IMANI HII ITAKUPA USHINDI MPINGA KRISTO AKIINUKA- PR. DAVID MMBAGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 109

  • @jenestermabati4409
    @jenestermabati4409 Год назад +3

    Pr Niombee,nimekuwa mjane miaka 3 ya ndoa yangu.nimepita changamoto za kulea peke yangu bila msaada wa kifamilia bali nimeishi kwa manyanyaso kifamilia.kwa saaa kijana amekua ana miaka 20 sasa. Ombi langu tuna uhitaji wa mtaji ili kupata pesa ta kujenga nyumba ya kuishi mimi na mwanangu.Naamini Mungu atatenda maana amenuvusha pakubwa mno

  • @nakundwamallya2295
    @nakundwamallya2295 Год назад +1

    Nashukuru pastor naendelea kujifunza barikiwa

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb Год назад

    Amen Pastor nambarikiwa na mafundisho yko mungu akuinuee kiwango Cha juu sana

  • @hf0376
    @hf0376 Год назад

    Muchugaji nabarikiwa sana na mahubiri yako naomba Mugu akupe maisha marelfu

  • @EnaellaNiyongabire
    @EnaellaNiyongabire 8 месяцев назад

    Amen nimebalikiwa sana kwa somo hili.mchungaji Mungu akubariki

  • @EnaellaNiyongabire
    @EnaellaNiyongabire Год назад

    Amen.nimebalikiwa na sino hili limenipa faraja Kuwait Mungu ananipenda Sana yooo Mungu nimwema Sana .ubalikiwe Sana mchungaji

  • @DinahBishibura-ji3dv
    @DinahBishibura-ji3dv Год назад

    Pr nakupenda barikiwa sana umenifungua ability kuhu lmani ya Yesu

  • @ttuphenarutto653
    @ttuphenarutto653 Год назад

    Ubarikiwe mchungaji Leo nimejifunzakua Sheria ya mungu ndio kio inayomlika udhaifu wetu,naomba maombi ya uponyaji kutoka kenya

  • @zainamathieu6216
    @zainamathieu6216 9 месяцев назад

    Asante sana mchu fajo kwa neno nzuri yaku tuimiza Katika safari ya kwenda mbinguni

  • @EmmanuelyLukas-n8m
    @EmmanuelyLukas-n8m Год назад

    Mchungaji mungu akubariki kwa mafundisho yako mazuri

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 11 месяцев назад

    Ahsante pastor barikiwa sana

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 Год назад

    Amen Amen powerful teachings asante kwa Neno

  • @ELIZABETHMBEWE-sl7zt
    @ELIZABETHMBEWE-sl7zt Год назад

    Pastor nashukuru Kwa SoMo nzuri, nomba umuombee Helman ameathirika na bangi ni kijana wangu

  • @TuliaIpopo
    @TuliaIpopo Год назад

    Ameen, pastor nabarikiwa

  • @vincentmalima1095
    @vincentmalima1095 Год назад

    Ubarikiwe pr

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 Год назад +2

    Amina barikiwa zaidi pastor hakika nimebarikiwa sana 🙏

  • @PendoOscar
    @PendoOscar Год назад

    Mchungaji mungu akupe afya njema

  • @NeemaMichaelMotegi
    @NeemaMichaelMotegi Год назад +21

    Mchungaji naomba umwombee mama agu anaungonjwa wa ajabu umesababisha mkono ujikuje kabisa kwa imani naamini ukiungana na mimi kwa maombi Mungu atajib

    • @limbrussamson591
      @limbrussamson591 Год назад +6

      Kwa kuamini tu MUNGU amekwisha mtendea utakavyo.

    • @raelsarange638
      @raelsarange638 Год назад +4

      God meet the desires of your heart

    • @RuthMomanyi-j1o
      @RuthMomanyi-j1o Год назад +5

      Shukuru Kwa uponyaji wa mama amepona

    • @kabalizasekanabomarko6063
      @kabalizasekanabomarko6063 Год назад +3

      Muchungaji naomba maombi kwa mtoto wa dada yangu amekufa na kumwacha mtoto muchanga sana wa wiki mbili. Ila leo hii mama yangu muzazi ameendeleya kumuleya uyo mtoto paka leo ana mwaka sasa umoja. Ila amepewa sumu na mtu asiye julikana. Pia mama yangu naye ndiye alibaki na hao watoto wote 5 na uyo umoja mudogo wa wiki ndo wote ni watoto 6.
      Mama pia mikono na miguu inamusumbua sana anakuwa mukushindwa kusimama mahali anaikala. Na mikono inamutetemeka sana. Ni mama wa myaka 58ans.
      Naomba mnikumbuke kwa maombi pia, nina imani ya kwamba wote watapona. Kwa jina la Yesu.

    • @stanleymhozi7590
      @stanleymhozi7590 Год назад

      Pole

  • @marcelineshanga9811
    @marcelineshanga9811 Год назад

    Mungu..akupemaisha.marefu....ilitufuzwe ..sisi.wakongo..mani.tunakupenda..saaaaaaaana.muchungaji.kwakupeda. wakongo

  • @VISELINOHAULE-t8k
    @VISELINOHAULE-t8k Год назад

    Amina sana mchungaji

  • @leahmose1808
    @leahmose1808 Год назад +2

    Mungu akulinde mchungaji uzdi kutufundisha❤

  • @Peace.2018
    @Peace.2018 Год назад +1

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @faustermtavangu8212
    @faustermtavangu8212 Год назад +3

    Asante Mungu kwa kukutuma tunapona Roho na mwili . Barikiwa sana

  • @lucaspengo310
    @lucaspengo310 Год назад

    Amina sana pasta

  • @metrinenyongesa7757
    @metrinenyongesa7757 Год назад +1

    Mungu azidi kukupa hekima.maarifa , nguvu na ufahamu zaidi kutoka Kwake,,, keep on moving good gospel am blessed 🥰🥰🥰🥰

  • @Neema-wy4mh
    @Neema-wy4mh Год назад +1

    Amen Amen Amen. Asnte bwana Yesu kwajili ya ujumbe huuu wakutufungua machoo. Sifa heshima ni zako turehemu tusaidie tusijetukashindwa kufata maelekezo yako. Pastor mungu akubariki.

  • @laridistrict4710
    @laridistrict4710 Год назад

    Bwana asifiwe ..somo hili limeguza hitanji kubwa mungu anifungue kwa magumu mbele yangu.YESU NIFICHE NDANI YAKO SINA RAFIKI MWINGINE ANINJUAYE NA KUNIPENDA KAMA WEWE.MAGUMU MBELE YANGU KWANZIA SASA NI YAKO .AHADI YA UPENDO KWANGU NAAMINI USHINDI WAKO....ROHO MTAKATIFU NA UKANJAE NDANI YANGU.........

  • @dismasamani383
    @dismasamani383 Год назад

    Ukweli kabisa, Mzee David. Vita vimeendelea saana, sehemu ya Mashariki ya DRC, tunalia

  • @rodahadhiambo3637
    @rodahadhiambo3637 Год назад

    Amina mchungaji

  • @PaulinhaMasaka
    @PaulinhaMasaka Год назад

    Mungu tunusuru zaidi tupe imani thabiti hata ule mwisho (27/10/2023)status ya rafiki ilionyesha Picha ya papa akitangaza kuwaomba watu wote wafunge na kuomba kwaajili ya amani

  • @purity134
    @purity134 Год назад

    Asante sana pastor,hii iko wasi hata bibilia anasema Ole wao walio na mimba na wenye watoto wadogo

  • @zirhumanafiston116
    @zirhumanafiston116 Год назад

    Amina 🇨🇩

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 Год назад

    Amen 🙏

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 Год назад

    Amina Amina

  • @brothomas2708
    @brothomas2708 Год назад

    Pastor Mungu akuhekimishe katika ubora wake.

  • @dorcasrhobi8211
    @dorcasrhobi8211 Год назад

    Amen

  • @SuzanRobert-d7o
    @SuzanRobert-d7o Год назад +1

    Nimebarikiwa sana kwa somo lako paster mungu atukuzwe kwa ajili yako

  • @jailomhengilolo2898
    @jailomhengilolo2898 Год назад +1

    Amina barikiwa mtumishi wa mfalme kwa neno hili,Bwana azidi kukutumia ahsante.

  • @EasterEmanuel-wh9dz
    @EasterEmanuel-wh9dz Год назад

    Ameni

  • @pascalngaya4050
    @pascalngaya4050 Год назад +1

    Ilikua iringa kilolo nn barikiwa sana.

  • @zipporahmoraa6071
    @zipporahmoraa6071 Год назад

    Amina pst barikiwa saana niko na imani mtoto wangu atapona kwa jina la yesu ,hata kama niko mbali naye naomba Mungu amutembelee huko penye amelaswa kitandani🙏General kisii town na atarudi vyema nyumbani ili na yy afanye mtihani wa darasa na nane🙏

  • @margaretwanjiru9096
    @margaretwanjiru9096 Год назад

    Wah.... ! kwa kweli hiii mafundisho ya leo umenifundisha mambo makuu mno hadi nakuta nimeshinda nikirundia imenibariki sana sana ...aki Pastor Mbaga Mungu azindi kukutumia kufundisha wengi kila saa na Ubarikiwe zaidi maana ingine ata zikua najua but kupitia kwako...
    Kabisa naendelea kukua kiimani tangu nikujue ...barikiwa sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @Gladys-iw8en
    @Gladys-iw8en Год назад +1

    Amen pasta

  • @aidaa8253
    @aidaa8253 Год назад

    AMEN ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @laurentruvugwa5514
    @laurentruvugwa5514 Год назад

    Mungu apewe sifa kwa kuwa tungari na watendaji kazi yake, ijapo kuwa changamoto za kisasa

  • @roselineombati670
    @roselineombati670 Год назад

    Aki leo umenihubiri kabisa na kunitia moyo maana haijalishi wamesema nini ila inategemea Mungu amesema nini na yeye Ana uwezo na nguvu kuliko wao, nilikua na changamoto kazini hata nilifaa kuacha kazi lakini nimejifunza kuangalia na kumtumaini Mungu pia kutii sauti yake, amani imerejea moyoni baada ya kusikiza fundisho hili la leo, barikiwa mch.

  • @faithgakii6278
    @faithgakii6278 Год назад

    Asante kwa neno unifunza mengi kujua mungu zaidi mungu hazindi kukubariki siku zote

  • @patricktsongo4369
    @patricktsongo4369 Год назад +1

    May God bless you pastor.
    Patrick from DRC.

  • @JoshuaPatrickManonga
    @JoshuaPatrickManonga Год назад

    Amina pr pasta ubarikiwe sana hakika nimesikia sauti ya MUNGU

  • @emmanuelwambura2293
    @emmanuelwambura2293 Год назад +1

    ❤Amina kwa somo hiri ilaa tunabarikwa hapa turipo mungumu seregeti mungu akubariki uturetee mibaraka

  • @rosegaspar4852
    @rosegaspar4852 Год назад

    AmenMt

  • @EllenMbota
    @EllenMbota Год назад +2

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 Год назад

    Mjungaji barikiwa saaaaana Mungu akuneemeshe zaidi ili ututunzie imani zetu. Amen

  • @calebmakori
    @calebmakori Год назад +1

    The law demands sinners should be punished but when a sinner repents ,Jesus forgives him /her then the law rejoices and says that's what i what. Be blessed

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 Год назад

    Praise the Lord, binafsi mafundisho haya yamenisogeza karibu na Mungu Sana, ubarikiwe Pastor na kwa wale wenye shida mbalimbali hakika mkiamini zote zitakwisha.

  • @JoanKoech-ps7jt
    @JoanKoech-ps7jt Год назад

    Pastor naomba maombi kwa pamoja uombee kijana wangu anatumia dawa ya kulevya

  • @JoanKoech-ps7jt
    @JoanKoech-ps7jt Год назад

    Ubarikiwe Sana pastor nakuombea siku zote usidi kua na nguvu za mungu umekua mibaraka kwangu since 2021

  • @perisbosibori2249
    @perisbosibori2249 Год назад +2

    AMEN! We've been saved by GRACE. LORD, you've given us direction, help us to follow Your commandments. LORD, give me the strength to stand firm in FAITH until You come to take us home. GOD bless you Pastor for this timely message, 🙏🙌.

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 Год назад

    Emeeeen

  • @DanielSamson-h4v
    @DanielSamson-h4v 3 месяца назад

    Jinabla BWANA libarikiwe.

  • @rachelsanga7472
    @rachelsanga7472 Год назад

    Ubarikiwe mchungaji nina imani kuwa kwaneema ya Mungu niwe ndani ya Yesu nimebarikiwa sana na somo

  • @danielwafula4447
    @danielwafula4447 Год назад +1

    Pastor may God bless you and the ministry. Kindly join me in praying and interceding on behalf of my Cousin, and elder in church, William Lumati ,who has been sick with nerve and parkinson issues that God may show him favour to restore his health. Thank you Pastor for being a blessing in my spiritual life since last year November.

  • @user-bsarah
    @user-bsarah Год назад

    Barikiwa mtu wa mungu

  • @christinendayiragije5689
    @christinendayiragije5689 Год назад

    Amen amen ❤

  • @Ungwamissi
    @Ungwamissi Год назад

    Amenn📖🙏

  • @adarashidi8178
    @adarashidi8178 Год назад +1

    Amen 🙏🙌🔥

  • @pascal.kahwara
    @pascal.kahwara Год назад

    Mpinga kristo atainuka pale unyakuzi umesha timia. Its going to happen really first we don't have 50 years here on earth again.

  • @alicenyakawa2449
    @alicenyakawa2449 Год назад

    Thank you pastor for timely message really I was discouraged due to some circumstances but God use you to deliver a message of encouraging and make someone who stuck to rise and continue on with the journey

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 Год назад

    Thank you Jesus

  • @ephrasienasifiwe3393
    @ephrasienasifiwe3393 Год назад

    Mungu atubariki kupitia ubiri ili❤❤

  • @saumhamisi7320
    @saumhamisi7320 Год назад +2

    Ameeeeen

  • @toshalulinda1493
    @toshalulinda1493 Год назад

    Amen

  • @roselineombati670
    @roselineombati670 Год назад

    Amina Amina Amina Amina

  • @CharlesKanani-e7i
    @CharlesKanani-e7i Год назад

    Ukweli kabisa mfia Dini ni karama. Mungu atusaidie.

  • @ianmuema3355
    @ianmuema3355 Год назад

    TO GOD BE THE GLORY

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 Год назад

    Amen!!

  • @dubajohn2591
    @dubajohn2591 Год назад

    Mchungaj nakutafta xn cjui mungu atatukutanisha wap mtumishi

  • @DUKEKILIMU
    @DUKEKILIMU Год назад

    YESU NISAIDIE

  • @emmanuelwambura2293
    @emmanuelwambura2293 Год назад

    🤝🤝 tuko pamocha

  • @Patience763
    @Patience763 Год назад

    Pastor nilikua nimeokoka lakn kwa mafundisho najiona niokoke tena kwa kua nilitenda dhambi

  • @sauud2some471
    @sauud2some471 Год назад

    Ameeeeen 🙏🙌🙌

  • @ImeldaJohn-uy6ig
    @ImeldaJohn-uy6ig Год назад

    Mchungaji naitwa vitalice MWESE MKAMI naomba uniombee malango Yang yapate kufunguliwa

  • @LukasSoso-bn4ch
    @LukasSoso-bn4ch Год назад

    BWANA YESU KRISTO ASIFIWE KWA MKATE

  • @estermgendi677
    @estermgendi677 Год назад

    Mchungaji hapo ni wapi nimlete mwangu mgonjwa

  • @edwardpiniel9925
    @edwardpiniel9925 Год назад

    Niombee paster

  • @vicknessngenzi6146
    @vicknessngenzi6146 Год назад

    Pastor nikiwa hapa kazini nimetoka kufanya ibada fupi naelekea kwenye chakula kuna eneo nimepita nikapata maumivu makali sana kwenye kichwa nyuma ya masikio na presha ikaanza kuwa sio sawa baada ya kwenda mbele kiasi nikarudi kawaida. wakati wa kurudi kupita pale ile hali ikanirudia tena nifanyeje? japo baada ya muda niko vizuri.

  • @rogzenaminja7980
    @rogzenaminja7980 Год назад

    Mchungaji naomba umuombee mume wangu ni mgonjwa :upande wa kushoto unaisha misuli, jicho limepoteza uoni,anakakamaa.
    Watoto hawaeleweki:ufahamu,akili, uwezo.wanalewa, madeni, masterbation, uongo, uvivu nk
    Mimi ni mgonjwa Pia. Ombea hii familia mchungaji usituache.

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 Год назад +1

    Niwe na ushuhuda japo kwa ufupi, mwaka jana tumepata muujiza wa milion 50 kwa ajili ya matibabu ya mdogo wangu ambapo kwa cc kama familia tusingeweza kumudu gharama hiyo....lakini bado tunashangaa mdogo wangu huyo bado yuko masomon na anaendelea na doz (doz yake ni ndani mwaka 1.5), anasomea utatibu, tangu ameanza kuugua anafanya vzr ktk masomo yake kuliko apo mwanzo na kwa sasa kila mgonjwa anayemhudumia anarejewa na afya watu wanampenda na hata imefikia hatua professor wake anamuamini na kumuagiza shughur mbalimbali kizuri zaidi kwa sasa kama familia hatushughuriki na karo yake, muda wake wa likizo unatosha yy kufanya kazi na kupata pesa ya kumudu kujilipia karo na mahitaji yote, kwa kweli tunaona ni utukufu wa Mungu tuu uliomfunika.

    • @williamsofia7372
      @williamsofia7372 Год назад

      Aminaa... Asante kwa ushuuda pia.kumtegemea Mungu kunalipaa.

  • @mush337
    @mush337 Год назад

    Kuna mhubiri anaitwa Francis Ndacha,yeye hutumia siku zote kusema SDA ni ya shetani Kila siku hio ndio crusade yake

  • @jenestermabati4409
    @jenestermabati4409 Год назад +1

    Pr Niombee,nimekuwa mjane miaka 3 ya ndoa yangu.nimepita changamoto za kulea peke yangu bila msaada wa kifamilia bali nimeishi kwa manyanyaso kifamilia.kwa saaa kijana amekua ana miaka 20 sasa. Ombi langu tuna uhitaji wa mtaji ili kupata pesa ta kujenga nyumba ya kuishi mimi na mwanangu.Naamini Mungu atatenda maana amenuvusha pakubwa mno

  • @ianmuema3355
    @ianmuema3355 Год назад

    TO GOD BE THE GLORY