wachezaji wote waliofanikisha kuivusha club yetu kwenye hatua nyingi ngumu sisi kama mashabiki wa simba tunaendelea kuthamini mchango wao mkubwa na mungu awabariki sana huko walipo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Jaman huyo Ni Mohammed kamara na huyu Ni mussa kamara ,Mohamed kamara ameenda Singida black stars huyu Ni mussa kamara kaja Simba ,mpaka mpigww makofi ndo mueleww mussa aliukosa mchezo huu akiwa na kadi aliyoipata mchezo wa kwanza aliodaka tukatoka 1/1 mpira kuujua kazi sana
Kama umekuja kuhakiki Kama camara ndio alipgwa Saba gonga like apa😂😂
@@julybwana2844 afadhali sio yeye
@@julybwana2844 iviii ni huyuu kweliii
kumbe sio 😂
@@julybwana2844 😂😂😂😂 kumbe tupo wengi
😅😅 mwenyew nipo
Love you simbaaaa mungu simama tena tufunge mungu tusaidie simba ishinde tena
Mungu tusaidie hii imkute Al ahly
Amen
Mtangazaji wa Hovyo Wewe Daaah tumekosa vibe
Simba na Yanga munatufurahisha sana huku Kenya, sisi huku hatuna timu ya maana tuko na Eliud Kipchoge
🤣🤣🤣🤣ipo siku mtafanya vizuri tu!
Eliud😅😅😅😅
Kesho inshaallha
Nimefurahi sana kwa ushindi wa jana mmefanya vizuri sana kwetu sisi mashabiki
2024 wanasimba tunaoangalia game hii
Simba forever
wachezaji wote waliofanikisha kuivusha club yetu kwenye hatua nyingi ngumu sisi kama mashabiki wa simba tunaendelea kuthamini mchango wao mkubwa na mungu awabariki sana huko walipo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Simbaaaaaaaa nguvu moja
Hongera mtani
Love yuu simba ❤❤❤
Simba nomaaaa
Mungu asaidie tupate ushindi huu dhidi ya jwaneng
Hiii simbaaaaa ilikuwa yamoto 🔥🔥🔥🔥 san
Hatimaye ushindi huu umerudi tena juzi kwa jwaneng
tumepata shoga angu
@@FatumaMwampepo-gi3vs Lilipungua goli 1. Nilitamani Jwaneng wapigwe 9-0🤣🤣
Nimekuja hapa tena kuhakiki kumbe sio yeye 🎉🎉🎉
Goli la sita hakuna mchezaji wa Horoya aliyegusa pasi ni simba tu hadi goli🙌
Lion in work
Naomba mni like me
Galax atakutana kikubwa zaid ya hichi
Simba ni Baba WA soka afrika
Wanathimbaaaaa
Jamaa kelele zimezid unaangalia kwenye tv nin
So mousa Camara ni Mohammad nyooo😮
sio yeye
Yeah nimekuja kuhakik
Kumbe aliipenda Simba mapema kamara
Nimefurahi sana jaman huyu chama atawauwa👹❤💖😁😅
Mambo
Huyu mtangazaji asirudie kutangaza mechi kubwa kama ya simba bhana anatukosesha raha kabisa
Kocha tunaomba chama schezee namba 10 yake
Jaman huyo Ni Mohammed kamara na huyu Ni mussa kamara ,Mohamed kamara ameenda Singida black stars huyu Ni mussa kamara kaja Simba ,mpaka mpigww makofi ndo mueleww mussa aliukosa mchezo huu akiwa na kadi aliyoipata mchezo wa kwanza aliodaka tukatoka 1/1 mpira kuujua kazi sana
كيف تريدون ل سيمبا الفوز على أسد الأطلس
Tuliokuja kuona kama camara ndo aliyepigwa saba baada ya kusajiliwa simba😅😅😅
Siyo
mtangazaji bwege sanaa
Kweli man
Tutamis chama😂😂😂
Goal la 6 zime pigwa pasi 18 mpaka goal lina fungwa
😂😂😂😂😂 sadio kanote goli lake limetesa watu maan sio kwa mkimbio huo kibu kamfata hamfikii😂😂😂😂
2024 bado naiagalia
Golikipa anajiuliza nipo peke yangu uwanjani
Uyu sio moussà camara na pia moussa camara wetu akucheza kweny match h
Du. Simba hawaaa
Mtangazaji alipwaya sana
Nimeona nijiliwaze leo hiii..simba tunapoelekea mlandege
Hakika chama ni fundi
Jitahidini mrekebishe vifaa vyenu ili shangwe za Mashabiki zisikike vitaboresha Video sio video inapoa hivi unasikika wew Tu bwana
nakwambia hata maskio yanauma ukimskiza
Hakuna mtangazaji hapa. Anatangaza mpira kama anatangaza magazeti
Angekuwa mpenja tunge enjoy sanaaaaah
Huyo. N mohamedi Camara 😂
Siyo camara
Hii video imepoa sana Wala haishawishi kuitazama 😢
Kasome utangazaji tena sijawahi kuona mzinguaji kama wew
Leo nataka nijilizishe kama camara ndo tulimfunga Saba nimeyachoka maneno
Duh nyie cham sii masihara yanga wamesajiri vizuri nawaambieni wamemchukua sterling
Kanoute game za kuamuwa ndio huwa anafunga
Hakuna mtangazaji hapo
Uyu Baleke ni noma jamani Mayele anasubiri
Mtangazaji hajaitendea haki hii mechi.....angekuwepo baraka mpenja ingenoga!!
@@costantinejohn-xn6lw Kabisa hata mimi huwa nasema hizi gemu mwenyewe ni Baraka Mpenja au Gharibu Mzinga waliobaki wasubiri kina Ihefu Geita na Y.
mtangazaji unasikika ww tu!! tunakosa vibe la mashabiki inafanya video iswenzuri
Sure!
Unaangalia mpira au vibe la mashabiki
@@emmanuelspenas8044 hujui kitu wew fan kama fan anaejua boli lazima ukipata shangwe zile video inakuwa Bora zaidi
Kweli aisee wanazingua
Sijui kwann mwaka huu mpenja hajapewa game hizi daah namic vibe lile la Simba vs Nkana
Nimekuja kuhakiki je kweli nimusa Camara au mwingne
Ushindi usio na mbambamba
Mpaka waseme
KUMBE SIO YEYE KWEHERINI 😂😂😂😂😂😂😂
@@Menad255 %%5%⁵5%
Mpaka sas bado Mimi naangalia hii mechi
Mkeo au mumeo akikukera njoo uwakarie burudani hii unasahau kilakitu.😂😂😂
Mwaka 2007 hayati Mkapa alikua kwenye madaraka !? Comentator 🙆🏾♂️🤦🏾♂️
J M Kikwete ndo arikuwa madarakan
Hayo mabomu ya Putin yalikuwa ya nyuklia kabisa😂
𝑆𝑖𝑚𝑏𝑎 𝑡𝑎𝑚𝑢 𝑎𝑠𝑖𝑘𝑢𝑎𝑚𝑏𝑖𝑒 𝑚𝑡𝑢 𝑤𝑒𝑤𝑒
Daah, mwanang 2007 rais alikuwa nani vle?
Sauti loud sana mzee vpi???
Kimenileta hiki tuuu. Sasa nimejirizisha. Hakika ni kipa mzuri.
0:51
Utangazaji hauendani kabisa na hadhi ya mechi hii. Mechi kali ila mtangazaji ameua vibe ya mechi, kifupi kapoza mnoooo!
Camara aliyesajiliwa simba sio huyu aliyefungwa saba
TV 3 muajiri watangazaji wanaojua kutangaza mpira hao mlionao hawajui kutangaza bhana na vibe la mashabiki mmelizima
Mbona Ni walewale wachazaji waliokuwa wanatupa Raha, inakuwaje msimu huu kuwa wabovu?????
Game ilikuwa tamu lakini mtangazaji kelele ni nyingi jifundishe utangazaji
Hyu mtangazaji hajui kuitangaza ball amelaza mchezo duuuu si wamwajiri mpenjaaa
napenda sadio anavyo vugumiza mpira😂😂😂
Siyo sadio ni Putin! Na hayo yalikuwa mabomu ya nyuklia!😂
Jean balekeeeee
Haaaaa
hakuna mtangazaji hapa 😂
Camara ndo mbovu iv duh
Jitahidn kuboresha highlights zenu. Katika hii mech naona ziko biased. Horoya nao walishambulia bila shaka. Otherwise it's good
Ni kw7b simba ndo walikuwa nymb
Mbona ahikuji
Mpk sasa naangalia hii mechi
Mbna imechelewa
Huyu mtangazaji mmnh anasikika pekeakee mpenja ndo anaamsha vibe km lote
Yule kocha wa taifa staa ameludi kwao au yuko tz nauliza jmn
Huyu mtangazaji amevuta bangi tafteni watangazaji wasiotuumiza maskio
Wadau hivi zile kadi za njano za Simba kanoute aka Putin hajapata !?
Hapa Simba wamecheza na wanawake,wanaume wako robo fainali,tutawaona
Kama hawa ni wanawake basi wale ambao hawakuingia hata makundi watakuwa ni watoto kabisa😂
Wacha uwongo ndugu mtangwzaji usiongee vitu usivyo vijua, 2007 mkapa hayupo madarakani
Sauti ya mashabiki hazisikiki watangazi michosho
Highlight zenu ndefu Sana jmn khaa dk 25
Mkitangaza acheni kuongea sana… na rekebidheni mitambo na mashabiki wasikike
Nmeirudia hii clip mara 7
Mtangazaji bwege tuu hamna lolote kabisa hajui kutangaza
Mtangazaji we fala kwel unatangaza kama unatoa historia ya marehemu kudadeq zako kabisa
Hhhhhhh mboni timu mbovu hiyo hata namungu nzuri
Hao Namungo wako wapi? Ninyi wenyewe ni wabovu Kwa horoya ndiyo maaaa mko shirikisho
We mtangazaji wewe 2007 mkapa alikuwa madalakani kweli
Tafuteni watangazaji wazuri
Kabsaaa uyo hajui wamfate dogo wa tbc aliyetangaza kombe la dunia
@@enjoywallwork2305kabisa yaniii