Huyu Anaongea Utadhani Amemeza Kengele, Huna Haja hata ya Interview, Unamkaribisha Studio Saa Nne Asubihi Unamuuliza Mchugaji Ni Aje, Basi Jibu lake Linaishia saa 7 Mchana! WTF!
Kila Siku Huwa Silali Bila Ya Kupitia Clip Za Mch. Wangu Hananja Hakika Wewe Ni Kioo Cha Jamii Lkn Pia Watukumbusha Tuishi Tukiyatenda Yaliyo Mema Na Kumjua Mungu Kiundani Hivyo Nakumbuka Ulisema Ktk Kitabu Cha Yesu Kristo Kuwa 'Mtaifahamu Kweli Na Kweli Itawaweka Huru'
Mm muislam lakini mchungaji huyu nikimsikiliza Kuna vitu vingi najifunza Tena huyu Mzee ana kitu moyoni ila nakuombea mungu akupe mwisho mwema usife mpaka usilimu
Mch yupo vizuri sana binafsi namkubali sana
Huyu Anaongea Utadhani Amemeza Kengele, Huna Haja hata ya Interview, Unamkaribisha Studio Saa Nne Asubihi Unamuuliza Mchugaji Ni Aje, Basi Jibu lake Linaishia saa 7 Mchana! WTF!
God bless you pastor Ananja❤.
Barikiwa
Kila Siku Huwa Silali Bila Ya Kupitia Clip Za Mch. Wangu Hananja Hakika Wewe Ni Kioo Cha Jamii Lkn Pia Watukumbusha Tuishi Tukiyatenda Yaliyo Mema Na Kumjua Mungu Kiundani Hivyo Nakumbuka Ulisema Ktk Kitabu Cha Yesu Kristo Kuwa 'Mtaifahamu Kweli Na Kweli Itawaweka Huru'
Namfurahia sana mzee wetu
UGONJWA WA ROBA KOFIA YA MDOMO I LIKE THAT
Hongera baba
Mzee mwenye busara🎉
Mchungaji Hananja nimekukubali kwa analysis yako.
Mchungaji Yuko vizuri
Mimi namuelewa sana huyu mchungaji anaongea kweli tupu
I'm aprishate
Safi sana
da amakweri wazaziwamekataa
Mm muislam lakini mchungaji huyu nikimsikiliza Kuna vitu vingi najifunza Tena huyu Mzee ana kitu moyoni ila nakuombea mungu akupe mwisho mwema usife mpaka usilimu
Uyu mzee nilikua smuelew ila now namkubar sanaa coz anahubir vitu ving sanaa, din,ndoa,mitandao,biashara
Hapa Bando linaenda kihalali sio zaylissa mara manara media zote zimehamia kwa manara
SIJAWAHI ONA MCHUNGAJ KAMA HUYO TOKA NIUMBWE....YE ANACHANA TU UTAJUA WEWE.
Kweli Hananja,akili kubwa mno.
😂😂😂
Natamani mawasiliano ya mchungaji huyu tafadhali natamani kuongea naye binafsi.Niko Kenya
Mchg hananja unapiga singeli ya ukweli mtupuu
Barikiwa