HIGHLIGHTS: YANGA 4 - 1 AZAM FC/ BOKA NA DUBE WALIVYOIBEBA SHOO NZIMA KIBABE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 191

  • @yuzomaneno
    @yuzomaneno Месяц назад +4

    YANGA bingwa 🙌🙌🙌🙏🙏🙏☝️☝️🎉🎉🎉💥💥💥💥

  • @FadhiraMapunda
    @FadhiraMapunda 3 месяца назад +3

    Napenda sanaaa anavotangazi garibi mzinga kwenye mechi za yanga jaman❤❤❤❤❤

    • @ZubedaHamisi-d3b
      @ZubedaHamisi-d3b 3 месяца назад

      Afu akitangaza mara nyingi sana huwa tunashinda🎉🎉🎉

  • @FrankMutale-fb6qn
    @FrankMutale-fb6qn 4 месяца назад +15

    Hi hi hi chama anatoka ZAMBIA 🇿🇲 to assist last goal tinamoona thanks am young Harmonize from ZAMBIA 🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @TajiriLomayani
    @TajiriLomayani 18 дней назад

    Mungu isadie yanga

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 4 месяца назад +8

    Mungu ibarik yanga Mungu ibarik tanzanian 💛💚

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 4 месяца назад +7

    Mpira wameucheza balaaa 💛🖤💚

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 4 месяца назад +6

    Yanga tamuuuuu 💚💛

  • @MauBonde
    @MauBonde 4 месяца назад +3

    Katika game za watoto wa jangwani hii game nimeipenda spirit ya wachezaji kasi na combination,nawaomba waendelee hivi kwenye game ambazo tunahitaji goli nyingi , teamwork upendo kwa wachezaji wetu wote ndio mafanikio yenu chama langu pendwa.

  • @KelvinA.Tarimo
    @KelvinA.Tarimo 4 месяца назад +4

    Dangerous team bravo yanga

  • @FaithJames-k3y
    @FaithJames-k3y 4 месяца назад +5

    Yanga on fire 🔥🔥🔥🔥

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 4 месяца назад +3

    Daima Mbele Nyuma Mwiko💚💛🔥🔥

  • @RoseGeofrey
    @RoseGeofrey 2 месяца назад

    ❣️❣️❣️❣️ leo tar 29 10 2024🙌🙌🙌

  • @givenlawi4171
    @givenlawi4171 4 месяца назад +4

    Goli la Mzizee ....Nimeshangiliaaa kuliko president😂

  • @OctaJohn-ov9gc
    @OctaJohn-ov9gc 2 месяца назад

    YANGA 💛💚🙏

  • @maulidiisihaka852
    @maulidiisihaka852 4 месяца назад +4

    Yanga bingwaa 🔰

  • @SegeMwakssege
    @SegeMwakssege 3 месяца назад

    Mung ibarik san yanga I love you yang

  • @NestoryMapunda-gq3kb
    @NestoryMapunda-gq3kb 4 месяца назад +3

    Mzinga safii sana

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 4 месяца назад +1

    Asante kwa kuwapiga madudunka pamoja na wapww zake

  • @SegeMwakssege
    @SegeMwakssege 3 месяца назад

    Yeees yanga ogiiiii❤❤❤

  • @WandibaDany
    @WandibaDany 3 месяца назад +1

    Yani nimejikuta nimemkumbuka mwalimu kashasha R I P KASHASHA

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Месяц назад

    Ji hii spirit imeenda wapi Yanga????😢😢😢

  • @RATIFAKISAGASE
    @RATIFAKISAGASE 4 месяца назад

    Mungu ibariki timu yang

  • @MudhihiriRashidi
    @MudhihiriRashidi 3 месяца назад

    Yanga yangu🎉

  • @LemiJohn-ul6ji
    @LemiJohn-ul6ji 4 месяца назад +2

    Yanga on fire

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 4 месяца назад

    Yanga bingwa inshaallah

  • @Semizahabu
    @Semizahabu 3 месяца назад +1

    wananchiiiiiiiiìiiiii

  • @babacaren1801
    @babacaren1801 4 месяца назад +5

    Zooooooona Daima mbele nyuma mwiko 💪🎉

  • @kaminambeho
    @kaminambeho 4 месяца назад +2

    Leo nimerudia tena yanga vs wakamiaji fc kwa yanga

  • @rickyramsey1469
    @rickyramsey1469 4 месяца назад +2

    Wanainch 💚💛🤟🕺💃

  • @ElishaKaji
    @ElishaKaji Месяц назад

    Yanga

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 4 месяца назад +4

    Nikikumbuka nilivyoteseka na mechi ya FA ya zenj 😂😂😂walai moitueshimisha kule adi uku wangetufunga sai najua clip zingekua bado zinatembea za babu zaka

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 4 месяца назад +2

    Hatar sana yanga hii

  • @PendoCharles-q3z
    @PendoCharles-q3z 4 месяца назад

    Mmmmmh jamn bahati nzuri tu hiyo tusitambe Sana na kesho ipo

  • @SALUMBAKARIMUNGA-w7n
    @SALUMBAKARIMUNGA-w7n 4 месяца назад

    Pigaaaa nyauuuu kabisaaa🎉🎉🎉🎉

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 4 месяца назад

    Yanga 🔥🔥🔥

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 4 месяца назад +1

    Yanga oyeeee!!!!

  • @terrence9477
    @terrence9477 14 дней назад

    Jamani hii Yanga yetu hii tunaitakaaaa jamani

  • @NestoryMapunda-gq3kb
    @NestoryMapunda-gq3kb 4 месяца назад

    Mzinga we ndo mtangazaji bora kwa sas uyo mwngn ana piga kelele2

  • @HalfanStanley
    @HalfanStanley 4 месяца назад

    yanga ni moto

  • @hdboytz2124
    @hdboytz2124 4 месяца назад

    #HIVI NYIE HAMUOGOPI AAAAH AAAAH SIO POA PIGA LIKE KAMA UNAIKUBALI YANGA..🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ChaiTanzania
    @ChaiTanzania 4 месяца назад

    Yanga😂 yanga😂 sisemi sana jamani wenyewe mnaona❤

  • @Eng2460
    @Eng2460 4 месяца назад

    hii yanga ya wapi hii🙌🙌🔥🔥🔥🔥

  • @KundiAbdallah
    @KundiAbdallah 3 месяца назад

    Yanga,ikvzr,jaman

  • @ISAACMBAGO
    @ISAACMBAGO 3 месяца назад

    Mbadala Kenedy musonda, aletwe mzee waku jaza (MAKAMBO

  • @AmanduceFesto-nb6kh
    @AmanduceFesto-nb6kh 3 месяца назад +1

    Kwasasa dabi nzur na yny mvuto ni yanga na azam hawa wngn znabak nimechi za kawaida tu

  • @SharifaBeyb
    @SharifaBeyb 4 месяца назад

    💚💛💚💛💚💛💚wananchiiiiiiiiiii

  • @KhadijaHussein-u9f
    @KhadijaHussein-u9f 3 месяца назад +1

    Jaman haichosh kuangalia

  • @Shadia544
    @Shadia544 4 месяца назад +55

    Yangaaa jamaniii hadi nimekosa. Usingizi jamaniii 😂😂Ila fei kawaponza wezake 😂mtoto kautaka mtoto kautaka mtoto kautaka 😂

    • @ShiitaMisambo
      @ShiitaMisambo 4 месяца назад +5

      😂😂Kauta Kauta kautaka

    • @rajabomary4222
      @rajabomary4222 4 месяца назад +1

      Shadia akeee

    • @Shadia544
      @Shadia544 4 месяца назад

      @@rajabomary4222 rajab akeeeee ❤️

    • @Shadia544
      @Shadia544 4 месяца назад +3

      @@ShiitaMisambo tena kautaka na kapewa 🤣🤣🤣

    • @ShiitaMisambo
      @ShiitaMisambo 4 месяца назад

      @@Shadia544 😀😀😀sio powa kwa kweli kapewa mzima mzima apambane nao

  • @ZahoroMsingwa
    @ZahoroMsingwa 4 месяца назад

    Dah! Nimefrahi sana eti magoli ya kurujuani yanafungwa hapa.

  • @Hussinkazimir
    @Hussinkazimir 4 месяца назад

    I lov yanga

  • @AtuAtu-v9f
    @AtuAtu-v9f 4 месяца назад

    Asnteeee❤❤❤❤❤

  • @HamisiAmiri-n3f
    @HamisiAmiri-n3f 2 месяца назад

    Eee😊

  • @GasparChidolez
    @GasparChidolez 4 месяца назад

    Yanga na simba

  • @Saidesonspecial
    @Saidesonspecial 4 месяца назад +1

    Huu mwaka yanga sijuh itafungwa na nan maana hata mahakama imeshindwa

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 4 месяца назад

    ❤🎉🎉Yang

  • @MariaMsuku
    @MariaMsuku 3 месяца назад

    Nimwendo wakati tuu😅

  • @kaminambeho
    @kaminambeho 3 месяца назад

    Leo nimerudia tena😂😂😂

  • @mamastan4497
    @mamastan4497 4 месяца назад

    Safiiii saaaaaanaaaa🎉🎉🎉

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 месяца назад

    Watanga maji wa azam walivyompamba fei😅😅😅😅😅😅 mnatia huruma NAKESHO tuna nyie mbwa

  • @HijaMuweza
    @HijaMuweza 24 дня назад

    Bad hujasema nausea yawning mpaka mseme

  • @MichaelKamsini
    @MichaelKamsini 4 месяца назад

    💚💚

  • @mwinyiado1129
    @mwinyiado1129 4 месяца назад +1

    Yanga sahivi n kama waarabu ukijarbu kuwafunga ndo umewachokozaa alooh utapelekewa moto mpka utoeee mlio😂😂😂😂

  • @mwisyopatrick7203
    @mwisyopatrick7203 Месяц назад

    Hawa raund ya pili watajua hawajui kipigo kitakachowakuta siju

  • @jeniferisaya110
    @jeniferisaya110 4 месяца назад

    Yanga tamu jamni

  • @TabuSebastian
    @TabuSebastian 4 месяца назад +2

    Here we go 😊💚

  • @JohnsonGeorge-f9d
    @JohnsonGeorge-f9d 3 месяца назад

    Mimi mwana yanga naogopa je ambae sio mwana yanga

  • @AmiliChikuyu
    @AmiliChikuyu 4 месяца назад

    ❤❤❤

  • @RhodaMloge
    @RhodaMloge 3 месяца назад

    Hii mechi wachezaji waliitendea haki walipambana sana

  • @KareemRamadhan-nl2jm
    @KareemRamadhan-nl2jm 3 месяца назад

    Yani atawaumiza sana azam kutokugundua kama bangala sio beki laini laini

  • @AshamohamedAsha
    @AshamohamedAsha 4 месяца назад

    Ka feisal kaliji fanya😅😅😅

  • @FordWilly-m6r
    @FordWilly-m6r 4 месяца назад

    Yanga mbele mbele yao

  • @catdeeluna6064
    @catdeeluna6064 3 месяца назад

    me kila nikiangalia goli ya tatu kipa alivogalagala nazimia kwa kucheka😂😂

  • @sundayseleman9677
    @sundayseleman9677 4 месяца назад +1

    Wananchi tulipie kadi zetu

  • @MichaelKamsini
    @MichaelKamsini 4 месяца назад

    💚

  • @herifransis
    @herifransis 4 месяца назад

    Yaani Azam wakitaka kuifunga yanga feisali asiwepo anawaponza wenzie kwa dharau zake anazarau wakubwa

  • @JeniphaRobert
    @JeniphaRobert 4 месяца назад

    Wasipokufunga wao utajiweka mwenyewe😂😂

  • @SimstelSimstel
    @SimstelSimstel 4 месяца назад

    Azizi ki atengwe uyu jamaa mmhh

  • @MauBonde
    @MauBonde 4 месяца назад

    Viongozi tufufulieni uwanja wetu au uwanja mwingine kuna mapato mengi club itanufaika ,club kwanza viongozi ili muweke heshima................

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 4 месяца назад

    💛💚👍

  • @msanangakagalwe8113
    @msanangakagalwe8113 4 месяца назад

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @Mariejo123-g2x
    @Mariejo123-g2x 4 месяца назад

    Washangiliaji tunao au hatuna. No 12, mnaitendea haki timu yenu

  • @ERICKRICHARD-lb6wg
    @ERICKRICHARD-lb6wg 4 месяца назад

    💚🙌🙌🙌

  • @AlfonsNchimbi
    @AlfonsNchimbi 3 месяца назад

    Iyo xio xaiz yao😅

  • @yusuphbahath9300
    @yusuphbahath9300 4 месяца назад +1

    tunataka full mechi

  • @marryfelician1426
    @marryfelician1426 4 месяца назад

    Fei anakosea sana yani unasema hujaona wa kukusumbua hapo wanakata mauno tu ama kweli mwanafadhilaka wewe hulumbuki yanga ilikokutoa we Dogo utaacha lini dharau?? Mwombe Dube ushauri uliona alichokifanya baada ya goli lake acha uzuzu Dogo 😢😢

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 4 месяца назад

      Huyo ni mswahili wa mipasho...aezi fanana na dube msomi mstaarabu😟😟

  • @HusseinAhamad-e4n
    @HusseinAhamad-e4n 3 месяца назад

    Yanga hiii jamn nixhda

  • @edwardisingo3286
    @edwardisingo3286 4 месяца назад

    Azam miuno

  • @emanuelakaro1423
    @emanuelakaro1423 4 месяца назад

    Nashangaa kwa nin Fei alitaman kwenda Azam

  • @MariaMsuku
    @MariaMsuku 3 месяца назад

    Leo nimekuja tena kuangalia

  • @PauloMkanga
    @PauloMkanga 4 месяца назад

    Mudh akianga yanga nd inapataga magolii mengiiii san

  • @rajabulauma
    @rajabulauma 4 месяца назад

    Mechi yote naipataje?

  • @GeraldNyasembe-q2d
    @GeraldNyasembe-q2d 4 месяца назад

    Fesali asibishane na yanga yanga ni yamoto ataunguwa

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 месяца назад

    Baada ya mauno ya fei nani kawaona wachezaji wa yanga walivyoitisha kikao cha kimya kimya bila neno ni ishara tu.

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 3 месяца назад

    Aucho apewe unaodha yanga

  • @AbdulRahamanHaidal
    @AbdulRahamanHaidal 4 месяца назад

    yanga nidifenda launch kabisa

  • @omarhamadomar8832
    @omarhamadomar8832 4 месяца назад

    Yanga hii ogopaaaaaas

  • @AminaKhamis-qk6pz
    @AminaKhamis-qk6pz 3 месяца назад

    Oooooh😅

  • @SalumSali-st4cx
    @SalumSali-st4cx 4 месяца назад

    Fei mjinga anazan kuroga anaweza peke ake😅😅

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 4 месяца назад

    Feisal mpaka aseme

  • @nkunsimeon5148
    @nkunsimeon5148 4 месяца назад

    Nani aliona kama mimi Fei alikatila viuno mala4 wakala chuma4😂😂😂😂.