PRESS CONFERENCE: KOCHA FADLU NA FERNANDES WAKIONGEA NA WANAHABARI KUHUSU MAANDALIZI YA MCHEZO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 86

  • @StevenFumbi
    @StevenFumbi 15 дней назад +8

    All the best my team Simba sports club from Tanzania

  • @fredmabundagilo6954
    @fredmabundagilo6954 13 дней назад

    Ee Mwenyezi Mungu ibariki Simba sc ipate ushindi huko Angola zidi ya Bravos.
    Simba nguvu moja 💪♥️🙏

  • @WilleSaitabau
    @WilleSaitabau 15 дней назад +6

    Simba nguvu moja, ubaya ubwela💪💪💪

  • @charles-lc4pp
    @charles-lc4pp 15 дней назад +4

    mungu awatangulie katika mchezo mshinde

  • @IsackVedasta
    @IsackVedasta 15 дней назад +3

    Inshallah ❤ tutashinda mechi 🙏

  • @ignasduwe2152
    @ignasduwe2152 15 дней назад +4

    According to strongly of my team in all parts, hope SIMBA Will going to win this game, and to qualify quator final

    • @jumamangombe6493
      @jumamangombe6493 15 дней назад +1

      😂😂😂😂😂 tafadhali andika lugha unayoimudu hata kama ni kipare kuliko huu utumbo ulioandika hapa.

    • @jumamangombe6493
      @jumamangombe6493 15 дней назад

      😂😂😂😂😂 tafadhali andika lugha unayoimudu hata kama ni kipare kuliko huu utumbo ulioandika hapa.

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 15 дней назад

      Wewe hebu andika tu kiswahili khaaaa😂😂😂😂😂😂😂

    • @albertisrael5879
      @albertisrael5879 15 дней назад

      ​@@jumamangombe6493huwezi kujifunza bila kukosea

  • @tumaini37
    @tumaini37 14 дней назад

    All the best coach and your squad

  • @angelishika6054
    @angelishika6054 15 дней назад +2

    Mungu yupo pamoja nanyi poit 3 ni zetu in the nane of Jesus 🙏🏻🙏🏻

  • @ErickDamian-g3l
    @ErickDamian-g3l 15 дней назад +3

    Ubaya ubwela hakika naamin ushindi upo💪💪💪

  • @hawachitale
    @hawachitale 15 дней назад

    All the best my lovely team

  • @MagrethFabian-k2h
    @MagrethFabian-k2h 15 дней назад

    Muñgu ibariki simba yetu

  • @عزيزه-ر1ه
    @عزيزه-ر1ه 15 дней назад +1

    Simba nguvu mmoja

  • @yusuphitambu3405
    @yusuphitambu3405 14 дней назад

    We pray for our team Simba only 3 points or one if not 3

  • @laizerJr-p8l
    @laizerJr-p8l 15 дней назад +1

    ubaya ubwelaaa❤❤❤

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 15 дней назад +1

    SIMBA NGUVU MOJA😂😂😂🎉🎉🎉

  • @yaziduabdallah2836
    @yaziduabdallah2836 15 дней назад +2

    Nguvu moyaaaaa

  • @rassulluis1947
    @rassulluis1947 15 дней назад

    💪💪💪💪

  • @Majaliwayasini-z6i
    @Majaliwayasini-z6i 14 дней назад

    Nguvu moja

  • @TriciaSambo
    @TriciaSambo 15 дней назад

    nguvu moja pamoja tutashinda mungu mwema ingawa najua mechi ni ngumu ila mungu atakuwa upande wetu naamini hilo amina

  • @augustinookore6172
    @augustinookore6172 15 дней назад +2

    Ubaya ubwelaa # nguvumoja

  • @damasmagawa2867
    @damasmagawa2867 15 дней назад

    The Lion King of the Football. #SimbaNguvuMoja

  • @claraluoga6828
    @claraluoga6828 15 дней назад

    Mwenyezi Mungu tunakuja mbelezako tukijinyenyekeza na kukuomba utujalie ushindi timuyetu ya simba wape akili nguvu maalifa wachezaji mbinu ilitupate ee ushindi wafuate maelekezo ya kocha na bechi la ufundi wape mbinu ilitupate ushindi simba

    • @tanzaniamzalendo9615
      @tanzaniamzalendo9615 15 дней назад

      Amen
      Hakika Mungu amesikia maombi haya na kuyakubali.Atakuwa upande wetu sawa na neno lake ktk Methew 7:7

  • @collinalex4485
    @collinalex4485 15 дней назад +12

    Deborah anaona aibu😂😂😂😂

    • @damasmagawa2867
      @damasmagawa2867 15 дней назад

      😂😂😂😂😂

    • @nuruosward8161
      @nuruosward8161 15 дней назад +5

      Aibu ip lugha za watu hizo zinaongekeka kiutaratibu siyo kama nyie vichiliku msokuwa na haya na break ya maneno tena hamjui kuwa kila sehem inautaratibu wa kuongea sio kiropo every where

    • @ALLYABDALAH-if7xl
      @ALLYABDALAH-if7xl 15 дней назад

      Welldone

    • @mauamshindo2558
      @mauamshindo2558 15 дней назад

      @@nuruosward8161😂😂😂umenchekesha eti vichiriku

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x 15 дней назад +1

      Aone aibu kwani kajinyea ? Mbona comit za ajabu ? Au ndio unyuma mwiko mpaka kwenye comment?

  • @Ally-jf6wu
    @Ally-jf6wu 15 дней назад

    Tunataka ushindi kwenye hiyo mechi ya bravo

  • @ElyrehemaMartin
    @ElyrehemaMartin 15 дней назад

    Muito mligado

  • @Ally-jf6wu
    @Ally-jf6wu 15 дней назад +2

    Hii mechi nilazima kushinda bravo amekuwa na matokeo mazury akiwa uwanjani ila sio team tishio wanafungika vizury tyu kama tunahitaji kufika fainali basi bravo sio team yakuiogopa

  • @ShebyJumanne
    @ShebyJumanne 15 дней назад

    Wamefany kikao leo kwa sababu uwanja wanao tumia simba na bravo kesho unamechi so hata mazoezi yanwisho saiv simba wapo uwanjani wana oiga tizi

  • @Mtotowadaktari
    @Mtotowadaktari 15 дней назад

    Tuna waombea dua 🙏 mchezo uwe mzur

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 15 дней назад

    Point tatu Muhimu Mungu wasaidie wachezaji wetu ikawe siku yao sina shaka kbs

  • @MohamedMustafa-id5gr
    @MohamedMustafa-id5gr 15 дней назад

    Kila la heri timu yangu ssc nguvu moja

  • @AmosiAlly
    @AmosiAlly 15 дней назад

    Ubaya ubwela Simba 4life

  • @GastoryVincentsuline
    @GastoryVincentsuline 13 дней назад

    Kaka ninkuomba mungo tu hat Constantine amepasuka 3 pale wazuri sana wakiwa kwao

  • @bensimon7330
    @bensimon7330 15 дней назад

    Maiki ya simba imependeza

  • @nurdinshekivuli468
    @nurdinshekivuli468 15 дней назад

    Ningependa simba ashinde, lakni hizi mbinu za kuzuia vifaa vya simba ni mbinu indirectly za kudhoofisha timu, hio game simba asipoangalia anafungwa kwakua hizo ni mind games

  • @MatiasBroo-z7b
    @MatiasBroo-z7b 15 дней назад

    Niwaambie kitu bravo alikua anawafunga waarabu maana kule uarabun mi gul baridi lakin angola ni joto kama tanzania hivo simba anashinda hi mechi mana mazingira anayajua

    • @MeshackManoja
      @MeshackManoja 15 дней назад

      Hatamimi nimewaza hivyo hivyo

    • @anthonymilinga8696
      @anthonymilinga8696 15 дней назад

      Yaani unacho kiwaza nikama ninacho kiwaza mimi. Hali ya hewa ya Angola 🇦🇴 hapo Luanda ni kama ya Dar es Salaam tuu hazija pishana kabisa kwahiyo kitaumana hapo hapo kwao.

  • @Sundaymjeda-f4f
    @Sundaymjeda-f4f 15 дней назад

    Simba nguvu moja ubaya ubwela

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 15 дней назад

    Ushindi

  • @rassulluis1947
    @rassulluis1947 15 дней назад

    Coste bem

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 15 дней назад

    Tushinde hii mechi wachezaji wetu tunawaombea afya njema

  • @twahasalummushimushi2141
    @twahasalummushimushi2141 15 дней назад +1

    Bravo cio tishio kwa kudra zake Molla tutashinda
    Mechi uliyoniogopesha ni ya Walibia usiombe wale jamaa wanacheza kipute

  • @maryaernest3554
    @maryaernest3554 15 дней назад

    Mungu awasimamie mpate ushindi tupo nyuma yenu tunawaombe

  • @emmadora7848
    @emmadora7848 15 дней назад

    Kila la heri

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 15 дней назад

    Kwani mchezo unachezwa kesho?maana mkutano umefanyika leo

  • @chichasam9032
    @chichasam9032 14 дней назад

    Kocha usikariri..

  • @RevocatusSungura
    @RevocatusSungura 15 дней назад

    Kwani match ni kesho au mbona press conference today

    • @Omarimakuka
      @Omarimakuka 15 дней назад

      Kuna mechi 3 uwanja ni huohuo kuanzia kesho

    • @RevocatusSungura
      @RevocatusSungura 15 дней назад

      @Omarimakuka kwahiyo mechi ni kesho

  • @pascalPembamoto
    @pascalPembamoto 15 дней назад

    Mpambane uwanjani kila mchezaji apambane kiume.

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 15 дней назад

    Mechi tarehe 12 ila presi leo

  • @rairaime4953
    @rairaime4953 15 дней назад

    A linguagem dele é muito confuso

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 15 дней назад

    Kwn wanacheza kesho ?nauliza

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 15 дней назад

    Kwa mechi lini jamn mm najua 12 au

    • @ItikaHassan
      @ItikaHassan 15 дней назад

      Ndyo jumapili

    • @MahaSaeed-hf3gs
      @MahaSaeed-hf3gs 15 дней назад

      @ItikaHassan mbona interview Leo au mm ndo sijaelew

  • @MwaikindaJaphet
    @MwaikindaJaphet 15 дней назад

    Ubaya Ubwela

  • @damasmagawa2867
    @damasmagawa2867 15 дней назад +1

    Hii lugha anayozungumza Deborah, mbona siilewi, nasikia tu fuch fuch vuentesho kuch kuch... duuh

  • @bonifacelugo2941
    @bonifacelugo2941 15 дней назад

    Tunakwenda robo fainali tukiwa tunaongoza kundi

  • @kigotymeentertainmentkigoy4858
    @kigotymeentertainmentkigoy4858 15 дней назад

    tUFUDHU TUKIWA HUKO HUKO IL;I MWARABU TUJE TUMCHEZEE MPIRA MKUBWA

  • @relaxstarman
    @relaxstarman 15 дней назад

    Tunahitaji ushindi tuu amna kingine

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 15 дней назад

    👏👏👏👏👏👏👏👏🇹🇿🦁♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏