MCHINA ATETEMEKA MBELE YA DC WA ARUSHA BAADA YA KUDHULUMU MIL 26 ZA ASKOFU, "NITAKUVURUGA HAPA HAPA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 май 2024
  • #Dc #ArushaDc #mkuuwawilaya #mkuuwamkoa #arusha #wikiyahaki #makonda #Rcmakonda #rcarusha #arusha #arushamjini #arachuga #arusha #chugacomedy #chugadance #makonda #paulmakonda #kizaziog #babalababa #kenyonyo #dipperrato #majanaba #markubamajanaba #waduduwarchuga #makonda #kenyonyo #kizaziog #chugacomedy #chugadance #chuga #arusha #makonda #pdiddy #fidovato #target #chidbenz #fidovato #fido #krg #krgthedon #khaligraphjones #khaligraph #kenyan #kenyanyoutuber #kenyanewsmedia #kenyanews #tanzania #tanzanianews #tanzanianews #tanzanianmusic #tanzanianyoutuber #diamondplatnumz #diamond #diamonds #alikiba #dah #alikibadah #kings #kingsmusic #kingsrecords #dharau #mapoz #inbrahtz #diamondplatnumz #harmonize #kondegang #kondeboy #wasafi #youtube #youtubeshorts #cr7 #diamondplatnumz #aka #a.k.a #coasttitch #coastal #costarica #costa #papa #papawemba #morgan #morganheritage #alikiba #diamondplatnumz #mondi #mapoz #harmonize #harmonize_tz #kondegang #konde #kondeboy #anjela #anjellatz #poshqueen #poshqueennaharmonize #poshnaharmonize #mpenzi #cr7 #niposingleharmonize #wemasepetu #wemawhozu #whozu #whozunawema #wemanawhozu #mapenziyawemanawhozu #penzi #penzizitowemanawhozu #kenyonyo #dipper #kenyonyonadipperrato #comedy #comedyvideo #comedymoments #comedyshorts #comedyvideos #comedyfilms #comedyshow #nyokaa #storyyanyokaa #storybynyokaa #movieyanyokaa #tamthilia #tamthiliayanyokaa #bugibenga #benga #arusha #arushamjini #fido #fidovato #msaniifidovato #mkaliwahiphopfidovato #vatoloco #chugaiyo #fidovatoftrayvanny #rayvannynafidovato #movie #movies #moviereview #inswahili #kwakiswahili #kiswahili #kiswahilitv #kipagocomedy #wachaga #moshi #arushamjini #vichekesho #mwakampya #chrismas #missomisondo #djmisondo #missondo #rayvanny #rayvany #rayvannymissomisondo #rayvannykitukizito #kitukizito #arusha #chugadance #chugacomedy #chugaboy #majanaba #majanabamarkuba #markuba #hanang #mafuriko #manyara #mafurikohanang #hanangmafuriko #majanabamarkubamafuriko #madawa #madawayakulevya #vichekesho #yvonnekrg #krgdoughteryvonne #kichanga #mtotomchanga #mtotoatupwakichakani #mtotomchanga #ashikwaakitupamtoto #uswahilini #uswahiliniarusha #arushamjini #kenyonyo #wadudu #chugacomedy #chugadance #waduduwachuga #machaliiyar
    #madawa #madawayakulevya #waathirika #wasanii #allydangote #paulinegekul #gekul #dangote #arusha #arushamjini #fidovato #allydangote #fidovatoallydangote #allydangotefidovato #chugaiyo #fidovatoamchanaallydangote #fidovatodangote #fidovatovsallydangote #fidovsdangote #dangotevsfidovato #arusha #dangote #allydangote #dangoteauawa #mwiliwadangote #arushamjini #dangotemochwari #watuwaendakumuonadangote #dangoteazikwa #dangoteafariki #sinoniarusha #ungalitediarusha #arushamjini #taharukiyatawala #auawanawananchi #millardayo #millardayoupdates #kusagatv #global #globalnews #auawa #millardayo #millardayoupdates #millardayo #arusha #dangote #allydangote #dangoteauawa #mwiliwadangote #arushamjini #dangotemochwari #watuwaendakumuonadangote #dangoteazikwa #dangoteafariki #sinoniarusha #ungalitediarusha #arushamjini #taharukiyatawala #auawanawananchi #millardayo #millardayoupdates #kusagatv #global #globalnews #auawa #millardayo #millardayoupdates #millardayo #inatisha #watuwafurika #wananchiwenyehasirakali #wananchi #binadamu #amwaga #amwagadamu #achomwavisu #mchomavisu #taharuki #taharukiyatanda #taharukiyafunika #mochwari #jijilazizima #arushawatuwafurikamochwari #damu #trendingshorts#Mochwary #mochwari #mrrocky #arusha2099 #arusha #fidovato #johmakini #dogojanja #fidovatonajohmakini #fidovaton #wimbowamrrockyarusha2099 #derby #vatoloco #fidovatonako2nako #fidovatonembo #fidovatochugaiyo #fidovatoarachuga #fidovatonaweusi #fidovatoweusi #weusi #johmakiniweusi #vatolocoweusi #harmonize #ngarenaro #ngarenaroarusha #arusha #wananchi #wananchiwenyehasirakali #matapeli #jambazi #majambazi #vibaka #simu #wiziwakutumiasimu #derby #magoliyayanga #magoliyayanga #magolinbc #magoliligikuu #golilayanga #mashabikisimbayanga #mashabikiyangasc #shabikiyanga #yangasc #yangafc #yangayaifungasimbagoaltano #waduduwachug #kariakooderby #derby #derbyyasimbanayanga #simbasc #simba #simbafc #livesimba #yangasc #yangafc #yanga #yangaleo #yanganasimba #yangatv #yangalive #yangavssimba #kariakoo #baleke #derby #boko #aziziki #magoli #magoliyayanga #magoliyasimba #golilachama #golilasimba #goliya #golden #cr7 #cr7fans #cr7shorts #christiano #messi #messiskills #messifans #messi10 #messifans #messi10 #comedia #comedy #comedyvideo #comedyshorts #comedyfilms #comedymoments #comédia #chugacomedy #chugadance #chugadanceofficil #vichekesho #shabiki #mashabiki
    #mashabikisimbayanga #rosaree #wadudu #waduduwachuga #makaomakuuyahiphop #rosareesong #rosareemusic #waduduwachuga #wadudu #kariakoo #derbyyasimbanayanga #simbasc #simba #simbafc #livesimba #yangasc #yangafc #yanga #yangaleo #yanganasimba #yangatv #yangalive #yangavssimba #kariakoo #baleke #derby #boko #aziziki #magoliyayanga #magoliyasimba #golilachama #golilasimba #goliya #cr7 #cr7f

Комментарии • 146

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 24 дня назад +33

    siomchina tuu kuna mtanzania mwenzetuu pia anaitwa maganga niizaidi ya mnyamaa anaajiri mtuu saa moja anafukuza saa mbili naanasema haogopi serekali anatesa wafanyakazi vibaya mnoo nimkatili vinaya mnoo mimi nilipita kuosha gari pale nilishuhudia yule jamaa nimyamaa

    • @fredyjeremia7074
      @fredyjeremia7074 24 дня назад +2

      Afungiwe biashara yake ,wakat uchunguzi uafanyika huyu mswahili

    • @AdorophinapKahwa
      @AdorophinapKahwa 24 дня назад +1

      Maganga wa maeneo ya Kwa mromboo??

    • @amanimlengwa9202
      @amanimlengwa9202 21 день назад

      Huyu Maganga tunamjua wote wa Arusha.
      Huyo ni mnyama, hana utu hata kidogo na inasemekana huwa anatabia ya kuimiliki serikali kwa pesa zake.
      Si yule aliye Mbauda kule?
      Bora huyu mchina iwapo ni huyo Maganga.

    • @adoniemanuel908
      @adoniemanuel908 20 дней назад +1

      ndio huyoo yani yule sio mtuu kabisa utasema anaishi dunia yakee yani akikupa ajira asubuhi huewezi fika saa tano kama serekali imuangalie kwajicho latatu na uraiya wake hakuna mtanzania nwenye roho alioko nayo yule mtuu

    • @AdorophinapKahwa
      @AdorophinapKahwa 20 дней назад

      @@amanimlengwa9202 maganga tangu tukiwa wadogo ni katili tu. Nashangaa mpaka Leo amedumuje inamaana hata viongozi anakula nao

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 24 дня назад +12

    Mm napenda nimsikilize makonda tu hawa wengine naona vichekesho tu😂😂😂

  • @husseinshabani3306
    @husseinshabani3306 7 дней назад +1

    Arusha inawaka moto kama china vile. Ukionea umekwisha. Safi sanaa.

  • @user-cu9mj3xj8x
    @user-cu9mj3xj8x 24 дня назад +5

    ingekuwa kwao haojamaa siyo, tz tujifunzeni, raia wa china wengi nimataperi sana,

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 24 дня назад +3

    Mchina alipe gar ya watu,lakin hao maafisa wetu mhhhh......duh!!! Sjui

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 24 дня назад +5

    Mkuu wa wilaya umebuma kwa kukosa ufahamu wa kuendesha mashauri.

    • @thabitdaudi9815
      @thabitdaudi9815 14 дней назад

      Hawezi kazi huyu anamuiga makonda ila unaona kabisa ni arrogant hana mapenzi na wananchi ila tumuache atasiadia kdgo

  • @user-up9gz8ij1s
    @user-up9gz8ij1s 23 дня назад +1

    Uko vizuri mkuu

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 24 дня назад +5

    HUWAMUZI GANI MKUU WA WILAYA FUNGULIA KESI YA WIZI HUYO AU AWALIPE WOTE AKIMALIZA DENI LUDISHA KWAO

  • @BedaKunguluche
    @BedaKunguluche 24 дня назад +3

    Hii kweli ni Comedy

  • @florencejames-jo1cz
    @florencejames-jo1cz 24 дня назад +3

    Tatzo anaongea hatoi nafasi yakujieleza kama makonda anavyo fanyaga hana vebe huni makonda Bg up

    • @fredyjeremia7074
      @fredyjeremia7074 22 дня назад +1

      Sio kama makonda,hatoi nafasi KUMSIKILIZA mtu kama kiongozi yyte anavyotakiwa.

    • @florencejames-jo1cz
      @florencejames-jo1cz 22 дня назад

      @@fredyjeremia7074 asa kiongozi unaongea pekeako huwapi nafasi ya kujieleza ujue changamoto zao we unatoa hukumu bila kusikiliza pandezote mbili asa ndo Nini maon kwa upande wangu lakin

  • @user-wj9cy9bg8u
    @user-wj9cy9bg8u 15 дней назад +1

    mkomage mkiona wachina shobo wabongo wenzenu mnatunyima kazi mkiona mchina shobo ila pole

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 24 дня назад +2

    Duh!!mwajjna Wangu Felician DC tiya jera kwanza iyo mbuzi ya kichina ujue mtandao wake akae jera kwanza akuna dhamana kabisa yani uniongee mbele zangu eti peleka police nitatoka ihiiiiiiiiiiiiiiiii baba ihiiiiii baba pumbavu

  • @johnnkelebe7360
    @johnnkelebe7360 23 дня назад +2

    Huyo mchina serikali yake ikijua anafanya utapeli huyo mchina kazi anayo, atanyongwa.

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 25 дней назад +7

    Bongo kweli tumeoza yani officer uhamiaji anajua na anakiri kua jamaa hana vibali vya kuishi lkn wanamruhusu kuishi na anafanya biashara bila tabu daaah!!!

    • @ludovickbenjamin6104
      @ludovickbenjamin6104 25 дней назад

      Inasikitisha sanaa asee,
      Tena anajibu kwa ujasiri kabisaa hana kibali. Na wanamuangaliaa kabisaa @ssalimsalim3864

    • @fredyjeremia7074
      @fredyjeremia7074 24 дня назад +1

      Ni aibu hovyo,,halaf yanaongea bila aibu ety Hana vibali.🤣🤣 Ndo wanajua Leo??

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 22 дня назад +1

      KASEMA PASPORT IKO POLISI KWA UWIZI WAKE ALIKUWA AMUULIZE SABABU YA KUWA IKO POLISI NA TOKEA LINI.

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 24 дня назад +2

    Weka ndani mpuudhi

  • @hanskitundu874
    @hanskitundu874 24 дня назад +3

    Afisa uhamiaji unajua kabisa jombaa Hana vibali vya kuishi na kufanya KAZI nchini na anasumbua ria na gerezani haujampeleka au kumrudisha kwao

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 24 дня назад +5

    Hao wachina kama kosa hilo umelifanya weye huko kwao unapotezwa ninkunyongwa tu. Naye akamatwe akanyongwe. Halafu mpelekeni Uhamiaji je ana status ya kuishi na kufanya kazi TZ kisheria? Afilisiwe na arudoshwe kwao kwani hapa TZ hakuna waTZ hawawezi kufanya?mnatoa vibali vya wageni kufungua garages. TZ njaa mwisho

  • @asmartonline5030
    @asmartonline5030 6 дней назад

    Huyo kwa aibu hii China wananyongaga tuu.........

  • @nurdinkisaria9476
    @nurdinkisaria9476 25 дней назад +3

    Shida ya Wachina ni kamari

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 24 дня назад +3

    Wachina wezi tu

  • @wensislauschimba2792
    @wensislauschimba2792 12 дней назад

    Ila Kwa huyo amesingizia mchina

  • @ngejejemashubi4213
    @ngejejemashubi4213 20 дней назад

    Yani afisa uhamiaji anasema Hana vibali vya kuishi kweli ,? Hatari sana

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 24 дня назад +1

    Kama sio Mkuu wetu wa mkoa makonda mngeongea hivi .

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 9 дней назад

    Mnyakuu tu huyu kelele

  • @mohddelo
    @mohddelo 24 дня назад +1

    Safi

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 11 дней назад

    Kk mwenye shati la draft ana mlologo wa story sana

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 11 дней назад

    Makonda tu ndo ataweza ishu ya mchina,

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 24 дня назад +1

    Tumeshakuelewa mkuu wa wilaya,,watafte kwa mda maalum wasikilize wote kama kiongozi.

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 24 дня назад +1

    Huyu jamaa shat ya drafti ni mtumishi wa uma kasema,,ni kitengo gani mbona ana maelezo mengi mno!! Nenda kwa point tukwelewe.kwani we mgen na magerej!? Hyo karatas ni ya nini au ...

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 9 дней назад

    INAMAANA MCHINA KAWAFANYA MSHINDWE KUWA NA MIC HATA MBILI?

  • @MathiasFrancis-hl4ph
    @MathiasFrancis-hl4ph 14 дней назад

    Sijaelewa pccb imeingiaje hapo lkn kweli 11m unatoa tu bila progress

  • @sumaidgasto4721
    @sumaidgasto4721 14 дней назад

    Mchina asikilizwe

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 25 дней назад +16

    Bila Makonda kuanzisha clinic ya kusililiza watu,haya mambo yasingekuwepo.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 24 дня назад +2

      Kuna shida gani mtu akianzisha jambo zuri watu wakaliendeleza

    • @raphaelnambombi3709
      @raphaelnambombi3709 24 дня назад +2

      Na mkuu wa mkoa wa mwanza nae ameanza kufanya hivi

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 24 дня назад +2

      Dhuluma ni nyingi sana nchi hii. Hongera Mh. Makonda kwa kulianzisha

    • @adoniemanuel908
      @adoniemanuel908 24 дня назад +1

      Kabisa ndugu unamjua yule sio binadamu wakawaida nizaidi ya shetani kunasiku nilienda kuosha gari aliwapiga wafanya kazi kama mbwaa hasamini utui wamtuu yulee

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 24 дня назад +1

      Very true

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 24 дня назад +1

    DHULUMA SIO NZURI SANA. INA GHARAMA YAKE

  • @lovenessfracis
    @lovenessfracis 21 день назад

    Hakuna kitu hapa angekua makonda angemnyoosha tapeli huyu

  • @amanimlengwa9202
    @amanimlengwa9202 21 день назад

    Mchina anaonewa kiboya.
    Halafu huyu DC anajaribu kutembelea copy za Konda halafu hazijulii kabisa yaani.
    DC fala tu.
    Maelezo ya mchina yako kidogo poa ukilingalinisha na order za DC.

  • @SelijusiMalambo-rh6sf
    @SelijusiMalambo-rh6sf 17 дней назад

    Mtangazaji ki Swahili jitaid

  • @AwadAbedalla
    @AwadAbedalla 9 дней назад

    🇪🇸🤔👍👍👍❤❤

  • @drtobias_
    @drtobias_ 24 дня назад +1

    Makonda ana radha yake kwenye jambo km hilo

  • @billaljuma6297
    @billaljuma6297 14 дней назад

    Tapeli huyo mchina

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza 12 дней назад

    Wachina wengi ni wezi lakini serikali ipo kimya huku wakielewa

  • @user-jl5zh6qi2w
    @user-jl5zh6qi2w 24 дня назад

    Hii kweriiiiii comedy show

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 10 дней назад

    Unyanyasaji Wa tz tu nafanya

  • @cleverjesus
    @cleverjesus 19 дней назад

    Pilato hi!

  • @GoodluckKimbe
    @GoodluckKimbe 16 дней назад

    Tatizo laviongozi wetu sijajua wanatatizogan tukifa fanyakosa ss wabongo tunavofanyiwa kama wakimbizi lakin watuwamataifa yambali wakifanya makosa wana belezwasana daaaaaaa

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 25 дней назад +2

    Sukuma ndani huyu .
    .
    China's as

  • @Gamba177
    @Gamba177 24 дня назад +3

    Gari yako au gari la serikali acha kudanganya walipaji kodi hapo

    • @herbethlukogela7657
      @herbethlukogela7657 24 дня назад

      Unatake vitu personal sana kaka..... Gari anekabidhiwa yeye kwahiyo yeye ndo mwenye gari

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 22 дня назад +1

      MBONA UELEWA MDOGO??? KASEMA PIA LIPO GARI LA SERIKALI LIMEKAA HAPO SIKU NYINGI SIO ALILOLIPELEKA.

  • @SelijusiMalambo-rh6sf
    @SelijusiMalambo-rh6sf 17 дней назад

    Msimuonee mchina mnashindwa kushugulika nawezi wamamilioni mmeanza kumsumbua mchina

  • @SaidHassen-gf5tx
    @SaidHassen-gf5tx 24 дня назад +1

    Watu weupe wametudharau sana .mtuhumiwa mpka anaenda kufuatwa na gar ya DC Tena kwa kubembelezwa.huyo ni mwizi Kama wez wengine ..anatumia gereji Kama kivuli tu...huyo ni wakuondoshwa nchini na alipe ela za watu...haya mambo mtu meeusi hawez kufanya china ata sekunde moja..serikeli tuone makucha watu Kama hao .wawe na heshima na serikeli

  • @mariaikombe7839
    @mariaikombe7839 24 дня назад

    Eti asurubiwe 😂😂😂😂😂

  • @timothbenard8213
    @timothbenard8213 21 день назад

    Looo hana hata vibali jamani selikali hii na maafisa uhamiaji wanajuwa nani mwenye kosa hapo

  • @sebastianthadeus5270
    @sebastianthadeus5270 25 дней назад +3

    Huyo atakimbia usimwache anatakiwa kukaa ndani tu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 22 дня назад +1

      ATAKIMBIYAJE NA PASSPORT IKO POLISI???

  • @upgo6112
    @upgo6112 24 дня назад +3

    Huyu kiongizi ni anaegemea upande Moja ... Angeenda kujihakukishia

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 23 дня назад

      Huyu hafai kuwa hata mwenyekiti wa kijiji

  • @DanielFisoo
    @DanielFisoo 21 день назад

    Huyo mchina amemrushia babu yangu milion 18 mpaka sahiv bado anakaa na gari yetu

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 24 дня назад

    Duuuh ila hii nchii yetu viongozi ni wana demka tu

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 11 дней назад

    Hadi chaji imeisha bado sijafaham mada ni nn

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi 15 дней назад

    Huyu akakae sero miaka kumi na mko walau

  • @NasraN-hr5uh
    @NasraN-hr5uh 24 дня назад +2

    Haka kachina kanaubavu gani wa kusumbua watanzania

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 24 дня назад

    Eti polisi anasema anamjua huyo tapeli na Yuko mtaani wakati muuza kuku Yuko jela

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 24 дня назад +4

    Sasa kama ana vibari wewe Afisa uhamiaji mliluwa wap?mnatia aibu nanyie mkae ndani😂

  • @saidmwangasama
    @saidmwangasama 20 дней назад

    Wachina wote hapa tz heshima wamekosa sana na hawa wa maguluduli ni wahun tu hawatow furusa kwa watazania ili wanufake tz

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 24 дня назад

    Ndio maana anawatapeli amewaona.haeafu huwezi kutumia lugha ya kusema anaishi kwa makaratasi

  • @phaustinemmao424
    @phaustinemmao424 21 день назад

    Gari inatengenezwa mil26 duuuh ila ni maisha tu

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 21 день назад

    Razima nyuma kunamtu hayupo pekeyake

  • @SylvesterAmbokile-ur2vd
    @SylvesterAmbokile-ur2vd 24 дня назад

    Watu wa kusikilizwa ni wengi sasa muda woote unamsikiliza mtu mmoja tuuu.

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 8 дней назад

    Be fair give the chinese man time to explain. As a leader you have to listen both side of the story

  • @SylvesterAmbokile-ur2vd
    @SylvesterAmbokile-ur2vd 24 дня назад

    Mil 11 kutengeneza subaru?

  • @lilianurio9781
    @lilianurio9781 24 дня назад

    Ila hii nchi inajua kuigiza sana, mpaka mtu anakaa miaka yote bila vibali ni kwa sababu gani??

  • @evidencekangimba1538
    @evidencekangimba1538 18 дней назад

    huyu so mchina mbona anaongea kiswahili kama wabongo

  • @justerissaya9165
    @justerissaya9165 21 день назад

    Mtu anakwambia serkali inamtambua bado unategmea nn apo

  • @kingkinye1419
    @kingkinye1419 21 день назад

    Anamuiga makonda

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 24 дня назад

    Na akikimbia je

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 23 дня назад

    Mchina anakichwa kama kobe😅

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 22 дня назад +1

      SEMA CHAKOBE KIDOGO 😂😂😂😂😂😂

  • @YahayaKishakwi
    @YahayaKishakwi 24 дня назад

    Iv kero zimeanza leo au uchaguzi umekaribia

  • @oam14l
    @oam14l 24 дня назад

    Mbona kama maigizo?

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 24 дня назад +1

    Uchaguzi Umekariba tutaona mengi Huyu Alikua wapi mkuu?

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 24 дня назад

    Tatzo huwa mnababaika naa ngozi nyeupe angekuwa mweusi sku nyingi mngemkamata

  • @nehemiamwailongano2960
    @nehemiamwailongano2960 21 день назад

    Mikoa mingine mnangoja nn kuanza. Mtu hana kibali anaishi tyu kwao hawana ujinga huo watanzania kuelimike

  • @kingkinye1419
    @kingkinye1419 21 день назад

    Mh

  • @melejijohnson3257
    @melejijohnson3257 21 день назад

    Viongozi wamekua waigizaji

  • @AbdulrahimSwedi-ll9ly
    @AbdulrahimSwedi-ll9ly 24 дня назад

    mpango was kulipa ndo tunataka

  • @SonitajoseDonita-tm5ex
    @SonitajoseDonita-tm5ex 25 дней назад +1

    Mkuru wa wilaya unazingua,Na Wewe anakulipa Nini ??? Eti akatengeneze !!! Huyu machina anatakiwa aende jela Na afungwe ,Yuko Bila vibali alafu anaachiwaje awe huru mkuru wa wilaya acha ubabaishaji ,nahisi Na Wewe unahusika ,kisheria kabisa huyu anatakiwa awekwe kizuizini Kwa kuishi Bila vibali afungwe jela Kwa utapeli,mbona mnawafumbiya macho Hawa ni Nini mnawaogopa mbwa Hawa kule kwako wanatutesa tukiwa Na kosa dogo tu.waafrika munanikeraaaaaa.

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 22 дня назад

    Sheriazauwekezaji waraia wakigenizikoje?.kama wanapewahohovyotu nakuanza kuwafanyaraia wenye nchi kamawatimwa wao ilihali niwatiwalioshindwamaishakwenye nchizao Tanzania watanzania tunakuwajehanamu kwa ajili yawaekezaji via wasionautu kamahao?

  • @nehemiamwailongano2960
    @nehemiamwailongano2960 21 день назад

    Nyongaa ujinga huo kwao wakiwakuta hawatawaacha

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 24 дня назад

    Viongozi you are not serious, mtu anaishi ndani ya nchi kinyume Cha Sheria, na bado mnamchekea, ingekuwa ni huko kwao, huwezi kufanya ujinga kama huo

  • @user-me5on9ir7b
    @user-me5on9ir7b 24 дня назад +2

    Huyu afisa wa uwamihaji ni pumbavu kabisa yaani hanajuwa mtu hanaishi bila vibali kisha hanamwachilia fukuza huyo mwanamke shenzi kabisa

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 24 дня назад +1

      Duh hicho kiswahili ulichoandika ndio changamoto sasa!!!

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 24 дня назад

      Kiswahili 😂😂😂😂😂😂😂

    • @fredyjeremia7074
      @fredyjeremia7074 24 дня назад

      Kala russhwa bila shaka.

  • @chrismassawe2939
    @chrismassawe2939 24 дня назад

    Ale virungu kidogo kama mhalifu mwingine

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 24 дня назад +1

    Kazi iyo muachie makonda mana ww haujui kabisa uenda ata wanamsingizia ila makonda anatuliza akili mana uenda kila kitu na izo pesa Wanachukua wengine

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 24 дня назад

    Mahakama zk.ehqmiq mitaani lakini mahakimu hawa wengine hawana uweledi na hii itasababisha sintofahamu Lazima kwanza tujitathmin je kila kiongozi anauweledi wa kusimamia haki kishetia? Tusikutupuke tu. Makonda mfano mzurisa je wengine wanauweledi kama yeye? Elimu na uweledi ni vitu viwili tafauti. Hatuwezi kuharibu badala ya kutengeneza? Think twice

  • @piusnagawantu8475
    @piusnagawantu8475 24 дня назад

    Haya mambo yanafanyika Tanzania tu kwa sababu watanzania tunaonekana wajinga. Serikali yenyewe ndio hivyo ya kubahatisha tu kwa sababu sheria zetu zinachezewa na wageni. Nchi imekuwa jalala tu. Hana vibali lakini yuko na garage. Haibu kwa nchi nzima.

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 25 дней назад

    Kama kesi yangu

  • @nassorally9008
    @nassorally9008 25 дней назад

    Mkuu wa wililaya kamandi fata sheria

  • @mwatelaedward1638
    @mwatelaedward1638 24 дня назад +1

    Wanamwonea mchina wabongo ni wajanja sana haiwezekani eti mchina ni mgeni anajua kiswahili chote inamaana ameishi miaka mingi Tanzania nawanajua ana pesa sasa wanatafuta njia za kumdhulumu. Kama kweli amekua akidhulumu watu kwa inchi ya kigeni mbona hajachukuliwa hatau siku ya kwanza.

  • @omarimussa7904
    @omarimussa7904 24 дня назад

    Safitu wabongo wanashobo sana narangi nyeupe Wacha

  • @nassorally9008
    @nassorally9008 25 дней назад +2

    Mpeni nafasi ya kuongea mnamuandama sana

    • @urbanmission3072
      @urbanmission3072 24 дня назад

      Ni KWERI hawampi nafas ya kuongea huyu mkuu wa WILAYA kabila GANI?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 22 дня назад +1

      KAMPA MDA ATAELEZEA VIZURI HUKO ALIPOPELEKWA MWIZI HUYO.

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 24 дня назад

    Watanzania ni wajinga kupita kiasi hamuwezi kutapeliwa na mtu kila siku halafu mnamwacha tuu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 24 дня назад

    HIVI WATANZANIA WANAWEZA WAKAFANYA HIVI CHINA NA WASIFUNGWE?..MNAWALEA SANA HAO.

  • @GeofreyMtensacollection
    @GeofreyMtensacollection 24 дня назад

    Sasa jmn kwani kuna tajiri asiyedaiwa..?? km mtu hadaiwi basi ww ni maskini tena una pepo, kudaiwa kawaida

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 22 дня назад +1

      KUDAIWA KITU KINGINE HUYO MCHINA TAPELI NA MWIZI UTAKONGOWAJE GARI LA WATU UUZE KILA KITU IBAKI BODI KAMA SIO UWIZI???

  • @johnsimba
    @johnsimba 24 дня назад

    Mtu wa uamiaji kasema Hana kibali sasa kama Hana kibali anaishije alafu serikali ipo serikali Tena inampa mda ni vichekesho hivi china unaweza ukafanya hivi wakakuacha acha tu, aisee Hiyo kesi ilifaa Makonda aisikilize m Hina Leo asingerudi kwake angeenda kisongo gerezani

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 22 дня назад +1

      PASSPORT IKO POLISI KWA UWIZI WAKE.

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 24 дня назад

    Kwaiyo madc mmegeuka kuwa mahakama ya kuhukumu