MKE NA MCHEPUKO WA KUTANA Part 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии •

  • @esthermollel9892
    @esthermollel9892 9 месяцев назад +144

    Rose una busara sana dadangu.
    Strong woman ever.
    God bless you

    • @JudithAdonis
      @JudithAdonis 8 месяцев назад

      Kwa kweli ❤

    • @RehemaHondi
      @RehemaHondi 8 месяцев назад

      Rose mwamke wa nguvu nakupa salut mama kaza Buti hao mafisi Wanamdondoshe mate mumeo

    • @MaryLuoga
      @MaryLuoga 6 месяцев назад

      🎉Hfrerhegexhheqfhhexeqhehqhqehqhwhrgeqeqhqwehh​@@JudithAdonis

  • @deelinus3080
    @deelinus3080 9 месяцев назад +152

    Siku zote mwenye BUSARA na HEKIMA atakua juu🥰🙏.
    Rose ni mwanamke na nusu🔥💯

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 9 месяцев назад +279

    Rose nimempenda sana yaani mno mno mno ❤❤❤Rose popote ukiona comment hii nakupenda bure

    • @RehemaHondi
      @RehemaHondi 8 месяцев назад +1

      Rose nimekupe da sana kuwa na ujasisiri was kutosha

    • @makatamauwa1996
      @makatamauwa1996 6 месяцев назад +1

      Team Rose kidole juu☝️

    • @SabahiMassoud
      @SabahiMassoud 6 месяцев назад

      😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @NeemaAkyo
    @NeemaAkyo 6 месяцев назад +8

    Rose jaman nimekupenda bure mnomnomno ,❤❤ Yani ukiona hiii comment una busara dada yang strong woman ever god bless you ❤❤

  • @JudithGeorge-kh4sc
    @JudithGeorge-kh4sc 9 месяцев назад +124

    Huyu dada anabusara sana unajua kuongea bila kutumia panick 📌hv unakasirikaga kweli rosee 🙌your super woman ❤️🔥

    • @VailethHarbeth-nc4qk
      @VailethHarbeth-nc4qk 8 месяцев назад +1

      Maana kama mm apo ndo sehemu ningeruka adi juu ya mezaa okay yeye Sasa Kam ayupo 👐👐

  • @husnaadam6510
    @husnaadam6510 9 месяцев назад +27

    Tuunganishe na roz tumpe hongera zake ni mwanamke na nusu💃💃❤❤❤

  • @MauwaLubanda
    @MauwaLubanda 9 месяцев назад +17

    Unafaa da rose kuhitwa mke wa mtu hongera kwa hekima uliyo nayo nakupenda sana ❤❤❤

  • @JanethMollel-wk5th
    @JanethMollel-wk5th 5 месяцев назад

    Nimekupenda sana 🌹 waoooh your very comfortable congratulations.

  • @ZiiMwita
    @ZiiMwita 9 месяцев назад +9

    😂😂😂😂😂😂😂 wee p weweee kafe mbele ndoa tunayo dada kwanza unasura nzitooo losheni tu inakusaidia 😂😂😂

  • @DieudonneMusangwa
    @DieudonneMusangwa 5 месяцев назад +1

    Rose ni Mwanamke hodari na mwenye busara tena ana akili sana na anaonekana ana uvumilivu ,Mungu akupe maisha marefu Dada I'm proud of you, yaani najikuta nina wivu juu yako, Upo smart kwakuongea Sister.

  • @MohamedMwanikwa
    @MohamedMwanikwa 9 месяцев назад +71

    P mke wake unamwita mchepuko yan rose ww si unipe na mimi hyo siri ya maisha jamn niwe km ww nimekupenda mimi❤❤❤

  • @JosephatMassae
    @JosephatMassae 5 месяцев назад

    Huyu Dada roze nimempenda kwanza hana papara !! She is cool and fery high thinking capacity before talking!! Huyu akiwa mkeo unaenjoy maisha !! Sio mtu wa kujipanikisha ovyo!! 👏👏👏✌✌

  • @lilianmwilawi7233
    @lilianmwilawi7233 9 месяцев назад +378

    Waliopenda rose gather here😂😂😂

    • @OliverGodwinzakaria
      @OliverGodwinzakaria 9 месяцев назад +5

      Nimempenda Sana rooooose🎉

    • @annamnyazi8206
      @annamnyazi8206 9 месяцев назад +2

      ❤❤❤❤❤

    • @LizzyLucas-xy8fj
      @LizzyLucas-xy8fj 9 месяцев назад +1

      ❤❤❤❤❤❤❤

    • @radephplv4976
      @radephplv4976 8 месяцев назад +2

      Eti nauliza jamn aya mambo ni kweli au wanaigiza 😅😅😅😅😅 maana

    • @StylebyTully
      @StylebyTully 8 месяцев назад

      Hahah😂😂😂😂😂 shout out for Roses confidence

  • @felistersanga6318
    @felistersanga6318 7 месяцев назад +11

    Hv upumbavu wakugombania mwaume ni njaaa au dudu ety p ila rose Asante Uko bright sana

  • @Ms.Shansha
    @Ms.Shansha 7 месяцев назад +3

    one of my fav videos💥💥💥💥...how rose is so calm though no MAN is perfect but hope MARKI sees this GEM

  • @franciscarsongea7948
    @franciscarsongea7948 7 месяцев назад +3

    Napenda sana 🌹 anaongea kwa ustazrabu Hana papara huyo mke original sio wa kichina

  • @StellaDimitry
    @StellaDimitry 9 месяцев назад +75

    Rose popot ulipo nmejifunza kutok kwako unajiamn mpk rahaa makopa yko uchukue❤❤❤❤❤

  • @AshaMaria-tx8qm
    @AshaMaria-tx8qm 3 месяца назад

    Rose nakupenda Sana wewenimwamke mwenye akiiri nabusara god bless you 👋👋👋🤣🤣🤣🤣, watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @JanethErasto
    @JanethErasto 9 месяцев назад +24

    Hapo ukute p umri ulikwisha enda kajiopolea bwana wa watu akajua kapata😅😅😅 but nimpenda rose anaongea Kwa busara. ❤❤❤ Love u 😘 Rose halafu wadada mjue kutambilishwa Kwa ndugu siyo kuolewasijuw mnanipata😮

  • @teddymaliatabu2039
    @teddymaliatabu2039 7 месяцев назад +1

    Nlpomuona uyo wife kwny connection ndo nkagundua n drama km drama nyingine nko hapa nmetuliza fuvu... Good movie

  • @MwanahawaBea
    @MwanahawaBea 8 месяцев назад +12

    Imeisha hyoo,,mke atabak kuwa mke na mchepuko hatabak kuwa chepuko,,,mume hawez Tema big G kwa karanga zakuonjeshwa umeupiga mwingi da rose 👏👏👏

  • @LEODIGERMARCO
    @LEODIGERMARCO 8 месяцев назад +2

    Big up ' ~da rose 🤗 wise woman

  • @IvethaRugambwa
    @IvethaRugambwa 9 месяцев назад +9

    Shida inakuwa pale ulimpa moyo wako kumbe yeye alitaka mwili wako tu😃😂😂😂big up Rose

  • @Blackanzazi84
    @Blackanzazi84 8 месяцев назад +1

    Rose ,your one of a million ladies outside here, very much wise, intelligent and focus, Malk bro you have a wife, and a mother of your kids bro love Rose

  • @NicksonMaghembe
    @NicksonMaghembe 9 месяцев назад +33

    ROSE NI MWANAMKE ANAEJITAMBUA SANA SUPER WOMAN CONGRATULATIONS

  • @zainabusaid
    @zainabusaid 5 месяцев назад

    Kwanza comedown 😂😂 woiii ROSE❤❤❤

  • @MariamWambura-v8q
    @MariamWambura-v8q 9 месяцев назад +6

    Hongera Kwa uvumilivu wako nimekupenda🎉

  • @TeddyMdamu
    @TeddyMdamu 9 дней назад

    Rose upo vizuri dada

  • @agatonybenedict6985
    @agatonybenedict6985 9 месяцев назад +8

    Daaah
    Kumbe wanawake kama Rose Bado wapo Duniani, daaah impressive woman, full of IQ,
    Big up Rose you deserve kuish milele ili uwe mfano Kwa wengine 🎉🎉🎉🎉 chukua maua yako

  • @JescaMathias-n7n
    @JescaMathias-n7n 6 месяцев назад

    😂😂😂😂pole sana p

  • @azinamsuya9350
    @azinamsuya9350 8 месяцев назад +12

    Usikute maliki kalinda kula yake hawa viumbe hawatabiriki,akirudi kwa p anajibebisha😂😂😂😂😂 nawaza tu

    • @HasnaSawaid
      @HasnaSawaid 6 месяцев назад

      Mungu nipenguvu zakufanyakazi oman nideree namaishayangu

  • @PhilomenaSteven-x9h
    @PhilomenaSteven-x9h 5 месяцев назад

    Nimekupenda sana dada your very confidence ❤❤❤

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 9 месяцев назад +8

    Miaka minne na mwaka mmoja wapi na wapi 😂😂😂😂😂,dadaangu kua mpole tuu

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z 6 месяцев назад

    Aibu naona Mimi ukuu Oman Roz hongera sanaa pokea mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂😂

  • @IssaIddi-vb9yi
    @IssaIddi-vb9yi 9 месяцев назад +31

    Yes nilikuwa naifatilia hii bora imeisha ila nimempenda sana Rose nimwanamke ambaye anaonekana kichwa chake kinafanya kazi vzur

  • @agnesjohnson2393
    @agnesjohnson2393 9 месяцев назад

    Lol I had to subscribe, after watching this video 😂😂😂 mi nilijua nimasiharaa kumbe watu wapo serious 🤣😂🙈🙈🙈🙈 I’m going to be watching more of your videos 🤣😅😂

  • @KostaAgnasi
    @KostaAgnasi 7 месяцев назад +11

    Rose ana busara sana hivi ndyo anavyotakiwa mwanamke awe pokea mauwa yako❤,p mchepuko anamzarau mwenye mume nimjinga sana😂😂

  • @snowfalldahash7399
    @snowfalldahash7399 7 месяцев назад +1

    Rose ni role model wangu kwa leo aisee❤❤❤nimempenda sana...ni mstaarabu na yupo na confidence ile level ya juu kabisa. Mungu awadumishe sana kwenye mapenzi yenu wewe na mumeo mzikane jamani❤

  • @DomitilaMollel
    @DomitilaMollel 9 месяцев назад +5

    Ghaaaiiiiiii😅huyo Rose yupo kama mm atiiii me nachojua kwa mwanaume wangu nipo mm tuu hao wanajibaruguza wachaaa waburuzweee mwishowe Bwana anarud zake kwangu😅😅❤

  • @Amissi_abasi1
    @Amissi_abasi1 8 месяцев назад

    Rose safi sana kbs❤❤

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 9 месяцев назад +3

    P nilijua tuu utakataliwa kweupee kumanyoko😂😂😂😂😂

  • @RoseDonath-m3b
    @RoseDonath-m3b 6 месяцев назад

    Rose keep up umetueakilisha❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sofiaMtaita
    @sofiaMtaita 8 месяцев назад +9

    Shost kujulikana kwa mwanaume siyo kuolewa.... 😃😃 tuulize sisi tuliopelekwa ukweni na tukakaa miezi na hatukuolewa na tulifahamika na ukoo mzima... Rozi upo good sana❤❤ nimependa jins ulivyo smart kuanzia akili mpaka mwili una hekima sana kipenz...

  • @AshaJumaSaidi
    @AshaJumaSaidi 8 месяцев назад

    Kaka unajitahidi sana kuweka sawa waliogombana nimekuwa miongon mwa wanao support kazi yako Allah akujaalie na moyo huwo

  • @JohnMkwizu-hj1iv
    @JohnMkwizu-hj1iv 9 месяцев назад +5

    ❤❤akii uyuu dadaa nime mpendaa xnaa ana hekima ya moyoo afunguee shule ya mahusiano no lov no stress

  • @Rebeca-z5l
    @Rebeca-z5l 6 месяцев назад

    Big up rose nimekupenda bure❤❤

  • @joycerajabu8448
    @joycerajabu8448 6 месяцев назад +6

    I love Rose the way she talk

  • @yousouph8792
    @yousouph8792 8 месяцев назад +1

    Nimempenda sana Rose, Nimwanamke ambae hakurupuki afu mnyenyekevu woow hongera mdada.

  • @JasmineKitiku
    @JasmineKitiku 9 месяцев назад +3

    Hawa watu wananipa raha 😅 sema huy dada mzur sanaaa wa rang ya chocolate❤

  • @ConsolataMedard
    @ConsolataMedard 8 месяцев назад +1

    ❤ Rose nimekupenda Bureeee Dada Mungu anipe Hekimaa kama Uliyonayo Mama Nakupenda nakupenda zaidi

  • @arianasangawe9688
    @arianasangawe9688 9 месяцев назад +43

    Hasira hukaa kifuan mwa mpumbavu pole kwake p maana alizan kutambulishwa ndo kuolewa hakujua ckuiz watu wananunua wazaz wa mchongo nimempenda sana Rose anajiamini na anatabasamu la kipekee

  • @Mtanzania-j5t
    @Mtanzania-j5t 7 месяцев назад +6

    Rose nimwanamke haswa nimeipenda😊

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 6 месяцев назад

    rose anaroho nzuriii me ningemlarua uyooo p 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @elickjosephy29
    @elickjosephy29 9 месяцев назад +3

    Mwanamke kama rose dunia hii wamebaki wachache sana god bless you rose

  • @EmmyMalino
    @EmmyMalino 9 месяцев назад

    😂😂ee eti kwann anajiamini sana bongo shkmoo 😂😂😂

  • @lilianmwilawi7233
    @lilianmwilawi7233 9 месяцев назад +4

    Rose katulia sana hapanick wala nn aaak huu mchezo hautaki hasira we p kaendelee ty kupaka mkorogo dada😂😂😂

  • @SamirahNgasindah
    @SamirahNgasindah 9 месяцев назад

    😂😂😂😂😂don't kiraiiii huhuhhuhhhhh...... 😂eti ni km mume wangu rose naomba nmb yako jmn unajiamini na unajielewa

  • @happyhappy-ym2su
    @happyhappy-ym2su 8 месяцев назад +8

    Hivi haya ni maigizo au ni ukweli, mbona kama ni ukweli aibu naona mimi😂😂😂😂

  • @aishashukrani2302
    @aishashukrani2302 9 месяцев назад

    Mnaniluusu nicoment tenah💕💕💕💕😄😄😄😄😄😄🙌

  • @VeronicaMinja-zg3mv
    @VeronicaMinja-zg3mv 9 месяцев назад +57

    Rose ndio mke🎉Rose umepitishwa ❤

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 7 месяцев назад

    Mwanamke kujiamini .nimekupenda sana.

  • @JacklineAmbangile
    @JacklineAmbangile 9 месяцев назад +6

    Dada rose upo vizuri dada nimekupenda bure natamani hata nipate no yako. Una busara sana dada❤❤❤

  • @NeemaIbrahimu-c2l
    @NeemaIbrahimu-c2l 5 месяцев назад

    Woohoo! Rose Ni mke jaman mstaarabu sana Malik mke anae

  • @AdolophinaKato
    @AdolophinaKato 6 месяцев назад +4

    Rose mimi nimekukubali dada angu 🥰🥰🥰 wanao mpenda woteeee wapite hapa😂😂😂

  • @SaraFabian-gu7df
    @SaraFabian-gu7df 9 месяцев назад +2

    Da rose Big up San nimekuoenda Kwanza huna presha na mahusiano yak like it❤❤❤❤

  • @强大张
    @强大张 9 месяцев назад +5

    Ila sisi Wanaume tunajua tuyafanyao kwa mabinti ,hatuwez chagua mbulala hata iwe pisi vip😅😅

  • @ElizabethPicket
    @ElizabethPicket 3 месяца назад

    Rose ww ni mwanamke na nusu ❤ mungu aibariki ndoa yako ikawe imara na y aman kabisa❤❤❤❤❤🎉

  • @OfficialBwalyah
    @OfficialBwalyah 9 месяцев назад +21

    P kwanzaa hata alikuwa hajiamin tangu mwanzoo😅😅😅

    • @hidayakiza9364
      @hidayakiza9364 9 месяцев назад

      Lazima asijiamini mwaka mmoja kwa miaka minne

  • @getruda-oy8mo
    @getruda-oy8mo 9 месяцев назад

    Huyo p Kama anaigiza kaambiwa ok action😂😂😂😂 nakupenda dada Rose Kama Mimi tu😅😅😅

  • @CalmelinaCoelho-i5v
    @CalmelinaCoelho-i5v 9 месяцев назад +43

    Aibu naona mimi p sura yenyewe ngumu bado unalazimisha mume wangu 😂😂😂 umekataliwa nimgekuwa mm ningekimbia moja iyo

    • @RehemaEndward
      @RehemaEndward 9 месяцев назад

      Wallah nimecheka sana dah p ndio akome 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

    • @ViolethMushi-sm7yn
      @ViolethMushi-sm7yn 9 месяцев назад

      😂😂😂

    • @ViolethMushi-sm7yn
      @ViolethMushi-sm7yn 9 месяцев назад

      Kiherehere nikibaya sana 😂

    • @AgnesDavid-et3zn
      @AgnesDavid-et3zn 9 месяцев назад +2

      Sasa p kujitamba kote huko kumbe analelewa na roz

    • @neemakassan6538
      @neemakassan6538 9 месяцев назад

      Nimecheka kwa sauti kubwa 😅😅😂😂km mazuri vile p maskini anatia huruma na amekimbia wanaume ni washezi kabla hujaingia kwenye mahusiano mchunguze kwanza usikimbilie tu kusema ni mume wangu aibu naona mm huku wadada tuwe makini p alikimbilia kisa ana mali mie mwaka wa saba nipo na mahusiano amezaa na wanawake wawili tofauti pia biashara mtaji ni wangu lkn still bado nipo nae tokea 2016 nasafiri sana nje ya nchi hd alioa lkn wakaachana akarundi kwangu tena nami nikazaa na mtu wa mamtoni nimerundi bongo ushauri ukimkuta mtu ana mali jaribu kumchunguza kwanza wadada mnafeli wapi?

  • @SelineChandja
    @SelineChandja 6 месяцев назад

    Nakupenda bure Rose❤😂😂😂

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 9 месяцев назад +9

    Ila rose mzuri!!!❤❤❤.

  • @veronicamasawe1106
    @veronicamasawe1106 9 месяцев назад +1

    Big up rose nimekupenda bure

  • @SevelinaNandwike
    @SevelinaNandwike 9 месяцев назад +8

    Roz jmn nimempenda huyu dada anajiamin sana big up

  • @SleepyEel-vo2by
    @SleepyEel-vo2by 8 месяцев назад

    Hehehehe iyaaaaaa 😂😂 polee tatizo lilianza ulipojiita p paulo au Peter😂😂😂 ukomegeeeeee

  • @Salmakaucha
    @Salmakaucha 9 месяцев назад +109

    Duuu ila Loz nimzuli Kisha anaeshima na busala piya mashaallah

    • @mohamedchillumba-rk4eu
      @mohamedchillumba-rk4eu 9 месяцев назад +5

      Sio lozi Rose

    • @faridalihondo3322
      @faridalihondo3322 9 месяцев назад +1

      @@mohamedchillumba-rk4eu😂😂😂😂😂

    • @athumanhamad8522
      @athumanhamad8522 9 месяцев назад +2

      Loz nimke mwema so hawez kosa busara angalia sasa hio mbuzi inavyo jibu p anatamaa na duka za msela alizopewa na Loz

    • @AgnesDavid-et3zn
      @AgnesDavid-et3zn 9 месяцев назад +1

      @@mohamedchillumba-rk4eu a weee 🤣🤣🤣

    • @salmatuleteesehem71jmnmahm59
      @salmatuleteesehem71jmnmahm59 9 месяцев назад +1

      Nyie nyoote ni michepuko hahhhahh kumbe hakuna mke hapo mie nilijua mmoja kaolewa kumbe nyoote mnaziniwa tu mwisho wa siku anaenda kuoa mwingine endeleeni kugombania tu😅

  • @AnnaNicolaus
    @AnnaNicolaus 8 месяцев назад

    ❤❤rose I love you..umenifundisha kujiamini zaidi michepuko jifunzeni kitu hapo😅😅

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 8 месяцев назад +5

    Hongera Rose, you are very humble. Umejaa hekima na ndivyo ilivyo kwa kila mwenye haki.

  • @elizarichard9657
    @elizarichard9657 8 месяцев назад +2

    Congleshen rose 😂😂😂 p Fanya maamuz yakumove on ....unajichoreshaaaa

  • @suzanajackson1910
    @suzanajackson1910 9 месяцев назад +3

    Masikini p mbona anaforce mapenzi and much love Rose❤

  • @meleniamarka3420
    @meleniamarka3420 9 месяцев назад

    😅😅😅😅uyo p kazama ndo maana panick, ila Rose upewe maua yako🙌me nisingeweza et nishike adabu😂khaa

  • @furahanorbert7843
    @furahanorbert7843 9 месяцев назад +4

    Huyu P kiboko hadi anagonga meza kumshitua rose😂😂mapenzi bwana🚶🚶

    • @WemaMarari
      @WemaMarari 8 месяцев назад

      Amepaniki

    • @MourineBernard
      @MourineBernard 8 месяцев назад

      🤣🤣🤣🤣 aise me ningejitupa chini

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 5 месяцев назад

    Yaan p unaiba afu unatishia 😂😂😂😂😂😂unawazimu ,nngekuzibua weupe wote uishe 😂😂😂😂😂ungekua mwekundu

  • @SeciliaNicholaus
    @SeciliaNicholaus 9 месяцев назад +3

    Nakpenda da rose ❤❤❤

  • @WitnessMtasima-i9s
    @WitnessMtasima-i9s 6 месяцев назад

    Hao ndo wanamumeeeeeeee😂😂😂😂 wacha nikule mimi😂😂😂😂

  • @DeboraChediely
    @DeboraChediely 9 месяцев назад +6

    Nilijua rose ndowifi yetu ❤❤

  • @MaimunaSaidi-u7n
    @MaimunaSaidi-u7n 12 дней назад

    Nimempenda Sana Rose napenda awe dada angu nnaimani ntajifunza vingi kutoka kwake🙏🙏 naomba unifikishe huu ujumbe please

  • @SleepyFlowerGarden-im6bv
    @SleepyFlowerGarden-im6bv 9 месяцев назад +3

    Mr uky nakukubal sana

  • @SalmaSinkala
    @SalmaSinkala 7 месяцев назад

    Ahahaha😂😂😂 nasikilizia kuona majibu😂😂😂😂😂

  • @Miss_Kaaya
    @Miss_Kaaya 9 месяцев назад +10

    That Rose HAVE GOD WISDOM ❤❤❤ BOLDNESS 🥳🥳

  • @AshuraNzeyimana
    @AshuraNzeyimana 6 месяцев назад

    Da Rose allah azidi kukupa mwoyo wa sbura ni mndogo wako kutoka burundi ongera sanaaaa ila unamoo mim siwezi kweli

  • @magrethjuma8515
    @magrethjuma8515 9 месяцев назад +32

    Nime jifunza kitu Kwa Rose jamani 🙏🏾 mwanamke ni akili heshima na hekima balikiwa da Rose

  • @ummibabysalim9522
    @ummibabysalim9522 7 месяцев назад

    🌹 Rose ni mwanamke mwenye busara sana🎉🎉 congratulations

  • @NahlaRashed
    @NahlaRashed 9 месяцев назад +5

    Hiii inachekesha kweli 😂😂uyo malki cjui anajiskiaje

    • @halimahalima1488
      @halimahalima1488 9 месяцев назад +1

      Jamni 😂😂😂 nimechakaa

    • @HappyKamera
      @HappyKamera 9 месяцев назад

      Ila wanaume 😢😮😊😂

  • @jescahaule4802
    @jescahaule4802 9 месяцев назад

    Ros🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Nakupenda sana

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 9 месяцев назад +13

    😂😂😂uzuri marick ajatoa pesa za uyu asuke uyu asisuke wote ni mnyooshoo mashallah 😂

  • @Mrszizo-d7t
    @Mrszizo-d7t Месяц назад

    Mr UK kizungu tu yani😂😂

  • @tinahmnubi187
    @tinahmnubi187 9 месяцев назад +4

    Huu Mchezo hautaki hasira kilanga komooo Rose yuko humble ❤

  • @ReginaKaizirege-sd3hn
    @ReginaKaizirege-sd3hn 9 месяцев назад +5

    Rose nimekupenda buru,, ktk hii dunia nilijua niko peke yangu kumbe nimekupata mdada mwenye kujitambua na mwenye maneno matamu na mazuri yenyekufundisha,,, Mark kaoe Acha upuuzi

  • @EstherEsamaMagero
    @EstherEsamaMagero 4 месяца назад

    Rose❤ i love the way you react