JIFUNZENI HILI KUPITIA USTADH SHAFII-UTABILI WA MTUME KWENYE BIBILIANA CHRISMAS NA HOJA ZA WAKIRISTO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 99

  • @Sofi99-u6o
    @Sofi99-u6o 19 дней назад +4

    Mungu Akuongoze katika mema yakeee...shukulani kwa dalasa

  • @mwanajaa-v5x
    @mwanajaa-v5x 12 дней назад

    Masha Allah mafundisho mazuri shekhe MUNGU awajaalie kila heri duniani na kesho akhera

  • @mariamnakapala997
    @mariamnakapala997 18 дней назад +1

    MM binafsi nashukuru sana kwa elimu mnayotupa maana wengne hatukubaatika kusoma sana kwakwel Munyaz Mungu awazidishie🙏🙏 na tutajitaid kuwaunga mkono Inshaallah

  • @Mudy0mary-u2n
    @Mudy0mary-u2n 4 дня назад

    Nawapenda sana.mashekhe weeetu❤

  • @NoorynMody
    @NoorynMody 19 дней назад +5

    Sawa sheikh tunakupenda rkn tunaomba ufuge ndevu japo kidogo ❤

    • @Amina-tw4iw
      @Amina-tw4iw 19 дней назад

      Pengin Hana nduguyang mungu hajammbarik

    • @Mahmoudshabanimzeebaba
      @Mahmoudshabanimzeebaba 16 дней назад +1

      Sio kila mtu ana asili ya kua na ndevu nyingi uckaze kichwa

    • @Noorein-ws8wk
      @Noorein-ws8wk 15 дней назад

      Wengine wanamea ndevu wengine hawamei ndevu hio ni maumbile ya Mola wetu mlezi.

    • @NoorynMody
      @NoorynMody 15 дней назад

      @@Mahmoudshabanimzeebaba Aje mwenyewe atujibu hpa😁

    • @AdiyuOmary
      @AdiyuOmary 6 дней назад

      😂😂😂😂Sasa kaka kama hajajaliwa devu itakuaje

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 19 дней назад +1

    Mashaallah tabarak Allah Allah akuhifadhi ❤❤❤

  • @AbduliAshiru
    @AbduliAshiru 15 дней назад

    Mimi shekhe nikielewa sana hapo kumbe hata mtume alipo sema manabiii wote ni ndugu na dini yao ni moja kumbe undugu upo ivyo nilikua napagawa sana ila sasa nimeelewa sana asante sana Shekhe wangu. Allah akulipe khery sana ❤❤❤

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 11 дней назад

      @@AbduliAshiru 😄😄😄😄😄

  • @Khalifaathumani-cy5om
    @Khalifaathumani-cy5om 18 дней назад

    Mashallah shekhe langu karibu Nairobi pia inshallah.

  • @masoudnzowa4608
    @masoudnzowa4608 19 дней назад +2

    Mashallah kama utaki kuelewa we ni mbishi!

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 18 дней назад

      @@masoudnzowa4608 ww ujaelewa umekariri

  • @ramadhanbigirimana2617
    @ramadhanbigirimana2617 19 дней назад

    Allah akuhifadhi sheikh Shomarri

  • @Is-hakamachano
    @Is-hakamachano 19 дней назад +1

    Mashaa Allah

  • @Samsungjprime-ww9ve
    @Samsungjprime-ww9ve 17 дней назад

    Shukran Ahsante

  • @نجمهجمعه-غ8ق
    @نجمهجمعه-غ8ق 19 дней назад

    Hakika shek wetu ulipata kichwa chenye GB kubwa masha Allah

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 17 дней назад

    Uko vizuri shekhe Shafi

  • @samiukhamis2703
    @samiukhamis2703 19 дней назад

    Allah akujaze. Kila la kher

  • @YohanaMsekefu
    @YohanaMsekefu 14 дней назад

    Ostathi shafi hapo umechemka sana afadhari ha mbogo alijitahidi kidogo

  • @SaleheAmiry-mx1yn
    @SaleheAmiry-mx1yn 19 дней назад

    Shekhe wewe ni mtaalamu san Allah awape mwisho mwema

  • @saadaabdallah7473
    @saadaabdallah7473 18 дней назад

    MashaAllah

  • @kombojuma7835
    @kombojuma7835 19 дней назад

    Umefafanua vizuri

  • @boraimanijumamahenge7554
    @boraimanijumamahenge7554 18 дней назад

    Mashallah

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 17 дней назад +1

    Nabii ndugu za waisreal ni Muhammad kazi kweli kweli nabii mpinga biblia Muhammad na allah hona hapo wanavyowaita wayaudi heti ni maadui 5:82 quruan

  • @IbrahimHakizimana-bd2qh
    @IbrahimHakizimana-bd2qh 19 дней назад +2

  • @MichaelFrank-m1d
    @MichaelFrank-m1d 15 дней назад +1

    Xhehk achakupotoxha watu imeandikwa amaa yulee anaenipinga mimi bax hata uona ufalume wabab yangu maan me ndio njia yakwenda kwa baba

  • @SaleheAmiry-mx1yn
    @SaleheAmiry-mx1yn 19 дней назад +1

    Shekhe wewe ni mtaalamu na unafaa kuwa mwanasayansi wa dunia

  • @mikidadikiga90
    @mikidadikiga90 18 дней назад +1

    Ustadh shaffi tulikutana NEWALA mjini msikitini siku ya ijumaa nikwel kabisa

  • @MoiWakitaa
    @MoiWakitaa 19 дней назад +1

    Kwanza ku comments! Wewe ni mtaalam sana

  • @MsuyaJeremia
    @MsuyaJeremia 18 дней назад

    Bwana mwenyewe na akukemee.

    • @JaziraMustafa-g9p
      @JaziraMustafa-g9p 17 дней назад

      Hilo jambo kaka halihitaji ushabiki wa kidini bali linahitaji umakini wa kiakili na tafakari

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 19 дней назад +2

    BILA MKRISTO HAKUNA MUISLAM, BILA BIBLIA HAKUNA QURAN, YESU MASIHI YU HAI, MUHAMMAD MAKABURINI. HUO NDO UKWELI MCHUNGU KWA MUISLAM. TAKBIRRR 😅😅😅

    • @asriyaaljabry27
      @asriyaaljabry27 19 дней назад

      Yesu mwenyewe muislaam Kristo maana Yake nabii km tunavyo amini waislaam

    • @NuhuMabena-gh1wo
      @NuhuMabena-gh1wo 19 дней назад

      Waislam tunamuabudu mungu na Mohammad ni mtume wa mwenyezi mungu ni binadam kama ulivyo wewe lazima ofe wewe endelea kumuabudu binadam mwenzio ambaye ni yesu

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 19 дней назад

      @NuhuMabena-gh1wo nakupa sababu ya WAKRISTO kumuabudu YESU KRISTO MASIHI. YESU NI MWANA WA MUNGU, AMBAE NDIO DARAJA AU KIUNGANISHI KATI YA MWANADAMU NA MWENYEZI MUNGU. HAUWEZI KUPOKELEWA NA MUNGU MWENYEZI BILA KUPITA KWA YESU KRISTO MASIHI. YOYOTE ANAEMDHARAU YESU NA KUMPUUZA MAOMBI YAKE HAYAWEZI KUFIKA KWA MWENYEZI MUNGU. KWA MAANA YESU NI MWANA WA MUNGU, AMEPEWA MAMLAKA YA KUSAMEHE, KUPONYA, KUHUKUMU, KUFUFUA NA MPAKA UUMBAJI. YESU ALIUMBA NDEGE NA HAKUNA NABII AU MTUME YOYOTE ALIWAHI KUFANYA HIVYO. NA HAYO ANAYAFANYA KWA IDHINI YA MWENYEZI MUNGU. JINA LA YESU NI TIBA TOSHA KATIKA MAISHA YAKO KIJANA. LIMETUSAIDIA WENGI NA NDO MANA TUKO NAE MPAKA KUFA KWETU.
      TOFAUTI NA NABII WENU FEKI ALIEOTOA AMRI NYINYI WAISLAM MUMSALIE YEYE, KWA MAANA ANAJUA MADHAMBI ALIONAYO AKIOMBA YEYE MWENYEWE HATOBOI. Ivyo basi ukimuomba Yesu, unamuomba Mwenyezi Mungu. Kwa Mungu mwenyewe ameamuru ivyo.

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 18 дней назад

      Choko kweli wewe ndio maana huna akili

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 18 дней назад

      @@walidmgonja3644 imeingia mpaka kwenye gololi ndugu, pole ndugu. Najua inauma ila kaza mwenetu. Vumilia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jordanissamunena1702
    @jordanissamunena1702 15 дней назад

    Mimi ni mtu wa Drc Ila naipenda saaana tz ,kwa ma shekhe ninao wakubali saaana kwamoyo mkunjufu ni shafii pekeyake , wengine uzushi unapita

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 17 дней назад

    Yesu hajapewa kitabu kinachoitwa biblia bali Yesu alipewa kitabu kinachoitwa Injili

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 10 дней назад

    Sasa uisilam mwili umewazidi akili, hivi kuzama kwa jua na mambo yakiroho mahusiano yake nini, bibilia imeandika jua kua nimoja ya mianga MUNGU aliumba ilikujua asubuhi na jioni, sasa uisilam utakuta shekhe anaeleza habari ya mbuzi ngo'mbe nyuki mpaka hutuba inaisha, mnatoka hapo milungi pembe kutukana uzinzi uganga ushilikina nk. Miniliacha uisilam kwa sababu tu ya hayo, mimi nahitaji kujua mungu mnae mwabudu ataniokoa vipi nakunipigania juu ya pepo wachafu, nijue MUNGU sana unanieleza majini.

  • @HashimMohamed-ku8mg
    @HashimMohamed-ku8mg 18 дней назад +1

    Hakuna baada ya haki yani Quran ila ni upotofu na asieiamini Quran cjui ataamini nn tena
    Quran last revelation to last prophet Muhammad to the last generation

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 17 дней назад

      @@HashimMohamed-ku8mg anaeamini Quran na kumkataa Yesu si mwana wa Mungu, ni MYAHUDI NA KAFIRI.

  • @brightzone.
    @brightzone. 12 дней назад

    Kutoka kwa Alexander the Great -
    Quran hii - eti Dhu al Qurnayn kumbe ni bwana Alexander.
    Sijui hadi lini mtaashtuka na kujua kweli.
    Akisikia Story anasema Ufunuo.

  • @ikhavi
    @ikhavi 16 дней назад

    Hapo kwa nabii..je inaa maana Mungu alileta mitume wawili aina ya Musa???ikiwa 'zako' ni uko wenu na 'zao' uko mwingine ??uislamu nao????😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na mbona ndugu zao wasiwe watoto wa Esau bali wana wa ishmael😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @harunichambo4658
    @harunichambo4658 16 дней назад

    Circumnavigation of the Earth 😮

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 17 дней назад

    Allah anasali 33;56 vp hapo hakuna makosa ?

  • @HashimMohamed-ku8mg
    @HashimMohamed-ku8mg 18 дней назад

    Yesu hakupewa bibilia ila alipewa injili na vtabu vyote vya nyuma utabiri WA mtume Muhammad uko na yesu alimtabiri kua atakakuja mtume baada yake na ndio mtume Muhammad sio kua Muhammad alimtabiri yesu

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 17 дней назад +1

      @@HashimMohamed-ku8mg ni kweli Yesu alitabiri kuwa watatokea manabii wa uongo, na watanipinga na kwenda kinyume. Akatokea Muhammad na akampinga na kusema Yesu si mwana wa Mungu.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 17 дней назад +2

      Muhammad alitimiza andiko mathayo 24:11 akatokea na huyo allah wake wakalitimiza andiko mwaka 610 na allah ni mpinga kristo

    • @HashimMohamed-ku8mg
      @HashimMohamed-ku8mg 17 дней назад

      Soma Quran Kwa Moyo mkunjufu na Nia Safi utaona mambo yalivowekwa wazi
      Swali1tu Rahisi ikiwa Kweli bibilia ni kitabu cha Mungu na Quran ni kitabu cha Mungu iweje maneno ya Mungu yageuke geuke?sababu Quran yasema Allah Hana mwana wala yesu hakusulubiwa na bibilia yasema yesu ni mwana WA mungu na alisulubiwa inakuawaje haya mambo?

    • @HashimMohamed-ku8mg
      @HashimMohamed-ku8mg 17 дней назад

      Hivi yawezekanaje Mungu kutupa muongozo usioeleweka?vtabu vyake kutofautiana?iweje kwenye Quran yesu ametajwa ila Kwa bibilia iwe hayuko Muhammad na vote ni vtabu vya Mungu?

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 17 дней назад

      @HashimMohamed-ku8mg wewe Quran ni kitabu Cha majini ambao kwetu wakristo ni mapepo wachafu ndiomaana hicho kitabu Cha Quran kinaipinga biblia Aho waislamu wanatumia uongo mwingi hili huyo Allah na mtume wao waonekene ni wakweli kupitia biblia sis biblia imetukataza kushilikiana na majini mashetani majini 1wakorintho 10 :20-21 wao waislamu huyo Allah wao kawaruhusu kushilikiana na majini ni Dini Moja 72:14 na 46:29-31

  • @salimmohamed9208
    @salimmohamed9208 19 дней назад

    Horizon

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 19 дней назад

    Sulle alianza ivyoivyo, sasa ivi kawa Mzee wa Upako, ana adi mafuta ya upako. Anapiga ela tu kwa waislam na kitambu kimemtoka.😅😅😅😅
    Ila waislamu

  • @kombojuma7835
    @kombojuma7835 19 дней назад

    A'salaam alaykum..
    Nina swali juu ya Christmas, Je muislam ukiitwa kuchinja au kuletewa kile chakula baadae na kula je ni kosa?

  • @charlesmapunda-g5l
    @charlesmapunda-g5l 16 дней назад

    Shafii nijibie swali langu wapi Muhammad alisilimu na uliambiwa awe wa kwanza kusilimu?
    Wapi Muhammad aliongea na Malaika? Maana Yule wa Mapangoni ni mkewe ndio kasema ni Malaika Gabriel, je bi Khadija alijuaje Yule ni Malaika wakati hakuwepo Mapangoni?
    Allah hafanani na kitu chochote lakini Quran inaonyesha geti la motoni halitafungwa mpaka Allah aingize Unyayo wake, kama hafanani na kitu chochote mmejuaje anaunyayo? Kama kweli hiyo Quran haina mashaka?
    Mwisho Muhammad alishawahi kuongea na Mungu kama Mitume wa zamani?

  • @charlesmapunda-g5l
    @charlesmapunda-g5l 16 дней назад

    Muhammad kapewa Utume na nani? Maana waliompeka Muhammad kuwa Mtume ni viumbe wengine kwasababu Allah alikua shahidi hii imekaaje?

  • @نجمهجمعه-غ8ق
    @نجمهجمعه-غ8ق 19 дней назад

    Tukiwa Kenya twatumia njia gani ili mchango uwafikie

  • @mosesmutharimi5837
    @mosesmutharimi5837 18 дней назад

    Na maulidi nayo ni sawa ,Kwa nini hampingi ?maulidi

    • @JaziraMustafa-g9p
      @JaziraMustafa-g9p 17 дней назад

      Kaka sikiliza hayo maelezo kwa kutafakari na kutumia akili badala ya ushabiki hayo yanayozungumzwa hapo ni mambo mazito.Tafakari.

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 17 дней назад

    Kosa la Muhammad ni mtume WA uongo mpinga kristo

    • @hassanhaji1332
      @hassanhaji1332 14 дней назад

      Ukristo sio dini acha upumbavu utakufa kafiri

  • @charlesmapunda-g5l
    @charlesmapunda-g5l 17 дней назад

    Uislam ni porojo tuu nyingi yaani kazi yake Ku brain washed waumini wa kiislam na wanaingia kingi mazima

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 17 дней назад

    Wakristo wanamktaa mtume Mohamed kwa sababu mtume Mohamed hajawaambia waislamu Yesu ni mwana wa Mungu hiyo ndiyo sababu ya kumkataa mtume Mohamed bure kabisa

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga 10 дней назад

      Muhamadi Hana hazi kua mtume wa MUNGU mkuu, haitatokea.

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 19 дней назад +1

    SHAFII ACHA BANGI, UTABIRI NI KITU KITAKACHO KUJA KUTOKEA, NA SIO KILICHOTOKEA NA KUFANYIKA. MTUME KAIKUTA BIBLIA, KAJA BAADA YA YESU. SASA APO ALITABIRI NINI?
    ILA WAISLAM 😅😅😅😅😅😅

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 19 дней назад

      Tunakushangaa ww huelewi nn kinasemwa utabiri unatokea na pia unaweza kuhadithika yaan jambo likitokea Kam limetabiriwa inakuaje si ukihadithia kilichotokea ww vip

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 19 дней назад

      @brothermuadhwam890 kinachosimuliwa ni hadithi mjomba, na utabiri sio hadithi. Na anaetabiri asimulii, tunasema ANATABIRI au ALITABIRI. Na sio alisimulia. Ukisikia kuhadithia basi ni jambo lililopita na kufanyika. TAKBIRRRR 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 18 дней назад

      Hua nashindwa yaan ww hua lazma uropokwe na hakuna point unayo izungumzia - Utabiri wa 18:18 - hebu tuelezee unafanana vp na kusadifu sifa za Yesu?
      Maana Nabii km Mussa - kiaje? Na yesu hakua na mke hakuacha kizazi, hakuwa mtawala ,haku ona utawala wake...hakuzaliwa kikawaida km mussa... unafananishaje? Badala uje uropokwe km kawaida yako ...njoo na mafundisho tufaidike

  • @charlesmapunda-g5l
    @charlesmapunda-g5l 16 дней назад

    Shafii nijibie swali langu wapi Muhammad alisilimu na uliambiwa awe wa kwanza kusilimu?
    Wapi Muhammad aliongea na Malaika? Maana Yule wa Mapangoni ni mkewe ndio kasema ni Malaika Gabriel, je bi Khadija alijuaje Yule ni Malaika wakati hakuwepo Mapangoni?
    Allah hafanani na kitu chochote lakini Quran inaonyesha geti la motoni halitafungwa mpaka Allah aingize Unyayo wake, kama hafanani na kitu chochote mmejuaje anaunyayo? Kama kweli hiyo Quran haina mashaka?
    Mwisho Muhammad alishawahi kuongea na Mungu kama Mitume wa zamani?