HAMNA KUPOA KIKOSI KIMEFANYA MAZOEZI YA MWISHO TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA JKT TANZANIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 156

  • @Sportsvibes-jc3vu
    @Sportsvibes-jc3vu 18 дней назад +12

    Mungu ibariki simba mungu ubariki ubaya ubwela tukutane uwanjani kesho

  • @OnesphoryDuwe
    @OnesphoryDuwe 18 дней назад +8

    Kila la kheri timu yangu❤ ya Simba mungu awatangulie kesho mpate ushindi mnono🎉🎉🎉

  • @MichaelKitabagala-i9e
    @MichaelKitabagala-i9e 18 дней назад +15

    Kila la kheri timu yangu❤️

    • @iddiramadhan
      @iddiramadhan 18 дней назад +1

      Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 18 дней назад +5

    All the best my team,inshallah tutashinda Kwa uwezo wa Allah❣️🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲❣️

  • @ZaiLisa-c2h
    @ZaiLisa-c2h 18 дней назад +4

    Mungu itangulie Simba yangu msimu huu Ubaya ubwelaaa 💪💪 Simba nguvu mojaaaa

  • @MussaSama-bf4je
    @MussaSama-bf4je 18 дней назад +7

    Best wishes 🙏👍 my team simba sports club godluck

  • @BlunoElias
    @BlunoElias 18 дней назад +3

    naipenda timu yangu Simba SSC kila laheli kwenye mchezo wa hapo keshoo❤❤🦁🦁

  • @Mariah-r1o
    @Mariah-r1o 18 дней назад +3

    Wanashimba tupo mpanzu kipenzi changu love you 💓❤️

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 18 дней назад +1

    Mungu atusaidie, Mungu aisaidie simba sc ishinde na isipate injury. Amen

  • @BoloYoung-f4b
    @BoloYoung-f4b 18 дней назад +2

    ALLAH AWAHIFADHI NA KUWALINDA MY TEAM IN SHAA ALLAH.

  • @sudijuma8659
    @sudijuma8659 18 дней назад +9

    Ilove you simba ❤❤❤❤❤❤❤

  • @rapmorizo
    @rapmorizo 18 дней назад +3

    Bidhaa Bora ya Msimbazi ❤❤

  • @JumaIdi-ee4pq
    @JumaIdi-ee4pq 18 дней назад +4

    Ubaya ubwela Simba nguvu moja

  • @NathanLukambinga
    @NathanLukambinga 18 дней назад +6

    WA KWANZA HAPA

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 18 дней назад +2

    Kila la khery mnyama Simba sports club hapo kesho Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲

  • @AugustineElias-r8v
    @AugustineElias-r8v 14 дней назад

    Mungu ibarik tz ibarik simba

  • @JAMESALPHONCE-b8p
    @JAMESALPHONCE-b8p 18 дней назад

    Mungu ibariki Simba ❤❤❤❤

  • @OmariKirumba-b4x
    @OmariKirumba-b4x 14 дней назад

    Mungu ibariki simba 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @HildaKihaga
    @HildaKihaga 18 дней назад +1

    Nguvu moja Simba yangu

  • @OmarySaid-l8u
    @OmarySaid-l8u 18 дней назад +1

    Simba nguvu moja 💪💪💪

  • @kelvinikaroly-v9q
    @kelvinikaroly-v9q 18 дней назад +3

    All de best my team

  • @mustaafabapumia6006
    @mustaafabapumia6006 18 дней назад +3

    Simba every game should be approached as a Cup final game! It should be 3 + 3 - three points and 3 goals😊

  • @agripinaapolinary1362
    @agripinaapolinary1362 18 дней назад +2

    All the Best my lovely team SSC

  • @BADILIJUSTUS-fs3oo
    @BADILIJUSTUS-fs3oo 18 дней назад +5

    Fadlu Davis why you do not want to play karabaka? Please give him even fifteen minutes, karabaka he is like chasambi please provide minutes to karabaka he is a good player

  • @janethelly4986
    @janethelly4986 18 дней назад

    All the best mnyamaa❤❤

  • @AndrewAristaricko
    @AndrewAristaricko 18 дней назад +1

    Ubayaaaa ubwelaaa ❤❤

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 18 дней назад +2

    Love simba 🦁♥️♥️♥️♥️💪💪🙏🙏🙏

  • @MichaelKitabagala-i9e
    @MichaelKitabagala-i9e 18 дней назад +5

    ❤❤❤❤

  • @SetMohamed-i9y
    @SetMohamed-i9y 18 дней назад +1

    Pamoja sana msimbazi,oyeee.

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 18 дней назад

    Ushindi kesho❤❤

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 18 дней назад

    Mungu isaidie tim yangu ya simba iweze kushinda kwaidadi kubwa yamagoli

  • @AnnastaziaMrina
    @AnnastaziaMrina 18 дней назад

    All the best wapambanaji wetu......We love you ❤

  • @yohanacutting5217
    @yohanacutting5217 18 дней назад

    Ubaya ubwela simba nguvu Moja💪

  • @PeterBayyo-dn2qx
    @PeterBayyo-dn2qx 18 дней назад

    Ubaya ubwela nakubali san wakuuu majukumu mema siku ya kesho eee❤❤❤❤

  • @paulkapalata
    @paulkapalata 18 дней назад +2

    Namuona Lakred

  • @WilleMbwilo
    @WilleMbwilo 18 дней назад

    All the best Tim🥰

  • @PeterNollo-s8t
    @PeterNollo-s8t 18 дней назад

    Mungu bariki simba taifa kubwa🦁💪☝️

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 18 дней назад +1

    Che malone fondoh❤❤❤❤❤ to you my favourite

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 18 дней назад

    ❤ SIMBA MOJA NGUVU MOJA ❤

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 18 дней назад

    Kila raheli wambambanaji wetu Simba nguvu moja

  • @Zaria2024
    @Zaria2024 18 дней назад

    ❤❤❤simbaaa

  • @RehemaJohnson-nz5ob
    @RehemaJohnson-nz5ob 18 дней назад +4

    Kila la her cham lang

  • @nzikupeter
    @nzikupeter 18 дней назад

    My best team

  • @JemssWcb-r8g
    @JemssWcb-r8g 18 дней назад

    Simba nguv Moja

  • @fatumasaid558
    @fatumasaid558 18 дней назад +4

    Kumbe ayubu yupo khee

  • @GatesMakoi
    @GatesMakoi 18 дней назад

    Babo Justine SIRITO MAKOI LEO 🎂🎂🍽️🍾🍾🥂 SIMBA 5 LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi

  • @GatesMakoi
    @GatesMakoi 18 дней назад

    Babo Justine SIRITO MAKOI LEO SIMBA 5 LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi

  • @OmarmakameHaji
    @OmarmakameHaji 18 дней назад +1

    Kila la kher my team

  • @GatesMakoi
    @GatesMakoi 18 дней назад

    Babo Justine SIRITO MAKOI LEO Dada VAI MAKOI LOVE Babo Dada LUCY MAKOI LOVE Babo SIMBA 5 LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi

  • @RogersSkazwe
    @RogersSkazwe 18 дней назад

    ❤ This nimefurahi sana kumuona Ayoub lakred ila mutale anatuchoma sana tumyoe kwa mkopo

  • @MdasiruRoberth
    @MdasiruRoberth 18 дней назад

    Mungu ibaliki Simba iweze kuchukuwa Kila kombe lnayoshiriki

  • @mnyangabeemanuel5085
    @mnyangabeemanuel5085 18 дней назад

    Amnashida mungu yuko na simba

  • @SlyversterMwita
    @SlyversterMwita 18 дней назад

    BAO 3 zinawahusuhao❤ msijali wanangu

  • @GatesMakoi
    @GatesMakoi 18 дней назад

    SIMBA 7 LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi

  • @JescaSolomon
    @JescaSolomon 18 дней назад +2

    kila la kher timu yangu

  • @JohnsonGodwin-e9t
    @JohnsonGodwin-e9t 18 дней назад

    Huo mmbegi alobebeshwa matola😅😅😅anyways....All the best 🦁🦁🦁✊

  • @KreshMwankuga
    @KreshMwankuga 18 дней назад

    sijamuona big coach fadlu Davis

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 18 дней назад +3

    UBAYA UBWELA

  • @ChimudyLove
    @ChimudyLove 18 дней назад +1

    Mudy ehee🐘

  • @allygoodboytzsdoneintanzan3970
    @allygoodboytzsdoneintanzan3970 18 дней назад +1

    🎉MPANZUUUUUUUUUUUU

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 18 дней назад

    ❤ UBAYA UBWELA ❤

  • @AmiryAshumiry
    @AmiryAshumiry 18 дней назад +2

    Mnyam saluty kwenu

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 18 дней назад

    Kapombe taratibu miguu yako usimfumue pin pin 😂😂😂 ❤❤❤wana thimbaaaaaaa ❤

  • @MaseleSimba
    @MaseleSimba 18 дней назад

    My team❤

  • @abellutonja4589
    @abellutonja4589 18 дней назад +5

    namuona BUDO kesho akitoa gundu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GatesMakoi
    @GatesMakoi 18 дней назад

    YANGA 1 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MsafiriJames-ud2bj
    @MsafiriJames-ud2bj 18 дней назад

    Mbona simuoni ngoma😮

  • @MWANAIDIRAMADHANI-yn1xl
    @MWANAIDIRAMADHANI-yn1xl 18 дней назад

    Simba moto mpanzu Messi atariiiii

  • @rahmaali2604
    @rahmaali2604 18 дней назад

    Yupo marekan

  • @MussaMkama-g6m
    @MussaMkama-g6m 18 дней назад +1

    B Gap kwa wachezaji wa krabu yetu

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 18 дней назад

    Karabaka,duchu,kazi..kitambo hatujawaon

  • @YohanaAbayo
    @YohanaAbayo 18 дней назад +1

    Kila kheri timu yangu ya Simba point 3 muhimu

  • @ellennorahjoseph4399
    @ellennorahjoseph4399 18 дней назад +4

    Mbona Kibu hayupo?

  • @AbdulAhmad-m7h
    @AbdulAhmad-m7h 18 дней назад +2

    Kesho ni kuwashenyeta tu

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 18 дней назад +2

    Nani anampisha mpanzu?

  • @KhanashyAlmassi
    @KhanashyAlmassi 18 дней назад +1

    SIMBA NIPE FURAHA,ikawe kheri kwenu wachezaji wetu mnaovuja jasho kwaajili yetu

  • @kassimdadi5406
    @kassimdadi5406 18 дней назад +2

    🎉

  • @isayatimoth1867
    @isayatimoth1867 18 дней назад +1

    Nimeskia mpanzu anasema kesho 😅😅😅😅

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 18 дней назад

    Mungu kwanza!

  • @sabbihmwindi4776
    @sabbihmwindi4776 18 дней назад +1

    Mimi naona Hussen Abel atafutiwe timu, ili asiharibu talanta yake na Budo apelekwe hata Fountain Gate akaongeze umakini huko kusiko na presha, ili kama atakaa vyema arudi kikosini julai

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 18 дней назад +2

    kocha amupunzishe kwanza Camara kesho nae anachoka jaman, adake manula au ally salimu, Camara atacheza tarehe 28 zidi ya singida black stars fc

  • @nkoydavid9658
    @nkoydavid9658 18 дней назад

    Kesho lazima Okejepha anazima na Kagoma

  • @CharlesFadelis-te5fp
    @CharlesFadelis-te5fp 18 дней назад +2

    Ubaya ubwela

  • @GatesMakoi
    @GatesMakoi 18 дней назад

    😘😘🥰🥰😍😍🤩🤩🥳🥳

  • @AishaMshamu
    @AishaMshamu 18 дней назад

    Jamni karabaka mpka namuonea uruma anafnya mazoez kucheza achezi

  • @LemaroniSironga
    @LemaroniSironga 18 дней назад

    Mbn balua hayupo aisee😢😢😢

  • @WaSimba-n6z
    @WaSimba-n6z 18 дней назад

    Simba nguvu moya ubaya ubwela

  • @franccoz94
    @franccoz94 18 дней назад +1

    NGUVU MOJAAA

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 18 дней назад +1

    Mazoezi madogo wanategea baadhi

  • @Ahmedsalum-l5s
    @Ahmedsalum-l5s 18 дней назад

    Ongezeni sana spider acheni kuridhika na magori machache na mabeki kuweni makini kwenye safu yenu ya ulinzi hakikisheni adui hapati nafasi kabisaa ongezeni umakini sana makosa madogo madogo muyarekebishe msimpe wakati mguu kamara

  • @MichaelMayemba-pc5cp
    @MichaelMayemba-pc5cp 18 дней назад +1

    Lakred

  • @razaqdumba
    @razaqdumba 18 дней назад +1

    Kesho ni kuwapelekea ubaya ukifuatiwa na ubwela.

  • @OscarLema-t1v
    @OscarLema-t1v 18 дней назад +1

    Kila la heri chama langu

  • @emmanuelpeter8149
    @emmanuelpeter8149 18 дней назад +1

    Nimemuona nyanda wa boli, ayub lakred

  • @PaulKayange
    @PaulKayange 10 дней назад

    0:42

  • @JamalyzoMilanzi-h2d
    @JamalyzoMilanzi-h2d 18 дней назад

    Nasi mwaka huu tufulaie ubingwa maan tumeteseka sana miaka mitatu hii

  • @SAIDJUMANNE-f8s
    @SAIDJUMANNE-f8s 18 дней назад +1

    Mbona kibu Denis hayupo?

  • @LiberatyAlfredBazil
    @LiberatyAlfredBazil 18 дней назад +1

    Mutale kama hutaki kwenda kuombewa kubari kuvunja mkataba

  • @BoloYoung-f4b
    @BoloYoung-f4b 18 дней назад

    Kocha Mpe karabaka nafasi

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 18 дней назад

    SIMBA SC INABIDI ITAFUTE MTANGAZAJI AMBAYE NI MKONGO AU MWENYE KUJUA VEMA LUGHA YA KIFARANSA VIZURI.. TUTAFAIDI.. SANA