Mchungaji apa kachemsha sio sir wengine ni kosa tu la ujana wakati anakuwa maana tukiwahukumu wadada kisha ivo je wanaume waliowazadhalisha nao iwe ivo ivo
Tuliozaa tunasema iviii tupo makini sana na familia zetu atukuzaa kwabahati mbaya ila mungu alitupa zawadi kumbukeni hilo alafu tukiacha huwa tunaacha kweli lakini mnatufikilia vibaya mungu apenfi ebu wazungumzieni waliotoa mimba ndo muwajadili
Kuzaa nje ya ndoa na kutoa mimba zote ni dhambi hakuna aliye sahihi , ila sasa linapokuja kwenye swala mahusiano rasmi ndipo changamoto zinaanza kuibuka kama hivo, mwingine kazalishwa kachwa ,mwanaume anapebda anamuoa lakini wakiwa kwenye mahusiani ya ndoa bado anakuwa akitafta mahusiano na yule mzazi mwenza . Kwa hili ni kumuonba mungu tu awe mpatanishi mambo yaende, lakini kwa hili hakuna kujisifu
Tena kuna aibu kubwa mwanaume kutunzwa na mwanamke.Katika kitu cha kuogopa katika kuoa nikuoa mwanamke mwenye elimu ya juu kukizidi na mwenye pesa kukuzidi.Utajuta katika maisha.Hii ni hekima.
Kiukweli inahitaji hekima sana juu ya swala kama hili. Na mbaya zaidi ukute mzazi mwenza na mke wako awe yupo vizuri kwenye uchumi , harafu wewe uliyeoa uchumi wako unalegalega. Hakika mahusiano yao ndo yatapamba moto zaidi.
As long as hamukemei zinaa single mamas wataongezeka every day! Ajabu kabisa huyu ni kiongozi lakini haoni kosa la watu kuzini kuwa ndo sababu ya haya matatizo!
Mwanamke ana asili yakudanganywa ndo maana nyoka alimfutwa yeye bustani ya eden,mwanamke akakubali, sasa kwa mazingira ya sasa nyoka ndo huyo mwanaume anae kuja kumdanganya mwanamke
Narudi pale pale uislamu haujaacha kitu ukiona mwanamke mwenye watoto sheria ya dini umesema vizuri mchungaji anashindwa kuwaakataza wasizini anasema ukizaa naye kabla ya ndowa umuowe sio ashauri waowane kwanza ndio wazae
Hamna dear kuna watu wameolewa na waliozaa nao na wakaachwa na wakapata wanaume wanaowapenda na wanaishi kama familia ya mtu mmoja ni kumuomba tu mungu akupe unachostaili kipenzi
Inategemea tu lakini tumeolewa tumezaa tumeolewa tenaa na hakuna shida yoyote munaonana pale inapobidi tu labda iwe wanatakana wenyewe hapo hata wasingezaa bora mutafute mabikira labda
Ukwel asilimia mia 1000000 mana ndo mwixho waxiku ukienda ukweni utaambiwa kaxafixhe mabanda ya kuku yamechafuka huku wenzio wanakunywa maji ya afya na Azam mango pembeni
Hata wanaume wenye watoto njee yaani hata kama aliachana na mama mtoto Kwa maugomvi ipo siku watarudiana tena huyo mama mtoto akiona mwanaume anamwanamke anayempa Amani mwenyewe anakuwa mpole anakuwa na wivu na ipo siku watarudiana au kuwasiliana na kuzaa tena.
Hata kuolewa na mwanaume mwenye watoto aaliwazaa mtihani kwa wanawake tena hatari sana wamama hao simu mda wote ukiuliza maswala ya mtoto mzazi mwenzangu Mmh hilo swala mtihani tena afadhali ukute mwanaume hamtaki huyo mzazi mwenzake Lin kama sivyo mnajua hamna amani kabisa hata kama mwanamke ameolewa bado anamtaka mzazi mwenzie
Akimpigia sm mtoto wake kazidiwa hataenda kumwuguza Yani hapo hakuna afadhari Uzuri wawanawake hakunaga mtoto mbaya Hatakama baba wamtoto ni mbaya kisigani Hapo nawakubali .
Usiongee maneno ukamaliza,,, chizi mzuri kama hatoki kwny familia yenu kaka... Omba sana Mungu na uombee sana kesho ya watoto wako hasa km una watoto wa kike.!!! Jiulize je ungekuwa mzazi wa mtt wa kike ambaye amezalishwa na bado yupo nyumbani je km mzazi ungefurahi kuona anakosa mtu wa kumuoa kwa sababu amezalishwa na mtu mwingine waliyeshindwana.???
@@charlesjohn5792 jichanganyee....utakujaaa....kutoa ten ushuhuda hapaa😀😀😀ushaambiwa pona yake au ame dead lasivyo jiandaee na dokta wa psychiatrist 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Hapa nasema na Mimi Kama Mchungaji, ukweli hatuwezi kuwahukumu wanawake walio zaliya nyumbani, ukweli nikwamba asilimia kubwa walidanganywa na wanaume, hapa wanaume ndo janga kubwa, ila nataka kusema hivi ndoa Ni makubaliano ya wawili hawa na mapatano yao
@@maslaseif8186 kwa hiyo wanawake waliozalia nyumbani hawana haki ya kuolewa? Ila wanaume waliozaa nje wao ni sawa? Kuna wanawake waliozalio nyumbani wanatabia nzuri kuliko walioolewa na kuzaa ndani ya ndoa. Kila mtu ana historia yake tuache ubaguzi,ila ni muhimu kusisitiza watu wazae bada ya kuoa/kuolewa.
Hamna sio kweri, we Yaani mtu amenizalisha amenisaliti hajaniowa tena NIENDELEE kuwasiliana isaidiee nini, Si kweri inawezekana kuwa tumeachana hata kama hajakufa
Ni kweli dear mi nilizaa lkn nikapata mume nikaolewa vizuri tu, sema watu wana kashfa sana afadhali kuzaa kuliko kutoa toa mimba ili usionekane na mtoto
Mimi nimeoa mwanamke mwenye mtoto ..!! Moto wake ni balaa Vijana ambao hamjaoa msifanye makosa niliyofanya mimi Kaka enu. Nawaombeni sana .. 🙏 Usijaribu kujiingiza kwenye huu mtihani mkubwa ... Mkinisikiliza mimi basi mtakuja nishukuru baadae.. Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni sawa sawa kuingilia familia ya Mwanaume mwingine kabisaa.. 😅😅 Kubali ku share mke wako wa ndoa na Baba wa mtoto wake ..
Kumbe watu wa mungu wa ukweli Bado wapo duniani...mungu akuzidishie afya pastor Hananja..upendo mwingi sana kutoka KENYA
Eheeee safi sana mchungaji kwa kuelimisha hananja namukubari sana
Uliongea point sana mzee wangu🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙌🏾
Mungu akupe hekima mchungaji. Nipoit tena ukweli mtupu
Respected
hongera mchungaji kwa point za ukwel kuhusu kuoa waliozaa use na kifua kuvumilia wakati wenza wakiwasiliana
Kuna watu wanajiheshimu kukiko unavyofikiria
Mchungaji apa kachemsha sio sir wengine ni kosa tu la ujana wakati anakuwa maana tukiwahukumu wadada kisha ivo je wanaume waliowazadhalisha nao iwe ivo ivo
Tuliozaa tunasema iviii tupo makini sana na familia zetu atukuzaa kwabahati mbaya ila mungu alitupa zawadi kumbukeni hilo alafu tukiacha huwa tunaacha kweli lakini mnatufikilia vibaya mungu apenfi ebu wazungumzieni waliotoa mimba ndo muwajadili
😂😂😅
Mnasahau nyinyi kama mlitelekezwa
Mnapigaga Rivas
Mnakumbushiaga nyinyi
Yani mkipishana kidogo2
Tayari ana mtafuta mzazi mwenzie
Wana wake hamwamini
Yule mtoto anafaa kufukuzwa jinsi Ibrahim alifukuza ismaili
Kuzaa nje ya ndoa na kutoa mimba zote ni dhambi hakuna aliye sahihi , ila sasa linapokuja kwenye swala mahusiano rasmi ndipo changamoto zinaanza kuibuka kama hivo, mwingine kazalishwa kachwa ,mwanaume anapebda anamuoa lakini wakiwa kwenye mahusiani ya ndoa bado anakuwa akitafta mahusiano na yule mzazi mwenza . Kwa hili ni kumuonba mungu tu awe mpatanishi mambo yaende, lakini kwa hili hakuna kujisifu
Ukiowa Mwanamke mwene mtoto bro jua umenunua kiwanja chenye migogoro
Siyo kweli inafutana na akili ya mwanamke mwenyewe anayeolewa.. katika kujitambua na kujiheshimu.. akili ya mwanamke mwenyewe....
😂😂😂
kabisa
😂 kiwanja cha urithi chenye mgogoro
hahahahahahaha jamani nikichekesho ila nihatali sanaa kwenye maisha ya mutu nafsi namwili pia tue makini
Nakukubari mchungaji asante kwa somo
Hahahah noma sana
Tena kuna aibu kubwa mwanaume kutunzwa na mwanamke.Katika kitu cha kuogopa katika kuoa nikuoa mwanamke mwenye elimu ya juu kukizidi na mwenye pesa kukuzidi.Utajuta katika maisha.Hii ni hekima.
Nikweli kwa mtazamo wako lakin Kama mtu kakupenda awezi kukudharau hata siku moja
Upo vzr mkuu wangu
Yuko na point japo ni uingie ndoani ukiwa unalijua hilo hamna shida.
😅😅😅dah Mchungaji upo juu sana kwa hekima.
Kiukweli inahitaji hekima sana juu ya swala kama hili. Na mbaya zaidi ukute mzazi mwenza na mke wako awe yupo vizuri kwenye uchumi , harafu wewe uliyeoa uchumi wako unalegalega. Hakika mahusiano yao ndo yatapamba moto zaidi.
Sawa kabisa
Jamani ndoa hiz nijuomba mungu tu unaweza kumlea mtoto wamwanaume vizuri tu lkn utaobekana unambyamyasa mungu aingilie kt
dasawa pasita
Kuoa Ke mwenye mzazi mwenzake au kuolewa na Me mwenye mzazi mwenzake uwe na moyo mpana!!!
Ingia kwenye ndoa ya namna hiyo ukiwa unalitambua hilo!
Kabisa maana waweza kufa siku so zako
Hakika unazungumza facty mchungaji
Pastor ananja jamani aki Sasa kama Mimi nko na watoto wawili baba tofauti gaaiii ntaolewa kweli
Labda utajiowa mwenyewe😅😅😅tafuta hela uowe
Utaolew bana kwan umezeeka wew pastor katoa mfano tuu
Ndo ujitafakari. Pengine wewe ndo hueleweki. Labda Huna uvumilivu , ama anawasimanga wanaokuzalisha kwa urembo ama vinginevyo. Inakuwaje wanaume wawili wote wakuzalishe wapite hivi.
Hehehehe mzee wangu unanikosha napata raha Sanaa wenzako wanakuja na prado ww hata guta huna wanakutuma fungatulubai
😂😂😂😂😂 huyu mzee ni kiboko
Hao wenye maprado watazikwa nayo?
Huju yamaa namfuatlia sana huwa anawalimisha wakristo wenzie japo hawataki wanampinga
😂😂😂
Hta mimi ilo tatizo limenkta pastor
Duh pole sana kwa hilo nifuate inbox
Mi mchungaji huyu anaongea kama anachekesha ila anaongea uharisia kabisa Mungu amuongezee umri wa kuishi
Ila huyu Mchungaji bwana wee... 😂 😂 😂! Kama ushauri kama vichekesho vilee... 🤣!
Hakika baba umenjaa hekima na kinywa chenye hekima hujaa marifa
unajidai unaeleza siasa ,kumbe mihemko tu..😀😀
As long as hamukemei zinaa single mamas wataongezeka every day! Ajabu kabisa huyu ni kiongozi lakini haoni kosa la watu kuzini kuwa ndo sababu ya haya matatizo!
Sijui anaongea upuuzi gani hapo,eti waliozalishwa wasiolewe,Mungu amsamehe, uzao wake upo liwapate hili analoongea.
Anakuoa uliyezaa naye kwani amekosea wapi pia amesema uwe mvumilivu ikitokea
Kweli hii ilinitokea mm kweli siwezi hata wanawake waishe dunian
Ohoooo unavunja simu ahahahahaha daaaah
Nikweli baba
Mwanamke ana asili yakudanganywa ndo maana nyoka alimfutwa yeye bustani ya eden,mwanamke akakubali, sasa kwa mazingira ya sasa nyoka ndo huyo mwanaume anae kuja kumdanganya mwanamke
Narudi pale pale uislamu haujaacha kitu ukiona mwanamke mwenye watoto sheria ya dini umesema vizuri mchungaji anashindwa kuwaakataza wasizini anasema ukizaa naye kabla ya ndowa umuowe sio ashauri waowane kwanza ndio wazae
Mwamba anaakili sanaaa japo nikamateja schoki kumsikiliza
Kama teja du
Mzee anatema madini kama ya level ya PhD holder.😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 wacha ni cheke tuu sina maoni sisi tuliyea Zaliyea nyumbani
Hapana hakuna kitu kama hicho
Hamna dear kuna watu wameolewa na waliozaa nao na wakaachwa na wakapata wanaume wanaowapenda na wanaishi kama familia ya mtu mmoja ni kumuomba tu mungu akupe unachostaili kipenzi
Kila mtu anahaaki jmn kikubwa mipaka mbona watu wanaishi. Tatizo mmekariri
Hekima iliyoko kwenye hiki kichwa ni level ingine, na uwazi
Kabisa
Na kama aliolewa akashindwana na mwanaume alie muoa halafu wakawa walikua na watoto...
Nione kaburi la baba watoto wake kwanza ndo nimuoe
Inategemea tu lakini tumeolewa tumezaa tumeolewa tenaa na hakuna shida yoyote munaonana pale inapobidi tu labda iwe wanatakana wenyewe hapo hata wasingezaa bora mutafute mabikira labda
Si kila aliye zalia nyumbani ndo mmbaya tu,roho mbaya ni kwa mtu mmbaya tu awe mama ao baba aiza awe mtoto
Mwanaume naye je sitakuwa shida
🤣🤣🤣🤣 Nimekupat mtumishi
❤❤❤😅😅😅😮😮😮
Kuowa mwanamke aliyezalishwa ni balaa tupu.... Unaleta balaa nyumbani...
👏👏👏
Yan we achatu, cjui tufanyeje wengne tulishanasa
Ukwel asilimia mia 1000000 mana ndo mwixho waxiku ukienda ukweni utaambiwa kaxafixhe mabanda ya kuku yamechafuka huku wenzio wanakunywa maji ya afya na Azam mango pembeni
Hahahaha mwanaume akiwa na mtoto hakuna tatizo
Hata wanaume wenye watoto njee yaani hata kama aliachana na mama mtoto Kwa maugomvi ipo siku watarudiana tena huyo mama mtoto akiona mwanaume anamwanamke anayempa Amani mwenyewe anakuwa mpole anakuwa na wivu na ipo siku watarudiana au kuwasiliana na kuzaa tena.
Tena wanaume ndo wako weak balaa Bora mwanamke aliyezaa aliachana na mwanaume ameacha ila wanaume akiitwa Tu mtoto anaumwa basi
kutoka nairobi kenya naunga mkono na nikweli
Mbele pamoja
Hata kuolewa na mwanaume mwenye watoto aaliwazaa mtihani kwa wanawake tena hatari sana wamama hao simu mda wote ukiuliza maswala ya mtoto mzazi mwenzangu Mmh hilo swala mtihani tena afadhali ukute mwanaume hamtaki huyo mzazi mwenzake Lin kama sivyo mnajua hamna amani kabisa hata kama mwanamke ameolewa bado anamtaka mzazi mwenzie
Tena mtihan sana ndugu mim yalinikuta 😭adi saiz kuolewa naogopa
@@joyce55727
Mkuu pole nini milikukuta mkuu
Mzee ana fact huyu yaan simpingi
Huyu pastor anatuchana live, hakuna kupindisha. ni ukweli kabisa tuache huruma huruma! oa ujipime unaweza kukaa na aliyezalia nyumbani??
Kwani lazima uishi na mtoto, kama inawezekana mshaur mkeo ampeleke kukaa na babake inakuwa rahis tu
Akimpigia sm mtoto wake kazidiwa hataenda kumwuguza
Yani hapo hakuna afadhari
Uzuri wawanawake hakunaga mtoto mbaya
Hatakama baba wamtoto ni mbaya kisigani
Hapo nawakubali .
Kkkk kabisa kaka kwa hilo huyu akupatia inawezekana ukaishi na mke mwenyewe mtoto na kisitokee chochote
Ipo siku mtawakuta mbinguni hao waliozalia nyumbani Mawazo ya Mungu sio ya mwanadamu ,Bora yule aliyezalia nyumbani kuliko yule anayetoa mimba
Naunga mkono hoja asilimia 100
Mimi siwezi hata Kama wanaume wameisha duniani huo.ni.utumwa hujawahi zaa .unaitwa Bibi maana .unaishi Babu mtu
Kwakweli mm siwezi kuoa mwanamke mwenyewe mtoto, Kwan Ni matatizo makubwa
Usiongee maneno ukamaliza,,, chizi mzuri kama hatoki kwny familia yenu kaka... Omba sana Mungu na uombee sana kesho ya watoto wako hasa km una watoto wa kike.!!! Jiulize je ungekuwa mzazi wa mtt wa kike ambaye amezalishwa na bado yupo nyumbani je km mzazi ungefurahi kuona anakosa mtu wa kumuoa kwa sababu amezalishwa na mtu mwingine waliyeshindwana.???
Kabisa
@@happilicioussteven9544ndio...akome na iwe fundisho kwa wengine ..amtafute aliemzalisha
wanasahau kujua hilo
Nawanao ogoza kwakuolewa niwalio zaa
Hii changamoto ndo nipo nayo saa hii aisee sielewei nimwoe au vipi
Muoe tu
Jichanganye
Km unmpenda kweli utamuowa bila kujali chochte
@@charlesjohn5792 jichanganyee....utakujaaa....kutoa ten ushuhuda hapaa😀😀😀ushaambiwa pona yake au ame dead lasivyo jiandaee na dokta wa psychiatrist 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
mh, hii balaa
Baba Point Tupu
Na dume mweny.aliezalisha na mke kweda kwao je????
Mafuzo kamili nmebambika
Huyu anazeeka na Hana mtoto acha aendelee kutafuta
Una akili wew mafundisho yake uyu mzee ni mazuli san
Hapa nasema na Mimi Kama Mchungaji, ukweli hatuwezi kuwahukumu wanawake walio zaliya nyumbani, ukweli nikwamba asilimia kubwa walidanganywa na wanaume, hapa wanaume ndo janga kubwa, ila nataka kusema hivi ndoa Ni makubaliano ya wawili hawa na mapatano yao
@@nkolekwajohn hajasema eti mwanamke alie zalia kwao kwamba wanatabia mbaya hapana. Kaleta tu mifano ya madhara yake huko mbele kwenye ndoa.
@@maslaseif8186
kwa hiyo wanawake waliozalia nyumbani hawana haki ya kuolewa?
Ila wanaume waliozaa nje wao ni sawa?
Kuna wanawake waliozalio nyumbani wanatabia nzuri kuliko walioolewa na kuzaa ndani ya ndoa.
Kila mtu ana historia yake tuache ubaguzi,ila ni muhimu kusisitiza watu wazae bada ya kuoa/kuolewa.
Na mwanaume Je akiwa na mtot ina kuwa Je🙈
Tangu uzaliwe hujawai sikia jibu la swali hili ama ni kiburi tu ndicho kinakusumbua,sikiza kisa cha Ibrahim
Nihatari
😂😂😂😂😁
Kutoka imekuwa ngumu
Mwanzo wa game ni 0-0
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅🤚
Kwani walio zaa wenyewe wanasemaje
Hamna sio kweri, we Yaani mtu amenizalisha amenisaliti hajaniowa tena NIENDELEE kuwasiliana isaidiee nini, Si kweri inawezekana kuwa tumeachana hata kama hajakufa
wew tulia kama umezalia nyumbani imekula kwako
Imekula
Ni kweli dear mi nilizaa lkn nikapata mume nikaolewa vizuri tu, sema watu wana kashfa sana afadhali kuzaa kuliko kutoa toa mimba ili usionekane na mtoto
Siku akikutaka utamkataa?
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Ahahahahaha kama nisingezaa nae nisingemuoa daaaah huyu pastor kipedo
😄😄😄😄
Mimi nimeoa mwanamke mwenye mtoto ..!!
Moto wake ni balaa
Vijana ambao hamjaoa msifanye makosa niliyofanya mimi Kaka enu.
Nawaombeni sana .. 🙏
Usijaribu kujiingiza kwenye huu mtihani mkubwa ...
Mkinisikiliza mimi basi mtakuja nishukuru baadae..
Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni sawa sawa kuingilia familia ya Mwanaume mwingine kabisaa.. 😅😅
Kubali ku share mke wako wa ndoa na Baba wa mtoto wake ..
Nini kilikikuta mkuu
🤣🤣🤣
😁😁😁😁Umenifanya nicheke ndugu.
😁😁😁😁😁😁😁
Mkuu nn kilikukuta