NILIWEKEWA SUMU ILI NIFE NIKIWA DODOMA!HAWAKUTAKA NIENDELEE KUISHI,MAADUI NIAO WENGI SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @juliawnjeri5913
    @juliawnjeri5913 3 года назад +52

    Mimi ni mkenya lakini napeda magufuli sana ....ana roho nzuri sana yakutetea wanyonge.....John mwanye roho nzuri asikiza kila mtu mdogo mkubwa tajiri masikini.....Safiri salama baba yetu ..
    ..Watazania wezetu poleni sana kwa mzimba uyu ...Nasi wakenya twa waombea sana Mwenyezi MUNGU awape Amani kwa wakati huu mgumu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @daisykyungu3109
    @daisykyungu3109 3 года назад +166

    Machozi yangu ni Mengi nikisikia hii sauti ya Baba, apa Kenya tunalia pamoja nanyi Watanzania pokeeni pole kutoka kwetu🙏😭😭😭

  • @justuskipruto4498
    @justuskipruto4498 3 года назад +9

    A true representative of Justice and equality,,, the world will miss you baba# RIP from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @elibarikielikana1824
    @elibarikielikana1824 3 года назад +46

    Nenda dady wewe ni mfano wa Musa 😭😢🤲🇹🇿🐦 Mungu akupokee roho yako

  • @sidoniaadam8071
    @sidoniaadam8071 3 года назад +98

    Am a South sudanese but I have never seen a loving,impressive ,honest president like Pombe,ur legacy will live on forever😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🏽🤲🤲🤲🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤲RIP

  • @dorexmamabraflee1756
    @dorexmamabraflee1756 3 года назад

    Mungu ailaze Roho yako mr president John magufuli mahali pema, umekuwa kaa taa tanzani nyo imezimwa, mungu awape taa ingine iwakayo vizuri kaa mr John magufuli, tunawaombea hapa kenya ndugu zetu tanzania mungu awafariji

  • @milliahachenya2749
    @milliahachenya2749 3 года назад +94

    Am A Kenyan but still can't believe,still on shock😭😭😭Fare Thee Well Mr President

    • @dennismichael9398
      @dennismichael9398 3 года назад

      😭😭😭🙏

    • @brayo001
      @brayo001 3 года назад +2

      what's special being a Kenyan...kila time am a Kenyan blah blah blah

    • @georgeotieno3464
      @georgeotieno3464 3 года назад +3

      @@brayo001 mature up dude.

    • @brayo001
      @brayo001 3 года назад +1

      @@georgeotieno3464 tuache unafiki...hatuna haja kujua umetoka wapi

    • @chombacollins8725
      @chombacollins8725 3 года назад +1

      @@brayo001 nikuwa proud na kwenye umetoka bro.

  • @nesantoniarodriguizy4643
    @nesantoniarodriguizy4643 3 года назад +1

    Our hero kwame utasaulika baba katika maisha yetu ulikua mpenda maendeleoooooo na ulitaka tufanye kaziiii kwa bidiiiiii kwa kwl ulifanikiwa BT Leo aupo na sisi kweli ni zaid y pain but mungu hakukaze mahal pema peponiiii amina

  • @felistusomari231
    @felistusomari231 3 года назад +8

    You were more than a father to most of us our role model. My heart still bleeding

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 5 дней назад

    Pole sana Baba Maguful.. Mungu atakulipa kwa yote mema ulio yatenda

  • @maureenwambura1470
    @maureenwambura1470 3 года назад +18

    R.i.p .great leader i can feel the pain .President JOHN u r a hero frm kenya.

  • @HappySamwel-k9g
    @HappySamwel-k9g Месяц назад

    Mungu alaze roho yako peponi akupunguzie adhabu ya kabur tutakukumbuka sana Baba Ameen🙏🙏🙏🙏

  • @massbass6090
    @massbass6090 3 года назад +55

    Baba malaika wa Mungu wakubebe direct maana Yale umekua ukitenda yote umekua ukimfurahisha mwenyezi Mungu tutakukumbuka daima 🇰🇪

  • @nannywangechi4948
    @nannywangechi4948 3 года назад +51

    A humble president 😭😭😭😭, we love 😍 you as a Kenya 🇰🇪, as a Kenya, can we get a prezo like you, may he rest in peace and in eternal life, prezo wa wanyonge 😭😭😭🙏🙏🙏

    • @dorcasmunyiva1533
      @dorcasmunyiva1533 3 года назад

      Mola aiaze roho yako mema peponi. Twakuenzi na utaishi kwa mioyo yetu. Kwaheri.

    • @gregorycompanylimited4725
      @gregorycompanylimited4725 3 года назад

      mungu ampemwisho muzilikulikomwanzo

    • @joycemacharia1543
      @joycemacharia1543 3 года назад

      GOD rest his soul in eternal peace.
      GOD grant Kenya such a president and Kenyans wisdom to elect one.

    • @danielnyandro9439
      @danielnyandro9439 3 года назад

      The burial of john bombe makufuli

  • @Tadovevo
    @Tadovevo 3 года назад +76

    Am A Kenyan And I Feel the pain Of Loosing Grateful Leader(JOHN POMBE MAGUFULI)......My God Grant You Good life in Jannah🤲

  • @peninahruth2870
    @peninahruth2870 3 года назад +5

    So prezzo kifo chako kilitengenezwa kitambo muilini mwako ulipopewa sumu n now in this corona u hv departed....i understand the pain ua wife is going through....rest in peace n may God never let ua enemies live in peace until watumbu yet nobody will live in this world ever...pumuzika salama kiongozi kipenzi zetu...from kenya u really touched my heart soo much through kazi yako jema....being humble honest royal is all what u hv tought me through ua devotion

  • @MOZRATHEKINGCRAB
    @MOZRATHEKINGCRAB 3 года назад +10

    Rest in peace the best president in my time standing for the poor always you shall remain in our heart farewell ,much respect from 254 Kenya

  • @CAROLINEGOLDMUSICOFFICIAL1
    @CAROLINEGOLDMUSICOFFICIAL1 3 года назад +1

    Wat???????ghai 😥😥😥😥😥😥😥mungu tusaidie Dunia Haina uzuri REST in peace from KENYA we loved you n we still can't accept ur gone

  • @maggiekiarie5404
    @maggiekiarie5404 3 года назад +12

    😭😭😭💔💔💔💔🕊🕊🕊🕊 legends never die they live in our hearts forever 🕊🕊🕊 you were a great man indeed 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we are in this together.

  • @jameskirtela8116
    @jameskirtela8116 3 года назад

    Am kenyan mzee magufuli ni Rais wa kipekee mungu aiweke roho wake mahali pema peponi.R.I.P😭😭😭😭😭🖐️🖐️🙏🙏🙏 bye-bye mzee

  • @christinekaranibay8492
    @christinekaranibay8492 3 года назад +26

    Ultabiri Baba
    Waliokuandama
    Wamekumaliza safari hi
    Lakini mungu anawaona.R.I.P
    The world HERO J. J .M Pombe.

  • @ceciliachomba2176
    @ceciliachomba2176 3 года назад +1

    Every time am hearing your voice. A tear drops. Cant tell but it pains me you are gone. I loved listening to your speeches. I loved your character. Rip🙏

  • @kataninyido962
    @kataninyido962 3 года назад +39

    Tumelia sana jamani Rais wetu Magufuli, Mungu yupo pamoja nawewe na akupokee kwenye pumziko la milele, akusamehe mabaya na uingie mbinguni Paradiso kwenye mji wa mangojeo. Amina 🙏🇹🇿🇮🇱

    • @beatriceethel1242
      @beatriceethel1242 3 года назад

      amina

    • @franjeskolongo6649
      @franjeskolongo6649 3 года назад +1

      Bab etu hatuta mxahau mungu axiimxahau daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kweri yesu anarudi tuokoke yesu anaru tusijidai kwapesa wara nn yesu anarudi baba kaenda wew niudongo tusipo okoka tunakwisha ndo HAPA tuta tafuta yesu Malko 16,16,,mbinguni hatuendi kwadini WAra kwapesa yesu asifiwe xana by f, longo mungu amkumbuke baba njia zababa magu tusizipoteze jamani mana nampenda magu xijui mungu atupe kiongoz kama maguuuu

    • @georginajohn8456
      @georginajohn8456 3 года назад

      Amina

    • @moranikibona2524
      @moranikibona2524 3 года назад +1

      Da lnauma

    • @h.alshidhani8971
      @h.alshidhani8971 3 года назад

      @@franjeskolongo6649 acha kukufuru, yesu akirudi ni rungu tu. Tubu kabla hujafa.

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 3 года назад +3

    He was the best presdent in africa very understanding..wise man

  • @silvesamweli7697
    @silvesamweli7697 3 года назад +7

    Sitak kuamin Kama ni kweli mungu tenda hata mujiza amke 💔💔

  • @kibaliwanja7717
    @kibaliwanja7717 3 года назад

    Poleni sana waTanzania MUNGU awape nguvu ya kustahimili machungu,MUNGU awalinde na awapanguze machozi

  • @musabah2937
    @musabah2937 3 года назад +3

    Rest well sir he is a hero I really like efforts towards Africa and I like the language he speaks I'm from the Gambia west Africa my condolence to all the Tanzanians let's keep the faith...

  • @elizerbethmichael9992
    @elizerbethmichael9992 3 года назад +1

    Kumbe waovu walikuchukia kitambo lkn Mungu alikuepusha nao,, sasa ndo Mungu ameruhusu uende ume2acha peke ye2 watanzania 2nakulilia jamani daaaaah pumzka kwa aman Kipenz che2 😭😭😭😭🇹🇿🙏🙏

  • @jenisterpaul3579
    @jenisterpaul3579 3 года назад +28

    Sometime we wish R. I. P could mean return if possible😭😭 RIP legend

  • @cruizk8183
    @cruizk8183 3 года назад +7

    Napenda alivyokuwa anamwamini Mola ila umetuacha na huzuni kubwa sana😭😭😭😭😭eiiiish unbelievable

  • @Nikkinoonie
    @Nikkinoonie 3 года назад +1

    This is Powerful , So Many Wonderful Things Regarding President John Pombe Magufuli God Bless You All 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽♥️♥️♥️‼️‼️ RIP ❤️❤️❤️🇺🇸‼️‼️

  • @francineneesiv
    @francineneesiv 3 года назад +57

    pumzika kwa amani bwana raïs Magufuli. DRC tuna umiya kwa hii mziba mkali🇨🇩.
    Pole sana ndugu zetu Tanzania💔😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @uwasesifa7563
    @uwasesifa7563 3 года назад +1

    Pole sana Rais Magufuri 😭😭😭 watakukumbuka wa Tanzania munapenda sana sumu na kuroga muogope mungu hii ni Dunia.

    • @neemaasheri4204
      @neemaasheri4204 3 года назад

      Imeandikwa Kila nafsi itaonja mauti pumzika baba magufuli tutaonana badae

  • @kevinochieng2491
    @kevinochieng2491 3 года назад +49

    Fallen soldier.......Rest in peace Papa, i loved you, kenya loved you but God loved you More than us, Rip.

    • @rukaiyakapele1449
      @rukaiyakapele1449 3 года назад +1

      Kapumzike kwa amani tumeumia sana

    • @jacobsdiana1579
      @jacobsdiana1579 3 года назад

      asante kwa kazi Bora rais..mwenyezi Mungu akupumzishe kwa amani

  • @hoglawawuda8145
    @hoglawawuda8145 3 года назад

    Am still in shock...icant hold my tears ....Mungu akulaze mahali pema...mzee..🇰🇪

  • @Hellennafula48
    @Hellennafula48 3 года назад +39

    Mr president you where number 1 in all you play your role very smart us man of people who doesn't want darkness and I can only pray for your soul may you rest in peace in God there is another new life with joy and happiness. We love you but God loves you so much farewell sir😭😭😭😭

    • @mrskhalid7590
      @mrskhalid7590 3 года назад

      Kwakwel huwezi kumpendeza kila mtu nawao watakufa tuy pumzika kwa aman shujaa wa afrikan

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 3 года назад +50

    In short magufuli didn't die Godly death he saw the hand of the enemy against him and he almost lose hope and wanted to call it quit but mkapa he is the one who encouraged him but magufuli heart knew his end has alive but the best part of his life he believe the Name Jesus has His personal saviour and protector glory to God because he is now at the safe hand of God and Woe to the hand that did evil to him it will never know peace until it come out public to say the truth before God and man

  • @yankubaceesay550
    @yankubaceesay550 3 года назад +34

    Ooh my God 🇬🇲🇬🇲 am Gambian 🇬🇲🇬🇲 today I feel sad as I Los my lovely great presidente in tanzania hero in Africa yesterday I don't sleep nigth, may your soul rest in peace 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @danielodongo1141
    @danielodongo1141 3 года назад +2

    I am really shocked,I really loved Magufuli and still do,from Nairobi kenya

  • @sellahminayo613
    @sellahminayo613 3 года назад +39

    They have eliminated a very great leader africa at large could ever had ooh Lord have mercy 😭🇰🇪 pumzika salama baba yaaani ata siamini Tanzania is like my second home we have lost ooo😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @ruthnyakio2918
      @ruthnyakio2918 3 года назад

      minayo, can you correct your first sentence. it is confusing !! eliminated??

    • @sellahminayo613
      @sellahminayo613 3 года назад +1

      @@ruthnyakio2918 Never mind miss Nyakio I'm just in pain right now and may be I'm not thinking straight or maybe I'm hallucinating I don't know let the man rest in peace we weren't prepared for his death what a loss God will judge😭🙏

    • @ruthnyakio2918
      @ruthnyakio2918 3 года назад +1

      @@sellahminayo613 All of us, we are very sorry. He was a man of the people. He dealt with corruption head on. Am a kenyan but Tanzanians are peaceful people, ,, I tell you, if it, could be kenya by now,, there could be a great war, ,
      Anyway God knows why...

    • @dennismichael9398
      @dennismichael9398 3 года назад

      😭😭🙏

    • @cestjolie5574
      @cestjolie5574 3 года назад

      Who eliminated him🤔?

  • @GiftMaon
    @GiftMaon Год назад

    Hakika tulimpoteza Kiongozi.Mungu amjalie pumziko la milele,Amen

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 3 года назад +6

    Hakika sumu ndiyo ilokuua ilikuwa inakuathiri polepole pole baba hakika nmeskiliza na kuona hujafa na corona Nakupenda sana rest in peace libarikiwe tumbo lilokuzaaa

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 3 года назад

    Yaani Magufuli pumzika kwa amani mpendwa wetu na Mungu abariki na kutunza familia yako, pia Watanzania tuenzi, aliyoyafanya kuzuia rushwa, kutenda kweli, kuwajali masikini na kuwapa vipaumbele na si kuwaonea kulinda na kutumia rasilimali za nchi kwa ajiri ya maendeleo ya taifa zima na Mungu atatubariki sana.

  • @reubenbosire1199
    @reubenbosire1199 3 года назад +39

    I feel the pain of losing this Man....so painful for us even here in kenya

  • @rinahmusa3927
    @rinahmusa3927 3 года назад

    Eeeh mwenyezi mungu akueke mahali pema penye wema inshallah 😭😭😭😭kilio kimejaa east Africa nzima.kenya tunaomboleza pamoja nanyi ndugu zetu watamzania.mungu atutie nguvu sote na atufariji.huu msiba ni wetu sote

  • @sierratopservices9105
    @sierratopservices9105 3 года назад +17

    Am from Kenya indeed you were my great leader and mentor president of East Africa not only Tz i prayed to you when i heard you were sick but i felt my prayers were in limble only to realise God had decided to take you back to a promised land rest in eternal peace of life upto now its like i keep seeing you kiongozi

    • @nuurjumaan266
      @nuurjumaan266 3 года назад

      Kweli am a kenyan too and a muslim my heart cries every moment i watch

    • @harrietnasimiyu9387
      @harrietnasimiyu9387 3 года назад

      Rest in peace Papa

    • @bensonmusyoka7244
      @bensonmusyoka7244 3 года назад

      Kenya tutawai pata kiongozi kama huyu kweli??? 😭😭😭😭

  • @charlesnzivo287
    @charlesnzivo287 3 года назад

    A vehemently accomplished president and son of Africa who accomplished alot within a very short period in power. We admired you and your approach in handling challenges.

  • @Tashmofficial
    @Tashmofficial 3 года назад +5

    Waah Kenyans tunalia,poleni sana watanzania tunawapenda sana

  • @ZawadiSamy
    @ZawadiSamy 10 месяцев назад

    Mzee mungu akulinde roho yako Peponi

  • @princessdevotha5481
    @princessdevotha5481 3 года назад +6

    Bado siamini kwa kweli bado nahisi kila kinachoendelea ni ndoto nahisi kama Tanzania nzima tunaota kama kweli ni ndoto emwentezi Mungu tuamshe kwenye hii ndoto maana it's painful 😭😭😭😭

  • @SaidJuma-d2w
    @SaidJuma-d2w 9 месяцев назад

    Tunakukumbuka sana docter Jon pombe magufuli

  • @sharonchemeli3392
    @sharonchemeli3392 3 года назад +6

    Rest in power baba, my heart is bleeding we will dearly miss you and your powerful speech.

  • @lucykariuki2907
    @lucykariuki2907 3 года назад

    😭😭😭😭😭Hakuna lilifanyiwa sirini Mungu hataliweka wazi. Nimesoma mengi baba lala salama.

  • @Sarakassy
    @Sarakassy 3 года назад +22

    Africa’s greatest leader and a teacher of our time. RIP baba!

  • @axsakibabi9478
    @axsakibabi9478 3 года назад

    Rais Magufuli umeacha pengo la kipekee... May God remember your good deeds. Lots of love to tanzanians. Jipeni nguvu.

  • @rosekadzokadzo1401
    @rosekadzokadzo1401 3 года назад +4

    This so sad can't believe it he is gone... Rip president.... You hard a good presidency in your country..

  • @LoveGloria-dr6ox
    @LoveGloria-dr6ox 7 месяцев назад

    Baba mwenyezi mungu akulaze mahali pema peponi

  • @khadijahkaitesi4682
    @khadijahkaitesi4682 3 года назад +4

    Subhn'allah, i can't believe your gone Dkr, ooh my God. R. I. P

  • @malingumubunazitv2747
    @malingumubunazitv2747 3 года назад

    Sasa umelala mungu ailaze loho yako peponi mungu akupunguzie makosa

  • @poulapoula6354
    @poulapoula6354 3 года назад +7

    The way i loved this man i cant even believe he is gone forever rest in peace a man of the people

  • @waweruwanyawiramassiv2652
    @waweruwanyawiramassiv2652 3 года назад

    I loved you President Maghufuli. you we're the best president in East Africa

  • @kanshelekaamiri1810
    @kanshelekaamiri1810 3 года назад +4

    Mungu amlazi mahali pema RAIS wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DOCT JOHN JOSEPH MAGUFULI as shujaa ,mchapa kazi na aliye kua anajituma tutakuenzi daima.

  • @marynduta7488
    @marynduta7488 3 года назад

    Kuna wakati nilitebea Tunduma na nikakaa huko miezi mbili, watanzania ni watu wakalimu na wanapenda watu, God bless you, na azitulize nyoyo zenu

  • @issabelahassan5481
    @issabelahassan5481 3 года назад +14

    Umevipiga Vita vyema mwendo umeumaliza, Imani umeilinda, pumzika kwa Aman ❤️ Rais wetu

  • @lydianamsiah8712
    @lydianamsiah8712 3 года назад

    We've really lost a soldier of who acknowledged Jesus as the lord nd Saviour icant stop crying nkama rais magufuli alikua kiongozi wetu sisi wa kenya fare thee well Son of God🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @jacksonprotas8156
    @jacksonprotas8156 3 года назад +15

    Mungu atawahuku hao mungu akuraze mahali pema peponi Tanzania Uzunii🙏😪😪

    • @ShSh-my8cw
      @ShSh-my8cw 3 года назад

      Amiin

    • @janethyisaya2980
      @janethyisaya2980 3 года назад

      @@joycemalima8746 Amina sn mwenyez mung awaukum sn😭😭😭🙏

    • @coolwaveac7659
      @coolwaveac7659 3 года назад

      @@joycemalima8746 MUNGU ndiye anayejua Siri zote za wanadamu watu unacheka nao unakula nao lakini sio wote wazuri

  • @PeterMgani-v7c
    @PeterMgani-v7c 5 месяцев назад

    Asante sana magufuli kwa kuijenga Tanzania kwa muda mfupi tu umeiacha tz inag'ara ..Mungu akulaze mahala pema peponi Amina
    😞😞😞

  • @azzaalmaamry5817
    @azzaalmaamry5817 3 года назад +29

    Mungu awape subra kwa ujumla Tanzania 🇹🇿

  • @yangihellen2248
    @yangihellen2248 3 года назад +1

    I must say H.E John Pombe Magufuli was the best President ever in this generation of ours. Am glad that he became a president during our time and we witnessed his great leadership skills.your legacy will always live on. Indeed it's hard to believe as well as accept the fact that you are no longer here with us. We believe that your great deeds have earned you a special place in Heaven. Am from Uganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬and Magufuli's leadership is what I always long for in Africa. If only our continent could have five presidents like him, then Africa would have been the best continent to live in. Pumzika kwa amani Baba😭😭😭😭until we meet again.

  • @dotytido547
    @dotytido547 3 года назад +15

    am thought abt hiki kifo I swear to God kama nimkono wa mtu ataukumiwa sio apa duniani bali ata moto utamuukumu

    • @vanessamagezi6986
      @vanessamagezi6986 3 года назад

      Yaani ni hatari sana,kuna watu wana roho mbaya balaa.

    • @queenlizactress1149
      @queenlizactress1149 3 года назад

      Exactly whoever participated in his death he will die soon in jesus name

  • @mwanamohd6870
    @mwanamohd6870 3 года назад

    M/mungu akuweke mahala pema pepon shujaa wetu

  • @petersonmwanzi6759
    @petersonmwanzi6759 3 года назад +3

    Najivunia huyu rais wa tanzania kwa imani aliyenipa natamani ningekuwa na imani nimumshe lkn naamini africa kutatokea rais Kama uyo😪😪😭😭😭pumzika salama

  • @timotheoboazi8191
    @timotheoboazi8191 3 года назад +1

    Pole sana raisi tutakukumbuka milele daima mungu akupokee huko uendako nadi tupo nyuma hii ni safari ya kila mmoja

  • @starridge3615
    @starridge3615 3 года назад +12

    Sumu hio ilikua ukiishi nayo na ilikua ikila polepole uhai wako. Yametimia .. Ni maoni yangu msinivae🙏🙏🙏

  • @olphergesare7211
    @olphergesare7211 3 года назад +2

    The God u kept mentioning will pay them we cry frm kenya bcz of your commitment to your pple till they get us out here

  • @gebiamayombo221
    @gebiamayombo221 3 года назад +12

    Unthinkable agony is all we fell😭😭😭 memories will comfort untill we meet again, Rest in Paradise Dkt John Pombe Magufuli. Mwenyez mungu kukupenda zaid ayseee😭😭😭😭😭😭 it's more than pain, it's hard to believe 😭😭

  • @anitajames4394
    @anitajames4394 3 года назад +2

    Kweli maneno ya wahenga huwa yanatimia, kizuri akidumu, lkn tuna tumaini jipya kwamba tutaonanaa baadaee, Nenda baba yetu tutakukumbuka daimaa
    😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔

  • @aishambarak3078
    @aishambarak3078 3 года назад +45

    Remember something that magufuli Said if I die don't cry look at the sky and say goodbye

    • @عبدباركمحمد
      @عبدباركمحمد 3 года назад +2

      Mashallaah gud for remembering

    • @mwilachileshe8709
      @mwilachileshe8709 3 года назад

      You can not make it to the it is the same it gives up and down to to rrii it yuyo yuk uyu uoiuu you y

  • @brothersam7649
    @brothersam7649 3 года назад +1

    Lala salama MAGUFULI.Tulikupenda kwa ujasiri na ukakavu wako.Ulikula tena ulicheka na maisikini.hukuwahi kuwa munafiki.MUNGU amevuna yalio yake.Lala salama

  • @lydiaoyando9736
    @lydiaoyando9736 3 года назад +31

    From 254, may his soul rest in Peace.

  • @DaudiMagoga
    @DaudiMagoga 11 месяцев назад

    Ukweli mhe,magufuri ni jembe haswa hakika hatatokea rais kwa tanzania yetu kama mhe,magufuli mungu ampumzishe mahara pema peponi amina

  • @samuelmuliwa7740
    @samuelmuliwa7740 3 года назад +40

    R.I.P, mzalendo rais John Pombe mangufuli,mungu awajalie Africa marais kama wewe.

  • @siwaleinnocent2340
    @siwaleinnocent2340 3 года назад +2

    May God bless you that you have dan

  • @williamoucho4386
    @williamoucho4386 3 года назад +8

    Am a kenyan but he was more than my father and followed his advice from his speech all the time

  • @anitahkioi6676
    @anitahkioi6676 3 года назад +1

    Fly so high John...you will forever be remembered for the great deeds you've done..we loved you But God loved you most .have eternal peace till me meet again🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @dorotiakwoba5653
    @dorotiakwoba5653 3 года назад +19

    Baba magufuli mungu aihifadhi nafsi yako .nakupenda bure,kwà heshima ulikua nayo,mahshalla baba.rambirambi zangu kutoka mjini Nairobi

  • @JuliusPaulo-qg9fg
    @JuliusPaulo-qg9fg 4 месяца назад

    Mungu akulàzi mahaloi mahaloi mema akupuguzie mazabi ya kaburi baba yagu

  • @roseatieno3824
    @roseatieno3824 3 года назад +5

    So sad 🙁 🙁 may his soul Rest In Eternal Peace 😭😭😭😭 I've cried alot

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 3 года назад

    Haki lillah kama Mungu kamchukua mja huyu kwa mapenzi yake tunamshukuru kwa kutuletea 🙏tulimpenda ila yeye akampenda zaidi.
    Ila kama kuna mikono ya Shetani na watu wake, Mungu awalaani kila hatua wanayopiga na wasifanikiwe maisha yao yote wateseke.

  • @mostwantedcomedians8346
    @mostwantedcomedians8346 3 года назад +8

    Thamani yako itabaki kuwa yakipekee sana mheshimiwa magufuli kwani hatua tuliyo kawa nayo nyuma na ukiangalia ulipo tufikisha hakika nilikua namuona nyerere kila wakati......mungu awe nawe daima inshaallah

  • @ZaharaQatar
    @ZaharaQatar 10 месяцев назад

    Mungu akupokee baba ila wajuetuu hawatapaa kilakmtu ataonja umautii huwa nalia kila niskiapo sauti yaki👋

  • @ruthnjau
    @ruthnjau 3 года назад +19

    So this mean JPM hakufa natural death😢 this is so devastating😭may his soul rest in peace and whoever participated to his death,may they never know peace forever and ever

  • @JamesChrizestome
    @JamesChrizestome 3 месяца назад

    Hii hotuba imenikumbusha mbali sana ehe mwenyezi mungu mlaze mahali pema peponi amina

  • @sundaysichilima4168
    @sundaysichilima4168 3 года назад +11

    RIP MH Magufuli 😭😭😭 poleni Sana wa ndugu zangu wa Tanzania🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @AgnesKibuga-d3j
    @AgnesKibuga-d3j Год назад

    Duh mwenyez mungu akutangulie ktk safar yako ulijalibu kutetea nch lakini imeshindikana akupunguzie adhabu uko uliko

  • @SalmanKhan-eb7pt
    @SalmanKhan-eb7pt 3 года назад +3

    Ikiwa katika safari yako kuna mkono wa mtu basi watawajibika na wao hapa duniani ama huko kwenye really Court.

  • @mercynjeri1745
    @mercynjeri1745 3 года назад

    Kiongozi WA wanyonge MUNGU ailaze roho yake mahali pema Amin

  • @minnieh_hassan
    @minnieh_hassan 3 года назад +10

    😩😭😭😭😭So sad am a kenyan but still feel the pain

  • @zipporahmonginamakori3506
    @zipporahmonginamakori3506 3 года назад +1

    Tanzania pole sana kwa kupoteza shujaa wenu let him😭😭😭my condolences to the family of the late president of Tanzania John pombe magufuli 😭😭😭😭😭😭😭

  • @arondobonancy2061
    @arondobonancy2061 3 года назад +4

    May your soul have a perfect Rest in Peace, till we meet again at jesus's feet.😢😢😢.(sooo sad)