Mlefi naomba hiyo roho iliyoko ndani yako ,Roho wa Mungu ayiambukize ndani ya mioyo ya wachungaji wengine,nå cc waumini kwamba mbele za Mungu wote tuko sawa cheeo hakiongezï utakatifu haya ni majukumu tu ya utendaji nimekusoma
Namkuru Mungu kwa ujumbe huu tunaoendelea kuupokea kwa siku hizi 10 za maombi, Tayari naona kufunguliwa kwa waumini pamoja na Mataifa, Mungu akubariki 🙏
Msaada wa kutaka kuelewa maana na kazi ya zaka. Agano la Kale linafundisha kuwepo na wana wa Lawi walioteiliwa na Mungu kuwa makuhani na kuishi wakiongoza Waisraeli katika mambo ya kiroho; ndio ilikuwa kazi yao. Iliwabidi "wapewe mshahara" [kwa lugha nyepesi ya leo] kutokana na zaka [Waebrania 7:5]. Siku hizi viongozi wa dini wanaweza kuwa na vyanzo vingi vya mapato ya kujikimu maishani. Kwa nini tunaendelea kutoa zaka na isiwe sadaka tu?
Yakobo alimuahidi Mungu *“…NA KATIKA KILA UTAKALONIPA HAKIKA NITAKUTOLEA WEWE SEHEMU YA KUMI. ”* - Mwanzo 28:22 (Biblia Takatifu) TUNATOA ZAKA KWA SABABU MUNGU AMETUPATIA, NI AGIZO LA MUNGU ZAKA ITOLEWE KWAKE KATIKA KILA ATAKACHOTUPATIA, NA KWA SABABU HIYO ANASEMA *"…LETENI ZAKA KAMILI GHALANI…"* ZAKA TUNATOA KWA MUNGU KUHOJI KUWA KWA NINI TUNAENDELEA KUTOA ZAKA NAFIKIRI TUNAHITAJI *"KUMFANYA MUNGU KUWA MUNGU WETU"* AKIWA WA KWETU TUTATOA BILA MASWALI NA WASIWASI AU MASHAKA. AKIWA WA KWETU HATUTAHOJI JUU YA MATUMIZI KWAMBA ZINATUMIKAJE, SISI TUNACHOJUA *"TUMETOA KWA MUNGU ALIYETUPATIA"* ZIKITUMIKA KINYUME NA MAPENZI YAKE TUNAMUACHIA YEYE MUNGU MAANA ANAJUA NAMNA YA KUSHUGHULIKIA
Jitahidi kutunza kumbukumbu zako za fedha vizuri kwa kuwaona wataalamu wa biashara. Hii itakusaidia kutumia faida yako kumrudishia Mungu zaka na Sadaka.
Hayo ndio yalinishinda mm Sina pesa Sina kazi chakula chewe sijui kama nitakula alafu unasema toa ndio uom ewe au nunia mafuta ya upakonikasema ujinga huu acha nikafute pesa ndio natarudi nakama kunatofauti gani na mganga wa kienyeji.hio mpaka kesho sijarudi tena mwaka wa 15
LORD, you will always be glorified forever. Be blessed pastor Mmbaga as you continue doing the good work of GOD 🙏🙏
Mpendwa Mchungaji Mungu aendelee kukutia nguvu, kukupa hekima, upendo na utii uzidi kupaza sauti ya ukombozi.
Rev. Godda
Amen
Amina sana tunabalikiwa sana na maombi yako paster nenda mataifa pereka injili ya bwana
Amen Pastor, Mungu atusaidie sana🙏
God help us .....hekima inahitajika sana asante sana pastor....
Barikiwa sana ....mafundisho yenye baraka tele
Amina pastor kweli unayosema kuhusu siku za kuabu mungu
Yesu acha nikutemegemea hadi mwisho. I will trust you Jesus today and forever🙏🏼
Asante mchungaji kwa somo nzuri
Pastor umesema kweli kabisa maana watu wanalaisisha sana mambo ya kiroho
Mlefi naomba hiyo roho iliyoko ndani yako ,Roho wa Mungu ayiambukize ndani ya mioyo ya wachungaji wengine,nå cc waumini kwamba mbele za Mungu wote tuko sawa cheeo hakiongezï utakatifu haya ni majukumu tu ya utendaji nimekusoma
Thank you for the message. Yesu pokea sifa kuu!!
Amen 🙏 Mungu mwenye ngufu akubariki
Asante Sana pastor kwa Somo, kuna wimbo namba 108 umeimbwa vizuri sana kwenye mafundisho yako Ubalikiwe Sana 🙏
I'll I'll I'll p
Hiyo clip pastor hata Mimi niliiona nikashangaa Sana Yesu wa mbinguni atusaidie
Following from Germany keep giving us the word of God
Amen
Namkuru Mungu kwa ujumbe huu tunaoendelea kuupokea kwa siku hizi 10 za maombi, Tayari naona kufunguliwa kwa waumini pamoja na Mataifa, Mungu akubariki 🙏
Thank you God bless you
Yesu tuzahidiye
Amen 🙏🏾
AMINAAA
Np
Amen
Mchungaji mbaga MUNGU akubariki
Amen amen
Barikiwa pastor
Voice, sauti inakata
Msaada wa kutaka kuelewa maana na kazi ya zaka.
Agano la Kale linafundisha kuwepo na wana wa Lawi walioteiliwa na Mungu kuwa makuhani na kuishi wakiongoza Waisraeli katika mambo ya kiroho; ndio ilikuwa kazi yao. Iliwabidi "wapewe mshahara" [kwa lugha nyepesi ya leo] kutokana na zaka [Waebrania 7:5].
Siku hizi viongozi wa dini wanaweza kuwa na vyanzo vingi vya mapato ya kujikimu maishani.
Kwa nini tunaendelea kutoa zaka na isiwe sadaka tu?
Yakobo alimuahidi Mungu *“…NA KATIKA KILA UTAKALONIPA HAKIKA NITAKUTOLEA WEWE SEHEMU YA KUMI.
”* - Mwanzo 28:22 (Biblia Takatifu)
TUNATOA ZAKA KWA SABABU MUNGU AMETUPATIA, NI AGIZO LA MUNGU ZAKA ITOLEWE KWAKE KATIKA KILA ATAKACHOTUPATIA, NA KWA SABABU HIYO ANASEMA *"…LETENI ZAKA KAMILI GHALANI…"* ZAKA TUNATOA KWA MUNGU
KUHOJI KUWA KWA NINI TUNAENDELEA KUTOA ZAKA NAFIKIRI TUNAHITAJI *"KUMFANYA MUNGU KUWA MUNGU WETU"* AKIWA WA KWETU TUTATOA BILA MASWALI NA WASIWASI AU MASHAKA.
AKIWA WA KWETU HATUTAHOJI JUU YA MATUMIZI KWAMBA ZINATUMIKAJE, SISI TUNACHOJUA *"TUMETOA KWA MUNGU ALIYETUPATIA"* ZIKITUMIKA KINYUME NA MAPENZI YAKE TUNAMUACHIA YEYE MUNGU MAANA ANAJUA NAMNA YA KUSHUGHULIKIA
Un bon preducateur
Mais quitte trop dans le sujet
Nimekuelewa mlefi mmmmh Mungu atupe akili ya utambuz,tulio wengi hatuelewi
Mimbali mlefi zinaongeza hofu kwa waumini duuh
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Pastor! Kwema?? Naomba kufahamu zaka ya dukani unaitoaje?? Maana huwezi jua mapato halisi!