@@saumusaid7825 bro na ww jielewe hatakama ya uongo si inafundisha kama hupendi ww si uache subiri wajuba wakufinyie demu wako ndy hakili itakukaa sawa📌
Mwanamke Mwongo sana.NINAWAAMBIA WANAWAKE SIO WOTE WA KUOLEWA.Huyo kijana ANASTAHILI KUTAFUTA Mwingine sio HUYO ATAMSUMBUA SANA MAISHANI AKIENDELA KUWA NAYE.
Yalinikuta mm ndoa bado siku tatu tu sema namshukuru mungu na mama mkwe wangu alinisevu akamtuliza mtoto wake ndoa ikabita ila nimekomo mana nilipata bleed kama nilizaa vile mana ningepata aibu kubwa kwa familia mana mandilizi ya harusi ilikuwa tayar
Walai huyu mwanamke ametuangusha walai Allah atuepshe na zinaa 😢😢😢 hapa amefanya hadi kuisoma baruwa ilikuwa anababaika.ama kweli Dunia inaisha ....wanawake bwana😢😢😢😢
🤣🤣🤣.Maigizo bado ya naendelea baada ya hii movie ikatoka nyingine ile ya jamaa anaitwa Edward pale Sumbawanga aliye funga ndoa bila bibi harusi.Mwaka huu Maigizo yamejikita kwenye Ndoa zaidi
Kubabakeeee timulia mbali kahaba mkubwaaa uyooo dogo uko smart Malaya kama uyo asikuchanganyee timu akiliwe na wahuni lelax mung atakufanyie wepesi utapata Alie sahihi
duuh yohana kwanza hongera wewe ni boy wa pekee yaani na uthibitisho wote huo dada anabisha na aujapandisha hta hasira ingekua mwanaume mwingne angemlamba hata kofi duuh wadada tunafeli waowaji ni wachache sana yaan
Kwanza maongezi yake huyo mwanamke unagundua tuu si sahihi kabisa vijana jifunzeni kabra hujaingia kwenye ndoa mtafteni Mungu kwanza naye atawaonesha wenza wenu wa milele
Achana nae huyo ni kahaba sio mwanamke wakuowa hafai kbs hata sura inaonekana inatabasamu badala ya kuwa na huzuni, alafu cha ajabu uchumba wenu si wa mda mrefu miezi 2 tu sio poa inamaana bado wapo kwenye mahusiano na huyo ex wake
Innalillah wa inna ilaihi rajiuun tuongoze waja wako unaolewa kesho unaenda kuzini na mtu mungine km mlikuwa mmezoweshana ila ungemuhifadhia mmeo nae tunaelewa si kila mwanamke anaolewa bikra ila ukifika muda wa kuolewa natupa pazamani
Hata me yamenikuta kaka nakwambia na Bado Niko nae ila sina amani moyon nilitoa kwenye mazingira mabaya sana nikampa nauli aende nyumban kwao kwanza nifate utaratibu kilicho Nikuta huduma nilikuwa natoa kumbe mwenzangu anakula Raha na mwanaume wake wa zamani ila me Bado Niko nae maisha yanaendelea ila Kwa ilo lako ni Kubwa piga chini
Ndoa inasurubiswa na watu wawili tu . Ndoa haisuruhishwi na majirani. Hakuna mkamilifu chini ya jua . Ilifaa mwanaume ukae kwa utulivu uamie ukiwa huna hasira. Lakini usizoweke taarifa zako za ndoa hadharani siwote tunabusara ya kukushauri. Mitandao sio sehemu sahihi sana. Ila kama hujampenda mke na hujawahi kutana na vituko vya ndoa ni bora utulie mwenyewe kufanya maamuzi. Mimi nakushaurini tulieni mtafakari. Wapo watu wanaojipanga kuharibu maisha ya watu tumeshuudia mengi. Msamehe tu hata wewe utatoka siku moja je nae akuanike hivo?
Yaani ni shida,hapo hakuna anaeujua ukweli,nilishapatwa na janga kama hilo nikiwa ktk kipindi cha uchumba, yaani mwanaume aliyejaribu kunitongoza nikamkataa,aliamua kuandika barua iliyoeleza kuwa tumepanga mimi na yeye kuoana hivyo nijiandae siku ya kwenda kupeleka mahari,na alihakikisha hiyo barua inapitia mikononi mwa mchumba wangu,bahati nzuri ndoa yetu iliandikwa mbinguni,hivyo mpango wake ukashindwa,jambo hilo siwezi kulisahau maishani mwangu,hivyo ukweli wa huyo mdada anaujua Mungu tu
@@SIMULIZIZONEni kweli kabisa,hata na Yohana asingetumia hasira kutafakari jambo hilo,wameona zawadi imewekwa juu kabisa,ni picha zenye lengo la kuvunja ndoa yao,halafu basi hata hayo maneno hajayaandika huyo mkewe,inaumiza
Dada unatia aibu sana mwanaume wako mzuri san handsome unamchezea!!!!!
Sasa mbona asema za muda izi nguo duh🥹🙌...mume wake mpole Maa shaa allah.. umekosa mume kizembe kama ni kweli 💔
Usikubali kijana mzuri,Huyo ni nyoka,Atakusumbua Mungu kakuonyesha mapema
Iyo ni simulizi ,jamaa wabunifu🔥🔥🔥
Daaaaaaaah, kajamaa kapole sana. Vinginevyo ingekua mwingine Demu angewambwa vibao.
Pole sana kaka yohan shukur mung umegundua mapema maan usingeon picha wangekua wanaendelea. Uyo cyo mwanamke wakuish nae
@@AgnesJohn-s4r Achana nae huyo nimwogo mwakondoo.kaka yohana mwachee aande kenge huyo
Piga chini fasta...Malaya wakubwa wa mijini hao... Kuna sehemu ya kula .Sehemu ya kulala... Na sehemu ya kuchukua matumizi!!!! Piga chini fasta!!!!!
Mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono miwili😂😂
Kama ni kiki basi wanawake tujifunzeni
Kabisa nakuunga 🤝💯
Iyo ni mungu kakuonesha uyo mwanamke wa dizaini gani
Moja kwa moja huy dd uso wake unamsuta maneno ya uongo
@@saumusaid7825 bro na ww jielewe hatakama ya uongo si inafundisha kama hupendi ww si uache subiri wajuba wakufinyie demu wako ndy hakili itakukaa sawa📌
Dah ndoa ya sku moja 😢😢😢
Tafta mwanamke mzuri alietulia na mpole please usilamishe😢😢😢
Pole kaka ungekuwa mkubwa ungenioa mm
Huyo dada hajatulia kaka fukunza kabisa Huyo dada siyo mwanamuke. Mzuri.
HAYA NI MAIGIZO TU MANA UKIANGALIA KLIP NYINGINE MANENO YANAKINZANA
aiseee mnajua kuact ,,, saiv ili utoke lazma uekti tukio la ajabu hahahaha hongereni mmejitahidi sana
Kaka mshukuru mungu amekuonesha mapema utateseka Huyo kawekwa akiba
Mwanamke Mwongo sana.NINAWAAMBIA WANAWAKE SIO WOTE WA KUOLEWA.Huyo kijana ANASTAHILI KUTAFUTA Mwingine sio HUYO ATAMSUMBUA SANA MAISHANI AKIENDELA KUWA NAYE.
Yalinikuta mm ndoa bado siku tatu tu sema namshukuru mungu na mama mkwe wangu alinisevu akamtuliza mtoto wake ndoa ikabita ila nimekomo mana nilipata bleed kama nilizaa vile mana ningepata aibu kubwa kwa familia mana mandilizi ya harusi ilikuwa tayar
Binti ni malaya Mungu kakuonyesha mapema hafai kabisa atakusumbua sana
Msamehe sana tena sana kaka kuna watu wanaaribu ndoa za watu kuwa naiman na mkaribishi mungu
Mwanamke mwongo ni mwongo TU ,, brother Ako sawa
Mungu anakupenda kijana
Mi nilicho elewa apo uyu mume angechunwa pesa angepelekewa kendr noma sana
Inauma San 😭😭😭😭
Walai huyu mwanamke ametuangusha walai Allah atuepshe na zinaa 😢😢😢 hapa amefanya hadi kuisoma baruwa ilikuwa anababaika.ama kweli Dunia inaisha ....wanawake bwana😢😢😢😢
Sema hii move nzuri mno 😄😄😄 ina mafunzo mazuri
Umeonaeee 😂
🤣🤣🤣.Maigizo bado ya naendelea baada ya hii movie ikatoka nyingine ile ya jamaa anaitwa Edward pale Sumbawanga aliye funga ndoa bila bibi harusi.Mwaka huu Maigizo yamejikita kwenye Ndoa zaidi
Am proud to be.....!!!😂😂😂
Asanteee Kwa kunimis
Pole sana hata me limesha nitokezea kama Hilo la kwako ila linatofautiana kidogo sana
Pole mkuu Kaz Moyo
Duhhh baadhi ya wanawake mnatuayibisha sann nahis ayibu mm 😢😢😢😢
Kubabakeeee timulia mbali kahaba mkubwaaa uyooo dogo uko smart Malaya kama uyo asikuchanganyee timu akiliwe na wahuni lelax mung atakufanyie wepesi utapata Alie sahihi
YOHANA UNAJITAMBUA SANA,,ILA ALILOLIFANYÀ MKEO NI YEYE USISEME HAWA WANAWAKE ,WENGINE HAWANA SHIDA KAMA YA HUYO MKEO
Duh huu mgogoro nimeusikiliza lakini mwanamke nimeshindwa pa kumtetea.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaniiiiiii huyo dada hawez kuwa na mume wake
Yohana pole sanasana.
Kijana pole move on utapata mwingine hii tunaita ni non starter kwanza umejikaxa sanaaaa
Kama unampenda ♥️ endelea Nae changmoto nizakila mwanamke hatauko utapoenda unaweza kutachangamoto nyingine
Huyu kazidi hapana,,,,cku moja kabla ya ndoa unachit hapana akwende😏
Hatari na nusu mkenge akuna mkee hapo ila mke mjanja hata nyani hafikiiii
Huyo dd nimshenzi sana achana nae atakuaribu huyo
ww mwandisi mnafiki sana
Ckushauri kaka yohan uyo arud tu Kwa Kendrick
Huyu dada diyo mwaminifu
Muache atakua presha maishani.
Bado we ni mdogo tena handsome boy, utapata mwingine
Jina lenyewe Rachel, dogo achana na huyo ni Malaya hizo ndo zao, hao ukikumbatia mahusiano fake ukufa kwa sonona
Mme wake mpole sanah jamaniiiii ingekuwa wanaume wengine angeshapewa chapati hiyo mpaka akili ingekaa sawaa
Apo ndoa hakuna Tena, mungu anakupenda sana kukuonesha mapema uyo sio make ni mtihani kesho yko
Eti mtu anatuma picha Kwa mumeo tna kuvunja ndoa yako,,eti uwe huna wasi wasi😅😅😅
Mdada is very dangerous 😂 hatari sana ,, muongo wazi wazi,,,,, Yohana kujia mke huku kenya,,, nitakutafutia wa kijiji
Pole sana, huyo siyo mwanamke wa kuhowa. Kwanza hana hata toba ndani yake
kijana mstaarabu sana alafu mzuri wanawake Mungu Anawaona 😢😢😢brobcode niileile uyo demu achanane mara moja pls
Boy wewe very intelligent
Hapo hamna mtu hamna mwanamke hapo 😂😂😂😂 bulaza kama huna speed ya kukimbia panda mwrndokasi treni kaka chap😂
Duuuuuuh miak 24 amekomaa hvy 😮alaf anaonekan Muong Muong kabsa msalit huyo
duuh yohana kwanza hongera wewe ni boy wa pekee yaani na uthibitisho wote huo dada anabisha na aujapandisha hta hasira ingekua mwanaume mwingne angemlamba hata kofi duuh wadada tunafeli waowaji ni wachache sana yaan
Kaka muowe akutafutie watoto ulee utapata sawabu kwa Mungu
Kaka kwa ushauri wangu achana nae atkupotezea time Yako tafuta mwingine🙅🙅🙅🙅🙅🙅🙅🙅🙅🙅
Mungu npe uvumilivu maan uvumilivu wangu mdg
Wamilele 😂😂😂😂😂😂🙌
Asante kwa penzi la mwisho,kuanzia leo na mimi niitwe Kendrick jamani
😂😂😂We dada ni noma...hapo hakuna mke broo
Yohana wajina wangu kweli tafakari mala mbili , kwanza shukuru umeona ushahidi , usiutese moyo kisa mtu ambanae hata dna hazafanani.
Kwanza maongezi yake huyo mwanamke unagundua tuu si sahihi kabisa vijana jifunzeni kabra hujaingia kwenye ndoa mtafteni Mungu kwanza naye atawaonesha wenza wenu wa milele
Hapo Yahana kachapwa kinyanya mshenzi😂😂😂😂😂
Achana nae huyo ni kahaba sio mwanamke wakuowa hafai kbs hata sura inaonekana inatabasamu badala ya kuwa na huzuni, alafu cha ajabu uchumba wenu si wa mda mrefu miezi 2 tu sio poa inamaana bado wapo kwenye mahusiano na huyo ex wake
HUYO DADA ANAJUA KUIGIZA KULIKO HUYO JAMAA....
Asante kwa penzi zitoo
😀😀😀😀 Aissee
Huyo mwana mke ameyakanyaga njoo kwangu kaka co rizik yakko njooo nitafute nikupe mapenzi njoo kaka achana nae kijana upo sahihi
Duuh! Mapenz ayaa mmmh
Acheni zenu atakma mwanamke nimalaya hawezi kwenda kwa ndoa ake na picha za x sema2 mmeigiza vzr😂😂😂
@@andrewpeter4321 x kamletea zawad kwenye harus
Hajaenda nazo amepewa zawadi
Innalillah wa inna ilaihi rajiuun tuongoze waja wako unaolewa kesho unaenda kuzini na mtu mungine km mlikuwa mmezoweshana ila ungemuhifadhia mmeo nae tunaelewa si kila mwanamke anaolewa bikra ila ukifika muda wa kuolewa natupa pazamani
Ayo nimaneno tuu Kaka angu achan na picha izo na maneno Ayo maneno mengine hua sio ya kweli
Hata me yamenikuta kaka nakwambia na Bado Niko nae ila sina amani moyon nilitoa kwenye mazingira mabaya sana nikampa nauli aende nyumban kwao kwanza nifate utaratibu kilicho Nikuta huduma nilikuwa natoa kumbe mwenzangu anakula Raha na mwanaume wake wa zamani ila me Bado Niko nae maisha yanaendelea ila Kwa ilo lako ni Kubwa piga chini
Watu mnatafuta matukio ili mtoke 😂😂😂😂😂🎉
Mtihani ya Ndoa..unapewa cheti kabla ya Mtihani
Ndoa inasurubiswa na watu wawili tu . Ndoa haisuruhishwi na majirani. Hakuna mkamilifu chini ya jua . Ilifaa mwanaume ukae kwa utulivu uamie ukiwa huna hasira. Lakini usizoweke taarifa zako za ndoa hadharani siwote tunabusara ya kukushauri. Mitandao sio sehemu sahihi sana. Ila kama hujampenda mke na hujawahi kutana na vituko vya ndoa ni bora utulie mwenyewe kufanya maamuzi. Mimi nakushaurini tulieni mtafakari. Wapo watu wanaojipanga kuharibu maisha ya watu tumeshuudia mengi. Msamehe tu hata wewe utatoka siku moja je nae akuanike hivo?
Mmmh watoto wa siku hizi ni msiba duh😂😂😂😂
Wanaume ni wachache tuu jaman daah pole kaka
Iyo si movie wamecheza aisee 😀😀
Yaani ni shida,hapo hakuna anaeujua ukweli,nilishapatwa na janga kama hilo nikiwa ktk kipindi cha uchumba, yaani mwanaume aliyejaribu kunitongoza nikamkataa,aliamua kuandika barua iliyoeleza kuwa tumepanga mimi na yeye kuoana hivyo nijiandae siku ya kwenda kupeleka mahari,na alihakikisha hiyo barua inapitia mikononi mwa mchumba wangu,bahati nzuri ndoa yetu iliandikwa mbinguni,hivyo mpango wake ukashindwa,jambo hilo siwezi kulisahau maishani mwangu,hivyo ukweli wa huyo mdada anaujua Mungu tu
@@avelinabaluhya2804 Aisee, ndio maana watu wanasema kukamilika ndoa inahitaji maombi sana
@@SIMULIZIZONEni kweli kabisa,hata na Yohana asingetumia hasira kutafakari jambo hilo,wameona zawadi imewekwa juu kabisa,ni picha zenye lengo la kuvunja ndoa yao,halafu basi hata hayo maneno hajayaandika huyo mkewe,inaumiza
Huyu dada nimaranya sana haombi hata msamaha nilisha mwacha mwanamke kwa sababu ya kuchati mda wote nikashituka
Wewe Kijana mshukuru Mungu huyu sio mwanamke atakuja kukuua
Pole. Sana. Kaka. Inauma Hakufanya. Pw
Pole sana kaka
Huyu mwanamke nimuongo huyoo tena ni malaya sana muache kabisa
Wanawake wasiojielewa kama huyu ni halali kumuacha hata kama ni Mimi ningemuacha
Mdogo wangu achana na mtazamo hasi huyo ni mkeo kakubali msamehe hatoludia huyo
Mmh Malaya huyo atakusumbua mpumbavu anatunza picha za nn itakuwa anampenda bado achana nae
Kama movie za Nollywood. Naamini si kweli.
Daah hapo mashaka kweli kweli
Pole sana sana
Sharing, bro.... hauna choko peke yako
MwAnamkeee muongooo huyo sana .aseme 2 ukweli ushahidi wote upoooo
Mwandishi mwenyewe ajielewi, achana na mawazo ya mwandishi la sivyo utajutiya baadae.
Hakuna ndoa hapooo mcmtie ujingaaa
Aachananae bro Malaya huyu
Kwenye miti hakuna wajenzi😢😢😢😢😢😢
BINTI MWONGO SANA,HAFAI KUISHI NA MUME YEYOTE KINDOA
Huyu Dem hafai kabisa achana nae bro mjinga kabisa huyu
Huyu Kendrick si ni yule wa kiredio jamaa kitombi sana
alafu kendrick usikute iko apa anacomment 😂😂😂😂