Magoli Yote Simba vs CS Sfaxien 2-1 Highlights leo 2024 Simba sc vs CS Sfaxien

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 112

  • @FahadAwadh-zh9um
    @FahadAwadh-zh9um 6 часов назад +6

    Hongera SIMBA SPORTS CLUB,, HONGERA NA SISI MASHABIKI.. UBAYA UBWELA,, SIMBA NGUVU MOJA

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 14 часов назад +10

    This game look simple but very tough, Caf football never simple

    • @DingindlelaeLLDAQ
      @DingindlelaeLLDAQ 12 часов назад +1

      Every game is hard Bro hard you can't even predict correctly every team pit effort

  • @badrumbaruku
    @badrumbaruku 10 часов назад +3

    Kwa mkapa ni shida tu wamekufa weng uyu nan kuna Al ahal /waidad/kaiza chif /orlando pairet/as vita/nkana/platu bravo/vaipa/ahal tripol/plat nam/horoya/ na wenginewo thes is simba lupaso ni shida

  • @FrankReuben-y8m
    @FrankReuben-y8m 11 часов назад +3

    I love you simba sports club

    • @GonziMasanja
      @GonziMasanja 10 часов назад

      Even me I love you simba ❤❤

  • @Abuushaymaatz
    @Abuushaymaatz 10 часов назад +9

    You can win vs simba not because you're better than them but because you're lucky that day😮

  • @doreenminja1969
    @doreenminja1969 9 часов назад +4

    Mwenye hii channel kanikosha safiiii❤

  • @absm8084
    @absm8084 11 часов назад +3

    Kibu D❤❤❤❤ Kagoma aiseeh alituliza akili hadi raha

  • @SamsonMolly-h3v
    @SamsonMolly-h3v 14 часов назад +7

    Helloooooooooooooo Simba spot 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 ubaya ubwela

  • @saidabdurahman9631
    @saidabdurahman9631 14 часов назад +3

    هذه هي سيمبا 🎉

  • @HusseinMoshi-t2t
    @HusseinMoshi-t2t 14 часов назад +2

    Kwa style hii kibu hawezi kosa namba Simba first eleven

  • @ZaynabadamZaymzur
    @ZaynabadamZaymzur 14 часов назад +1

    Simba ❤❤

  • @HalimaDulla-w1l
    @HalimaDulla-w1l 9 часов назад

    ❤❤simba 🎉

  • @jamaltouati5621
    @jamaltouati5621 Час назад

    Les joueurs et le staff de Sfax ont fait le même scandale contre Berkane puisqu'ils ont été éliminés par 3 à 0.
    L'équipe n'a pas etait sanctionnée. Maintenant, les sanctions vont être lourdes.

  • @frayou-med-anis
    @frayou-med-anis 10 часов назад +4

    المعلق تافه ويوتر الاعصاب باصراره على ان الحكم هو من اثّر على نتيجة المباراة وفي حقيقة الامر هو حال جميع الشعوب العربية التي تعشق لعب دور الضحية سمبا كان افضل بكثير

    • @isaackdeo
      @isaackdeo 43 минуты назад +1

      Oya tume wa sh nyentaaa😂😂

    • @stephanolulale9716
      @stephanolulale9716 13 минут назад

      ​@@isaackdeoWewe mbaya
      Kwani HAJUI matokeo hadi umwambie hivyo🤣

  • @Z-moJamal-c4l
    @Z-moJamal-c4l Час назад

    🦁💪👆

  • @leonardagnatio258
    @leonardagnatio258 Час назад

    Mtangazaji baada ya kibu kushinda mbona umetangaza goli kwa wivu😂😂

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 14 часов назад +3

    Game ya kiume sana

  • @real_nadir
    @real_nadir 6 часов назад

    We huogopi 🦁

  • @Abdou-e8f
    @Abdou-e8f 15 часов назад +13

    تحياتنا للأخوة توانسة هادي هي افريقيا

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 58 минут назад

    Kumamaake mwanangu akawambia walete katii

  • @casebfittings
    @casebfittings 10 часов назад

    Simba ni timu hatari 🔥

  • @Masoya-r8h
    @Masoya-r8h 12 часов назад +1

    Kibu hii juhudi zako zinaonekana zinaonekana unaipenda Simba Kwa moyo

  • @UmariBakari-z8u
    @UmariBakari-z8u 15 минут назад

    Kibu ndoo kibu ndonga

  • @badromosta27
    @badromosta27 11 часов назад +1

    É a Africa 😂 tudo é permitido no football 🏈😂

  • @AmaniKuya
    @AmaniKuya 11 часов назад

    ❤❤❤❤❤ Sana kubu D

  • @HabibuMohammed-p2v
    @HabibuMohammed-p2v 15 часов назад +4

    أسد الغبة❤❤

  • @wakatirehani
    @wakatirehani 8 часов назад

    Simba nguvu moja

  • @Steve_tz
    @Steve_tz 11 часов назад

    Simbaaaaa

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 11 часов назад +1

    Hiyo ndio maana ya Ubaya Ubwela

  • @mussaharun7257
    @mussaharun7257 Час назад

    Hapo Al ahly analala itakuwa cs faxien

  • @JoshuaKapele
    @JoshuaKapele 14 часов назад +2

    Ubaya ubwela

  • @JudithPeter-yj2cn
    @JudithPeter-yj2cn 12 часов назад

    Kibu kibu kibu ❤❤❤❤❤❤

  • @FadhiliTambale
    @FadhiliTambale 2 часа назад

    CHEMALONE mpumbavu sana na aondoke tu kwani kila mechi amekuwa na makosa yale2

  • @ericmmary9197
    @ericmmary9197 15 часов назад +1

    Nakubali

  • @hawangunge8104
    @hawangunge8104 2 часа назад

    Watanzania tu comment tu kwa kiswahili so kwa hzo broken English 😂

  • @juliusLulaca-e4f
    @juliusLulaca-e4f 15 часов назад +2

    Simba raha sana kweli

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 13 часов назад +3

    KIBU DENIS mkandaji hajwahi tuangusha!

  • @OfnelyMligo
    @OfnelyMligo 11 часов назад

    ❤❤❤❤

  • @nathanaelchezalikatundu8869
    @nathanaelchezalikatundu8869 12 часов назад +4

    I think Ahoua is miss assessed. Kwangu bado naona anafanyaga matukio mengi kwa usahihi, japo kuna baadhi ya mechi kweli huwa anakosea, lkn siyo mchezaji mbaya hata kidogo.
    \

    • @absm8084
      @absm8084 32 минуты назад

      Ni sahihi kabisaaaah ila tough game zinampa shida labda wampange na viungo wenye nguvu kama kagoma

  • @dagraskaragane4730
    @dagraskaragane4730 12 часов назад +1

    BADO TUNA KIBARUA KIGUMU BRAVO NAE KASHINDA

    • @paulmoshi
      @paulmoshi 8 часов назад

      Kaka sisi ni simba tulikuwaga kundi gumu kipindi tunaongoza kundi mbele ya al ahly mechi ya Leo ulikuwa muhimu Kila mtu ashinde kwake point Tisa kwa mkapa Moja tutaipata ugenini inshallah simba nguvu moja❤

    • @Bongovlogs
      @Bongovlogs 3 часа назад +1

      Mtangazaji wakifunga waarabu anapiga kelele ila sisi anatangaza kapoa😂

    • @lumulyimage4826
      @lumulyimage4826 Час назад

      😂😂😂😂😂😂😂​@@Bongovlogs

  • @gaspergeorge9776
    @gaspergeorge9776 11 часов назад +1

    Huyu mtangazaji michosho tu Bora mpenja wetu aiseee 😂😂😂😂

    • @abdullahmuhammadKambona
      @abdullahmuhammadKambona 10 часов назад

      Badala ushukuru waangalia bure waleta malalamiko,,bila hao waarabu na Chanel yao ungeona wapi 😂

    • @gaspergeorge9776
      @gaspergeorge9776 9 часов назад

      @abdullahmuhammadKambona tungetafuta nyingine huyu hapana

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r Час назад

      ​@@abdullahmuhammadKambonakwa hiyo hapa hatutumii bando 😂

  • @Bkamandawazam
    @Bkamandawazam 14 часов назад

    Daaaaah😂😂😂

  • @yasrez2310
    @yasrez2310 5 часов назад

    je ne reconnais plus le css, trop de naivete dans le jeu , je ne sais pas si les 10 minutes sont justifiées mais il fallait rester concentrer sur le jeu, le joueur qui marqué le 2ème but etait libre de tout marquage!!!! c'est de l'amateurisme pur et dur

  • @ZawadiLameck-h6y
    @ZawadiLameck-h6y 13 часов назад +1

    Kibuuuuuuuuu

  • @DingindlelaeLLDAQ
    @DingindlelaeLLDAQ 12 часов назад

    Fadlu we are here for you

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 14 часов назад +1

    Ubaya ubwela simba nguvu moja ❤

  • @majidabdul-wg8ww
    @majidabdul-wg8ww 8 часов назад

    Kama ushindi ni huu wakupewa USM Alger na Berkane wko palee

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 часа назад

      Huna haya mwanaume mzima loooo

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 12 часов назад

    Kibuuuuuuu denis superman🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 2 часа назад

    Kibu uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!?

  • @AzizSalumu
    @AzizSalumu 14 часов назад

    Mwana wa denic

  • @patrickymkoma3558
    @patrickymkoma3558 14 часов назад +3

    Che malone umezingua

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 14 часов назад +1

      Anazingua mara nyingi. Dawa yake ni kutafuta CB mwingine ili wawe wawili

    • @bbclondonulimwenguwasoka6126
      @bbclondonulimwenguwasoka6126 14 часов назад

      Yn nikama David Luis

    • @Yuleyule-u6c
      @Yuleyule-u6c 14 часов назад

      Kweli kazingua mabeki wetu wajifunze hatuwatupii LAWAMA ila waongeze umakini.

  • @valencekavishe311
    @valencekavishe311 13 часов назад +1

    Very gooooooooood

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 12 часов назад

    Mwamuzi kama cha juu mo dewji kaamua tutaona maajabu kwa timu isiyokuwa na meno timu mbovu

  • @RubimburirangaboVedaste
    @RubimburirangaboVedaste 15 часов назад

    Simba itashinda

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 2 часа назад

    Lasts many

  • @ashaMgindo
    @ashaMgindo 13 часов назад +2

    Ubaya ubwela 🤣🤣 warabu msiliyee

  • @shamiramsoke1365
    @shamiramsoke1365 14 часов назад +2

    KBD Nakupenda bureeeee

  • @SAMA-jw4fr
    @SAMA-jw4fr 15 часов назад +4

    نحن سمبا

  • @azdinyassa9075
    @azdinyassa9075 11 часов назад

    ليس هذا هو الصفقسي الذي نعرفه،،،

  • @MohrezKk
    @MohrezKk 12 часов назад +1

    دحمان مميش ههههههه

  • @MichiboJonathan
    @MichiboJonathan 12 часов назад

    Kwan wanao dai refa kapewa pesa iv Hilo Gori sio Halali au vip na kama n Halali kwn hizo dk wakat zimeongezwa alipewa Simba tu c wote walikua wanacheza au shida Iko wapi hapo au hao majamaa wao wanajua kucheza dk 90 tu bac Alf inavyoonekana kama walikua wameshamwambia mwamzi kua wao n dk 90 tu bac ndio maana mda ulipofika walikua wanamkumbusha sema refa katupilia mbali ombi lao

    • @EnockNanyaro-lk1zi
      @EnockNanyaro-lk1zi 12 часов назад

      Waangalie Oman vs Korea ziliongezwa dakika 16 Lakini zilichezwa Dak 20

    • @JacksonBoaz-yu8uk
      @JacksonBoaz-yu8uk 12 часов назад +1

      Ndo ushangae wenzetu sana umoja sisi ngozi nyeusi sasa kazi kubwabwaja mimi ni yanga lakini simba kaupiga mwingi

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 часа назад

      ​@@JacksonBoaz-yu8uksisi hatupendani ,Jana mechi ya Bravos na Constantine ziliongezwa dkk 4 watu wamefunga dkk ya 6 hakuna anayelalama ,sisi sasa

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 12 часов назад +2

    Mechi iliisha na dakika za nyongeza hakuna aliepoteza muda kwa dakika 7 zilizoongeza lakini kilichotokea kwa mwamuzi sijui alikuwa na sababu gani kama sio rushwa

    • @punchlinetz
      @punchlinetz 12 часов назад +1

      Swali la msingi ni je muda ukiongezwa ni kwa ajili ya upande mmoja!?
      Alimzuia kipa asidake!?
      Alimwambia Kibu apige kichwa!!?
      Ingeisha 1:1 bado umgemlaum refa!!?
      Uwezo umejieleza issue haikuwa muda.

    • @EnockNanyaro-lk1zi
      @EnockNanyaro-lk1zi 12 часов назад +2

      Je hakuna sub zilizofanyika katika muda wa nyongeza? Hakuna kadi imetolewa?

    • @sadickmmari2146
      @sadickmmari2146 12 часов назад

      Sasa kwann cs hawakufunga dakkza nyongeza

    • @hajranjaidi5024
      @hajranjaidi5024 12 часов назад

      Ovyooo

    • @LovelyBoardGames-no6lw
      @LovelyBoardGames-no6lw 12 часов назад

      # mama yko ndio katoa mkundu warushwa km nyie yanga wabovu nahamfiki ppte kumaweeee.......

  • @mdl6463
    @mdl6463 13 часов назад +1

    Wameyaoga 😂😂😂😂

  • @exaudmbuya9306
    @exaudmbuya9306 12 часов назад

    Kibu oyeee

  • @HELA-tz
    @HELA-tz 11 часов назад

    Tutawapiga popote

  • @fabianchitojo7406
    @fabianchitojo7406 14 часов назад

    ما زلنا نأتي إليك مرة أخرى

    • @allansamuel-f3l
      @allansamuel-f3l 11 часов назад

      Kuma wewe...mtafanya nini...tutawapiga hukohuko mbele ya mama zenu. Watoto wa haram nyie

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Час назад

    😂😂😂😂

  • @ErastoAntony
    @ErastoAntony Час назад

    Africa no football

  • @BostonNyatu-jh6sc
    @BostonNyatu-jh6sc 12 часов назад

    Asante baba wa mbinguni kwa kutushindia

  • @PauloKiria-v2u
    @PauloKiria-v2u 13 часов назад

    Kibu dddd

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c 13 часов назад

    Bonge la game

  • @patrickymkoma3558
    @patrickymkoma3558 14 часов назад

    Kibu D

  • @JumaMaiko-s8h
    @JumaMaiko-s8h 13 часов назад

    Nie warab

  • @halimahamad9430
    @halimahamad9430 14 часов назад

    HAHAHA HADHAA HUWAL SIIMBS

  • @NoelinaJeremiah
    @NoelinaJeremiah 14 часов назад

    ubaya ubwelaaaaaaa

  • @AshaRamadhani-px9ov
    @AshaRamadhani-px9ov Час назад

    Ubaya ubwela