😂😂😂😂
Ata wewe pia mtangazaji huko vizuri,Umeweza kuiiga sauti ya Millard Ayo vizuri kabisa.
Kbxa
Watangazaji wote wa Millard Ayo wanaongea kama Millard Ayo
Lazima afanane sauti ya boss wake millard kwasababu anatumia Mike ya millard ayo
Adaption
aliyesikia neno eti nilikua nachunga mombe piga like hapa
duh! jamani wadada walokimbia kwenye bajaji mrejesheeni pesa zake bana!😂
😂yaan nmecheka...
Coz mshamjua kuwa sio pepo na nyie ni watumishi mpelekeen haki yake mana nyie ni wapendwa jmn paten hofu ya mungu
😅😅
😂😂😂 akome ndio Apunguze masihara anapokuwa kazini
@@mariamgodfrey53 😂😂😂😂
Dah! Hatar c mtagazaji c muojiwa wote mna vpaji kwakweli mtagazaji sauti ka milad ayo kabisa muhojiwa sauti ka ya mtoto kbs. Talent ka his huwezi pata sehem yyote tofauti na Tanzania
This is pure talent :) in the west you could easily land a job at a kid's TV or radio show. But Tanzania ni Jini 🤔🤔wah.. Mkenya hapa
🤣🤣🤣🤣
Yaani
😂😂😂 Umenena kaka
Safi
Sio Tanzania tu sema Afrika.Waafrika huwa tunawaza tofauti sana na wenzetu.Huyu angekuwa Ulaya,angeshakula shavu nono kwenye makampuni makubwa ya bidhaa za watoto.
This man is so talented
Duh! Umeniacha hoi aisee
Amenivunja mbavu jamani huyu jamaa
Africa nzima Tanzania pekee ndy nchi ya kwanza kwa amani naipenda nchi yangu
Daah huyu jamaa genius
Ni kipaji tu cha asili
Hujui genius ni nini wewe
Leo nalenale 😂😂😂 Haki nimejua kucheka. Hongera kwa kipaji chako baba baraka
Daaah, realy amazing
Uko sawa brother mungu akupe kila la kheri katika maisha yako
😂😂😂😂😂😂watu navipaji vyao lakini yote ni ukosefu wa kazi haya ona sasa asha kua staa🤣
🤣🤣😂😂
Siyo ukosefu wa kazi, kila mtu ameumbwa Ana kitu chake ambacho akikitumia MUNGU atatukuzwa.
Huyo kaka Ni dereva wa bajaji kwa hiyo so kwamba Hana kazi hicho Ni kipaji alichopewa na Mungu.
Wewe una kazi ya kukuingizia elfu 50 kwa siku?
Jamani Mungu amfungulie milango zaidi... Nimempenda 😂😂
Tumia sauti yako kupiga pesa kwenye social media mzee
Yaan hapo anayehojiwa na anayehoji wote waigizaji sauti daah😂
Huyu ni mtoto kweli muone hata vile anavyo fanya,na hata kamba hiyo lolipop
@NYEGERE ONLINE nafkiri unalo jibu
@@R.Dickon kumbe na we umeona ee Mwingine Millard
Hahahahaha nimecheka jmn kwenye pepo😂😆😂😆😂ilo tukio nakumbuka namim nilikuwepo kwenye bajaji
🤣🤣😂😂 kumbe ni kweli?
Ni kweli my dia yani tulitamani kuruka ila mmja wetu alijirusha kweli
@@betinazagati7600 Daah maskini poleni sana.Kumbe masikhara mengine sio mazuri unaweza kuumiza mtu.Ashukuliwe Mungu mlitoka salama.
Kama unamkubali Huyo jamaa gonga like apo.. Huyo jamaaa namuona Mbali saan hadi amefikiwa na ayo TV
Umeona eee!! Mwenyezmungu amfikishe pazuri
@@ashahahahahatwendenikwetut3826 Amiiiin
😂😂😂😂 mungu walai hii n nomareeee😂😂kenya twakupenda sana tunakuitaji kenye kw churchill show
Kila nikimsikia mie Sina mbavu 🤣🤣🤣
Mmetisha sana ayo tv one love ❤❤❤❤❤❤❤
😆😆😆😆
😂😂😂😂😂
Mi hadi kooo linaumaaa
😂😂😂😂
Hahaha jaman mwenyez Mungu azid kukubarik na kukulinda hicho ni kipaji
Jamaa more than fundi atareee na nusu
Kama umeskia jamaa akiwa analia gonga like
Hatareee
Kama umegundua fani yake ni comedy gonga like
♥️🥰🤔 kweli mungu niwaajabu
🤣🤣🤣😂yani leo nimecheka khaaa huyu baba simchoki kwakweli maana nilishaangalia global na leo tena naichek ayo yuko vizuri hiyo story ya madada😂😂
Kwakweli atamm nimecheka hatari😂😂
Nimecheka kwa nguvu wallah
@@maryamjuma7691 Acha tu unishindi mm mefurahi vibay
Jamani ndugu Waislamu, hayo hayawasaidii kitu, hisipokuwa kupoteza mda tu Dunia kisha kwenda kujutia huko Akhera. Tuswali swala 5 tumtukuze Allah Asubuhi na jioni na kuswali Nabii Muhammad s.a.w) na kusoma Sana Qur,an. Kosa siyo letu, la wazazi wetu. Hawakutulea kwenye misingi sahihi ya Dini. So! Tuzinduke wenyewe tumrejee Allah.
@@khalifankishki3440 lnshallha pia shukurani kwa ukumbusho lakini hii nayo ni moja ya kufurahi tu afanyi kitu kibaya huyu kwaiyo akuna shida maana siyo jambo baya ndomana naww ukaja kuangalia
Eheee sasa mnaona, 😅😅😅hii ndo Tanzania ya SASA, aliimba ZUCHU🙏💯💯
Nilipoona nikajua MTT kumbe mkubwa au stress za maisha masikin mmmh😭😭 huruma snaa
Hatari
Kipaji cha aina yake hiki, Mungu ana maajabu yake
Like jaman scrimu🤣🤣
I 👌 5