SHEIKH ALIYEBATIZWA ASEMA QUR'AN KITABU CHA UONGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • #muhubirimwaipopo #sheikhmwaipopo #sheikhmwaipopotv

Комментарии • 187

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni Месяц назад +5

    Allahumma amyn yaaraby,Allah atufishe waislamu wote katika kalima ya laailaha illa Allah Muhammad rasoul Allah

  • @MWALIMUCHAKATV
    @MWALIMUCHAKATV Месяц назад +6

    Yeseme hayo hadharani halafu kama wanafunzi basi tutajadili nao sisi wanafunzi wa Ismail. Kumbe hata Mazinge kama sisi tu. Basi tukutane kwenye huo mjadala na sisi wanafunzi tupo tayari. Ila Sheikhy wetu hayupo tayari kujadiri na wanafunzi . Tunataka masheikhy ❤

    • @AugustinMunaba
      @AugustinMunaba Месяц назад

      😂😂😂😂 Tunamutaka sheikh kishki wao aje mwenyewe uwanjani😂

  • @IbrahimMahmoud-em1np
    @IbrahimMahmoud-em1np Месяц назад +3

    Masha Allah. Ushauri wangu kwako hakikisha mdahalo huu mnawatumia watu ambao wame takhasus katika علوم القرآن والحديث na wawe wazuri katika lugha ya kiarabu... But kusema wanafunzi wa sheikh kishki hapana kaka yangu... Hawa watu ni wajanja sana katika kuupotosha Umma hivo tumieni watu walio bobea katika fani hio nilokutajia

    • @ramlajuma5317
      @ramlajuma5317 Месяц назад

      Subhanallah in Shaa Allah itakuwa kheri haqi nabaatwili havikai sehemu moja tupo pamoja kwenye harambee napesa zote zitapatikana kazi niyamungu kitabu nichamungu nasote niwaja Wake kwakuwa nijihadi in Shaa Allah tutapigana

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA Месяц назад

    Asante saaana mwalimu Timothy unatufundisha mengi yaliofichika

  • @MohamedMatata-iu9mm
    @MohamedMatata-iu9mm Месяц назад +1

    AKHASANTE SHEKHE MWAIPIPO NA ASANTE SHABANI ALLAH AKULIPE N .MSINGI WAKO NI MZURI.

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 Месяц назад +3

    Shabani huwezi kubishana na huyu mkristo yupo vizuri sana , ismaili ni msomi mzuri sana

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

      Kama ww unajiita.muislam bqdi jitafakali. Usomi wake ndiyo atuchafulie.Diniyetu yy nani asunipik8chapo cha Allah moto unamsubili tena kashazeeka. Atajuta

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Месяц назад +1

      Km msomi mzuri na asome suratul baqra ghibu.

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 Месяц назад +1

    Mashallah shekh mwaipopo

  • @سليمانلوغاجو
    @سليمانلوغاجو Месяц назад

    Aamiin

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 Месяц назад

    Allah huma ameen kwa ste Allah akuhifadhi sheikh wg Mwaipopo Allah akulinde na shari za wanadamu na majini hjakosea sheikh wg Mwaipopo unaongea ukweli

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Месяц назад +1

    Amin yarabi laala miiin

  • @AmaniMaronkero
    @AmaniMaronkero Месяц назад

    Allahuma Amin

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 Месяц назад

    Hamna kazi za kufanya

  • @adamkombokhatib7949
    @adamkombokhatib7949 Месяц назад

    Sheikh. Mwaipopo kulingania dini sio l azima. Ufanyanye kwenye ukumbi wa jubilee muangalieni Salim wa ngugi wanyoike Kenya na yussuf wambugu na wengineo wanahubiri njiani,masokoni nk gharama hazitokua kubwa na mihadhara itafanyika badilikeni wahunirii

  • @POVELSPORTS
    @POVELSPORTS Месяц назад

    Sheikh povu mzee wa mzee MKUTANO MKUBWA😮😮

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u Месяц назад

    Ni kwer din ya kutugwa ya muamad ukitaks kuamin pale mudi anaposema mungu awezi kua na mtoto kwakua ana mke sasa hapo masiara na matus yaan mungu kua na mtoto adi afanye mapenz uo uongo na mungu wa mtindo uo tunawachia wasilam sis atutamtaki

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Месяц назад

      Mtu anahifadhi mashaf nzima unasema ya kutunga? Hv ww yako ww ya kweli umehifadhi angalau karatasi 10?😄

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j Месяц назад +2

    Ex lmam anaongea kwa heshima na kwa upole huwo ndio ukristo

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Месяц назад

      Kuna imamu wa aina tatu;
      İmamu aliechaguliwa kwa wingi wa elimu/ amesoma sana
      İmamu alochaguliwa kwa heshima ya uzee lkn hana elimu ya kutosha.
      Imamu alochaguliwa kwenye miji ya watu wajinga wasiosoma na yy akawa afadhali wao
      Kwa hio njia nyepesi ya kumtambua ni imamu yupi yy ni kusoma surah kubwa za msahafuni bila ya kuangalia. Suratul baqra inatosha kumtambua, mana sura hii mnafik haezi kuihifadhi

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 Месяц назад

      Huyo Ex Imaam ni chips ya badae

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 Месяц назад

      Kama hatobadilika

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman Месяц назад

    Njaa mbaya

  • @JohnArobogast
    @JohnArobogast Месяц назад +1

    Ninyi mnaabudu Mungu mwezi na nyota,ambavyo Mungu amekataza, tokeni huko njooni kwa Yesu muhamed Kawapotosha,

    • @madarakaiddi
      @madarakaiddi Месяц назад

      Mwenye kuabudu nyota na mwezi na mwenye kuabudu vinyago vilivyochongwa mwenye hivi nani katimia ubongo wake

    • @JohnArobogast
      @JohnArobogast Месяц назад

      @madarakaiddi wote jehanamu wasipotubu

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 Месяц назад

      Weweee,umesoma wapi ujinga huo.Hujui kitu kaa pembeni.

    • @JohnArobogast
      @JohnArobogast Месяц назад

      @@mzeerajab9154 wewe ndio hujui chochote ndio maana unaabudu Mungu mwezi Tena mchanga na nyote..ambalo Mungu alisema asiwepo yeyeto mwenye kuabudu jeshi la mbinguni..Bali mtaniabudu Mimi pekee.na kunicha ,

    • @user13375
      @user13375 Месяц назад

      Pia Kuna jiwe jeusi ,wanakwenda kulibusu Kila mwaka😂😂😂😂

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 Месяц назад +1

    Shekhe mwaipopo Acha mihemko kama kitabu cha Koran kipo safi hunaja kutumia Nguvu nyingi mpaka Povu linakutoka ,wazungu husema coming down please don't panic 😂

  • @josephkalonga550
    @josephkalonga550 Месяц назад +2

    ANDAA MDAHALO.( QURAN VS BIBLE KIPI KITABU CHA MUNGU)

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Месяц назад

      Ndivyo mnavyodanganywa na Kudanganyana Makanisani huwa hamsomewi Maandiko ya Kweli ktk Biblia !!!🤫🙆
      Ukristo ni lmaan/Dini ya Kunjunga tu kama hujui Ukristo umeanzishwa na Wapagani wa Antokia.
      (Matendo ya Mitume 11 : 25)
      Yaani asokuwa na Dini/Kafiri (Mshirikina/Dhulumat) akupangie Dini wewe uwe Mkristo?!🤫🙆
      INNALILLAHI WAINNA ILAHIYL RAJ OUN 😭😭😭
      Hiyo Biblia yenyewe si Maneno ya Yesu Wala Si Maneno ya MwenyeziMungu Bali waloamua Kwa Utashi wao Wakatunga ya Kuokoteza (ya Udaku/Uwongo) Mitaani wakaandika (....Kalamu za Waandishi....) na Kuita eti BIBLIA na Kwa Ujinga eti Mnaamini ! 🤫🙆
      Soma Biblia;
      ✍️Luka 1 : 1
      Yaani ktk Bibli ni Waandishi tu ndo humsemea Yesu na Mungu nk
      (Mathayo, Methew, Luka nk)
      Kwanini haikuwa Yesu/MwenyeziMungu ndo aseme laakin Waandishi ndo humsemea Yesu na MwenyeziMungu?!
      Wao Waandishi wa Biblia walikuwepo/walimuona huyo Yesu/Mungu wenu Wakristo?!

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Месяц назад

      ruclips.net/video/UI8j_EdULZI/видео.htmlsi=As_n5Wy1JLhJH90b

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Месяц назад

      Jaribu kuhifadhi kwanza angalau kitabu kimoja tu chahio bible uone km utaeza?

  • @FikiriSalumu-jj5zi
    @FikiriSalumu-jj5zi Месяц назад

    Mnapoteza muda ndugu zangu kwa sababu Qur'uan imethibitishwa na Mwenyezi Mungu mwenyewe (Allah) kwamba haina shaka na ni muongozo kwa wamchao.
    Sasa habari za kujadili kwamba Qur'an ni sahihi au si sahihi hayana maana kabisa kama kweli ninyi ni wasomi

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 Месяц назад

    JAMAA NILIFIKIRI ATAKUWA AMEPATA NAFUU KUMBE DOOO!! KWATAARIFA YAKO USIPO OKOKA WEWE NI JEHANAMU TUU!! KWAMAANA YESU ANASEMA YEYE NDIYE NJIA KWELI NAUZIMA,MTU HATAINGIA MBINGUNI ASIPO MWAMINI YESU!!!!!

  • @MWALIMUCHAKATV
    @MWALIMUCHAKATV Месяц назад +2

    Mwaipopo kama upo tayari kujadiri mada hii mimi nipo tayari kuwa mwenyekiti wenu

    • @aproniamasatu5810
      @aproniamasatu5810 Месяц назад +1

      sawa Mwalim

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p Месяц назад

      ​@@aproniamasatu5810 mwalimu...sheikh mwaipopo hawezi kubali hana elimu huyo😂 kazi yake kuropoka ila ujasiri wa kusimama kutoa hoja walau kama kina sheikh kinyogori hawezi. Mwaipopo ni Muongo na Mjinga wa elimu ya dini.

    • @husseindiaby5097
      @husseindiaby5097 Месяц назад +1

      We chaka kweli

    • @seifsaid9905
      @seifsaid9905 Месяц назад

      Mim natka mjdal na wew nipo mwanza nipo Tyr kufnya mdala nikitumia vitabu vyyt

  • @GodfreyErene
    @GodfreyErene Месяц назад +1

    hahahaha, Muhammad amekufa anangoja hukumu, YESU KRISTO yupo hai atakuja kuwahukumu wanadamu wote akiwemo Muhammad na wote waliomkana na kumkataa, LOVE U JESUS CHRIST

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 Месяц назад

      Kufa sio shida hakuna atakae baki hata manabii walio tanguliya kabla ya yesu walishaga kufa hata yesu hajafa wala hajafufuka lazima atahonja umawuti hata shetani bado yuko hai

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Месяц назад

      ​@@qwerqasd8597 Allah ana nafsi naye ataonja mauti?

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Месяц назад

      Na huyo Yesu anaesema yupo hai hajiulizi kwann atarudi hapa duniani? KWa sabbu hakuna anaekufa mbinguni aje duniani nae afe. Km angekua wa kudumu angebaki huko huko alipo

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j Месяц назад

    Mwaipopo unataka mtetee uwongo nae mungu hata acha uwongo uwenee mwenyezi mungu atawapiganish mpaka uwislamu utoweke,uwislamu sio dini ya mungu

  • @mussamwamoto8231
    @mussamwamoto8231 Месяц назад

    sheikh yupo wapi hapo ushekh wa kutengeneza

  • @AbdonJonathan-r1w
    @AbdonJonathan-r1w Месяц назад

    Ubora wakitu, hauletwi kukisemea vielewekee sana, kizuri nikkizuri tu.

  • @aliujendo
    @aliujendo Месяц назад

    Hawa makafiri hakuna dawa ita wasimamisha katiba ina walinda
    Dawa❤yao hawa ni mujahidina tu

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 Месяц назад +3

    Hadi leo sipat jibu kamili kuhusu hili kwanin kuwe na bibilia yenye vitabu 66 na vitabu 73???

    • @graduationtv3072
      @graduationtv3072 Месяц назад

      Sipatagi jibu kwanini leo hii tunatumia qurani ya othumani badalaa ya ile aliyoiacha mtume

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 Месяц назад

      ​@graduationtv3072 Hakuna Quran ya Othman

  • @Kanyawela
    @Kanyawela Месяц назад +3

    Kitabu cha quran ni uongo tu ndio maana sura zake nyingi ni za wanyama ,wadudu nk.

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 Месяц назад +1

      NA BIBILIA IMEJAWA UJUMBE ZA WATU BARUA PEPE ZA MAPENZ HILO HUJUI

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Месяц назад

      ​@@thekingdragon8358kitabu chenye jumbe za watu na jumbe za wadudu na majin kipi bora?

    • @Mariam-ke4og
      @Mariam-ke4og Месяц назад

      Kitabu cha kikristo kimejaa kwaya na mistari inayotajwa ni ya wanyama na wadudu hakuna kingine

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 Месяц назад

      YESU MUSA IBRAHIM ADAM NA MITUME WENGNE WOTE WAMEZUNGUMZIWA KATIKA QURAN TENA YESU KAZUNGUMZIWA SANA HATA KULIKO NDANI YA BIBILIA NAE UTAMUITA MNYAMA MANA YUPO KATIKA QURAN

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Месяц назад +1

      Biblia ni Maneno ya Uzushi (...Kalamu za Waandishi....)
      Waandishi (Luka na WA mfano wake) wameokoteza ya Mitaani na Kuandika mkaranya Biblia/eti Maneno ya MwenyeziMungu!!
      Soma Luka 1: 1

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 Месяц назад

    Huyu kijana muslam hajui kitu ni mbishi sana, lakini huyu mdigo ana point sana hatamuweza mkristo ,Mwaipopo huwezi kumshinda nisha mtu na kituko ,mkristo ana point sana anataka ajadiliane na mhadhili wa uhakika,

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og Месяц назад

    PAULMUSHI MIMI NIKIWA MAAMUMA WEWE UTAKUWA IMAMU MPAKA KUSOMA QURUANI INAMAANA UMEIELEWA MTAKUJA TUU

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 Месяц назад +1

    Shabani aliingia Chaka hakujiamini Wala Hana Elimu ya kujibu hoja aliyoipinga kwà sms

  • @jumamnyonge2148
    @jumamnyonge2148 Месяц назад

    Nakuaminiya sheikh wangu mwaipopo huyo bwana msabato uongo wake umefika mwisho

  • @samsonkariuki9696
    @samsonkariuki9696 Месяц назад

    Quran 2:97 niya adui wamaraika yani shetani

  • @Faraja-j2z
    @Faraja-j2z Месяц назад

    Kuwa mkristo ndo maana wakati Yesu anawaokoa watu na kuwafungua watu wengi walio fungwa na mapepo na majini na kuwaponya watu,wapo walio kuwa wana mkimbilia awasaidie na wengi walikuwa wakipanga kumuua kwa hiyo ndiyo ilivyo mpaka sasa wapo wanao mpokea na wapo wanaompinga lakini kwa ufupi ni kwamba wanao mponga ni kwa hasarayao

  • @Kachuba-w9p
    @Kachuba-w9p Месяц назад

    In sha Allah nitatoa mchangowangu wa mdahalo

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u Месяц назад

    Jaman hii dini ya kisilam polojo tuendelelehe kusoma vitabu vyao ili tuendelee kuwaweka wazi watu

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Месяц назад

      Porojo, Uchawi/Uzushi, Uwongo ktk Biblia ndo Mwake 🙌
      Kasome Biblia;
      ✍️ Matendo ya Mitume 11: 25
      Eti Makafiri/Washirikina ndo Wawapatie/Wawatungie Dini Wakristo?!
      Hiyo Biblia/Mwongozo wenu ni Wa Kutungwa na Kujiandikia na Watu (Petero, Methew, Luka nk)
      Yaani Waandishi ndo Wamsemee Yesu na Mungu wenu?!
      Soma Biblia;
      Luka 1 : 1
      Utambuwe Luka alijiamulia Kwa Utashi wake Kaokoteza ya Udaku (Porojo) Mitaani afu mnafundishana, Mnaamini na kukalilishana eti Biblia ni Maneno ya MwenyeziMungu 🙌😂😂😂
      Soma;
      ✍️ Ezekiel 5 : 1-4,
      ✍️Hesabu 5 : 11- 29,
      ✍️Walawi 14 : 1- 8
      👆 Ushirikina/Uchawi (Dhulma) ktk Biblia
      ✍️Mwanzo 32 : 24
      Eti Yakoub (Kiumbe) amepigana na MwenyeziMungu na Yakoub akamshinda MwenyeziMungu.
      Stories za Ujinga kama hizo ktk Biblia/Ukristo ndo Utuletee/Mtuletee ktk Uislamu?! 🙌🤫🙆

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi Месяц назад

    Wewe huna lolote we mzee,we unajikomba tu kwa waislam ,njaa mbaya😮😮😮

  • @pascalvirgilio7208
    @pascalvirgilio7208 Месяц назад

    Sheb umechemsha

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Месяц назад +1

    Maamuma Mwaipopo, unapoteza muda, Kishki kaogopa kudhalilika anatuma wanafunzi wake😂😂😂😂 Sasa Ishmael naye hatakuja atakuletea wanafunzi wake ili wapambane wanafunzi Kwa wanafunzi 😂😂😂

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 Месяц назад +1

      Ĥajaogopa ila yeye si hobby yake hio. Kila mtu na interest yake

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Месяц назад

      ​@@maymunamakungu6265kutetea dini na vitabu vyenu ni hobby? Yeye SI Sheikh msomi Anatakiwa aje Mwenyewe kiwatuma wanafunzi hiyo ni dharau Kwa Mwalimu Ishmael

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Месяц назад

      ​@@maymunamakungu6265 kutetea vitabu na dini ni hobby?

  • @HassanHamad-x6p
    @HassanHamad-x6p Месяц назад

    Shekhe mwaipopo jitahidini kuirudisha mijadala ya dini yetu tukufu irudi kwenye Quran pekee .msiwaruhusu watu kujadili kitu nje ya Quran na zile hadithi sahihi tu.na pia sherehe za kuran zinasumbua pia zisitumike kuchallenge maneno ya Allah.

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 Месяц назад

    SHEKH kusoma sio kuongea kifungu au kiarabu😂
    Wapo Watu wengi wako vzr ktk ngeli lakini sio taaluma.

  • @GodfreyErene
    @GodfreyErene Месяц назад

    Hahahaha ukiwa na YESU unakua jasiri kama Simba, Ila ukiabudu jiwe jeusi ni mauzauza TU, endelea na kazi mtumishi wa mungu ismaili

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Месяц назад

      Ktk uisilam ni kufr/ukfir kuabudu mtu, kitu, mnyama nk.

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala Месяц назад

    Mbona huyu miwani hataki mwenzie haseme

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j Месяц назад +1

    Wakristo musiichezee ukristo kukua mkristo ni neeema

    • @AliJussa
      @AliJussa Месяц назад

      Andiko😅

    • @JohnOuya-w7j
      @JohnOuya-w7j Месяц назад

      @AliJussa halali na haram katika uislamu kuran 223 soma

    • @AliJussa
      @AliJussa Месяц назад

      @@JohnOuya-w7j Hakuna Quran inaandikwa hivyo

  • @SaidAbbas-nh9zi
    @SaidAbbas-nh9zi Месяц назад

    Huyo njaa sasa muache amkane lasullah. Akashibe dhakun na mapipa ya usaha. kwa mapito ya kidunia

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Месяц назад +7

    Nyie Waislamu Wakristo wa Sasa tumeamua kusoma Qur'an na vitabu vyote vya Kiislamu kalieni umaamuma na kubishia vitabu vyenu vinapisomwa !! Someni vitabu vyenu punguzeni uvivu na umaamuma

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni Месяц назад +1

      Mtu mzima hatishiwi nyau

    • @سليمانلوغاجو
      @سليمانلوغاجو Месяц назад +6

      Hata msome vipi hamuwezi kuthibitisha makosa ndani ya Qurani,walishindwa makafiri wakubwa kabla yanu makafiri wa sasa,Tena hao walikua wanakijua kiarabu kuliko nyie

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 Месяц назад +2

      Mnasoma Quran au mnasoma tafsiri za watu, tena mnachagua yule aliyetafsiri vibaya ndo mnashikilia kidedea.

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 Месяц назад

      Na huyo Ismaili Laanatullahi alaihi hana lolote mie nishamfuatilia sana eti anajiita ex-Imam. Hao maamuma wake nadhani walikuwa mambumbumbu hawajui chochote kama yeye ndo maana wakamfuata lkn nimesikia kuwa ni muongo kafuata pesa tu. Nishamsikia sana anatutukania mtume wetu S.A.W. uS.a.wLaanatullahi

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Месяц назад +1

      ​​@@سليمانلوغاجو Kosa la kwanza Kwa mujibu wa Qur'an Allah ana nafsi na Kuna Aya inasema Kila nafsi itaonja mauti Swali Allah naye ataonja mauti?

  • @Jesusalmasihi4193
    @Jesusalmasihi4193 Месяц назад

    Waislamu wote motoni: wanamswalia mudi badala ya kumwabudu mungu

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u Месяц назад

      Motoni utaingia wewe na wazanzi wako mla mbwa wewe

    • @Jesusalmasihi4193
      @Jesusalmasihi4193 Месяц назад

      @MuhammedAliOmar-c9u Yesu kaenda kuniamdalia makao, je wewe,Muhamad ameenda kukuandalia Nini? Kajiozea kaburini hajui kitu, eti unamswalia, si bora uwaombee wazazi wako unaombea maiti! Huu ni ujinga kweli, mudi ni marehemu, Mungu ndiye atakamuamulia

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u Месяц назад

      @Jesusalmasihi4193 na akili zako mbovu hizo .
      Yesu sie anaeanda wala hana uwezo wowote . Ni Mungu aliyemuumba huyo yesu na alieumba lila kitu ndie mwenye uwezo. Nguruwe mwitu wewe huna elimu hata moja . Upo tu kama sanamu

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u Месяц назад

      @Jesusalmasihi4193 hata Ibrahim na izhak na Ismail na Yakub na Nussa na Harun n.k walikufa kama alivyokufa Muhammad jee wao vipi ? Wewe huna akili na wala hukusoma unakaririshwa na wachungaji wako wanaokuchunga kama nguruwe.

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u Месяц назад

      Ndio akili zako zinavyokutuma hivyo kuwa wala mzoga na nguruwe na wanaoabudu masanamu na watu wataingia peponi. Pole sana nakuhurumia kama ninavyoihurumia nafsi yangu.

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 Месяц назад

    Mwaipopo unauchungu na Dini ya majini kazi unayo wenye Dini Yao awanampango wanakucheka unavyokulupuka kiarabu ujui

  • @isakwisamwamlenga
    @isakwisamwamlenga Месяц назад

    Dini ya mashetani nyinyi binadamu mnajipendekeza 2...

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 Месяц назад

    Acha mihemko Mzee nenda na wewe ukasome. Acha kabisa kulalamika.

  • @suleimanmohd.7197
    @suleimanmohd.7197 Месяц назад

    Wakiristo hata Bible imewashinda kuisoma walau kwa mistari miwili muje kuisoma Quran😂

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j Месяц назад

    Uwongo wa kurani unafichuliwa hadharani,kumekucha sasa tumeamua kusoma vitabu vyenu waislamu pamoja na kurani tunaona makosa kibao,nyie waislamu someni vitabu na mtajua ukweli msingoje kusomewa,endeni maktaba chukueni msome waislamu mtashanga na bado tutatoa siri za kurani zaidi uwislamu kwisha tunaizika

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga Месяц назад

    Kran sio inamakosa haina kweli hata moja kwanini inasura majo tu ya mariam nyingine zote ni wanyama na majini na mti? Narudia bila kupepesa mganga wangu mwaipopo uisilam niuongo sana, kran imekopi asilimia mia kwanye bibilia sasa oji ni bibilia tu.

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Месяц назад

      Majini ,Uchawi na Uwongo ni ktk Ukristo/Ukafiri (Kasome Biblia);
      ✍️ Ezekiel 5 : 1-4,
      ✍️Hesabu 5 : 11-29,
      ✍️Walawi 14 : 1- 8
      👆Huo ni Uchawi/Ushirikina umejaa na Kufundishwa ktk Biblia/Ukristo 🙌
      ✍️Mwanzo 32 : 24
      Eti Yakoub akamshunda na Mungu.
      Yaani Kiumbe amshindw MwenyeziMungu?!!🤫🙆
      ✍️Matendo ya Mitume 11: 25
      Yaani Wasokuwa na Dini (Makafiri/Washirikina) wawapangieni/wawatungieni Dini Wakristo?!
      Kweli ...Kalamu za Waandishi...
      Kasome Biblia
      ✍️Luka 1 : 1
      Umsikie/Ushuhudie Luka alivyookoteza ya Mitaani akajiandikia Kwa Utashi wake tu pasi na Kuambiwa/Kumuona Yesu/Mungu wenu afu mtwaambie eti Biblia ni Maneno ya Mungu kumbe Watu /Waandishi (Luka , Mathew, John, Barnaba nk wa Mfano wake) Wamejiandikia tu.

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 Месяц назад

    Shekhe mwaipopo MUNGU huwezi kumpigania MUNGU hujipigania mwenyewe anaweza kuingamiza hii dunia kwa dk 1 sasa wewe utaweza kumpigania ,?? Jipaganie mwenyewe ,

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u Месяц назад

    Waleten hao vijana wakishidwa musianze kulia lia maana dini yenu ni yawazushi na malalamiko

  • @AliJussa
    @AliJussa Месяц назад

    Narudia tena ,, hakuna mkristo atafahamu Quran maana aya zipo zinasema hivyo,

  • @seifseif5549
    @seifseif5549 Месяц назад

    Sheikh gani aliyekaa hivyo miwani mikubwa kama vioo vya fusso

  • @MwinyiJuma-n4i
    @MwinyiJuma-n4i Месяц назад

    Huyo anaejiita ismail hajawai kua muislam sura yake tu inaonyesha ni kafiri huyu

  • @BishopAdamGige
    @BishopAdamGige Месяц назад +5

    Wewe ndio muongo namba moja, mbona wewe unasema biblia ni uongo, lakini wenzako wakisema unakasirika, wewe ukifa kabla hujarudi kwa Yesu utakwenda motoni

    • @Alithoya-qr7di
      @Alithoya-qr7di Месяц назад

      Tatizo lako wajiita bishop ata tofauti ya Mungu na yesu haujui

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Месяц назад

      Towa uongo na uyo yesu wako we unamjuwa yesu wewe?Wala humjuwi naye yesu hakujuwi si wewe na uyo mpotevu mwenzako

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Месяц назад

      Nauyo mjadalo mnataka na WA islam mjipange hamuwezi kutushinda hata kidogo sabab hamna elim uongo tu naporojo zakupotzza watu

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Месяц назад

      Mtawaweza waislam?suburu mpime tuone atoe andiko yakuonesha kama Q,urban inamakosa .mpotevu uyo mshenzi.kubwajinga.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Месяц назад

      Aaamna sheikh iyo ni hasira na chuki kuona ma paster wote wako wanaukana ukristu roho zinawauma sa wanakosa llakusema wanakuwa wanaleta hoja za uongo yani wanasema uongo mpaka wanapitiriza mpaka na nyuso Zao zinaonekana kama wamesema uongo.kutaka kuuchafua uislam uonekane nidini ya uongo.

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 Месяц назад

    Mzee wewe huwezi mdahalo na Ismaili. Hata kusoma Quran huwezi nenda madrasa ukasome,Acha mihemko

  • @Austinemarko
    @Austinemarko Месяц назад

    😂😂😂😂 lilemba likumbwan Elimu huna

  • @rasgwandumikaisi7489
    @rasgwandumikaisi7489 Месяц назад

    Mh! Huyo muislamu ni ngonjera za kaswida tu.,

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 Месяц назад

    Watu wanaokoka sn
    ruclips.net/video/PdFb915j34A/видео.htmlsi=4UL92xsfr8CV7Yl0

  • @DanielIssa-v7h
    @DanielIssa-v7h Месяц назад

    Wewe jibu hapohapo tuu mchango wa nini

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m Месяц назад

    Wewe mwaipopo unajifanya untetea uislam kumbe unafanyabiashara ya chaneli yako mtandaoni

  • @kamishanamustafa6652
    @kamishanamustafa6652 Месяц назад

    wewe niyuda

    • @khadijapius2339
      @khadijapius2339 21 день назад

      Yesu alimwambia simoni Petro Toka shetani Kwa kuwa Simon alimwambia yesu ni mwana wa mungu

    • @khadijapius2339
      @khadijapius2339 21 день назад

      Wale wanaosema yesu ni mwana wa mungu watajibiwa kama Simon petro

  • @JohnMugo-h9y
    @JohnMugo-h9y Месяц назад

    Kwani Tena wewe ni mganga?