NDACHA TUNAKUFUNDISHA MOTONI TUTAISHI MILELE NA HII NDIO MAANA ,JIFUNZE KISWAHILI NA BIBLIS-SHAFII

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 77

  • @BEJAMTEZO-m6v
    @BEJAMTEZO-m6v 12 дней назад +2

    Wallah shekh wangu uko fasaha kabisa nakupenda kwa ajili ya Allah npo kenya .Allah akuzidishie elimu

  • @samxx411
    @samxx411 13 дней назад +7

    Unajuwa shafi elimu unayotoa ni kubwa ila mtu akishapigwa muhuri ni mtihani sana

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 12 дней назад +1

      @@samxx411 iyo ni elimu kubwa kweli kwa matahira na bongo lala wa imani. Mwenye akili timamu kwanza hawezi kuingia nyumba ya ibada inayotumika na majini.

  • @Samsungjprime-ww9ve
    @Samsungjprime-ww9ve 12 дней назад

    Mashaallah shukran sheikhe shafi nakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @chikuiddy9946
    @chikuiddy9946 12 дней назад

    Ustadh Shafii Ndacha bila shaka kakuelewa vzuri

  • @Samsungjprime-ww9ve
    @Samsungjprime-ww9ve 12 дней назад

    Allah akulipe pepo ya fredaus sheikhe wetu shafi pamoja na masheikhe wote na kila muislam wa kweli

  • @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
    @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 12 дней назад +3

    Qur Ani haijawh ongopa hata cku Moja na hakuna ambae anaweza kuingiza maneno yake

  • @NduwimanaGaddy
    @NduwimanaGaddy 12 дней назад

    Kwakweli tunastahili kuwa Batu BA dini moja ya Allah,kwasababu uwislam haukuwacha chochote yana naupenda Sana tena sana mungu anijalie pia na famille yangu basifaliki habajakuwa ba Islam na bajuwe ukweli, sheikh shafii ubalikiwe Sana 🙏

  • @abdallahjuma2608
    @abdallahjuma2608 12 дней назад

    Mashaallah

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 13 дней назад +2

    Ustadh Shafii ameeleza vizuri sana,ila watu anafanya nao mijadala,wanafanya kusudi,Ndacha anajua ila ametumwa kuzuia Wakristo wasijue ukweli Wala wasijue maandiko,sasa ikiwa mtu analipwa kufanya kazi io.

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 13 дней назад +1

      Hiyo dhana ya mafundisho ya Ndacha anapewa pesa kufanya hivyo hiyo sio kweli kama ni hivyo angekuwa anachukua sadaka au kuomba misaada ya watu wamchangie hata mafuta ya gari

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 13 дней назад

      Hivi kimtazamo tu Biblia ulikuwepo miaka takrbani elfu 3 mpaka Muhammad anazaliwa alafu leo uje kubadilisha maandiko ulete yako kuyapinga yalotangulia inamaana Mungu hakuliona hilo?tena Mungu huyo anajua kiarabu tuu hii haiingii akilini.

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 13 дней назад

      @@charlesmapunda-g5l
      Quran inatafsiriwa Kwa mujibu wa Mtume Muhammad S. A. W. na si kutafsiri Kwa jinsi akili inavyokutuma. Na hiki ndicho Ndacha afanyacho yaani kutafsiri atakavyo .

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 12 дней назад

      ​@@charlesmapunda-g5lNinyi mbona hamfuati torat alipewa Musa miaka zaidi 1400 iliyopota kabla ya Yesu ila mnalalamika sis kutokufuta yesu ambaye kapishana na Muhammad miaka 600 na kitu ?????

  • @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
    @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 12 дней назад +2

    Wakiristo amkeni jamani huo ndio uhalisia wenyew ulivyo msibabaishwe na wachungaji wenu mtakuja jutia baadae na wala haitakuwa faida kwenu

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 13 дней назад

    Masha Allah TabarakAllah... JazakAllahu kheyran ustadh shafii ; Allah Akuhifadhi popote ulipo

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 12 дней назад

    Subhanallah

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 12 дней назад +1

    Wew Quran 2:30 Allah alishauliwa akakataa kuwasikiliza malaika je aliyesema kweli ni nani kati ya Allah na malaika ?

  • @jumahyaache
    @jumahyaache 13 дней назад

    Mashaallah ❤

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 13 дней назад

    Asalam alaikum sheikh shafi ni kweli kabisa kur an ni miujza na ni tam sana

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 12 дней назад

    Ndacha mwehu tu yule,Hapo mungu wa bibilia aliongea uongo 😂😂😂

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 12 дней назад +1

    QURAN NA MUHAMMAD NI NGUZO YA UGAIDI KWA WAISLAM.
    KUMBE NDO MANA MUISLAM KABLAN YA KUUA HUSEMA ALLAH AKBAR, YANI NI RUHUSA TOKA KWA MUNGU WAO.
    QURAN 9:111 - Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu - wanauwa na wanauwawa. Hii ni ahadi aliyo jilazimisha kwa Haki katika Taurati na Injili na Qur´ani. Na nani atimizae ahadi kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa,
    HAPA HAMNA DINI KWA KWELI.

  • @legendaction202
    @legendaction202 13 дней назад +1

    Ndacha ni mtoto kwa juu ndacha freemason

  • @danielkamau2987
    @danielkamau2987 12 дней назад +1

    Sii Mfanya Debate na yeye na isikue kama last time ya ulifanya 8 min ulikuwa unaogopa kutetea Uislam,Debate kama vile Dr Shulle walifanya na yeye tunjue u kweri wacha kunjifungia kwa nyumba.

  • @KhalidKhamis-b6t
    @KhalidKhamis-b6t 13 дней назад +1

    s.s.p maestro you are next level 🎉 bravo 👏

  • @legendaction202
    @legendaction202 13 дней назад

    Mashallah hichi ni kiumbe

  • @NahimanaAbdoulKalabaJr
    @NahimanaAbdoulKalabaJr 13 дней назад

    Ustadh nasubiri jibu la majeneza

  • @mwesi527
    @mwesi527 12 дней назад

    Kwa akili ysko we shehe hapo unatete shetani yani mungu aliyrsema hakika utakufa wa unazani hawakufa siku hiyo hiyo .

  • @dicksonmambo8623
    @dicksonmambo8623 12 дней назад

    Hapaa elimu ya mwalimu shafii imeishia hapa anashangaa vip walikufa au hawakufa hapaa huwezii elewa kwa elimuu ya msikitinii

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 12 дней назад +1

      Wew mwenyew huna unalojua nikuulize swali dogo tu hapa KAINI ALIOA MKE, JE ALIMTOA WAPI wakati kipindi hicho yuko mtoto pekee???

    • @Mauya23
      @Mauya23 12 дней назад

      Tuelimishe tafadhali kwa elimu sahihi usiwe mchoyo wa elimu ndugu yangu...

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 12 дней назад

      Hao wenye elimu ya Msikitini ndo walimu wenu

  • @cizarmilan1837
    @cizarmilan1837 13 дней назад +2

    Kama ukimsikiliza ndacha bila ya ilmu utakwenda na maji

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 12 дней назад

    Kweli hivi wa Kristo hawafahamu ukweli

    • @IsmailKhamis-c3t
      @IsmailKhamis-c3t 12 дней назад

      Siyo kama hamuyajui Bali wameamua kuufumbua macha ukweli

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 12 дней назад +1

    NDACHA KOKOTE ULIKO, SHAFII ANATAMBA UKU AKIWA KAJIFUNGIA NDANI 😂😂😂😂

    • @MariamMzee-c1o
      @MariamMzee-c1o 12 дней назад

      Ss hyo ndacha anani zaud ya kupindisha mambo😅😅

    • @AbdullatifSalum-c7r
      @AbdullatifSalum-c7r 12 дней назад

      Kajifungia Ndani Lakini Video Kapost Online watu Wangapi Wanaona na Kusikia views takriban 2000 na kitu maana kaweza Kuwafikia watu wengi kushinda midahalo mengine ambapo haifikiii watu hao

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 12 дней назад

      @AbdullatifSalum-c7r 😅😅😅😅😅😅

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 12 дней назад

      Ndugu yng kula chuma hko😂😂😂😂😂😂ndio maana mm nilisilim😂😂😂😂

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 12 дней назад

      @huseinshedrack6180 chalii jiamini na dini yako usione aibu, umerithi dini iyo kutoka kwa baba ako na mama ako. Acha ushambega wa kusema umesilimu. Endelea kuaminishwa ukifa utaenda pepo yenye mito ya pombe, mito ya maziwa na utapewa wanawake warembo wenye shepu.
      😅😅😅😅😅😅😘😅😅😅😅😅

  • @dicksonmambo8623
    @dicksonmambo8623 12 дней назад

    Hakuna kituu hapaa fikiraa zake tuu

    • @IsmailKhamis-c3t
      @IsmailKhamis-c3t 12 дней назад

      Sikiliza elimu kubwa ya mwalimu mkubea tena msomi Wacha kusubiri mapokeo

  • @AbbMotors-pc4rx
    @AbbMotors-pc4rx 12 дней назад

    Shafii usichoke kufanya mambo haya matamu

  • @Austinemarko
    @Austinemarko 12 дней назад

    Hii dio elimu alio edea shule kisa na maana aje awafundishe wakristo,nashuku huyu shafii nipunguani hakiamungu.

    • @slymsameer5415
      @slymsameer5415 11 дней назад

      Wewe huna ulijualo kwasababu umegubikwa na ujinga mpaka mungu akupe wepesi lakini kama ukitaka kama kweli unataka kujua toa ukristo kichwani ruhusu elimu ikufuke utaelewa broo

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 12 дней назад +1

    Sheikh Mbogo juzi katuambia QUR'AN ilikuwa KATIBA YA DOLA ZA NCHI YA ZA KIISLAM, ( ISLAMIC STATE) NA HAWA NDIO WAJUBA WALIOANDIKA QURAN!
    Abdullah Ibn Masud, Ubayy Ibn Ka'b, Zayd Ibn Thabit, Mu'awiyah Ibn Abu Sufyan na wengineo
    KWA IYO SHAFII ONGEA UMALIZE, HAUSUMBUI BARAZA.

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 12 дней назад +1

      Acha uongo wew tumemsikiliza vizur tu alisema kwamba kama nchi zimeongozwa kwa mujibu wa SHERIA ZA KIISLAMU( Quran na haditi) manage inchi inakua inchi ya kiislamu ( Islamic state) ambayo sheria za kiislamu zingeweza kutekelezwa

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 12 дней назад

      @ulimwengumaulid7397 kwaiyo unatuthibitishia Quran ni ya mchongo na ina mapungufu. Maana iyo sheria ya kuua anaekimbia uislam imeandikwa kwenye Quran badala ya kwenye katiba ya nchi za dola za kiislam. Ahsante kwa kukubali. Kwa iyo kuanzia leo mkome kudanganya watu kuwa quran imekamilika. Ili hali sheria za kwenye katiba zimeandikwa kwenye Quran.

    • @ulimwengumaulid7397
      @ulimwengumaulid7397 12 дней назад

      @Jamal22-o5n Ya mchongo vip sasa kwa mfano iko sawa sis wanadamu ndo hatutaki kuifuata kwa mfano Quran inatutaka mke au mume wa mtu akizini apigwe mawe mpaka afe, halafu siku tutumie sheria hii kwenye nchi yetu tutaua watu wengi na wengi wangeacha kuzini, lakin pia sheria hii huwezi kuitekeleza kwenye nchi yetu kwa sababu sio nchi ya kidini(haiongozwi kwa mujibu wa sheria za dini) ina katiba na sheria, kama hujaelewa uliza tena

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 12 дней назад

      @ulimwengumaulid7397 ndugu haina haja ya maelezo yote hayo. Mwalimu wako alitakiwa kujibu kuwa ni kweli Quran inaruhusu kuua mtua akihama uislam. Kashindwa kujibu kwa sababu, iyo sheria kuanzia kwa Mungu mwenyewe na duniani kote haiko sawa. Maana ata izo nchi za dola kiislam watu wanahama uislam na hawauwawi. Kwa maana iko wazi iyo ni amri ya kishetan ni udikteta. Mungu mwenyewe haongozi watu wake kwa ubabe kiasi icho.
      Hivyo tunarejea kwa mtume Muhammad kuwa hakuwa mtume wa Mungu, bali Allah. Na Allah usichokijua sio Mungu.
      Na pili ni kuwa QURAN haijakamilika na haijashushwa na Mungu. Ni story zimetungwa kukuaminisha wewe na wenzio ili muifuate. Ndo mana wametumia kusema imeshushwa ili isipingwe. Na ukumbuke mtume wenu mafundisho yake yote alikuwa anadanganya anashushiwa AYA na Mungu wasimbishie.
      Quran imeandikwa na watu bab, kataa ukubali.

  • @dkasfilmstudio4641
    @dkasfilmstudio4641 12 дней назад

    Hapa hapa duniani tu tukiumia tuna badilishiwa ngozi Akhera ndio itashindikana?

  • @mwesi527
    @mwesi527 12 дней назад

    Wewe jiulize we shehe sodoma na gomola zinaungua mpaka leo we uwez elewa

  • @SunguraShabani
    @SunguraShabani 12 дней назад

    MUNGU WAKUMBUKE WA NDUGU ZETU WAISLAM
    UWAINULIYE NURU YA USO WAKO, WAKAKUONE WAKATOKE GIZANI

  • @hamisikeneth2332
    @hamisikeneth2332 13 дней назад

    Ndacha alisoma Quran ndiyo maana alisema mtachomwa moto hayo mandiko hapo kwenu waislamu

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 13 дней назад +1

      Ndacha alisoma Quran atakavyo,sio kiulingana na Muislamu.Alisoma ki SDA.

    • @BinSultan-t5g
      @BinSultan-t5g 12 дней назад

      Acha kujidanganya ndugu hakuna mkiristo anaeijua Quran. Biblia hamuijui mtajja quran

  • @mwesi527
    @mwesi527 12 дней назад

    Kwa taarfa yako we she adam na hawa walikufa siku hiyo hiyo ,huwezi elewa jambo hilo coz nyie waisilam hamjui biblia na haswa mamboya kiroho,juu ya unabii wa biblia

    • @slymsameer5415
      @slymsameer5415 11 дней назад

      Toa andiko we bwege walikufa siku hiyohiyo nyie mlitoka wapi sasa jingas

    • @HansiJuma-k9l
      @HansiJuma-k9l 11 дней назад

      @@slymsameer5415 kwaiyo.kaim.na abeli walizaliwa na babu yako

    • @HansiJuma-k9l
      @HansiJuma-k9l 11 дней назад

      Kwaiyo kaim na abeli walizaliw n babu.yako

    • @nduwimanaamidou4009
      @nduwimanaamidou4009 4 дня назад

      @@HansiJuma-k9l😀

    • @nduwimanaamidou4009
      @nduwimanaamidou4009 4 дня назад

      Kisha wewe ndiyo ulimzaa kaini na aberi