NDOA ILIYOVUNJIKA TABATA KISA PICHA ZA BIBI HARUSI NA EX, RECHO AMEFUNGUKA MAZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 206

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 5 месяцев назад +5

    Umeuvunja ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe. Pole sana Yohana. Wewe dada utapendaje wanaume wawili kwa wakati mmoja.

  • @MaryAlfred-iu8yp
    @MaryAlfred-iu8yp 5 месяцев назад +1

    Hahahaha huyu dishi lake linayumba😅😅😅

  • @JairosSubet-s1f
    @JairosSubet-s1f 5 месяцев назад +1

    Huyo n malaya tena aliyekubuhuuuuu😂😂

  • @AishayoutubeMoosa-zn1co
    @AishayoutubeMoosa-zn1co 6 месяцев назад +7

    Jmn Huy dada kabla gani 😅😅nipo peke angu lkn naona aibu kuangalia😅😅

    • @BilluAmour
      @BilluAmour 5 месяцев назад

      @@AishayoutubeMoosa-zn1co hatari

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 6 месяцев назад +10

    Huwezi tumikia Mabwana wawili ni dhambi sana. Sidhani kama utaolewa tena labda mwendawazimu tu.

    • @IreneShirima-y3l
      @IreneShirima-y3l 5 месяцев назад

      Huyo mwenda wazimu mwenye awe kipofu na kiziw...mama kama anaona akiona hii kuolewa labda maiti isimame kwa miguu

  • @piuslugata4931
    @piuslugata4931 3 месяца назад

    😂😂😂 ongopa sana mwanamke amekosea alafu nijasili bado mtu huyo nimalanya mno

  • @AishayoutubeMoosa-zn1co
    @AishayoutubeMoosa-zn1co 6 месяцев назад +9

    Umalaya tuu kunyooshaa maelezo aaah😅

    • @HusnaMm-h3v
      @HusnaMm-h3v 6 месяцев назад

      @@AishayoutubeMoosa-zn1co yani ww 😂🤣🤣😂

    • @FelisterCasbeth
      @FelisterCasbeth 5 месяцев назад

      😅😅😅😅😅😅

  • @NeemaShabani-er7mv
    @NeemaShabani-er7mv 6 месяцев назад +6

    Yye huyo mumeo engeletewa box kamahilo ingekuwaje

  • @ZainabuHussein260
    @ZainabuHussein260 6 месяцев назад +2

    Hy dada nimuongo sana anachanganya maneno

  • @jonathanrumenyela125
    @jonathanrumenyela125 6 месяцев назад +4

    Mumeo ni Kendrick sio Yohana Mungu amemwonyesha Yohana mapema!

  • @jacobmvanga4564
    @jacobmvanga4564 6 месяцев назад +3

    Wew mujinga San tenahunaaibu kabs mutandaoni unajiachia 😂😂😂 bc ludi kwalasi wako umalaya umekupoza😂😂😂😂

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 5 месяцев назад +3

    Umri wako na Yohana ni tofauti ulikuwa unambaka mtoto wa mwanamke mwenzio

  • @SheltieliChristopher-w4i
    @SheltieliChristopher-w4i 5 месяцев назад

    Huyo dada Malaya balaaa tena master conk

  • @shukurufungoh1841
    @shukurufungoh1841 6 месяцев назад +2

    We dada unatutia aibu Mungu kakuanika na tabia zako mbaya Yohana siyo mme wako upendo wako upo kwa Kendric
    Mwache kaka wawatu umempotezea muda na fedha pia nenda zako kuanza upya si ujinga.

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 5 месяцев назад +3

    Usimuendee kwa mganga ushindwe kwa jina la Yesu. Namzingira kwa damu ya yesu kristo wa Nazareth. Huyu apelekwe milembe apimwe

  • @SamiraseifAlfan-ph4ke
    @SamiraseifAlfan-ph4ke 5 месяцев назад

    Mbn umekazia hapo kwenye chchte atakachotaka utampa 😂😂😂

  • @lemapraygod6527
    @lemapraygod6527 5 месяцев назад

    Kuna somo zito Kwa vijana hapa, huyu kabaatika kuachwa akiwa nzima , japo kamuharibia sana Yohana

  • @katogeorge9834
    @katogeorge9834 5 месяцев назад +1

    Kijana pole sana, ungefungua mabox matano ungekufa na pressure, utapata wa kwako kikubwa omba sana Mungu

  • @piussimtala5111
    @piussimtala5111 5 месяцев назад

    Binti huyu ni hatari sana,nawachukia watu wa namna hii!!Tamaa zimekuponza kwani maskini wa leo si tajiri wa kesho?

  • @neemajames5137
    @neemajames5137 6 месяцев назад +4

    Dada unatia aibu hakuna mwanaume atakaekuvumilia tabia zako una.shida sana.

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 6 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂 Aya buana

  • @SarafinaJohn-h8o
    @SarafinaJohn-h8o 4 месяца назад

    uri Fata nini kwa rasii😂😂😂😂

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 6 месяцев назад +2

    Ulienda kumuaga kama nani yako na yake ilisha kitambo kwanini umfuatee kwani nirusa ulikua unataka kutoka kwake .ulipata mchumba mpaka imefika wakati wa arusi ulikua haujamsahau ex wako.umejiletea mwenyewe kwa maana bado ulikua unampenda ex wako. Ulienda kumba mapenzi ya mwisho amavipi.amekwaribia lakini ndio hivio kimekuramba juu ya udaku yako na kucheat juu yake

  • @naomipieter4627
    @naomipieter4627 6 месяцев назад +2

    Na dyudyu ukalila😮

  • @FaustaMichael-q3g
    @FaustaMichael-q3g 5 месяцев назад

    Dadaangu kwa kweli Mungu akusamehe tu

  • @piussimtala5111
    @piussimtala5111 5 месяцев назад

    Ila kama kweli ndoa yenu ame panga Mungu,Mtaoana ili binti jifunze utulivu,epuka kujieleza Sana kwa waandishi!!!

  • @wilondjawilson7061
    @wilondjawilson7061 5 месяцев назад

    Hapo Yohana amechapwa live bilachenga.😂😂😂😂

  • @AzizaSalim-n2q
    @AzizaSalim-n2q 5 месяцев назад

    Familia ya recho, kama yohana, msilazimishe hawa wawili kuishi pamoja, hakuna maisha hapi kuna HATARI tupu, msimvute yohana kwa nguvu za kiza (ushirikina) binti yenu ndio hakutulia, wala c nyinyi wazazi, mwenyewe recho, hajui anachokitaka.

  • @AliHamadi-kq1hh
    @AliHamadi-kq1hh 6 месяцев назад +2

    Kenge you dada

  • @LunchmanKoya
    @LunchmanKoya 5 месяцев назад +1

    hamna mke hapa brother mm mwenywe sipendi kuongelewa mwanamke wa zaman huyu milembe inamhusu

    • @piuslugata4931
      @piuslugata4931 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂 ni malanya sana

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 6 месяцев назад +3

    Ni lazima ivunjike mwanamke ataendelea na mwanaume wake hakuna ndoa.

  • @restypeter1141
    @restypeter1141 6 месяцев назад +12

    Km Kuna mhudumu wa mirembe hapa nataka niwaambie hapa Kuna mteja wao😂

    • @estherjoseph-d3z
      @estherjoseph-d3z 6 месяцев назад +1

      Hakiamungu ujakosea wamuwai kabla ajabebwa na wemgne😂

    • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
      @Mahershalalhashbazi-kf6xi 5 месяцев назад

      😂😂😂😂

    • @kajimahona4678
      @kajimahona4678 5 месяцев назад

      Sahihi milembe ndo chaguo

    • @kajimahona4678
      @kajimahona4678 5 месяцев назад +1

      Me niliachwa kisa pesa mpaka siku ya harusi Binti naongea nae fresh kumbe kunanyuma ya pazia harusi ilifanyika bila kujuakuleeee tabata kwa dada ake it was so painful,sad,ilini hurt Sana Bora wewe Binti x wako alijua

    • @shadyfany
      @shadyfany 5 месяцев назад

      Duh kweli chizi

  • @BilluAmour
    @BilluAmour 5 месяцев назад +1

    Mukipata stara muithamini wenxenu watamani wapate waume 😮duh sjapenda ht

  • @AliHamadi-kq1hh
    @AliHamadi-kq1hh 6 месяцев назад +6

    Jamani Yohana mpole sana kwanini Sisi wapole tunateseka

    • @christianmenas9528
      @christianmenas9528 5 месяцев назад

      @@AliHamadi-kq1hh bro we acha tuu..wanatuonea sana. Yaani nimeumia kama nimefanyiwa mm vile daaa..! Naogopa kuoga na hii video imeniongezea uwoga kabisa..

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma 5 месяцев назад

      @@christianmenas9528 Upole upi wakati kavunja ndoa??? Kwa maelezo ya huyu dada, Mimi siwezi kumlaumu hata kidogo.. kwanza Kumbuka uchumba wao umedumu kwa miezi miwili!! Kwa mda huu wa miezi miwili unatarajia nini???

    • @LizenMaker
      @LizenMaker 5 месяцев назад

      Kua Malaya unapata wadada waliotulia et.

  • @EmmyPankras
    @EmmyPankras 5 месяцев назад

    Pole

  • @AishayoutubeMoosa-zn1co
    @AishayoutubeMoosa-zn1co 6 месяцев назад +4

    Anavotetemeka😂😂

    • @NoorynMody
      @NoorynMody 5 месяцев назад

      @@AishayoutubeMoosa-zn1co kma kashikwa na degedege🤣

  • @bennettbennett2915
    @bennettbennett2915 6 месяцев назад +2

    Dada huna haya weweeeee3e😅😅😅😅😅😅 sasa hatakama niwewe sidhani kama ungemuelewa uyo mumeo,,,Umezingua huezi olewa kesho leo ukamuage X wako mmmhhhhh😅😅😅😅 tena vyamwisho mwisho bibi harusi mtarajiwa😮😮😮 ukaaga mwenyewe haya sasa limekukuta

  • @AliHamadi-kq1hh
    @AliHamadi-kq1hh 6 месяцев назад +2

    Mzigo huyo Yohana usikubali kuchukua kenge bro na ukitaka owa angalia manawake WA 2000 nimajanga

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 6 месяцев назад +3

    Kajeuri haka

  • @KulwaAudax
    @KulwaAudax 5 месяцев назад

    Dada unajizalilisha ,we sema umekulupuka kajipange upya

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 6 месяцев назад +2

    Umeyataka mwenyewe kwanini uriyenda nyumbani kwake ww maraya tuu unapendana nawanaume 2 ogopa mungu ww dada kuoga aaaaaah

  • @JeyKhamiy
    @JeyKhamiy 5 месяцев назад

    Ww mpumbavu sna sana

  • @saidjumanne-gx9sd
    @saidjumanne-gx9sd 5 месяцев назад

    We ni mpumbavu na hustahili kuhurumiwa pamoja na ujinga wooote huo bado unamsifia Kendrick!!!!

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 5 месяцев назад +3

    Ulitakiwa ubadilishe na namba ya simu kama ulishatolewa maali. Umeenda madhabahuni kwa Mungu kufunga ndoa wakati jana ulizini umemdhiski Mungu pumbavu wewe

    • @AsiaNgoleka
      @AsiaNgoleka 5 месяцев назад

      Kazini na kesho yake madhubaoni huyu angekuwa mwizi tungemchoma moto.

  • @MsofeAtanas
    @MsofeAtanas 6 месяцев назад +3

    Kumuaga au kumpa kum hamna shida wewe mwanamke ndo unashida kwann hajakuoa yeye hujitambui

  • @SeifJuma-cp3lb
    @SeifJuma-cp3lb 5 месяцев назад

    Umemuga vizurikweli

  • @Mouilya-i4v
    @Mouilya-i4v 5 месяцев назад

    Mtangazaji anamaswali yamitego,na biharusi anaingia mkenge anategeka😂

  • @monteiromajembe4067
    @monteiromajembe4067 5 месяцев назад

    😂😂😂😂 umalaua tuu

  • @matanobaya619
    @matanobaya619 5 месяцев назад

    Yo hana huyu dem hakufai unaeza jutia maisha yako.

  • @johnmbilinyi3869
    @johnmbilinyi3869 5 месяцев назад +1

    Wee mwanamke Acha uongo wewe nimchepukaji yaani jana unampa x wako Leo unafunga ndoa na mwingine. Siyo mwaminifu dada. Yohana yuko sahihi wewe bado unampenda sana x wako

  • @AthumaniAbasi-ed1ze
    @AthumaniAbasi-ed1ze 6 месяцев назад +2

    Watoto wa 2000 ni kiboko, ndoa ni badili hyooo mkeka umechanika🙈🙈

    • @DorcasLoy
      @DorcasLoy 6 месяцев назад

      @@AthumaniAbasi-ed1ze Jman hapa huyu Dada sio wa 2000 mnatuabisha kweli tumezidi lakini huyu wa 94 sio 2000 muongo

    • @DorcasLoy
      @DorcasLoy 6 месяцев назад

      Huyu sio wa 2000 muongo huyu dada wa 1994

  • @HamisiAhamad-yx5gn
    @HamisiAhamad-yx5gn 5 месяцев назад

    Uyo dada malaya sanaaa

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 5 месяцев назад +1

    HALAFU UMELALA NAYE MARA YA MWISHO YA KUAGANA!!
    WEE NI MALAYA TU KUMA WEWE.

  • @neemaraphael8732
    @neemaraphael8732 5 месяцев назад

    Dada umefeli ungekuwa ww ungeweza ww ni mnafiki unapenda mara mbili

  • @bigboys016
    @bigboys016 6 месяцев назад +5

    Kama siyo mqigizo huyu anatatizo la afya ya akili

  • @mlugekarol2688
    @mlugekarol2688 5 месяцев назад

    Hadi unamuomba Kendric uoolewe. Mwehu sana. Na penzi la mwisho jana

    • @zephanialuangwaeliatosha9723
      @zephanialuangwaeliatosha9723 5 месяцев назад

      Jana kapigwa shoo ya mwisho😂na amini usiamini huyo dada hawezi mwaacha Yule rastar oil jamaa wacha amuolee mwenzie

  • @MwitaHamismwita
    @MwitaHamismwita 6 месяцев назад +2

    Umekuta ni yohana ungeyabananga kwang kama mwita mwandishi kuja afike angekuta Huna pua wala sikio

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 5 месяцев назад +1

    Kakuomba mpige picha au kakuomba muagane pia..???

  • @jacquelinefernandes9056
    @jacquelinefernandes9056 5 месяцев назад +1

    Dada jicho kavuu huna hata majito lo!

  • @husseinjumanne6496
    @husseinjumanne6496 5 месяцев назад +1

    Halafu FA akasema sijui - Kabla ya siku ya harusi sijui bibi arusi akafanya nini? Malizieni

  • @NoorynMody
    @NoorynMody 5 месяцев назад +1

    Akapimwe na mimba hyo maana cha kuagana miuno ya uzazi hiliudika 😂

  • @MeraiOmar-ok8bo
    @MeraiOmar-ok8bo 5 месяцев назад

    Somo zuri

  • @ikupilikasolomon9432
    @ikupilikasolomon9432 5 месяцев назад

    We yohana uyo dem ni mke wa rasta tu ww Mungu atakupa chombo yako ya maana kabsa

  • @gladysmapenzi2089
    @gladysmapenzi2089 6 месяцев назад +1

    Wee dada sasa kumekua ukweli enda kwa hiyo ukipiga naye picha. Utawezaje kua na harusi na uende kwa mwanaume mwengine kupiga picha . Sasa enda kwa hiyo ùlopiga picha. Hauna hata aibu, kama ulikua na huyo wa milele mbna ùkaenda kwa ýohana. Yohana achana na huyo Mirada atakuumiza sana huyo hana hata aibu

  • @neemaraphael8732
    @neemaraphael8732 5 месяцев назад

    Hakuna ndowa hapo yohana tulia utapata make mzuri huyo arudi kwa Kendrick atakusumbuwa hawajaachana hao

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani Месяц назад

    Wewe malaya mbwa

  • @husseinjumanne6496
    @husseinjumanne6496 5 месяцев назад

    Tatizo wabongo tunapenda kuiga kujitia uzungu wakati waafrika wa tandale

  • @DarajaniZanzibr
    @DarajaniZanzibr 5 месяцев назад +1

    Atakusumbuwa

  • @AkleyBernard-g9o
    @AkleyBernard-g9o 5 месяцев назад +1

    Sasa mwambie akuowe maana yeye anataka kukuchezea

  • @LeticiaGeorge-h6f
    @LeticiaGeorge-h6f 6 месяцев назад +2

    Toa kauri ya kusema nikama mme wako sema ni mme wako omba msamaha

  • @EliseiJoseph-hv3ho
    @EliseiJoseph-hv3ho 5 месяцев назад

    Mim binafsi msinione me mjing hio ni michezo so kweli hata kidg

  • @thedamonce
    @thedamonce 3 месяца назад

    Natamani niongee na hawa watu wawili kama bado wametengana ili kuwasaidia

  • @irenemabula795
    @irenemabula795 6 месяцев назад +2

    Hadi aibu jmn unatuaibish watot wa2000 jmn af uso mkavu mwenyew hata mshipa haumgongi kabsa

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 5 месяцев назад

    Uongo mbaya😅😅😅

  • @ShakoKalama
    @ShakoKalama 6 месяцев назад +3

    Aibu sana dada malaya sana mama yako atasema nini aibu kabisa lala tu malaya

  • @HamisiAhamad-yx5gn
    @HamisiAhamad-yx5gn 5 месяцев назад

    Wanawake kama awa wako wengi sana ndo wanaosababisha kuonekana wanaume kuwa atuna akili

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 5 месяцев назад +1

    Wewe dada una makosa. Umeamua kuolewa halafu unakwenda kupiga picha na mwanaume mwengine. Na huyo kaamua kukuharibia.

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 5 месяцев назад +1

    We pumbavu kabisa unetolewa maali tayari umevalishwa pete hadi mpishi kashalipwa mapambo bado unaenda kupiga picha na hawala pumbavu kabisa. Wewe ni kahaba kabisa

  • @israelnibigira4990
    @israelnibigira4990 6 месяцев назад +2

    Mimi ningekutwanga makofi ili utoke hio fasi urudi kwenu, Malaya wewe

  • @ShakoKalama
    @ShakoKalama 6 месяцев назад +2

    Auna aibu dada toka pale fumbafu sana

  • @fortinusgeorge
    @fortinusgeorge 6 месяцев назад +2

    We dada muongo hadi ukampa penzi la mwisho hukuona ata aibu nendaaaaa ukae na Kendrick wako

  • @Sona-f7k
    @Sona-f7k 5 месяцев назад

    Sanitize her phone...

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 5 месяцев назад +1

    MUONGO MUONGO NA MUONGO TENA PUMBAVU WEWE. MAELEZO YENYEWE UNA UNGA UNGA HUNA LOLOTE. NDIYO MAANA ULIMLAZIMISHA YOHANA AKUNUNULIE MPUUZI WEWE

  • @EbambeWakilongo
    @EbambeWakilongo 6 месяцев назад +2

    Jinga kweli ww

  • @JeyKhamiy
    @JeyKhamiy 5 месяцев назад

    Ongoo ilo

  • @husseinjumanne6496
    @husseinjumanne6496 5 месяцев назад

    Eti picha tu!!!

  • @AbuuAli-nf4fb
    @AbuuAli-nf4fb 5 месяцев назад

    Huyo ni Malaya na huyo bwanaharusi akikubali kumsamehe atapata Maisha magumu Sana ni heri akubali kumuacha na amsahau kabisa

  • @hajiamisi8265
    @hajiamisi8265 6 месяцев назад +2

    Ww ni mwongo sema ukweli metiwa

  • @johnjilala415
    @johnjilala415 5 месяцев назад

    Mlembe njooni mchukue mtu wenu naona anatufokea huku ....

  • @AndrewShola-ts5lp
    @AndrewShola-ts5lp 6 месяцев назад +2

    Hivi ni kweli ndo hii ilikuwa ya kanisani au..?

  • @yanganasimbasasaivprince2183
    @yanganasimbasasaivprince2183 5 месяцев назад

    Wewe dada mnafiku mkubwaaaa,,,hyo ni m2 wak na hamuez kuachana.

  • @AbasiNgawile
    @AbasiNgawile 5 месяцев назад

    Dada yangu ungekubali mwanzo mbona angekusamehe tatizo lako umeanza kijana kwanza

  • @hasnakid
    @hasnakid 5 месяцев назад

    Umenichefua sana kiumbe ww, yaan unaacha kumthamin mwenye amekupa heshima ya kukusitir unaenda kupiga pich na mt asiyejua thaman yako.😏

  • @wilondjawilson7061
    @wilondjawilson7061 5 месяцев назад

    Hayo, mahelezo hata hayaheleweki , laba anahitaji mtafsiri wa lugha yake ya asili.

  • @KingaluSalumu-yv2vu
    @KingaluSalumu-yv2vu 5 месяцев назад

    Kwenda kwa uyo rasta akuowe

  • @Mwajuma123
    @Mwajuma123 5 месяцев назад

    Umelikoroga dada ndoa kesho unaenda mchepuko badala ya kukaa ndani we mjinga

  • @GadssonLutaha
    @GadssonLutaha 4 месяца назад

    Yohana huyo mwanamke tupa kule kwanza atakuzeesha

  • @DJINNOSSBTZ
    @DJINNOSSBTZ 5 месяцев назад

    Yani hii kama ni kweli huyu dada ni sawa na muuwaji tu

  • @husseinofficial5634
    @husseinofficial5634 5 месяцев назад +1

    Kumaaaamako we nenda kaish na boya wako

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 5 месяцев назад

    Uyu Kunguru afugiki