Majibu Kwa Ustadh Shafii.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 152

  • @marundaye3613
    @marundaye3613 7 дней назад +7

    Mbona ustadhi shafii kakujibu vizuri tuu. Kakwambia wachawi wapi. Ila si waislamu . Hawafuati uislamu.

  • @husseinmohamed3980
    @husseinmohamed3980 7 дней назад +6

    Nafkiri Shafi alikujibu vizur kwa aya ya surat il mu'umin nakwamusema yakuwa muwislam wakweli niyule haabudu mizim makaburi na vinginivye ila muwislam jina anatumia uchawi kama vile mkristo jina anabariki ndowa ya mashoga

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 7 дней назад +1

      Mbona hamtuonyeshagi hao waliofungishwa ndoa? Mkikasirika ndio mnataja hayo. Tupeni hata mifano hai, majina ya wanandoa, na Kanisa lao lipo wapi,... ili tuhame huu Ukristo.
      Mkikasirika ndio naona mnataja hayo, 😂🤣 😂 🤣
      Ila kweli nyie tukubaliane Waongo sana.

    • @husseinmohamed3980
      @husseinmohamed3980 7 дней назад

      ​@@Fm-MornStar2014Kuna waongo kuzidia nyiye apa duniani?!

  • @NassoroSalum-f3h
    @NassoroSalum-f3h 6 дней назад +1

    Umejibiwa vizuri sema njaa zinakusumbua x pastor

  • @IbrahimHassan-wt6py
    @IbrahimHassan-wt6py 7 дней назад +2

    Mbona sauti ya Shafii umeifinya? Kwa taarifa yako, we huna hoja ya kumsumbua Shafii.
    Unaitwa mjinga Kwa sababu hujui unachosema.

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 6 дней назад

    mungu yesu ,anabinamu zake mama wadogo wajomba anandugu zake nimtu kama wengine ,tofauti ya yesu na sisi yeye mjumbe wamungu analokea wahau kutoka kwa mungu kuoitia jibulilu , alisema mimi mtu munatska kuniua,,

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 5 дней назад

      Hii clip haijadili mada inayohusu swali kuwa je Yesu ni Mungu ama sio Mungu? Swali ni je wapo wachawi wa kiislamu (waliofundishwa uchawi na mungu wa kiislamu)? Kwa hiyo acha kuweweseka zingatia mada

  • @qarimohdmakamemossi4676
    @qarimohdmakamemossi4676 7 дней назад +3

    Mbona wachawi si waislamu tu hata wakristo wapo hata dini nyengine wapo

    • @Khalidmghosi
      @Khalidmghosi 7 дней назад

      Muislam anaefanya uislam ataitwa kafiri sababu uislam hauruhusu uchawi wala ramli

  • @AlhajiAhmadi-nz9ms
    @AlhajiAhmadi-nz9ms 7 дней назад

    Kumbe ndio maana ufahamu wenu mdogo sana x pastor

  • @Khalidmghosi
    @Khalidmghosi 7 дней назад +1

    Ni sababu watafuta tafuta siku mukue na mjadala na shafii tuone kama utamweza shafii

  • @issahemed383
    @issahemed383 2 дня назад

    shekhe shafii arudie shuleni

  • @paulmwangi3438
    @paulmwangi3438 7 дней назад +3

    Hawa wahadhiri wa kiislamu hawawezi jibu swali bila kejeli na matusi.

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      Ni Muhadhiri Gani Wa KIISLAMU Amemjibu huyu kwa kejeli na MATUSI ? Ya kwake yeye Anayaficha halafu Anasema SHAFII Amemwambia Mjinga, Tena kwa kuficha ficha Shafi Amesema Mtu Mjinga tu ndiyo Atakae Sema hayo, tena Baada ya yeye Kututukana Waislamu kwa kutuita WAJINGA Ndiyo yeye Ameanza kwenye Clip Nyingine sio hii Shafi ndio Akanjibu sasa Amechukua Kipande Alichojibiwa Ameanzisha Mada nyingine 😀😀😀

  • @allyabnbaba8639
    @allyabnbaba8639 2 дня назад

    Mmeishiwa ... Ni kujikaza tu.

  • @samxx411
    @samxx411 6 дней назад

    Mie nilijuwa tu huyu ex imam hana jipya naona hajielewi ..sie tunaotaka kusoma tumemuelewa shafi vizuri sana...ni mwalimu mzuri sana

  • @EsterSangayau
    @EsterSangayau 7 дней назад +2

    Mara nyingi huwa hawajibu swali bali wanazalisha swali ili kuwapumbaza watu wasiielewe qur'an

  • @engineerjuma9876
    @engineerjuma9876 7 дней назад +1

    Kwanza hiyo salam ta Shaloom umetoa wapi na kwa mafundisho ya nani

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 6 дней назад

    mungu wenu yesu sio mungu ,wetu sisi ndie alie muumba,mariam na yesu kaubwa na mungu ,wetu ,munataka kusema ,yedu ndio alotuumba,sisi , kaumba kila kitu hapa duniani ,kisha,mamuumba mariam,,maria kamzaa mungu ,, kama mungu yesu ,

    • @DavidIssa-l9w
      @DavidIssa-l9w 5 дней назад

      Kwa nguvu gani allah wako kaumba, kumfufua Muhammad tu a ashindwa Bali iko na muombea, Muhammad ajawai kuongea na allah, kama ajawai kuongea naye je wewe unamjuwa

    • @MustaphaAmani-l6u
      @MustaphaAmani-l6u 6 часов назад

      BIBLIA KAPEWA MTUME NANI leta oja sio mbwembwe tuh 😏

  • @BarikiJansonElia
    @BarikiJansonElia 5 дней назад

    Kwel Mungu aliteremsha uchawi?

  • @allyabnbaba8639
    @allyabnbaba8639 2 дня назад

    . Unazania kama unaongea na watoto.
    Mwalimu silimu acha kujikaza ... We silimu

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 7 дней назад

    Mzeee hukua muwsllamu ila ulipelekwa na kanisa kwenda kusomea uwslamu ili uje kusema ulikua shekhe imamu kumbe sio kweli mzee muogope mungu

  • @kombomalangwi233
    @kombomalangwi233 6 дней назад +1

    Tumemsikia,

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 6 дней назад

    wewe unasema , yesu mungu ,Sasa umesoma ni I ,yesu ,anasema unataka kuniua Mimi MTU , akila chakula na akienda choo , wapi wameandika akivaa ubinadam ,dini hoja ,

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman 7 дней назад

    Mlitoa kitabu cha enoko ndani ya bibilia ambacho kiko na uchawi m'baya sana zaidi duniani ambacho mnakitumia kuangusha watu makanisani mkijidai muko na roho mtakatifu

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 День назад

    Kwa Shalommm Ndio imekuwa salam yenu?

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 6 дней назад

    Huyu mzukaa kweli.Ataka Kiki tu

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 7 дней назад

    بَلْ تُؤْثِرُونَ الْحَيَاةَ الدُّنْيَا (16) وَالْآخِرَةُ خَيْرٌ وَأَبْقَىٰ
    Njaa itakupeleka pabaya

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 7 дней назад

    Kamahujatosheka na majjbu ya Big Brain Shafii andika barua mukaemeza moja kwa hoja hiyo vitabu QRU'AN NA BIBILIA.ndio utajua Kobe hapimwi joto.

  • @JumanneIddy-z5e
    @JumanneIddy-z5e 6 дней назад

    huyu mzee nimatango pori kumbe

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 7 дней назад +1

    Duuuuuuuuh kwa akil hiyo ni bora ulivyo ondoka ktk Uislam una kichwa kigum kuelewa km umeshindwa kuelewa majibu ya Ustadh Shafii bas hzo chuki zako weka mfukon

  • @AlhajiAhmadi-nz9ms
    @AlhajiAhmadi-nz9ms 7 дней назад

    Usizibe masikikio x pastor hujui hata challenge

  • @MustaphaAmani-l6u
    @MustaphaAmani-l6u 6 часов назад +1

    Ebu kama wewe Ex Imam upo kidume omba mdahalo ili tufanikishe malengo zetu za kuku fundisha nyie wa Christo .
    Kama ume shindwa kujibu kitabu ambacho ume kitumiya kama msaada kime pewa na mtume Nani jeeh maandiko kweli uta ya elewa vizur ???
    Shida pia ni msiba mkubwa kwenu nyie wakirisitoooooo

  • @ayunaltoqy1360
    @ayunaltoqy1360 6 дней назад

    Jitu jinga hili tuondokee wachawi wapo hata wasio na dini ni chuki kwa waisilam

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 7 дней назад

    Sikiawe wewe mzee huna elim kasome.hebunikuulize hivi hakuna wachawi wakiristo.

  • @alawi6796
    @alawi6796 6 дней назад

    Ww mjinga kwli elimu yko ndgo

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 6 дней назад

    kanisa linabariki nfoa,za wansume , kstiliki ndio imezaa mazehebu yote haya kunajisi watoto wansume kuona ,paulo akimiminwa,wakati wa baridi mtume gsni shiga? kasema mwenye, akimiminwa ,

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 4 дня назад

    Ww mchungaji ni muhuni unakatakata hiyo video ilikuharalisha muhuni wako majibu ya shafii ni sahihi

  • @SalumMruma
    @SalumMruma 6 дней назад

    Hiyo salamu yako ipime kwanza wapi umeipata!!!?huna maarifa mchungaji ww Kwa waislam huna hoja

  • @HassanAbdalla-v6d
    @HassanAbdalla-v6d 6 дней назад

    Sura haina nuru imejaa ukafiri

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 6 дней назад +1

    Mimi mda kupoteza kuangalia au kusikiliza apa sina, ila ndugu zangu waislam. MUNGU WA WAKRISTO, NI TOFAUTJ NA MUNGU WENU ALLAH. SISI MUNGU WETU NI GOD ALMIGHTY. NA ALLAH SIO MUNGU BALI NI MUNGU KWA WAISLAM. IMEISHA IYO.

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      Masikini 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ Allah ni Kiarabu God ni Kiingeeeza kwa Kiswahili Anaitwaje ??? Mkiambiwa Nyie Wapinga KRISTO Mnakataa 🤣🤣🤣

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 6 дней назад

      @shabbymakapane mpinga KRISTO ni yule anaemfuata Muddy, alafu nasikia Muddy nae alifufuka na yeye yuko hai? 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Yesu alipaa muddy nae nikasikia na yeye kapaa, Yesu kafufuka eti leo nasikia Muddy nae kafufufka. 🤣🤣🤣🤣😃🤣😃🤣😃
      Allah sio Mungu, ndo mana uyo Allah wenu anaswali kumswalia muddy asiende kuchomwa moto.

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 5 дней назад

      @@Jamal22-o5n Hicho Ndicho Mnafundishwa Basi, Kejeli , Kashfa , Dharau , Matusi , CHUKI , Basi 😜😜😜 Lakini Ukweli Mnaukataa , KUMBU KUMBU LA TORATI 34:10 Wala Hajainuka tena Katika ISRAELI Nabii kama MUSA , Ambaye BWANA Alimjua USO kwa USO .😂😂😂 Msikie MUSA Anasemaje ? KUMBU KUMBU LA TORATI 6:4 . Sikiza , Ee ISRAELI ; BWANA , MUNGU Wetu , BWANA Ndiye Mmoja, 🤣🤣🤣 Anasema haya MUSA Aliyeonana na MUNGU, sasa Wewe Furahisha Nafsi yako Eti Kuna MUNGU Zaidi ya Mmoja,😃😃😃 KITABU CHA AYUBU 23:13 Lakini yeye ni zmmoja , Ni Nani Awezaye Kumgeuza ? Tena Nafsi yake Ilitakalo . Ndilo Afanyalo .🤪🤪🤪 KITABU CHA AYUBU 31 : 14 - 15 . Basi MUNGU Atakapoinuka Nitafanya Nini ? Naye Atakapozuru , Nitamjibuje ? 🤣🤣🤣Kazi kwako 31:15 Je! Huyu Aliyenifanya Mimi Ndani ya Tumbo , Siye Aliye Mfanya Na yeye ? Si Yeye Mmoja Aliyetufinyanga Tumboni ? 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ Utamu wa Bibilia 🤣🤣🤣 YESUUUU Tumalizie Utata Kuna Mtu Hapa Anasema ALLAH SIO GOD 😂😂😂 LUKA MTAKATIFU 18:19. YESU Akamwambia , Mbona Unaniita MWEMA ? Hakuna Aliye MWEMA Ila Mmoja, Naye ndiye MUNGU, 👏👏👏 Haleluya 😂😂😂 Wewe Baki na ubaguzi wako na Roho Mbaya yako , Na Chuki yako, 🤪🤪🤪 Siku ya siku Aliye Tupa Pumzi ni Mmoja,😜😜😜 Mkufuru MUNGU Na Subiri Tanuli La Moto hivi Malaika wa Adhabu kila kukicha kila siku Wanachochea Moto kwa Mawe , 😂😂😂 Unasubiri Watu kama wewe,

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 5 дней назад

      @@Jamal22-o5n Mmmh Mbona Ume Block Comment yangu ???🤣🤣🤣 Wewe Subiri MALAIKA Wa Adhabu hivi Tunavyo Chafu Wanachochea JAHANAMU Kwa Mawe 🤣🤣🤣 Unasubiri Watu kama Wewe

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 5 дней назад

      @@Jamal22-o5n Mpuuzi Kama Wapuuzi wengine 🤣🤣🤣 Una Comment Upuuzi Mkijibiwa Mna Hide Comment zetu 🤣🤣🤣 Subiri 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @HaroubRumbungu
    @HaroubRumbungu 22 часа назад

    Hapo umeongopa qur an haikusema manufaa ya uchawi bali imesema wanajufunza yatayowadhuru na wala hayotowanufaisha na ikamilizia watu hao akhera hawatokuwa na kitu

  • @AmourHamza-m3j
    @AmourHamza-m3j 6 дней назад

    Hiyo ndo raana ya kuritadi hivi huwa unapata muda wajitathimini minaona hata sula lako zito hata hueelewi

  • @idrisatembo4799
    @idrisatembo4799 6 дней назад

    Yani akili zako zimetoka pamoja na nywele zako

  • @alawi6796
    @alawi6796 6 дней назад

    Weka mdahalo kama uwelewi

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 6 дней назад

    haya mazungumzo ya dini watu wanajifunza pande zote mbili ,wewe mchungaji ukitoa hoja za mdomoni sijui yesu kavaa mwili ndio mumgu mwenyewe , unajitia katika upumbavu , una kua mjinga kuliko watu wote ,

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 6 дней назад

    wakilisito munasa mumeridhi zambi , haya maneno kasema yesu ? maneno ya shetani kila mtu na zambi zake mwenyewe ,,

  • @TomAyodi
    @TomAyodi 4 дня назад

    Waislanu wamejaa uongo

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 7 дней назад +2

    Mwalimu Ismael, huyo Maamuma Shafii, ungekuwa kwenye Uislamu ungekuwa imamu wake hivyo Mwalimu Ismael achana na Shafii huyo ni Maamuma wako

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 7 дней назад

      😂😂😂😂😂hv unajua maana ya Imamu....?au unajua Imamu ndio cheo cha juu ktk Uislam....??

    • @graduationtv3072
      @graduationtv3072 6 дней назад

      ​@@huseinshedrack6180maulamaa kaka

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      KAFIRI Katika Ubora kumsapoti KAFIRI 🤣🤣🤣 Huyo Timotheo Hajawahi Kuwa MUISLAMU , Amezaliwa MKRISTO Akapenyezwa Katika UISLAMU Akasoma Kidogo Kisha Akajifanya Eti Ameritadi 🤣🤣🤣

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      Ni Mt teen Hana Analolijua Ndio Maana Hana Jipya kila Siku Uchawi Uchawi Uchawi yes Maandiko yapo Yametaja Uchawi Mbona kwenye BIBILIA Yapo, Kwahiyo ndio kusema UKRISTO Ni Uchawi ???😜😜😜

    • @graduationtv3072
      @graduationtv3072 6 дней назад

      @shabbymakapane wew ni mwongo kaka sikiliza hoja zake. Ulishawahi kwenda mahakamani? Huko hawataki uswahili ni usomi tena kwa hoja siyo kuropoka ropaka tu. Ismail hoja zake ni za kisomi sana tatizo Waislamu wengi wetu ni mbumbumbu sana na Elimu yetu ni madrasa tu tena ya kukaririshwa tu

  • @AbdikadirAbdullahi-x4j
    @AbdikadirAbdullahi-x4j 6 дней назад

    Shafi Yuko Sawa wewe ndio unauliza swali ya kitoto Haya maneno Sio ya quran Ni maneno ya mwandishi

  • @PeterAdam-nw7lf
    @PeterAdam-nw7lf 7 дней назад

    Ww kwel ujielew

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 7 дней назад

    ❤❤❤

  • @Smart_jarm
    @Smart_jarm 6 дней назад

    Huyu ni mpumbavu

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri 7 дней назад

    Paulo kawapoteza mko wengi huyu jinga hana lolote anahitajiya macho mazuri huyo ismael saidi hana lolote jinga tu pumbavu

  • @RamaKimbeu-tw4po
    @RamaKimbeu-tw4po 7 дней назад

    KWANI WW UNANAVYO JUA UCHAWI UPO AU HAUPO NAKAMA UPO UMEUMBWA NA NANI.ILI UULIZE SWALI HILO NDUGU SHAFII ACHANA NOLO PUMBAVU HILO

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 7 дней назад

    Paul.amepoteza.wengi

  • @jaibamlabec5504
    @jaibamlabec5504 4 дня назад

    Huyu anatafuta kwenda mjini huyu hqnq hoja.

  • @AlhajiAhmadi-nz9ms
    @AlhajiAhmadi-nz9ms 7 дней назад +1

    Mchungaji elimu huna mweupe sana

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 7 дней назад +1

      Lete Ushahidi Wa Andiko ?

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      Hana kitu ni Porojo tu Kuwadanga na kupiga Hela za Wakristo 😂😂😂

  • @idrisatembo4799
    @idrisatembo4799 6 дней назад

    Sipotezi bando lango kwa choko usiejitambua aseeeeeh yani bichwa lako gumu sana kuelewa.baki kwenye dini yako.na sisi tubaki na dini yetu

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 5 дней назад

      Kutukana hakutakusaidia kitu. Kama wewe huwezi kutumia bando lako kumsikiliza ex-imamu sasa unatuambia humu ili iweje? Unadhani waislamu wengine wote hawatamsikiliza kwa sababu wewe umekataa😂? Nakuambia la hasha watamsikiliza na kuna watakaofanya uamuzi sahihi hilo halizuiliki kwenye hii dunia ya sasa my friend!

  • @alyumaraos
    @alyumaraos 6 дней назад

    Afumbae macho kusudi yake anawaza yaliyopotoka t.

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 7 дней назад

    Wewe unaejita ex imam acha kubabaisha watu huna lolot ww

  • @Khalidmghosi
    @Khalidmghosi 7 дней назад +1

    Yani huyu pastor ni Kipofu hufundisha vipofu wenzake

  • @marundaye3613
    @marundaye3613 7 дней назад

    Wewe umeshindwa kuelewa . Hakatai kua hawapo , wapo ila hawaufuati uislamu. Endelea kupo tea

  • @MwijakaSwalehe-dg4hw
    @MwijakaSwalehe-dg4hw 7 дней назад

    Acha sifa subiri moto

    • @graduationtv3072
      @graduationtv3072 6 дней назад

      Wew pepo unayo au ndo hiyo hadithi inayosema kuwa ipo chini ya miguu ya kina mama😂😂😂

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 7 дней назад

    Ww akil huna Shafi amekwambia wapo wachawi wa kiislam,sasa km jibu ulitaka hlo mbona umejibiwa,ww km unataka sadaka tulia utapewa tu,ila kila ulicho uliza umejibiwa tena kwa ufaswahaa kbs,kwenye mada hii umepigwa K'O😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂naona sasa unatafuta huruma na kujichekesha

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      Huyu Anawapiga Hela WAKRISTO 😂😂😂 Maana Ukitaka kufurahisha WAKRISTO Wewe Taja Uchawi , au SHETANI , Ndani ya QURANI Baaasi Umewapata 🤣🤣🤣 Bila kujua hayo Maandiko yapo Hata Ndani ya BIBILIA

  • @AlhajiAhmadi-nz9ms
    @AlhajiAhmadi-nz9ms 7 дней назад

    Tunakata vipande vibaya weka yote

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 6 дней назад

    Wewe.jinga.kweri.kua.kafiri.sawa

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 7 дней назад

    Huyu mchungaji itakuwa punguani ndiyo maana haelewi na ndyo maana hata mim nataka niachane na ukristo kwasababu nidini inayo endeshwa kwa uongo

    • @NuhuMabena-gh1wo
      @NuhuMabena-gh1wo 7 дней назад

      Fanya ivyo me nishaamaga huko

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga 7 дней назад

      Ondoka jemes upo sahihi kuondoka, kwa sababu mko wengi mnahangaika Sana na dini ukristo na uisilam, kifupi yesu ndio kila kitu duniani na mbinguni.

    • @kennah03m
      @kennah03m 7 дней назад

      Huku hakuna mtu anazuilia mwengine shehe ukiona umeona haki nenda si lazimaa utangaze😂

    • @samxx411
      @samxx411 7 дней назад

      Tatizo ni kwamba wachungaji Huwa hawajielewi katika kufundisha

  • @AMINGULAMRASUL
    @AMINGULAMRASUL 7 дней назад

    UYU ATA AKIJA YESU KUMJIBU SWALI ATASEMA AJAJIBU MUNGU AMESHAPIGWAMIHURI YAKWENDA MOTONI USIFIRI HAJUI ANAIJUA SANA KWAMBA DINI YA HAKI NI 10:25 10:39 10:41 10:43 UWISLAM ANAPISHA KWA MAKUSUDI

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 7 дней назад

    Ex imam ulitakiwa ufe kwa mujibu wa dini yakiisilam, mimi nilisha ambiwa nawaisila wata nichoma kisu baada yakujua nilikua mwisilam.

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 7 дней назад +1

    Wahadhiri wa kiislam hawana jipya ndiposa wanatumia Waalimu wa Kikristo kupata viewers. Waislamu mufilisi😢 njooni kwa Yesu tu Yesu ni maji yaliyo hai maji ya uzima, Yesu ndiye uzima wenyewe

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      Tobah 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ WARUMI 1:25 Kwa Maana Walibadili Kweli ya MUNGU Kuwa UONGO , Wakakisujudia Kiumbe Na Kukiabudu Badala ya MUUMBA Anaye Himidiwa Milele . Aminina. 🤣🤣🤣 Soma BIBILIA Wewe . YEREMIA 17:5 BWANA Asema Hivi. Amelaaniwa Mtu Yule Amtegemeaye MWANADAMU , Amfanyaye Mwanadamu kuwa Kinga yake Na MOYONI Mwake Amemwacha BWANA,😀😀😀

  • @basilejuma
    @basilejuma 7 дней назад

    Uislam ilikufa kitambo, kinachobaki ni mazishi tu

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 7 дней назад +1

    Siwezi kupoteza time yangu kumskiliza huyu jama

    • @prosperjohn2047
      @prosperjohn2047 7 дней назад +1

      Sasa unacoment Nini kama hujamdkiza, akili za Kiislam kama mkojo WA ngamia

    • @ezekielmwakyagi9330
      @ezekielmwakyagi9330 6 дней назад

      teh teh

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      @@prosperjohn2047 Ndicho Mnachokijua MATUSI tu na Chuki 😃😃😃

  • @wasaficlassicshoes
    @wasaficlassicshoes 7 дней назад +1

    HAKIKA WEWE NI HAZINA YA KANISA

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 7 дней назад

      Hakuna mchungaji hapo huyo anatafuta kiki ktk mitandao

    • @wasaficlassicshoes
      @wasaficlassicshoes 7 дней назад +1

      @JamesJastin-bg1rx unamaana gani

    • @qarimohdmakamemossi4676
      @qarimohdmakamemossi4676 7 дней назад

      Wewe ni hazina wa motoni

    • @wasaficlassicshoes
      @wasaficlassicshoes 7 дней назад

      @@qarimohdmakamemossi4676 sawa lakini tunajuwa mnapigania uislamu kisa mabikra 72. Na dhakari kubwa😅😅😅

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад +1

      Hivi Nauliza Swali BIBILIA Haijataja UCHAWI, au MAJINI , AU IBILISI , Au SHETANI, au MASHETANI , au PEPO , MAPEPO ,??? au WAZINZI, au WALAWITI ,??? au MAKAHABA ??? Sababu hivyo Vyote ni UCHAFU, Lakini Vimeandikwa Au Havijaandikwa ???

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 7 дней назад

    Wewe.umeshaji.biwa.kafiri.wewe.uta.enda.motoni.kwa.ujinga

  • @BabaFuraha
    @BabaFuraha 6 дней назад

    Wewe hauna maana hilo swali lako nila kijinga wajinga huwa hawajue kama niwajinga

  • @YohanaJoshua-h2j
    @YohanaJoshua-h2j 7 дней назад

    Waislam ni waongo sana hata hiyo shafii akitoka kwenye uislam na kuwa mkristo lazima mtawawadanganya watu na kuwambia hakuwa muislam

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      Uongo wa WAISLAMU Uko wapi , Naomba Ushahidi

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 5 дней назад

      ​​@@shabbymakapaneushahidi mmoja ni kuukana ukweli wa ki Maandiko na pia ukweli wa kihistoria wa kuteswa na kuuawa kwa Yesu Kristo msalabani. Ushahidi mwingine ni kudanganya watu wasiokuwa na elimu kwamba Yesu Kristo alikuwa muislamu. Na ushahidi mwingine ni kutudanganya kwamba kitabu chenu cha Kur ani hakikuandikwa na watu (kama ilivyo kwa Biblia) bali kiliteremshwa na malaika kwa Muhammadi . Ukweli ni kwamba wakati Muhammad alipokufa hakuwaachia waislamu kitabu kilichoandikwa bali ni waislamu wenyewe waliamua kujiandikia kile walichomsikia Muhammadi akikisema. Na miswada ilitofautiana baina ya muislamu mmoja na mwengine na hivyo Othman aliyechukuwa uongozi wa waislamu akaamua kusanifisha hiyo miswada yote ili kuipata Kur ani inayotumiwa na waislamu wote sasa! Huo ndio ukweli na tena aķaichoma ile miswada yote aliyoitumia kuandika hii Kur ani. Sasa kama kuna upotoshaji kaufanya kwenye Kur ani ya asili hakuna ushahidi wa kumkamata! Nyie waislamu mna uhakika gani kuwa hii Kur ani ndiyo ile ile " aliyoteremshiwa" Muhammadi?

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 7 дней назад

    Kweri.allah.ndio.mana.kaumba.moto.na.pepo.wewe.wa.jikoni.2.

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 7 дней назад +1

    Kipofu,kiziwi,bubu Wala haiwezi kuelewa, afu ndo ulikuwa imaaam, au ulikuw imaan wa nanjilinji vijijini huko

  • @idrisatembo4799
    @idrisatembo4799 6 дней назад

    Wewe chizi ambaye ujitambui yani nakuona chizi wa mwisho kabisa aseeeeeh

  • @ezekielmwakyagi9330
    @ezekielmwakyagi9330 7 дней назад +1

    mwalimu ismail uyo shafi mvuvi kuelewa

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      Someni Nyinyi Kwani huo Uchawi ndani ya BIBILIA Haujaandikwa ???

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 6 дней назад

    Kwari.wewe.mchg.kichaa.ngoja.ukachomwe.moto

  • @NassoroSalum-f3h
    @NassoroSalum-f3h 6 дней назад

    X pastor humuwezi she Shafii unatafuta kiki

  • @celestinshayo7295
    @celestinshayo7295 6 дней назад

    Kwa hakika huyu ex-imamu amewashika pabaya jamaa wanatoa povu maana ni kazi sana kujibu hoja au kukanusha hoja za ex-imamu

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ Masikini weeh 🤣🤣🤣 - Hebu Angalia Clip Aliyojibiwa kabla ya hiyo : X - IMAMU WA MCHONGO - ULICHOKITAKA UMEKIPATA SASA WADANGANYE WENGINE .

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      Alivyojibiwa Ndio Amekatakata hiyo Clip Analalamika huku 🤣🤣🤣 Hebu Angalia hiyo clip Amejibiwa Nini ?

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 5 дней назад

      Amejibu swali la msingi aliloulizwa? Msikilize kwa umakini hajajibu! EX-imamu aliuliza je kuna wachawi wa kiislamu kwa mujibu wa Maandiko ya kiislamu? Shafii amezunguuka wee mara anukuu aya za biblia ndivyo sivyo na ex-imamu amepitia mulemule akaziweka sawa😂. Mwishowe Shafii amekiri kuwa kweli wapo wachawi wa kiislamu. Jambo la msingi hapa ni kwamba Allah (mungu wa waislamu) amewafundisha waislamu namna ya kufanya uchawi na kuwa kuna manufaa kwenye kufanya uchawi kisha anawaambia kwamba huo ni mtihani mungu anawapa kuwapima kama mtafanya ama hamtafanya! Hii ni khabari kubwa katika uislamu na ndio Shafii amekuwa akizunguka hataki kukiri waziwazi badala yake anatafuta justification (uhalali) kwenye aya za biblia kwa kuzinukuu na kuzifanya ziseme kile ambacho biblia haijasema bali ni yeye Shafii ndiye anayesema! Hii janjajanja imeshashtukiwa na wakristo pia ex-imamu ameibainisha😂 msikilize kwa umakini

  • @masoudnzowa4608
    @masoudnzowa4608 7 дней назад

    Mzee jibu mbona jepesi wachawi wapo wakristo na waislam, kujinasbisha na dini ni unavyoona mitume fake wa ki kristo walivyo wengi wakitumia kivuli cha dini

    • @joejohn8115
      @joejohn8115 7 дней назад

      Kitabu cha Quran ndiyo kinatumika na Wachawi

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 7 дней назад

    Sidhani kama ujinga ni tusi
    Mjinga ni mtu ambye hajui anasubiri
    Kufundishwa na atakapo elimika sio mjinga tena
    Ndio maana waswahili husema elimu ni kufuta ujinga

    • @fazahauzi5382
      @fazahauzi5382 7 дней назад

      Uyu mchungaji haelewi yuatafuta kiki tu

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      Tena yeye Ndiye Aliyeanza kusema WAISLAMU ni Wajinga, Amejibiwa tena Kistaarabu tu Yeye Anageuza Chuki

  • @fazahauzi5382
    @fazahauzi5382 7 дней назад

    KUMBE ULIKUA WATAFUTA KIKI😂😂😂😂ETI MIKANDA YAKO ICHEZWE KWA CHANNEL ZA WAISILAMU TAFUTA KIKI KWENGINE MZEE HUNA ILMU MCHUNGAJI

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 7 дней назад

    Wewe ni murtadd tu na mashukio yako ni motoni tu
    خالدين فيها ابداً

    • @OscarWilliam-s5t
      @OscarWilliam-s5t 6 дней назад

      Samahani naomba kuuliza wakati Malaika wanshusha uchaw Zaman haruta na maharuta ilikuwa wakat wa nabiii gani na je hicho kisa maana mpaka kikashushwa na Malaika ni chamsingi lazma naamin kiliandikwa kwenye kitabu cha nabii huyo je nikitabu gani hicho Malaika walifundisha uchawi

  • @emmanuelotira
    @emmanuelotira 7 дней назад

    MUNGU wetu si mungu wenu..waislamu mbona kila mara mnasema MUNGU ni moja? mungu wenu anafundisha uchawi .. MUNGU wetu anaweka mabaya na mazuri chaguo ni lako...mungu wenu anaitaji mke ndio azae... sawa na mm siwezi zaa bila mke,

    • @Khalidmghosi
      @Khalidmghosi 7 дней назад

      Elimu hauna msikize shafii upate elimu acha kusikiza huyu 👆🏼hana elimu ya kujua dini ya mungu

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 7 дней назад

      We x Imamu Ni Shida Nadhani Una Afya ya Akili, Hivi BIBILIA Haijataja UCHAWI ? yaani Njaa Mbaya sana Sababu Mnajuwa Ukitaka kufurahisha WAKRISTO Sema WAISLAMU Wachawi, Baaasi Qurani na Uislaamu ni UCHAWI ,

    • @idrisatembo4799
      @idrisatembo4799 6 дней назад

      Akili huna kaa na ujinga wako

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      @emmanuelotira KUMBU KUMBU LA TORATI , 6:4 Sikia , Ee ISRAELI ; BWANA, MUNGU , Wetu , BWANA Ndiye MMOJA . 🤣🤣🤣 Huyo ni MUSA Amefundisha hivyo , KITABU CHA AYUBU 23:13 . Lakini yeye ni Mmoja Ni Nani Awezaye Kumgeuza ? Tena Nafsi yake Ilitakako , Ndilo Afanyalo ,🤲🤲🤲. Sikia Sasa Wewe MPINGAJI : KITABU CHA AYUBU 31:14 - Basi MUNGU Atakapoinuka Nitafanya Nini? Naye Atakapo Zuru , Nitamjibuje ? 31:15 Je! Huyu Aliye Nifinyanga Mimi Ndani ya TUMBO , Siye Aliye Mfanya Na Yeye ? Si Yeye Mmoja Aliyetufinyanga TUMBONI ? 🤣🤣🤣 KITABU CHA AYUBU 36:26 Tazama, MUNGU ni Mkuu , Nasi Hatumjui ; Hesabu ya Miaka yake Haitafutiki . 🤲🤲🤲.Sikia tena Wewe MPINGAJI : 🤣🤣🤣--- ISAYA 40:28 Je! Wewe Hukujua ? Hukusikia ? yeye MUNGU wa Milele , BWANA , Muumba Miisho ya DUNIA . Hazimii, wala Hachoki ; Akili zake Hazichunguziki . 🤲🤲🤲 Yaani wewe Unasema Kun MUNGU Zaidi ya Mmoja ??? ISAYA 44:24 BWANA , Mkombozi Wako, Yeye Aliyekuumba TUMBONI , Asema hivi ; Mimi Ni BWANA , Nifanyaye Vitu vyote ; Nizitandaye MBINGU Peke yangu ; Niinezaye Nchi ; Ni Nani Aliye Pamoja Nami ? 🤣🤣🤣 @emmanuelotira MUNGU Anataka Jibu,🤣🤣🤣 Msikie Nabii MALAKI Naye ; MALAKI 2:10 Je! Sisi Sote Hatuna BABA Mmoja ?MUNGU Aliyetuumba Siye Mmoja tu ? ☝️ 🤪🤪🤪 @emmanuelo Soma BIBILIA Wewe Achana na MURTAD Huyo Anakusanya tu SADAKA,🤣🤣🤣.Kataa na MAFUNDISHO Ya YESU Sasa : MARKO 10:17-18 Hata Alipokuwa Akitoka Kwenda Njiani , Mtu Mmoja Akaja Mbio, Akampigia MAGOTI , Akamwuliza , Mwalimu MWEMA , Nifanye Nini Nipate Kuurithi Uzima wa Milele ? 10:18 YESU Akamwambia , Kwanini Kuniita MWEMA ? Hakuna Aliye Mwema Ila MMOJA , Ndiye MUNGU.🤲🤲🤲 YESU Hjakosea Akajibu tena, LUKA 18:19 YESU Akamwambia , Mbona Unaniita MWEMA ? Hakuna Akiye MWEMA Ila Mmoja, Naye Ndiye MUNGU,🤲🤲🤲 @emmanuelo Nadhani Utakuwa Umeelewa . Sasa Lete Andiko au Aya MUNGU Anafundisha UCHAWI,

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 дней назад

      KITABU CHA DANIELI 2:27 DANIELI Akajibu Mbele ya MFALME , Akasema , Ile Siri Aliyoiuliza Mfalme , Wenye Hekima Hawawezi Kumfunulia Mfalme ; Wala WACHAWI , wala WAGANGA , wala WANAJIMU, 🤲🤲🤲 @emmanuelo Si Umeona UCHAWI na UGANGA Umetajwa hapo ? Twende Na Akili zako Sasa JEHOVA Anafundisha UCHAWI ,🤣🤣🤣😄😄😄🤪🤪🤪 2 WAFALME 9:22 Ikawa, YORAMU Alipomwona YEHU , Akasema , Je! Ni Amani , YEHU ? Akajibu. Amani Gani , Maadamu Uzinzi wa Mama Yako YEZEBELI na UCHAWI Wake ni Mwingi . 🤣🤣🤣 @emmanuelo Tukienda na Akili zako JEHOVA na BIBILIA Vinafundisha UCHAWI ,😂😂😂

  • @POVELSPORTS
    @POVELSPORTS 7 дней назад

    Tz hakun muadhil wa kiisilamu wenyew elimu wng ni mapovu tu na kubisha na kuongopa watu 😮😮

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 7 дней назад +1

      Jitaidi kuwa makini na mada,usiwe namapenzi utakuwa chizi.

    • @POVELSPORTS
      @POVELSPORTS 7 дней назад

      @jumamussantuiche sawa mfuas wa mudiii!!!!

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 7 дней назад

      😂hakuna muhadhir wa kiislamu mwenye elimu lkn alhamdulillah wakristu kila siku wanaslimu

  • @AmourHamza-m3j
    @AmourHamza-m3j 6 дней назад

    Hiyo ndo raana ya kuritadi hivi huwa unapata muda wajitathimini minaona hata sula lako zito hata hueelewi