Highlights | Hivi ndivyo Simba ilivyoitenda Platinum (4-0) - CAFCL 06/01/2021

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025
  • СпортСпорт

Комментарии • 1 тыс.

  • @rehemambwanji1646
    @rehemambwanji1646 4 года назад +14

    Baraka mpenja kiboko ya watangazaji mungu akuongezee kipaji zaidi upo vizuri Simba kiboko yao

  • @salvatorymogesi6476
    @salvatorymogesi6476 4 года назад +13

    Ahsante sana Mungu wetu kwa kuiwezesha Timu yetu pendwa Simba SC kupata Ushindi huu.
    Tunaomba utufanikishe tuendelee mbele hata tufike Nusu Fainali.
    Hongereni sana wachezaji wetu hakika.

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 4 года назад

      hakika..na itawezekana kwani msimu huu timu nyingi zi dhoofu lhali, na timamu zao zi chini..ingawa bado twapaswa enenda kwa nguvu hali na akili zetu zote pasi na asalia ya mtume.

  • @simonjustin5921
    @simonjustin5921 4 года назад +17

    MTANGAZAJI umeonesha uzalendo mno,hilo gori la 3 umemuita bwalya kwa sauti ya hisia kali alafu baadae bocco akamaliza kazi, Hadi sauti ikakukauka wee kweli ni mzalendo❤️❤️🙏🙏

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 3 года назад +7

    Simba sports club big time Africa 👊👊

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 4 года назад +42

    Larry Bwaliya atakuja kuwa mchezaji bora Simba hifadhi haya maneno yangu.

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 4 года назад +7

    Round hiii kombe la mabingwa barani Africa linatua bongo Tanzania Simba tunachukua hii ndoo this is Simba nguvu moja 💪🏼

  • @wazirinyoso6305
    @wazirinyoso6305 3 года назад +33

    Mm nishabiki wayanga lakini simba imechi nilipenda sana kama ww unapenda mpira mzuri gonga

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 4 года назад +7

    Chama la waelewa simba 🦁🦁 #Nguvumoja wachezaj wote n wazuri mpaka unashindwa umuchomoe nan🏆🏆🙏🙏💪

  • @hamisikijombo6044
    @hamisikijombo6044 2 года назад +6

    Yaani hii game kila nikiwa na stress narudi kuiangalia tena😂😂😂😂😂😂😂😂#Simba ilikiwa tamu mnoo

  • @zakariaalfred3167
    @zakariaalfred3167 4 года назад +7

    This is SIMBA SPORTS CLUB my favorite club

  • @AzizahSiasa
    @AzizahSiasa 7 месяцев назад +6

    Inshallah ipo siku simba yang italud kweny ubora wake hakuna lisilowezekana 2:45

  • @simonjustin5921
    @simonjustin5921 4 года назад +9

    KOSA la yule beki ni kumg'ang'ania kapombe,lkn angemvuta mara moja akamwachia fasta isingekuwa vile lkn tatzo lake alimshkilia kwa sekunde kazaa na kapombe alikuwa kwenye mwendo mkali kwahyo ikapelekea kuanguka ndan ya box,ni penalty km mnabsha kachezesheni ninyi😃😃,tunashukur kwa juhud kubwa za wachezaji na viongozi wa simba,bendera ya nchi imepepea vyema❤️❤️🙏🙏

  • @mohamedmussa6170
    @mohamedmussa6170 4 года назад +30

    Kwa mwenye kujua kocha wa platinum alipo shinda kwao akawa hataki kuhojiwa na waandishi wa habari watanzania agonge like hapa dharau zimemponza

    • @emmanuelyj.m.mughanga1092
      @emmanuelyj.m.mughanga1092 4 года назад +1

      Hapo ndipo unakuja ule msemo walosemaga wahenga usitukane mamba kabla haujavuka mto

    • @deborhamsafiri1876
      @deborhamsafiri1876 4 года назад

      Hata walivyokujaaa aligomaaa wachezaaaji kushukaaa akawa anawafukizaaa waandishiii go go nliumia san

    • @johnretisia6579
      @johnretisia6579 3 года назад

      @@emmanuelyj.m.mughanga1092 lll

    • @MyPhone-tl9et
      @MyPhone-tl9et 3 года назад

      Atvf

  • @denisdejo5033
    @denisdejo5033 4 года назад +12

    Lately we have been complaining alot concern our coach Sven, but trust me this coach of ours is great.
    Did you see that formation Simba were playing yesterday 3-5-2 is similar formation that gave Arteta success in his earlier tenure at Arsenal F.c before the current 4-2-3-1.
    He encountered our weaknesses by attacking them while steadying the ship by playing Nyoni in holding midfielder position of which will free our attacking players to concentrate on attacking.
    Not every coach can see that but Sven saw that, tactical was spot on.
    But defensively we still have to improve drastically, otherwise we have no chance in group stages, there’s alot to be desired.
    Special mention, Sven, Zimbwe, Kapombe, Luis, Larry & Chama. And
    Nyoni that penalty was crucial to our success, how i wish u were still 23 years. Keep going Ndemla & Ami, brothers this is ur time and u have got to grab it with both hand.
    This is Simbaaaa, Mnyamaaa!.
    Thank you Big Boss Mo!.

    • @edwardkaguta5811
      @edwardkaguta5811 4 года назад

      genius

    • @denisdejo5033
      @denisdejo5033 4 года назад

      @@edwardkaguta5811 👏🏼👏🏼👏🏼

    • @goodvibetvbk7703
      @goodvibetvbk7703 4 года назад +1

      Nice nice nice

    • @jonathanmanyang5521
      @jonathanmanyang5521 4 года назад +2

      Sasa huyo Sven anasepa,eti kisa hataki kulala makaburini😊
      Kwan si wakalale huko yeye kocha afundishe ground? Ajue jinsi ya kuishi na tamaduni za club za kiafrica kwan yeye ni mzoefu na soka la kiafrica.
      Am a bit frustrated an confussed too.

    • @denisdejo5033
      @denisdejo5033 4 года назад

      @@goodvibetvbk7703 👏🏼👏🏼👏🏼

  • @nassoromhina3729
    @nassoromhina3729 4 года назад +107

    Ndugu zangu wasimba hebu like bac apa tujuane

  • @maxmillianemanuel3767
    @maxmillianemanuel3767 Год назад +7

    Leo naangalia hi mech war in dar tarehe 11/10/2023 npen like zangu😅

  • @ramshetmlawa6995
    @ramshetmlawa6995 11 месяцев назад +4

    Tunao Angalia 2024 hii ndoilikuwa simbaaa

  • @lindalulandala7334
    @lindalulandala7334 4 года назад +7

    Amazing one,, this is Simba

  • @JotaceJarubes-c8t
    @JotaceJarubes-c8t 2 месяца назад +1

    Leo tar.02.11.2024 naangalia marudio ya hii mechi Simba ya Muda ule ilikua hatari sana mungu ibariki Simba,mungu ibariki Tanzania,mungu mubariki mo asant Simba nguvu moja ❤🎉

  • @hasanissantambarasamata3419
    @hasanissantambarasamata3419 4 года назад +11

    Asante mungu kwakuwa ulikuwa upande wetu Simba🙏🙏🙏

  • @bakarikisimbo7342
    @bakarikisimbo7342 4 года назад +2

    Hatari sana hiyo onyango,kapombe,nyoni,wawq,miquissone,chama, bwalya,bocco,na wengine wote kazi nzuri

  • @abdulmwangu1298
    @abdulmwangu1298 3 года назад +7

    This is why I love my club

  • @AjuaeMwanyingili
    @AjuaeMwanyingili 2 месяца назад +2

    Leo tar 9 mwezi 11naangalia hiii mech ❤❤❤❤🦁🦁🦁🦁

    • @priscaoman872
      @priscaoman872 2 месяца назад

      Mie tareh 11 Nov 2024❤❤❤❤

  • @dino.enrico.3989
    @dino.enrico.3989 4 года назад +11

    Huyu luis haongelewi sana jamn. Huyu jamaa anaipenda simba hatari. Yuko radhi aumie kwaajili ya simba. Alafu anakimbia uwanja mzima. Mungu akubariki luis uendelee kuwepo kwenye klabu yetu pendwa.

    • @anthonymartial5554
      @anthonymartial5554 4 года назад +1

      Kwa jinsi anavyocheza Luis, kuna siku atacheza kichwa kiko nje na bado akatoa mchango wa 10/10🤣🤣

    • @farajahamisi2970
      @farajahamisi2970 4 года назад

      Hakika

    • @masterdaveprojections
      @masterdaveprojections 4 года назад

      Luis ni heart of the team, ana mchango mkubwa Sana katika team

  • @agnessjulius366
    @agnessjulius366 4 года назад +6

    Mlifanya Makosa Makubwa Sana Kuvaa Hizo Jezi Za kijani Bola Mngevaa Hata Nyeupe Yangepungua Magoli 🦁🔥🔥🔥💪🇹🇿

  • @eligiusnestory1571
    @eligiusnestory1571 4 года назад +4

    WIDA safi sana this is another level one love Simba 🦁

  • @wasafimedia5399
    @wasafimedia5399 4 года назад +9

    Hiii Simba aipoiiii tupeni rahaaaaaaaaaaaa Simba nguvu moja

  • @jumarajabu1479
    @jumarajabu1479 3 года назад +6

    Ilikuwa siku kubwa Sana 🦁🦁🦁🦁

  • @EDWARDMELIBI
    @EDWARDMELIBI Год назад +2

    Unforgettable match ❤

  • @saidabdallah3193
    @saidabdallah3193 4 года назад +9

    Smart tactics kwa Sven. Naona alishawasoma katika game ya kwanza wanajaa kati akaamua kuucheza mpira pembeni ili kuwatanua. Almost magori yote moves zimeanzia pembeni ama mpira ulipita pembeni kuingia kwenye box lao. Nice.

  • @samiaismail3606
    @samiaismail3606 4 года назад +8

    Naipenda simba

  • @jentihussein8179
    @jentihussein8179 4 года назад +5

    Am speechless over this match zaid ya kumshukuru Mungu, hongera mnyama

  • @JotaceJarubes-c8t
    @JotaceJarubes-c8t 2 месяца назад +1

    Leo tar.02.11.2024 naangalia marudio ya hii mechi Simba ya Musa ule ilikua hatari sana mungu ibariki Simba,mungu ibariki Tanzania,mungu mubariki mo asant Simba nguvu moja

  • @footmobonline
    @footmobonline 4 года назад +6

    WAR IN DAR🦁 Mission accomplished💪💪💪💪

  • @mfudukilufi6269
    @mfudukilufi6269 4 года назад +8

    Azam asa mbna huwa mnakatisha matangazo kwaiy sie tunaekuwa safar atutakiwi kuangalia mechi zetu au kama na nyie shabiki wezangu wa Simba gonga like za kutosha hapaa amina

  • @emmanuelyj.m.mughanga1092
    @emmanuelyj.m.mughanga1092 4 года назад +6

    Mwanaume huwa hatushindani na sidiria 😂😂😂😂 hii Ndo Simba Sc brother ❤️❤️🙏🙏

  • @hamidahamdun3646
    @hamidahamdun3646 4 года назад +2

    Kwa kweli azam mnachewesha sana highlight kuleta, nimeisubiri sana.

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 года назад +12

    Asantee Sanaaa chama langu la SIMBA 🙏 kwetu soka kwao majungu 😂😂😂

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 года назад +2

    SIMBA 🦁 hii ilkuwa Moto 🔥 Sanaa viongoz wa Simba wanyeni usajil wa maana

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 4 года назад +23

    Mimi ni Yanga kindakindaki lakini kiukweli Simba jana wamecheza mpira unaopendeza sana. Naiomba Yanga ijitahidi kuijenga timu izoeane kama hawa Vijana wa Msimbazi. Tusikimbilie kuchukua wachezaji nje wakati Tanzania tunavyo vipaji sana.

  • @JotaceJarubes-c8t
    @JotaceJarubes-c8t 2 месяца назад +2

    Leo tar.02.11.2024 naangalia marudio ya hii mechi Simba ya Muda ule ilikua hatari sana mungu ibariki Simba,mungu ibariki Tanzania,❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 25:58 25:59 26:31

  • @shamilabakari6420
    @shamilabakari6420 4 года назад +25

    Jaman azam plz mutuwekeage bs full tunawaombea💪

  • @aminipanda2475
    @aminipanda2475 Год назад +1

    yani dah nimerudi tena hapa Simba naipenda Sanaa,

  • @edwardchacha5128
    @edwardchacha5128 4 года назад +5

    Asanteni Simba!

  • @kulwampuya4907
    @kulwampuya4907 2 года назад +1

    Game ilikua kali sana 🔥🔥🔥🦁🦁🦁💪🇹🇿

  • @muhsinkassim8302
    @muhsinkassim8302 4 года назад +6

    Sahau kuhusu feints, touches and flicks za chama. Sahau kuhusu assist na shuti la bwalya, sahau kuhusu assist na goli la kapombe, sahau kuhusu coolness and calmness ya erasto wakat yupo under intense pressure ya kuhakikisha ana score lile tuta, sahau kuhusu up and down za zimbwe, sahau kuhusu tackling na headers za onyango, sahau kuhusu organization na communication ya wawa, sahau kuhusu pirika za ndemla na mugalu, sahau kuhusu damu alomwaga meddie na goli la boko, sahau kuhusu propaganda za manara na wida yake, sahau kuhusu uongoz, mipango na ahad zake, angalia dakika 22:37- 22:47 jinsi Miquissone anavojituma ktk dakika ya 90 ya mchezo anawazidi nguvu, speed, kujitolea wachezaji zaid ya wanne wa platnamz kisha anapiga pasi sahihi. Well done. Kisha usisahau yote nilokwambia uyasahau zidisha na Sven, Mo na baraka mpenja

  • @JotaceJarubes-c8t
    @JotaceJarubes-c8t 2 месяца назад +1

    Leo tar.02.11.2024 naangalia marudio ya hii mechi Simba ya Muda ule ilikua hatari sana mungu ibariki Simba,mungu ibariki Tanzania,

  • @charlesally6028
    @charlesally6028 4 года назад +3

    Mission done and complete as per team work

  • @OmarKombo-q3b
    @OmarKombo-q3b Месяц назад +1

    2024 i ❤❤❤❤❤ simba

  • @raheemmziwanda8994
    @raheemmziwanda8994 4 года назад +8

    Simba raha😁😁😁

  • @AzizMangara
    @AzizMangara 9 месяцев назад +1

    ❤Simba Simba, Simba Raha, hizo kripu wawaonyeshe Hawa wacheza wa sasa wa Benchika, ili wakiambiwa tunashinda lakini atuna Raha wajue tunamaanisha nn. Simba ni motooo.🔥🔥🔥 Tunataka tarehe 29/03/024 tumpige mwarabu alhaly

  • @jamecjohn7318
    @jamecjohn7318 3 года назад +4

    Baba levo alichukua jina la wimbo kwa mwamba SAUTI YA RADI #BARAKA MPENJA . PLATINUM SHUSHAA

  • @fficiall_marcs3381
    @fficiall_marcs3381 4 года назад +2

    Highlight bora kabisa....hongera simba sc...hongera Tanzania 💪💪💪💪💪💪

  • @jamessamwel9456
    @jamessamwel9456 Месяц назад +4

    nan yupo hapa 2024😂😂😂

  • @kelvinngenzi8578
    @kelvinngenzi8578 4 года назад +1

    This is Simbaaa oyeee noma sanaaa mwamba wa Lusaka

  • @messivini7440
    @messivini7440 3 года назад +5

    Kila nikiangalia hii video uwanalia kwa furaha I love this team

  • @rehemaboniphace7834
    @rehemaboniphace7834 Год назад +1

    Am here again for my team🦁

  • @Newsaddict45
    @Newsaddict45 4 года назад +3

    Great players show up on great occasions. Chama is amazing.

  • @nemessiyame4864
    @nemessiyame4864 Месяц назад +1

    ❤huu ndiyo moto ujao

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 года назад +4

    Mwenyewe binafsi naipenda sana Simba dah kunitenga nayo huwezi hakika

  • @khamicphilipoally5819
    @khamicphilipoally5819 3 года назад +2

    Simba naipenda sana hii team nguvu moja

  • @jeremiajackson5282
    @jeremiajackson5282 4 года назад +9

    Simba tuna sifa sanaaa sio kwa kupambana huku

  • @kipusaplany2654
    @kipusaplany2654 Год назад +1

    Most valuable player

  • @omaryally198
    @omaryally198 4 года назад +18

    Luis anajituma sana

    • @shabanswaleh2859
      @shabanswaleh2859 4 года назад +2

      Sana kaka anaipush time mno

    • @omaryally198
      @omaryally198 4 года назад +1

      @@shabanswaleh2859 kwakweli mkuu anauwezo mkubwa sana

    • @triplea3463
      @triplea3463 4 года назад +1

      Yupo huru sana kila sehem yupo

    • @omaryally198
      @omaryally198 4 года назад

      @@triplea3463 tumepata tulicho kistahili

    • @angelholsey2484
      @angelholsey2484 4 года назад

      Yani luis ni noma saaana alafu mwepesi hatari 🔥

  • @ezekielraymond8749
    @ezekielraymond8749 4 года назад +2

    This is 🦁 braza waliambiwa kwa mkapa hajawahi toka mtu

  • @shabanmzala6246
    @shabanmzala6246 4 года назад +9

    Simba baba laooooo

  • @Muddy2024
    @Muddy2024 Год назад +1

    10/05/2023 nkikumbuka biriani hili ❤️❤️

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 4 месяца назад +4

    Mixson alikua wamoto sana kwenye hii game

    • @Haggaimarco
      @Haggaimarco 2 месяца назад +1

      Sio hiyo tu zote alikua wa moto kabla ya kuondoka

    • @NeemaWiston-o1o
      @NeemaWiston-o1o 2 месяца назад

      Kambombe hold my beers 😂

  • @saluabdillahi8063
    @saluabdillahi8063 4 года назад +1

    This is all the way from Zanzibar bwana Simba mbingwa 2 dhahir another level

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 4 года назад

      huko znz wawapeleke kina ajib wakale urojo

  • @benmwasakujonga3575
    @benmwasakujonga3575 4 года назад +4

    At least hii mechi inaweza compete na ya Nkana well done Lads

  • @vennantmillanzi397
    @vennantmillanzi397 4 года назад +2

    🦁🦁 simba #nguvu moja #WIDA

  • @magrethandrew681
    @magrethandrew681 3 года назад +15

    Nimerudi kuangalia baada ya chama kurudi Simba ili nijikumbushie Mambo yake 😅😅

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 4 года назад +3

    Kumba Simba hawakufanya kosa kumsajili Onyango. Kwakweli nilipenda alivyojituma na uchezajiwake. Kapombe, Bwalya, Chama, Chinga boy, Erasto, Mo Hussein nk nk nk. Kwa ujumla kila mmoja anastahili pongezi. Salute to Manara

  • @frankmwacha
    @frankmwacha 4 года назад +4

    Pole sana Kagere

  • @GabrielyEmmanuely
    @GabrielyEmmanuely 10 месяцев назад

    daaaah hii simba sc sijui tutaitoa wapi tena 2024

  • @nionenyondo5574
    @nionenyondo5574 Год назад +1

    Duu...2/Feb/23 naangalia maridio ya hi me hi .....
    Emungu tusaidie wana simbaa🙏🙏🙏

  • @kasanzumasunga1898
    @kasanzumasunga1898 3 года назад +5

    I like Shomari Kapombe. Sio beki wa Kawaida kabisa

  • @rehemaboniphace7834
    @rehemaboniphace7834 2 года назад +2

    Who still here after the War in Dar🏹🔥🦁.

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 года назад +3

    Kwa SIMBA hii Raha sanaa 😂 tunatembea kifua mbele 👊 No stress 🤣

    • @ferouzmasoud4870
      @ferouzmasoud4870 3 года назад

      Tena Raha Sanaaa 😂😂😂
      This is simbaaaa ❤️❤️🦁

  • @chichihamad8098
    @chichihamad8098 2 года назад +2

    Best mech ever 3-4-2022

  • @mwanahamisikijangwa3460
    @mwanahamisikijangwa3460 4 года назад +7

    Hee bwalya alivyoupitia mpira ndo kanikosha🔥🔥

  • @leticiajulius2769
    @leticiajulius2769 4 года назад +1

    Mtagazaji uko vizuri sana good

  • @deogratiaslaizer2568
    @deogratiaslaizer2568 4 года назад +6

    Simba nomaaaaa

  • @Dadesaide-gr3uh
    @Dadesaide-gr3uh Год назад

    Nakubari timu yangu🇲🇿🇲🇿🙏🙏

  • @elickfanuelyaaaaahsimbaata4404
    @elickfanuelyaaaaahsimbaata4404 10 месяцев назад +3

    Nimekiwa wa kwanza 2024

  • @mujunvicta6379
    @mujunvicta6379 4 года назад +2

    Respect Azam Tv

  • @mtemba9440
    @mtemba9440 4 года назад +4

    Baraka mpenja una hatariiii brother napenda ukitangaza mpira

  • @FestoPaul-l9o
    @FestoPaul-l9o Год назад +2

    Simba kipindindihiki walikua bado hawaja zeeeka Sasa ivi wazeetup 🦁🦁

    • @Sam-442-rich
      @Sam-442-rich Год назад

      Nani mwingine anaangalia hii mechi 20/11 /2023

  • @kastomwaipopo1763
    @kastomwaipopo1763 3 года назад +5

    Nilijisikia furahaa Sana siku ih

  • @samuelyona7373
    @samuelyona7373 7 месяцев назад +1

    Simba on fire🔥🔥🔥🔥2024

  • @JustinejJohn-gg1ch
    @JustinejJohn-gg1ch 2 месяца назад +5

    Leo tar 11/11/2024 nairudia hii mech

  • @nionenyondo5574
    @nionenyondo5574 Год назад +2

    Leo 18/Feb ......mungu tusaidie

  • @johnmbafu2882
    @johnmbafu2882 4 года назад +21

    😂😂😂😂😂 goli la tatu bwalya cjui alitokea wapi 😂😂😂😂

  • @riadi17decor
    @riadi17decor 9 месяцев назад +2

    Ipo siku hz zama zitarud in shaa Allah

    • @facy746
      @facy746 5 месяцев назад

      Amen

  • @HadijarashidiSadiki
    @HadijarashidiSadiki Месяц назад +3

    Nasikia saut ya ally kamwe anachambua apo😂😂😂😂

  • @MiliamuGideon-h5t
    @MiliamuGideon-h5t Месяц назад

    Na ikumbukwe hii furaha ya wanasimba ❤

  • @hamednassor3711
    @hamednassor3711 Год назад +4

    Nan mwingine anaangalia hii mechi Leo Tarehe 24 /6/23

  • @SokoineMtuka
    @SokoineMtuka Год назад

    Hii Simba 🇦🇹 Mungu anawaona

  • @shedrackmwaipopo9427
    @shedrackmwaipopo9427 4 года назад +4

    Simba raha sana

  • @patrickkayanda7979
    @patrickkayanda7979 2 года назад +2

    Mnabiashara gan na like, wapuuz mda wote naomb like naomb like