Kibu D atakuwa na msimu mzuri sana mwaka huu,hili gori alilofunga linampa chachu ya kujituma zaidi kwani ni moja ya mabao ambayo huwa yanaingia katika kinyang'anyiro cha mabao bora.bravo kibu d
Kama nikikosa basi usinikimbie nionye inatosha kauli ya boss Simba ubaya ubwela ❤❤🎉🎉🎉🎉🙏💪💪💯💯hii ndio maana ya sanda kwamba kila team itakayo kutana na Simba lazima ionje umauti 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🙏💯
Simba vs NKANA 3-1 SIMBA vs VITA CLUB 2-1 SIMBA vs AHLY 1-0 (miquison) Simba vs berkane 1-0 (sakho) Simba vs Fc Platinum 4-0 Simba vs USGendermarie 4-0 Simba vs Al Ahli TRIPOLI 3-1 HAZITAACHA KUSISIMUA 🥶
Mabululu kumbe amekula umeme gem ikiwa imeisha ila simba leo mmenifurashisha ateba ni mchezaji Camara sio shati ❤❤❤❤ simba nguvu moja asante Mungu kwa ushindi huu🙏🙏🙏🙏
Jamaa likovizuri tungelipata lile Tungetamba afrika hakuna wa kutufunga Si Ahly wala Raja..... Ila mshahara wake pale Tripoli sio mchezo...milion na ushee kwa mwezi hatar
Tuliorudia kuangalia mara nyingi tujuane kwa like 😂❤
Mimi apa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
👆👆👆
Mim toka asubuh naangalia tuu
Wcha tu yn raha 💃🦁💪💪🤍♥️♥️
Narudia magoli tu
Like Kwa Lionel ateba Wana simba wezangu
Hapa Rwanda tunapenda Simba sc after APR FC Rwanda Ubaya ubuela♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@@habiyaremyepatrick4133 hapo Rwanda hatumpendi mchezaji anaitwa Thierry manzi ni muuji hyu anaroho mbaya anataka kuuwa watu kwa rafu za kijinga
Ulakoze mukwano
Tunawapenda Pia
Ulakoze Chane Team Simba And APR
Wanaomkubalii Musa Camara gonga like twende pamoja❤
Like twendepamona
Hiii video bado ipo trending mpakaleo ngongen like hapa wanasimba
Vp
Fresh@@NikolasIddi
Nipo hapa 11/10/2024
Hongera sana wana Lunyasi Simba imetupa Bigupp kwa kipa CAMALA.
Asante Mungu tulikuomba na umetenda, asanteee
Well done Simba FC and well done to coach Fadlu Davids. Keep shining South African...
Like za kutosha kw Musa Camara
100
Dah hyo jamaa camara baraaa
Kweli huyu ni spider 🕷️
Spider Camara
Spider
Mpaka sasa hiii game iko namba 2 on trend ❤❤❤
Anae ipenda simba Like ❤❤❤❤
Nyie huyu Mussa Camara anadaka mpk ndoa znazolegalega❤😂😂😂😂😂
Kama ndoa yako mahi😄
Simba🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️ kutoka Rwanda
Ulakoze
Safi sana
Camara ni nouma Mungu aendelee kumpa afya njema atupe heshima🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Gonga like kwa simba❤
Baada ya ushindi wa namungo nimekuja tena kuangalia hii😂😂❤❤❤
Tupo pamojaa😂😂😂❤❤
@@AishaAbeid-v8mtupo wengi aisee😂
I love you simba sports club
Nimerudi ten kuiangilia hii mechi inanipa raha san🎉❤❤❤
Na hapa bado hatujajipata onaa vitu ivoo je tukijipata itakuw ni moto wa kuotea mbali woooiii 😆🎉❤🦁🌹💪🙏
Nyie hii simba mpk video imeingia trending 😂wafuasi 403k yanga 345k❤❤simba oyeeeee
Man of the match Musa camara❤
Huyu mabululu hv kumbe alionesha ishara yakunyamazisha🤔hajui Tim za Tanzania huwa hazinyamazishwiii🎉😂 polen Sana
Simba raha sana kama unaipenda simba gonga like hapa
Kila siku naangalia haya marudio nafurahi saaana ❤❤❤😂
kama mimi
Ubaya Ubwela Simba Nguvu moja ❤❤❤❤
Kwakweri Mimi nimerudia Mara nyingi kuangaria Simba naipenda
❤❤❤❤naipenda Simba yangu
Simba moto kama unaungana nami like hapa❤
hii ndoo ubaya ubwela wameleta mabondia wapi wakafuta na gol wapi kudadeki sao this is simba nguvu moja ❤❤❤❤❤
mungu ibariki Simba na uzidi kuipa furaha🎉🎉❤❤
Musa camala ni zaidi ya kipa ❤❤❤❤❤
Tumejafuta na tumejapata this is simba ❤❤❤❤
Hongera sana. Musa. Camara
Niahatar hatuweza sahauuu❤❤🎉🎉😮😮
Hongera ❤❤❤ simba
Kenya kweli tuko nyuma sana
Muogese mbindii
@@DarkKnight-hu2tv poleni mtafika tuu msikonde golmaiya
Kenya Ina wachezaji wazuri sana . What mises into your league are the football investors . Signing ya wachezaji wa kisasa unataka pesa mingi SANA.
Hii Ndo Mechi Bora Ya Mnyama Kwa Miaka Mitatu hii Tumecheza Kikubwa Sana 🦁🔥
Mussa Camara Hana zambi anayeungana namm aje apa chap kwa like 😅😅
Na kama anazo nipewe mm zambi zake😂😂
Kibu D atakuwa na msimu mzuri sana mwaka huu,hili gori alilofunga linampa chachu ya kujituma zaidi kwani ni moja ya mabao ambayo huwa yanaingia katika kinyang'anyiro cha mabao bora.bravo kibu d
Naipenda❤ Simba
🥰🤙🤩☺👍
Pa pa Che! you be the main man. Na to di push bro well done 🎉
Mpaka leo hii mechi bado iko on trending
Kama nikikosa basi usinikimbie nionye inatosha kauli ya boss Simba ubaya ubwela ❤❤🎉🎉🎉🎉🙏💪💪💯💯hii ndio maana ya sanda kwamba kila team itakayo kutana na Simba lazima ionje umauti 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🙏💯
❤️ الحمدالله نادي سيمبا فرحان كثير جيدا على الفوز تنزانيا بلدن امين جيدا Thank you technikle bench thank you all players ❤🇹🇿 🇦🇪
Simba Kama Simba in my blood
kwa kweli mechi hii ilikuwa na mvuto mno mno tunaisubir tar 19/10 tukiwa tunawakaanga watan zetu🥰🥰
Ila hii mechi sitaisahau simbaaaaaaaaaa❤❤
Mimi ni simbaaaa❤❤❤❤
Moussa Pin Pin Spider Man Camaraa 🔥🔥🔥🔥🔥
Simba ni 🔥
Nkana alianza kupata bao hivi hivi kupitia Walter Bwalya na mwisho wakafa 3-1 kama leo. Simba kweli mnyama mkali. Wapi likes za Camara
Musa camara❤❤❤❤❤❤❤ pia na chemalon kazi kubwa licha ya wafungaji walio okoa tim🎉🎉❤❤
Simba kuingia hatua ya makundi ni lazima na sio ombi🔥
Simba baba lao❤
Huyu ndo mnyama simba ❤❤❤❤
Simba vs NKANA 3-1
SIMBA vs VITA CLUB 2-1
SIMBA vs AHLY 1-0 (miquison)
Simba vs berkane 1-0 (sakho)
Simba vs Fc Platinum 4-0
Simba vs USGendermarie 4-0
Simba vs Al Ahli TRIPOLI 3-1
HAZITAACHA KUSISIMUA 🥶
Umesahau match zingine simba vs horoya 7 simba vs elmerekh 4 simba vs bulet 3 simba vs kaiza 3 simba vs orando 1 simba vs widad 2
@@PendoPhilipo-l3gwe poa umesahau Simba vs Mbabane swallows 4-1 kwa mkapa 4 -0 kwao
Sema Mabululu mwana sana🫡
Mungu ni mwema❤
mwema sana
❤❤hongera sana simba
Moussa kamala nakubari ofsa
Simba bingwa 🏆🦁💪💪💪
Hiv kwanini gori linakataliwa lawaz kabisa
Nikiwa na mawazo Huwa naangalia hii clip ndo nakuwa sawa😂😂
😂😂😂❤❤
Simba ipo vizuri sana kushinda Yanga
Acha kujidanganya wewee unajitekenya mwenyewe alafu unacheka😂😂😂😂😂
Tusubiri derby naona Yanga wanapagawa😂
Kabisa upo sahihi
@@mbukumagiubukumagu406 Na ndio maana kila kukicha unashanga msemaji wao Simba yuko mdomoni
Mabululu kumbe amekula umeme gem ikiwa imeisha ila simba leo mmenifurashisha ateba ni mchezaji Camara sio shati ❤❤❤❤ simba nguvu moja asante Mungu kwa ushindi huu🙏🙏🙏🙏
Ateba 🥰🥰🥰
❤❤musa Kamala big kipa
Mabululu aitaka Simba maana hizofear play siyo za kawaida viongoz kazi kwenu
Jamaa likovizuri tungelipata lile Tungetamba afrika hakuna wa kutufunga Si Ahly wala Raja.....
Ila mshahara wake pale Tripoli sio mchezo...milion na ushee kwa mwezi hatar
@saidymbagallaTransfer yake ni kubwa sana6622
Simba nguvu moja
MUNGU ni MWEMA siku zote 🙏❤️🙏🙏🤝
Simba SC, nguvu moja 💪🦁
Like za Ali kamara hapa❤
NI MUSA CAMARA AU PIN PIN CAMARA SIO ALI🤣🤣 SIMBA NGUVU MOJA
Mussa kamara yuko vizur sana ukiskia ubaya ubwelaaaaaaa ndo huo🦁🦁🦁🦁💪💪
Bado najiuliza kwa pila hili na la juzi la namungo, ilikuaje tukapoteza mbele ya yanga? Nimeamini Mayele alikua xahihi
Yaan naangalia marudio mpk machozi yananitoka Kwa Raha
Simba sc in my ❤️❤️❤️
Ulamaa Iddy Kidedea 🦁💪🏽
Naipendaa simba
Kweli nimeamini Simba ina mashabiki wengi sana yani Video ya Yanga ina siku tatu lakini views 275K Simba sasa siku mbili tu ina 466K 😅😅😅❤❤❤❤❤❤
Inafuatiliwa sana
Mashabiki bora barani Africa hakuna vurugu wala mbamba
Nimefurah mno aisee simba nguvu moja❤❤
Leonel Ateba ni goal getter. Nafasi ukimpa anakuua kama masihara hivi. Anatulia kwenye nafasi hana presha kabisa. Ndo mfungaji mzuri anavyo kuwa.
Jamaa anajua lango yaani akigeuka anapiga❤❤❤
Jamn mi naipenda simba yang rah yang mie
Nimeipenda simba😅😅😅
Mm ni Yanga kutoka kenya ila Mnyama anakuja vizur na ameupiga mwingi sana..
Kapombe anajisahau Sana😢😢😢
Niwaambie Ateba ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😊😊😊😊
Whenever I'm watching: GOOSEBUMPS 😢
Sana mussa Camara namukubali sana yaan MUNGU amlinde aendelee hivo hivo
Bookkeeper ni man of the match..
Napenda sanaaa Simba na kocha fundi wa mpira ❤❤❤❤❤❤
Mabululu kwaohuko😂❤❤
Hii ndo maana halisi ya ubaya ubwela❤❤❤
Like za kibuuu
👏🏿🏟️🫅🏿👑🦁
Jamani wachezaji wetu wamejitoa kikamilifu leo walijuwa wazi kama wanadeni kwa wanamsimbazi.
11/11/2024 simba nguvu moja, ubaya ubwela
Save ya Camara na goli la Balua ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Simba uwanja wa Mkapa anautendeaga haki sana
Mabululu anaipenda Simba ,,
simba 🦁 moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sana mwakahuu
Mtangazaji/mshereheshaji yuko vizuri mno
I love you simba