Pastor somo la mchana limefanana na lenye ulifundisha miaka miwili iliyopita, linauliza je mwajua Yesu alikatwa sikio Mungu atukuzwe milele daima ni roho mtakatifu aliniambia nitazame hilo somo, barikiwa sana pastor.
Pr hapo awali nilikuw nipo ktk njia ya Mungu alf nikarudi nyuma, nikawa siend ht kanisan ila kun ndoto ya aina moja nilisha iota karibia mara 3 kwa nyakati tofauti, mara ya kwanz niliota nikitazama mbinguni nikaon ndege za vita zinapita, nikaona picha juu ya anga ya alama ya mnyama, awamu nyingine nikaota nikiwa natembea na Yesu mara nikaanguka kweny shimo nikamuita BWANA wang mbona unaniacha? 3 niliota nikilitafuta neno la MUNGU nisilipate nikiwa km nimechelewa, huw nikitafakar nauona upendo wa MUNGU niombee ktk maombi yako niwe km zamani
Suala ujio wa Yesu ni muda usiojulikana lakini UKISOMA vitabu vya Ellen G white vinataja miaka elfu sita , lakini tunapaswa kufunga kwa historia ya ulimwengu
yeyote anayeiangalia hii huu mwaka 2024
Ubarikiwe sana ndugu Mungu akujaze nguvu katika maisha yako kila siku.
Tupate wapi watu kama wewe,namshukuru Mungu kwa kutupatia wewe katika Kristo Yesu Amina.
Wondeful.❤❤❤❤❤👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏wana kwaya nimependa wimbo wenu barikiweni sana kabisa🙏
Ubarikiwe sana mchungaji.
Pastor somo la mchana limefanana na lenye ulifundisha miaka miwili iliyopita, linauliza je mwajua Yesu alikatwa sikio Mungu atukuzwe milele daima ni roho mtakatifu aliniambia nitazame hilo somo, barikiwa sana pastor.
Your Sir Pastor.. ualimu unao na uchungaji unao 🙏🙏 Bwana akufundishe zaidi
Duu, Mungu akusaidie.
Barikiwa sana Pastor.
Tunabarikiwa sana na mafundisho yako pastor
Naomba niambiwe the title ya wimbo huu jamani.nautafuta youtube since morning😂😂😂nasijaupata bado.hii choir imeimba vyema sana jamani🙏
Naomba YESU aonekane maishani mwanagu.
Thanks
Huyu mtumishi jamani🙌🙌
Nina shukuru sana kwa fundisha. Mimi ni shauri toka drc
Pastor mbanga na kuelewa vzr ubarikiwe🙏🙏
Una tufndisha pastor sita sema eti siku sikianga neno la Mungu
Je unatunza amri 10 za mungu ikiwemo ya 4 inayotuamuru kuitunza sabato ya siku ya Saba?
Praise almighty god hallelujah hallelujah praise amen
Kimeumana huko kwa wasabato.Mungu analipindua kupitia mtumishi wake.pr.mmbaga.mtumishi Mungu endelee kukutumia kwa nguvu zote na mafunuo.
Am the first to view.... happy Sabbath..from qatar
Happy day.. from Ghana
Amen and may God bless you people.
Ameen ubarikiwe saana hakika nimefunguka macho sehemu ya pili tunaisubiria
Jambo mchungaji ubarikiwe sana sasa mimi jina langu ni baleke kuna maswali auji kwanini.
hamna kitu hapa.. wezi tuu nyinyi
Amina.
Mungu atusaidie tumujue naye atujue kwabkututia muhuri wake
Wimbo tamu
MUNGU azidi kutenda
Amina
Pr hapo awali nilikuw nipo ktk njia ya Mungu alf nikarudi nyuma, nikawa siend ht kanisan ila kun ndoto ya aina moja nilisha iota karibia mara 3 kwa nyakati tofauti, mara ya kwanz niliota nikitazama mbinguni nikaon ndege za vita zinapita, nikaona picha juu ya anga ya alama ya mnyama, awamu nyingine nikaota nikiwa natembea na Yesu mara nikaanguka kweny shimo nikamuita BWANA wang mbona unaniacha? 3 niliota nikilitafuta neno la MUNGU nisilipate nikiwa km nimechelewa, huw nikitafakar nauona upendo wa MUNGU niombee ktk maombi yako niwe km zamani
Mrudie Mungu
Amen
Aminaaaaaaa
Mimi mkenya nitapa aje kitabu?
Alléluia.
Suala ujio wa Yesu ni muda usiojulikana lakini UKISOMA vitabu vya Ellen G white vinataja miaka elfu sita , lakini tunapaswa kufunga kwa historia ya ulimwengu
Narudia niendelee kuelewa tena
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Amen