UTAEPUKAJE ALAMA YA MPINGA KRISTO SEHEMU YA 2 ( OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 75

  • @yakobomkristo872
    @yakobomkristo872 3 года назад +11

    Wasabato, Mwombeni Mungu Awasaidie Kumwelewa Huyu Mtumishi Wake, Muyashike Na Kuyatenda Mafundisho Yake, Hakika Mungu Anamtumia Kwa Namna Ya Kipekee.Binafsi Nimemuelewa Sana.

  • @barakaporti
    @barakaporti Год назад +1

    👉👉sio kama wale bali 👉👉 nimchungaji wa kweli usiye taka kondoo wapotee Mungu wamajeshi akulinde sana🙏🙏

  • @mussacharles5311
    @mussacharles5311 6 месяцев назад

    MUNGU akuzidishie na zaidi sana mtumishi wa BWANA

  • @Joel-g5z9f
    @Joel-g5z9f День назад

    Samahani mchungaji naomba utoe somo kuhusu kweli hizo ,ambazo ni muhuri mungu.

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 11 месяцев назад

    Barikiwa sana. Paster namuomba mungu anitie loho mtakatifu. Yesu aonekane ndani yangu 😢

  • @kaptolinasulley6769
    @kaptolinasulley6769 Год назад

    Amen, mtumishi wa Mungu, kiukweli unatufundisha mafundisho ya ukweli isiyokashifu dhehebu yoyote, Mungu akutunze, hata uzima wa milele Amina.

  • @GuzuraGuzura
    @GuzuraGuzura 11 месяцев назад

    Asante Yesu, usinipite nami unapomwaga Roho wako kwa watu wako, nami nimwagie.

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 3 года назад +4

    Amina kweli kabisa mimi sio Msabato lakini napenda mafundisho unao fundisha. Mungu ni wa rohoni anaona ya rohoni 🙏🏼🙏🏼

  • @Elizabeth-bi2kp
    @Elizabeth-bi2kp 2 года назад

    Barkiwa sana mungu akubariki sana

  • @shegashega2421
    @shegashega2421 3 года назад +1

    Mimi MUNGU amekutumia kunitoa mbali sana kwa kufatilia mtandaoni tu. Na mimi sio msabato wala sijawahi kusali sabato. Huwa namuomba MUNGU siku moja uwe mgeni wangu pamoja na familiy yako. Naelekea kuwa kama MUNGU alivyo niita🙏🙏

  • @lydiasebulabyamungu830
    @lydiasebulabyamungu830 3 года назад +2

    Mwenyezi Mungu azidi kukupa nguvu yakutowa maneno yake kwaajili yakutuudumiya 🙏

  • @williumngowi2025
    @williumngowi2025 3 года назад +3

    Napenda Sasa mafundisho Yako, MUNGU aendelee Kukutunza Mtumishi Wake.

  • @henryshivelenje8212
    @henryshivelenje8212 2 года назад

    Kweli kabisa mtu wa mungu

  • @najmaatanzania9901
    @najmaatanzania9901 2 года назад

    Niko Dubai naitwa Nancy mchugaji nabarikiwa Sana mahubiri yako natamani nijifunze zaidi ili nijuwe sifahamu chochote nisaidie nakumba

  • @TheMorningHelard1844
    @TheMorningHelard1844 3 года назад +2

    PR.Mungu akutumie zaidi ili injili hiyo ikaupindue ulimwengu kama kipindi cha mitume na wainjilisti tuige kuhubiri bila kuficha na Mungu atatubariki

  • @wegesaelias9568
    @wegesaelias9568 3 года назад

    Somo zuri saaaaana mnooo!

  • @albertinemacimu1247
    @albertinemacimu1247 3 года назад +2

    Mungu atusaidie sana na kuinua wengine watumishi kwa kueneza neno lake ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu🙏🙏🙏

  • @changarawemichael5556
    @changarawemichael5556 3 года назад +2

    Hii ndio neema ya MUNGU nashukuru ameniwezesha kushinda udhehebu

  • @emmanuelmbwambo6571
    @emmanuelmbwambo6571 3 года назад +1

    Keep on preaching pastor God almighty one is really with you.

  • @denisdenzoper636
    @denisdenzoper636 2 года назад

    Amina Mungu atubariki sana

  • @omaar5693
    @omaar5693 2 года назад

    3:48 dah Nina akili ya kiroho Alhamdulillah iwe ivyo

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 3 года назад

    Asante kwa NENO. KWA YESU KUNA NGUVU HAKUKA 🙏

  • @lucymathias9775
    @lucymathias9775 3 года назад

    barikiwa sana mafundisho yako mazur mnoo

  • @lenatidagabriel8352
    @lenatidagabriel8352 3 года назад

    Pr. JINA LA BWANA LITUKUZWE azidi kukutumia

  • @hellenratemo2813
    @hellenratemo2813 3 года назад +1

    Amen powerful message, God 🙏 help us to do according to ur will , God 🙏 bless u pastor

  • @gracekisaka8461
    @gracekisaka8461 3 года назад

    Mafundisho yako poster Mungu akubariki.. yananbariki mnoo na sio dini.

  • @najmaatanzania9901
    @najmaatanzania9901 2 года назад

    Naitwa najmaa Niko omani

  • @najmaatanzania9901
    @najmaatanzania9901 2 года назад

    Mchugaji ninamaswali nakuomba unisaidie

  • @rizikibahati8364
    @rizikibahati8364 3 года назад +1

    Nabarikiwa sana na mafundisho yako Mtumishi wa Mungu Nabarikiwa kutoka Australia ila nakuwa hewani lakini sija wapata na karibu tu lale

  • @jameskirwasang4353
    @jameskirwasang4353 3 года назад

    Nime barikiwa Sana mtumishi wa mungu kwa mafundisho asante.

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 3 года назад

    Mwenendo wangu…. Mungu nisaidie

  • @winylucas5181
    @winylucas5181 3 года назад

    Natamn niwe n maarifa kam past mbaga eh MUNGU naomba unisaidie niyajue haya na nisponyokwe ata moja nijaze roho mtakatif aniongoze katka kuijua kweli yako e BWANA usiniache

  • @sautinyikaninewharvestchur5956
    @sautinyikaninewharvestchur5956 3 года назад

    Blessed 🙏🙏🙏 man of God mbaga

  • @DanielSamson-h4v
    @DanielSamson-h4v 3 месяца назад

    Amen

  • @nellisonpaul3239
    @nellisonpaul3239 3 года назад +1

    Pr naomba usome vizuri isaya 58 -13_14

    • @foncetec
      @foncetec 3 года назад

      Unasema uongo? Unazini? Unaiba? Unatamani vya wengine? Kwa usafi wa matendo pekee hatuhesabiwi haki

  • @nundabe
    @nundabe 3 года назад

    Nawewe Mungu akubariki

  • @luciansanga5195
    @luciansanga5195 3 года назад +2

    Amina

  • @stevenkavishe6910
    @stevenkavishe6910 3 года назад

    Je waliowekewa mhuri waweza kutenda dhambi

    • @foncetec
      @foncetec 3 года назад

      Chupa ya maji mpya ikichafuka maji ya ndani huwa hayachafuki

  • @eliakanyika5379
    @eliakanyika5379 3 года назад

    Je kuna walio pelekewa injili ya ushikaji wa Sheria za Mungu ikiwepo Sabato ya uumbaji, akaamua kuikataa kwa makusudi je huyo nae atakuwa na muhuri wa Mungu!?.

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 3 года назад

    Powerful message

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 3 года назад

    Kaka unakataa upako wa kweli,...
    Nauhakika siku ya hukumu, mwenyezi mungu atakukumbusha hili ninalo kwambia....!
    Isikie sauti ya Mungu inakuita ili upate kuokolewa

    • @adv.benedictpius
      @adv.benedictpius 2 года назад +1

      Upako ni nini na utamsaidia nini mtumishi mbaga.....huna jipya

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 2 года назад +1

      Benedicto, hii ndio sababu gani mashahidi wawili watakataliwa na kuuwawa, dunia nzima watasherekea na kuperekeana zawadi wao kwa wao.

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 2 года назад

      Kiongozi wako anaweza kuwa sababu ya wewe kwenda motoni,
      Mnao washikiria wanafuata mapokeo ya kibinadamu, hawa sio watu wazuri kwakuwa hawana yule roho anaewafunulia mafumbo ya Mungu

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 2 года назад

      Ukweli ni kwamba, kama watumishi wa sasa wanayoyaubili yangekuwa ya kweli, Mungu asingeleta mashahidi wake wawili,
      Pili, hao wanao hubiri, kama yangekuwa yakweli, wangekuwa wameuwawa...
      Ila kwakuwa wanayoyasema yanamkweza mnyama, ndio mana hao viongozi wenu wanaishi.

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 2 года назад

      Nipe no. Au mawasiliano, nikupe nini maana ya mnyama.

  • @eliakanyika5379
    @eliakanyika5379 3 года назад

    Amina pr

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 3 года назад

    Amina kusoma Biblia

  • @eunicenasimiyu4256
    @eunicenasimiyu4256 3 года назад

    Amina 🙏

  • @jacquesmoninga9245
    @jacquesmoninga9245 3 года назад

    Naitaji Number za Mchungaji David Mmbaga tafadhali.

  • @estherkusaga9181
    @estherkusaga9181 3 года назад +2

    Mlefi ukweli huu ni mhimu wasabato wengi hatujui itakuwaje??

  • @gracekisaka8461
    @gracekisaka8461 3 года назад

    AMEEEN AMEEEN

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 года назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍

  • @halimaamuli1978
    @halimaamuli1978 3 года назад

    🙏🙏🙏🙏

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 3 года назад

    Huyu jamaa, machache ni yakweli, mengi ni ya uongo...!.

    • @francemasava8690
      @francemasava8690 3 года назад +1

      Upako n nini maandiko..

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 3 года назад

      Kwasababu, anawapotosha kuhusu mnyama na chapa yake..
      Misingi ya awali hajaifahamu ndio maana ya mbele ana boronga.
      Kwani biblia inasemaje kuhusu kuuwawa kwa mashahidi wawili?...
      Wao watakwenda kinyume na maubili ya kidunia ndio mana kila mtu atapigwa kwa namna yake na kuwachukia hao manabii!....

    • @johnjulius6986
      @johnjulius6986 3 года назад

      Unataka nikupe maana ya mnyama???? Na chapa yake...
      - ipo maana imejificha ndio mana biblia inasema, dunia nzima itamuabudu mnyama isipo kuwa wale walio andikwa kwenye kitabu cha uzima.
      Ukisikiliza maubili yake utapotoka, coz wewe utakuwa mmoja anaye abudu mnyama...
      Mimi mungu kupitia roho wake, amenifunulia mafumbo yake....

  • @emmanuelmbwambo6571
    @emmanuelmbwambo6571 3 года назад +2

    Keep on preaching pastor God almighty one is really with you.

  • @alicesidi9601
    @alicesidi9601 3 года назад

    Amina